Connect with Pastor Tony Osborn Ministries: Facebook: / pastortonykapola Instagram: / pastortonyosborn Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187 Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)
Пікірлер: 33
@ruthryoba369517 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tuko pamoja huko Tunduma. Bwana akutunze na mafuta ya Bwana yazidi kumiminiika juu yako.
@wemasichoneАй бұрын
Ameeeeeeeeen 🙌,I connect myself to this service.Our God of many ways 🎉🙌
@pili-be4kn9 күн бұрын
YESU naomba uniangaze
@anithamassawe4019 күн бұрын
Alieniambia anapajua😢 powerful message
@wemawestern19714 ай бұрын
Mungu uwe wa namna nyingi kwangu kwenye Kila kitu changu Amen
@gladnesssaul7524 ай бұрын
Mungu mwenye namna nyingi najiambatanisha na ibada hii uponyaji Kwaajil ya mama angu, Kila kinachooumiza moyo wangu kikapone Kwa Jina la Yesu, 🙏 ameeeen
@MkutanoDama25 күн бұрын
Amen
@evalynependo38244 ай бұрын
Mungu mwenye namna nyingi nakuhitaji katika maisha yangu ukafanye mambo yangu kwa namna zako Ee Bwana ♥❤❤
@BenadictoMazua23 күн бұрын
AMINAAAAA
@steveAmon-ru4di2 ай бұрын
NIMEBARIKIWA NA MAFUNDISHO HAYA NAMI NITAMTUMAINIA BWANA KATIKA MAPITO YANGU,AMINA
@magrethwillson20214 ай бұрын
Ameen Ameen Somo letu ni Mungu Mwenye Namna nyingi🙏🙏
@user-fk3ru2kk5c4 ай бұрын
Amen, I connect my self to this service
@felisterphilemon185213 күн бұрын
mungu ni alpha na omega chochote kinachotaka kuchukua nafasi ya kuwa alpha kisipate na nafasi zaidi nuru yako isiishie kwenye macho
@tamaraibrahim80914 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙌
@merrykisu2 ай бұрын
Mungu akubari kwa mafundisho mazuri yakunibadirisha
@abubakarimlalwe3 ай бұрын
Ameen ameen huwa nabarikiwa saana nikikusikiliza pastor
@user-wx5nd5eb2f3 ай бұрын
Pastor ninakuelewa sanaaa nanipokea sana nakucheka pia nacheka sana
@user-jh6jf2vr4o28 күн бұрын
Amina
@mbezijosia197Ай бұрын
barikiwa mno mtumishi
@prbarakatv9884 ай бұрын
Mungu mwenye Namna Nyingi, Yes ana namna nyingi 💪🏻💪🏻🙏
@merrykisu2 ай бұрын
Mungu anisaidie
@wemawestern19714 ай бұрын
Lazima niwe juu tu kwenye Kila kitu changu Mungu tuongoze Amina
@prbarakatv9884 ай бұрын
KUABUDU KWENYE KANISA LA KIPENTEKOSTE HAIMAANISHI UMEOKOKA‼️
@jastinnkya4 ай бұрын
Amin sana mtumishi wa mungu akubariki sana
@shedrackMgonja-ht5rt4 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏
@angelinahmwabili56653 ай бұрын
Mungu niponye hasira zimenilemea
@laizerrichard71054 ай бұрын
Shalom online family live kutoka viwanja vya ottu mbeya