PB: John Heche Amwaga Mchele I Ataja Sifa za Viongozi I Awashangaa Wasengenyaji, Chawa na Wanafki

  Рет қаралды 33,782

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 ай бұрын

#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano ya kipindi cha #PowerBreakfast na John Heche kutoka chama cha CHADEMA

Пікірлер: 105
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781
Una Akili Mingi Sana John Heche Hongera Kwa Mh Mbowe Kwa Mapishi Mazuri Ya Hawa Viongozi Hakika Chadema Ni Zaidi Ya Chuo.
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344
Big up Heche J... you are the best opposition leader god blessing
@user-uw5oh5yy5m
@user-uw5oh5yy5m
Huyu jamaa namkubali sana kwenye wanasiasa wa nchi hii,he is very stricty🎉🎉🎉
@user-eb2el9kw6m
@user-eb2el9kw6m
Kichwa kikubwa sana. Mungu akulinde brother Heche
@prospermalala6636
@prospermalala6636
MH John heche akili kubwa sana ndani ya siasa za Taifa letu, Mungu amuongezeeee afya njema ktk Taifa letu
@MrMwinyi
@MrMwinyi
Heche ni mmoja tu, hakunaga mwingine💯💯🔥🔥
@johnfrancis656
@johnfrancis656
Heche!!Wewe ni kiongozi tunae kuhitaji,Unangalia mbali sana!!Mungu akulinde.
@user-xd7hs1ri5i
@user-xd7hs1ri5i
Anaitwa John Heche; lkn Mimi namuita A MAN OF THE PEOPLE
@albertkamala6843
@albertkamala6843
Brilliant!
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983
Nilikuwa nimesusa kusikiliza nakuangalia clouds kutokana na kipindi cha maandamano ya kwañza ya dar ilifafanua vitu visivyo eleweka, ila kwakuwa John anaongea imebidi nisikilize tu lkn clouds msiwe mnafafanua matukio ya upinzani kwa kuponda sio vizur.
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676
Heche actually I want to see you , because you make me happy
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov
Big brain
@user-zm3rp8to7w
@user-zm3rp8to7w
Watu tunaendelea kupata elimu ya uraia na kujitambua hongera kamanda
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh
Huyu jamaa anaakili sana nipo Zanzibar ila namfatilia sana
@mussaomari8022
@mussaomari8022
Namkubali heche
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556
Napenda sana misimamo yako na uimara wako Heche, navutiwa na haiba yako.
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979
Salute sn MHE. HECHE
@user-yy5oi9zp2h
@user-yy5oi9zp2h
Mweshimiwa Heche Mungu akulinde
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809
Asanteh sn heche kwa elimu ya uraia wengi wao hawaelew umuhimu wa mamlaka yao
@user-xf7tl8jq9v
@user-xf7tl8jq9v
Kamanda wangu huyo namkubali sana
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Mfahamu Aliyebomolewa Ghorofa na Waziri Silaa 'Ni Tapeli?'
12:17