Рет қаралды 672
NIANIMAARIFA
Nyongo ya ng’ombe licha ya kuzagaa na kutupwa kwenye machinjio mengi ya mifugo ni dawa. Ndiyo inayohusika kutengeneza vitendanisha (reagensts) vya kuchunguza uwapo wa wadudu wanaosababisha magonjwa ya kuhara.