PART7:MKE WANGU ALIPATA PESA ZA UCHAWI NA KUNITUMIA KUTAJIRIKA KABLA YA KUPAMBANA NAE KWA UCHAWI

  Рет қаралды 6,710

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

6 ай бұрын

Пікірлер: 34
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 6 ай бұрын
Kutoka kwenye utajiri mpaka kuwa mchawi,, Mungu naomba unilinde
@carolkazi4211
@carolkazi4211 6 ай бұрын
Ila shetani mbaya sana, huyu mwamba alienda kwa mganga kutafuta utajiri, ame maliza familia yake yote na sasa ana tumikishwa kuzimu hata Habari za mali tu hana ana ishi msituni! This is sad ndio tuji funze kutokana na wenzetu wanayo yapitia
@ndigwako
@ndigwako 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@vincentlutome288
@vincentlutome288 6 ай бұрын
AMEN GLORY TO GOD
@rerisamba
@rerisamba 6 ай бұрын
Namuelewe Yesu aliposema kesheni mukiomba
@ellenatilio5666
@ellenatilio5666 5 ай бұрын
Kabisa
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 6 ай бұрын
Love from kenya 🇰🇪
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 6 ай бұрын
Daaaah hakika tunawapata vizur Sana kaka davista tupo pamoja Sana
@joymkenya2359
@joymkenya2359 6 ай бұрын
😂 Kenya namba 4🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kavirasyntyche2055
@kavirasyntyche2055 6 ай бұрын
Davistar mata love from congo drc❤
@honestema
@honestema 6 ай бұрын
Bampa tu bampa ahsante davistar
@wilbroadndunguru6825
@wilbroadndunguru6825 5 ай бұрын
Huwa nawaaimbia watu , ukitaka kuzijua nguvu ya yesu waulize watu waliowahi kuwa wachawi.. hii nguvu ya yesu sio ya kawaida
@salomedarema304
@salomedarema304 5 ай бұрын
Shetani mbaya jmn! Yaani kutoka kutafuta mali hadi kuwa mchawi bila pesa wala familia tena😢😢
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 2 ай бұрын
Inauma sana
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 6 ай бұрын
Kah kweli tunatakiwa tusali saaana aisee, mpaka kwa mwanamalundi😅😅
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 6 ай бұрын
Number 1
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
STORY YAKE MZURI SANA KUWAFUNDISHA VIJANA WASIWE NA TAMAA YA PESA ZA URAISI 😂😂😂
@user-tl5ze8ui6p
@user-tl5ze8ui6p 6 ай бұрын
Namba moyaaaaaaaaaaa!!!!!
@ThomasEmmanuel-lm3uh
@ThomasEmmanuel-lm3uh 6 ай бұрын
Ety "Tukawa tunamtamani"😀😀😀😀
@florencerose859
@florencerose859 6 ай бұрын
Ombrni kila wakati hawa ndio adui
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👊✌👍.
@masindemagee9603
@masindemagee9603 6 ай бұрын
Matajili wengi huwa ni wachawi tena waafrika ni balaa
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 6 ай бұрын
Yani kuna mambo unaweza ukaambia usiamini kabisa eti moto unatembea na watu wakiwemo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢Tanzanian
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 6 ай бұрын
Shetani kweli Hana isani familia Yako yote umemaliza tena unaacha pesa zote unaenda kuishi porini!!
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
Bonge la story
@user-ve8ix8cs8c
@user-ve8ix8cs8c 6 ай бұрын
Kabla ya kudownload story huwa natafuta kwanza comment kama yako
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
@@user-ve8ix8cs8c 🤣🤣
@revosalum8203
@revosalum8203 6 ай бұрын
Huyu muhongo
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 6 ай бұрын
Wewe mchawi
@user-og9jt3mg4c
@user-og9jt3mg4c 6 ай бұрын
Tulia azifunue sili zenu. Shetani anawadanganya, wacha tuzijue sili zenu na huyo baba yenu
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 5 ай бұрын
Kuandika tu haujui....
@gabrielisdory9686
@gabrielisdory9686 5 ай бұрын
Huyu mukwel bana😂
@revosalum8203
@revosalum8203 6 ай бұрын
Magiri yake na makarasha halimwachia nani nanyumba
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 68 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
FULL VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM
10:49
бим бам бум💥💥 типа..
0:18
Ma1x1
Рет қаралды 7 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН
A young mother couldn't calm down her baby at the lesson #shorts
0:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
Моя Жена Босс!
0:40
Petya English
Рет қаралды 9 МЛН
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,7 МЛН