Makaburi ya kikristo yanalindwa na damu ya Yesu.Asante Mungu.
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Kweli kbs
@heritier51193 жыл бұрын
Jina la Yesu ni kuu na lina nguvu kuliko chochote hata kuzimu wanaliogopa
@mchopaluka43192 жыл бұрын
Hapo ndo utajua kuwa wakina mazinge wanaujua ukweli ila wanaigiza tu kuwazuga ndugu zao waislamu
@mbarakamussa48183 жыл бұрын
Shetan amedilixha formula tu bado upo kwenye uxhirikina na ukuxoma dini ulixomauxhikina
@michaelbengesi98383 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, kwa kutoa Muda wako kwa kazi hii.
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Ushirikiana utabaki ushirikina na islam itabaki dini ya Mungu duniani na kesho harera
@Teacher_013 жыл бұрын
*Bado nipo nipo...💃💃💃 Mbona wanakamat siwaon jaman wachawi wenzangu..😂😂 mnajijuaa Tena nisije nikawataja mmoja mmoja..Mjee hapa haraka sana maana shekh Omar katusalit* ☺️☺️☺️☺️
@cecycecy36103 жыл бұрын
mama tuliaaa kabisaa mchaw hajitaj
@Laila-lz4ij3 жыл бұрын
#Zuu nimeogopa nimeamua kujitokeza hata kama simo kwenye group a , "wanakamat,," 🤭😂
@Teacher_013 жыл бұрын
@@cecycecy3610 na wew shogaa angu jaman we c mchaw mwenzangu.. 😂😂😂
Wezi na waganga ni kitu kimoja. Hakuna mwizi aibaye bila msaada wa mganga
@faridaahmed26713 жыл бұрын
Nimejitaidi leo
@frankdeus94463 жыл бұрын
safari ya Fisi mbna kama haipooo Mr.DM
@Patience.672 жыл бұрын
Lipo angalia 7
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Lakini unge mupea na mwenxio maana na yeye ana ongea
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Wacha ni cheke ati kajitupa majini heri angevuka kwa ⛵
@edinambaga7763 жыл бұрын
Mbona mnacheza na wanadamu nasio wanyama kwanini
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Eee hata hivyo ulivyo okoka kaka una toa ushuhuda wote usiufiche ushuhuda wako ndio pia sisi kina tomaso tuamini na umushikilie mungu sana kaka maana haya mambo ni mazito ulio pitia ila kwa mungu hakuna mazito
@Patience.672 жыл бұрын
Alishaokoka
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Je kwenye msiba dada kaka muke wana lia je mulimulilia kweli
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli endelea kutufundisha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😘😘😘😘😘
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
🤩🤩😍😍😍😍😍😍😍❤
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@moussashamba7193 жыл бұрын
KAKA MKUBWA ANA SHULE KUBWA,,NAMUELEWA
@winlove43 жыл бұрын
Dunia hii mh!
@faridaahmed26713 жыл бұрын
Wa2
@kmwendemusic53793 жыл бұрын
Swali langu ni... Ikiwa huyu mzee angekosa kutumia boat au kwa njia nyingne abadilishe wakati wake wa kusafiri, ingekuwaje apo?
@zezejr92852 жыл бұрын
Wasingempata
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@saidsaleem17323 жыл бұрын
Mbona fisi umekatisha
@heritier51193 жыл бұрын
Funzo unavuna upandacho aliforce kumuoa binti bila ridhaa yake ikapelekea kifo chake. Haki ya mtu aipotei
@saidsaleem17323 жыл бұрын
Mbona fisi kuwavusha imeisha
@peteryukunda92393 жыл бұрын
Ptyuuu!
@shepherd1x843 жыл бұрын
Visomo visomo..
@evancemoevt85973 жыл бұрын
Àlafu huyu Jamaa anafànana na Stamina!!
@upendoluv71973 жыл бұрын
Hahahahah🤣🤣🤣KABISAA wamefanan hvi nikijiuliza mwamba kafanana na Nani hyu🤣🤣
@elizanzula83753 жыл бұрын
Simama na MUNGU sasa toka utumwani amini tubu nyenyekea usamehewe yesu anaokoa bure kabisa na kwake kuna raha ya milele...
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Ungemrudisha halafu mume wake akipona amuue yeye
@heritier51193 жыл бұрын
Wachawi na waganga umalizana wao kwa wao
@peteryukunda92393 жыл бұрын
Upande wa pili mpooooo
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
Jamaani mambo nimazito mmno katika hii Dunia 😭
@faifidelis30413 жыл бұрын
😀😀😀😀
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
Fai so vyakucheeeka
@benadethafrancis52233 жыл бұрын
@@raheemaraheema5453 ndo Mana wanasema dunia Ina mambo.