Wah nljua tu diamond alikuwa na chuki but take heart harmonize my Best bongo artist😢😢😢😥😓💪💪💪💪💪
@umutoni-roussel52332 жыл бұрын
Actually the haters are still hating,but its ok harmo you have done your part the rest God will fight for you ,and most of celebrities are not on your side ,but its ok keep fighting and don't give up 💪💪💪🙏🙏🙏
@samlesamai49632 жыл бұрын
we ndo jesh broo
@mwanamilongomwanak86012 жыл бұрын
Pambana waja tunajua vzr vita unayopitia. Mungu atakusaidia
@mozasalum97152 жыл бұрын
Pole harmo I can feel you ,wallah ukiwa na vita unaogopa kila mtu
@Rodger31602 жыл бұрын
I suspected diamond was the devil 😈 all along,stay strong harmonize
@judithkakiziba72312 жыл бұрын
Kweli kaka jeshi la mtu mmoja mungu yuko yatapita yote utashinda kwanza uko juu zaidi
@kiptooezramessi399 Жыл бұрын
Harmonize for sure.... Jeshi.. jeshi.. jeshi.. big up from 254 bro we love you 👍
Kawaida bab watu kama wanakusaidia wanatak wao waonekan sana kuliko jinsi weye unavyoonekena ila usikate tama Mwenyezi Mungu anaweza yote pamoja na yenye amekushinda
@kevinromeo45292 жыл бұрын
Bro May God watch over you..keep aiming higher..(JESHI)🙏🙏...tuko na ww uku kenya..kaka
@vigilantbuturu82472 жыл бұрын
Bravo harmonize , May God continue to bless you
@ceciliabahati99782 жыл бұрын
Never give up kondee wivu wao ndio bahati yako
@HelenaEdward-nz7lo Жыл бұрын
Fanya yako kaka yangu uyo achana nae jua maisha yako
@brianmutua9210 Жыл бұрын
Konde Boy All Days💯💯 Blessings All Along Harmonize💪
@lawrencekatio65272 жыл бұрын
Konde ni brilliant kweli, mbona chuki tena??
@rebumankeleye79642 жыл бұрын
Aloooh harmonize salute kwako ama kweli usikihukumu kitabu kwa ganda lake usife moyo pambana kesho yako hupangwa na mungu sio mwanadamu 🤝🙌
@winfridantandu28702 жыл бұрын
Daah konde boy pole aiseee mungu ni mwema kakupigania
@erastowerasto85972 жыл бұрын
Mhuuuu dogo yapotezeee we ni jesh umjiinisipaya
@bahatisunga16422 жыл бұрын
Jamani hii Dunia ni ngumu Pole Haimonaes Mwangalie Mungu anaweza yote
@rosaree1705 Жыл бұрын
You're right kujiita soldier mob love tembo I love you from the bottom of my heart nasikilizaga mziki wako Kwa hisia
@firstladybeutfull42462 жыл бұрын
Kweli kaka unakiili saaana jiepushe picha moja tu italeta edtig nyingi utasikia Zari azama penzini na harmonezi kaaa mbali ivo ivo
Ww kweli nijeshi hongera wacha waseme leta muziki harmo nakukubari
@Farajahelene230312 жыл бұрын
yes you are verry bless konde boy much respect you because you are a good boy
@beatricenguyu28882 жыл бұрын
Harmonize usijali ifike mda achana nae huyo ana roho mbaya izo baraka anataka akupe yeye amekuwa mungu au mamaako mzazi askuumize mwaya
@lawrencekatio65272 жыл бұрын
Be strong Kondee.
@lornaisaac42562 жыл бұрын
Be grateful!
@ganjaligwamatata7140 Жыл бұрын
Sikia kweli umekutana mtihani mkubwa sana Sasa hivi uko vizuri uliyo ogea yote tumesikia Sasa fanya yamepita nipenda Kama utanielewa
@eliudamugasha1793 Жыл бұрын
Wau umeyapitia kweli bro.
@leinaamos2 жыл бұрын
Hongera
@ngalawekikohingalawekikohi47682 жыл бұрын
Mungu yupo
@christophermwigaman54912 жыл бұрын
Big up master
@samlesamai49632 жыл бұрын
tz one,
@soffywambo4154 Жыл бұрын
You are still strong konde, tenda wema nenda zako malipo hapa hapa duniani tu.
