Paul Makonda, Watoto wa Hayati JPM kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja kifo cha Hayati Magufuli

  Рет қаралды 20,914

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 34
@nassoromwasandube3727
@nassoromwasandube3727 2 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amina
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 2 жыл бұрын
Daa tunakukumbuka sana
@nestor384
@nestor384 2 жыл бұрын
Rais bora kuwahi kutokea ktk umri wetu
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Жыл бұрын
JPM mwamba mzalendo namba Moja Tanzania tutabaki kukumis sana mzee wetu
@nelithamimwani4516
@nelithamimwani4516 2 жыл бұрын
Tutamkumbuka daima shujaaa wetu
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 2 жыл бұрын
Kumbe siku wewe ukifa roho yako haitakua tofauti zilipo roho za wanyama , pole sana
@lukapastory
@lukapastory 2 жыл бұрын
Baada ya kifo ni hukumu,. Aliyewadanganya yupo toharani ni nani Hayo ni mafundsho ya kidunia Soma Ebrania 9:27
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Uliendako
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Pumzika baba bado tunakupenda jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba mraze maali pema
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
Pembeni ya Jesca Magufuli chezea yy
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Nashindwa kumsahau huyu baba jmn mm sijui nitawezaje mm
@tabuboone934
@tabuboone934 2 жыл бұрын
Mie ndo kbs nalia upya kbs. JPM hata I toka rohoni bado naona ni pogo kubwa kwa kuondokewa nay!! 😭😭🙏🏽
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
@@tabuboone934 walah kwa watu wenye akili timamu lazima tuumie mno yaan nikiona clip au picha zake tu nahis atasimama tena atoe hotuba na masihara masihara yake yale furaha kam nn walah tumeondokewa jmn na mtu amabe twamuhitaji mno mno ila tuombeni mungu tutapata tena kam yeye kwenye 2030 ila kwa mama mhhhhh sion kitu nisiwe mnafik sijui wenzangu ila mm sion kitu maan bei ya juu kila kitu wizi kila kina mauaji kila uchao yana mambo haya yalitulia mno. Na alitukumbusha mno kila kitu tuanze na mungu lkn sasa hakuna mungu wala nn eti kazi iendelee kwa lipi sasa yaan mie achen Magufuli mungu ampee mwanga wa milele kwakweli
@edsonjeremiah5905
@edsonjeremiah5905 2 жыл бұрын
Raisi Bora kuwahi kutokea Tanzania kiukweli siwezi piga kura Tena mpaka nchi itakapopata raisi Kama uyo tena.r.i.p jpm
@silviaantony677
@silviaantony677 2 жыл бұрын
Wewe mwenzangu nilimpenda sana huyu rais sitapiga kula tena nilianzia kwake kupiga kula nanimeishia kwake sitapiga tena kula
@stephensinka5616
@stephensinka5616 2 жыл бұрын
Mungu ampe raha ya milele
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 2 жыл бұрын
Hata Mimi tangu nizaliwe nilianzia kwake kupiga kura awamu ya pili sitamsahau kamwe sala yangu kwa Mungu amjalie pumziko la milele
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Mnadanganywa, Mungu hasikilizi maombi ya yeyote anaye mwombea marehemu! Kwenda Paradise ni bidii yako ya kuishi maisha matakatifu ukiwa Duniani. Ukifa ni hukumu.
@markomkoga5817
@markomkoga5817 2 жыл бұрын
Sawa si umetumwa na mungu uje useme tushakuelewa
@helenkasembe5629
@helenkasembe5629 2 жыл бұрын
Hayo wayajua wwe
@sawakashita773
@sawakashita773 2 жыл бұрын
ombeni mtapewa , pigeni jodi mtafunguliwa nk.
@tobiasimruma703
@tobiasimruma703 2 жыл бұрын
Sahihi kabisa,baada ya kifo ni hukumu
@karimujuma6595
@karimujuma6595 2 жыл бұрын
Fact
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 28 М.
Maandamano ya nane nane, waandamaji wamejitokeza miji tofauti
8:55
KTN News Kenya
Рет қаралды 8 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 19 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 57 МЛН
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 781 М.
P T Thomas in NereChowe | Old episode  | Manorama News
23:36
Manorama News
Рет қаралды 52 М.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 76 М.
Police tow away vehicle parked outside Jimi Wanjigi’s home in Muthaiga
8:28
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 381 М.
Hivi ndivyo ISRAEL walivyousuka MPANGO wa kumuua ISMAIL HANIYEH nchini IRAN
15:31
What Makes Great Salespeople Great
24:16
BrooksGroup
Рет қаралды 433 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 19 МЛН