Bonge moja la story lenye ujumbe mwenye sikio na asikie mwenye uelewa na aelewe tunza fundisho ulilolipata litakusaidia maishani mwako hususan ni spiritually
@paulndoya58053 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii episode ,,,ni ukweli uliotukuka
@mimsbaibe6mimsgul7373 жыл бұрын
Kube dunia ina mambo I wish wenye wanakimbia kwa waganga wana watch thanks for sharing wengi hawatafulahia kazi Yao imeharibika I learned something dhahabu mzuri hujaribiwa kwa moto ndo ukapitia hayo ndo tujue siri Leo.
@paulndoya58053 жыл бұрын
"YOU NEARLY QUENCHED MY LIFE LONG THIRSTY AND DESIRE FOR SOME KNOWLEDGE THAT I HAD BEING LONGING FOR"!!!
@faifidelis30413 жыл бұрын
sema baba usiogope tuambie ukwel mungu akubariki
@margaretachieng98873 жыл бұрын
Story nzuri manake naipeda sana💜
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
Davistar ningependa umuulze swali huyo bwana...kwann alipotaka kuokoka Hakufikiria kuishikiliaka kamba ya Mwenyezimungu barabara ya ule uislamu wa kweli uliofundishwa na badala yake akehamia upande wa pili?
@alibashir2103 жыл бұрын
Asante kwa vipidi zako mzuri kweli, keep it up,endelea hivo hivo na vipindi zako za kutuelemisha,unaweza aje toa mtu msukule ?mungu akujali na akubariki.Amen.
@cyantess84233 жыл бұрын
mr facts your questions are everything thank you
@nooor11203 жыл бұрын
Dua yoyote anaweza kumuomba mmungu
@tracyirene89173 жыл бұрын
Hatari kweli 👍 Hiyo Al badiri Inaonekana ni Uchawi Kabisa Huwa Naiskia Tuu Ni Hatari Kweli!! Ukisomewa 🔥Ila Naiskia Huwa haimdhuru mtu ambaye.hajakosea Sijui Afadhali Davistar amuulize na mwenyewe tujue kwa vile huyu Alikuwa ni Mchawi tuu Aisee 🤣🤣!!
@michaelbengesi98383 жыл бұрын
Asante Davista, tunataka naya pili, Tule shule hapa hadimu kabisaaaaaaaa.
@hillarykirui42573 жыл бұрын
This is a very beautiful story
@malekanoshindai61113 жыл бұрын
Moja interview iliyotulia sana
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Mimi na swali hapo je nyumbani walijua uko wapi siku hizo zote ama nafsi ndio ilikua kuzimi ama mwili kwa ujumla
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Nyinyi watu wa dini wacheni zenu mbona hapa wakitanjwa mapastor sisi wenzenu twakimia Toka Jana mumewaka sana
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pamoja sana mr everything ulipo nami nipo🙏🙏🙏🇹🇿💪
@kimanimuikamba4714
Sijapata part 6 inakuwajee.. Story hatari sanaa
@thegreat.98693 жыл бұрын
Huyu jamaa kaongea point kubwa sana. Mwenyezi mungu ni kitu kingine na dini ni kitu kingine
@bundukitv13223 жыл бұрын
NILIPATA BAHATI YA KUOKOTA PESA NYINGI, LAKINI ZILINISUMBUA NA KUNITESA SANA BAADAYE / NAJUTA👇 HADI LEO HII👇