@h.j.gmhangu915 Жыл бұрын
Kaza msuli bro
@lydiahboyani10212 жыл бұрын
Strong brotheee
@bakarimarusu99182 жыл бұрын
Unajua nn diamond even if you try hard enough to make our soldier down if feel pity for you dah we ni mbaya sana diamond kuwa na utu
@johnyagat9732 жыл бұрын
Ndo uchungu ulio mfany afkie apo alipo kwaiy uxkate tamaa angaik kila kon jexh,,tembo nakukubal xan harmo
@tngmediake19052 жыл бұрын
Kutokq Kenya No 1 Gossip Channell Next Part Tuskizee upande waDiamonda pia Tutapata jibu ila Pole Hamo kwa yaliyo Kupata
@saurasoso15432 жыл бұрын
Sio interview ni hadithi hadithi but hi hadithi ya ukweli 🤔tunainjoy
@TunuHafidhi-mu1jy Жыл бұрын
Daa tulijua Kaka syo mtu mzuli kumbe Sy
@abdallahwatende66762 жыл бұрын
Dogo hujielewi huo ni utoto wanya upambane uongeze nguvu za kiume utafute mke upate hata mtoto akukomaze akili hivo vimia ulivonavo havina maana bila familia.
@najmaamiry74562 жыл бұрын
Chizi wewe, una comment bila kutumia akili awe na nguvu za kiume wake zake Sara ulikuwa unamlala ww kumbe machizi niwengi et azae nenda akakuzalishe sio unachongo pumba hapa fyuuu...
@lelyaelmi65822 жыл бұрын
Haji manara
@christophermulwa93642 жыл бұрын
Harmonize jeshi
@dayanmeir10352 жыл бұрын
So painful
@saventosimonjr24582 жыл бұрын
Muongo wew wasafi wanapiga nyimbo zote acha unafikiwew
Weye Nimtototu Mpaka Kuongea Ayoyoooote Mbona Wakati Ulitoka Ujayasema?🤔😇😇😇😇😇🤨🤨🤨🤨.Sikio Alizidi Bega.Tulia Fanya Mziki Wako Chochote Utabata Shukuru Ila Tuliza Mashindano.Utajiumiza Mwenyewe.Uliishatoka Kwausalama Fanya Yako
@ashahassan21202 жыл бұрын
Punguza ukali wa maneno kumbuka alipo kuoa oongea bakiza na akibaya maneno
@lucasjames21022 жыл бұрын
Usiache bwan kaka domo mshez tu yule twamjua yule
@alifaalikisamba39522 жыл бұрын
pambana lafikiangu punguza ofu
@isayachota1875 Жыл бұрын
Siri ya frimaso
@kelvinkiprop3634 Жыл бұрын
Sorry bro 🤛
@ysmaelkatumbi40612 жыл бұрын
Wema wako uliku ponza kaka
@Biancaaa123452 жыл бұрын
Diamond na JUJJU his not good
@user-po8hz7xw9j2 жыл бұрын
Baraka mpenja
@chikuhamisi19222 жыл бұрын
Ongea namema mnafiki tu
@chikuhamisi19222 жыл бұрын
Imba nao utamkomowa Nini
@seelailodo99892 жыл бұрын
Homonize tunakuwombea Mungu yupo pamoja na wewe mimi SEElAi niko Arusha
@Badmanbrayo2 жыл бұрын
Nimelia ww achaa😭
@judywambui34092 жыл бұрын
Sasa wewe diamond akitowa yako utaficha wapi sura ,,,,,,bomu moja utachizi ,,. ATI unajaribu kazi ya mungu kumpagia Chuki hazitakiwi ,endelea kuongea kama mwanamke !
@omakywazamani66962 жыл бұрын
Wewe bumbu tu huna elimu wala hela ni shabiki mandazi tu mwezaka anapigania maesha yake wewe unalo pokea kitu ambacho hakihusu hovyo ferme ta gueule
@lawrencekatio65272 жыл бұрын
Ukweli huo.Dole.
@edsonjeremiah59052 жыл бұрын
Huyu jamaa anahitaji dokta namwona Kama anaanza kudata.anajihisi anaonewa wakati ana manegement yake,radio zake zinazomsapoti,tatizo clouds wamemtenga sababu ya album ya kiba.
@marthamalila86302 жыл бұрын
unachuki binafsi wewe
@EzekiaMichael-jn5np Жыл бұрын
Harmonize bila shaka ni mvumilivu sana
@bakarimarusu99182 жыл бұрын
Unajua nn diamond even if you try hard enough to make our soldier down if feel pity for you dah we ni mbaya sana diamond kuwa na utu
@marthamalila86302 жыл бұрын
unachuki binafsi wewe
@edsonjeremiah59052 жыл бұрын
Huyu jamaa anahitaji dokta namwona Kama anaanza kudata.anajihisi anaonewa wakati ana manegement yake,radio zake zinazomsapoti,tatizo clouds wamemtenga sababu ya album ya kiba.
@omakywazamani66962 жыл бұрын
Huna lolote loser tu ukweli tumejua kua mlangu wenu ni mshenzi n'a hayo yote kua yeye ni mwana haramu tabia yake sio nzuri teja wenu Diamond migu kama sindano