Pesa kidogo Stara na Dini yako unaviona ushamba,Unapotea Binti - Ukht.Fatma Mdidi

  Рет қаралды 17,150

Kalamutz

Kalamutz

5 ай бұрын

Ukht Fatma Mdidi akizungumza jana katika event ya Ladies in Islam ilofanyika aktika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Center

Пікірлер: 43
@zainabolenga2829
@zainabolenga2829 5 ай бұрын
Hongera bibi fatma mdidi kwa ubora wako Allah akulipe pepo na akufanyie mwisho mwemah
@zuu515
@zuu515 4 ай бұрын
I hope you all see the noor and beauty of ukhti fatima...no makeup noor on her face ❤ mashaallah tabarakaAllah ... lesson learned...mtwii Allah atakunawirisha na noor yake.
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 5 ай бұрын
Jazakah Allah kharain Mola akuajalie kheri na mwisho mwema ameen na pia akuajalie afya na akuajalie zaidi uwemwenye kukataza wanawake wenzio wa kiislam
@mozaally7643
@mozaally7643 4 ай бұрын
Hongera ukhti Fatma mara nyengne hao wanawake wenzio watolee mawaidha maana wa full mekup utasema waholini
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 5 ай бұрын
Hongeren sana. Allah awazidishie ktk kukumbushana ili kuwanusuru wanawake wa kiislam kwa kuwa wengi wao wameacha dini ya Allah na kuiga mila za Wazungu.
@mifunga3414
@mifunga3414 5 ай бұрын
Pongezi ikufikie dada faftima kwako hadi kwa Allah Subhanah wantawalh❤
@maxmiliankoga2711
@maxmiliankoga2711 4 ай бұрын
Mash allah m mungu akuzidishie
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 5 ай бұрын
BARAKALLAHU FIIKI WA JAZAKALLAHU KHAIRAN UKHTI.
@user-nn6fy6bh7p
@user-nn6fy6bh7p 4 ай бұрын
Barakallahu fiiki wajazakallahu khairan
@mbarukshaban8098
@mbarukshaban8098 3 ай бұрын
Mashaallah
@nazraseiban1082
@nazraseiban1082 5 ай бұрын
Ukhty uko faswaha sana...MashaAllah❤
@mozaally7643
@mozaally7643 4 ай бұрын
Wengne wamejitia makope jmni hapo Kuna muhadhara ndio wanaonesha nn Innalillah WA inna ilaihi raajiun Allah atuongoe na vizaz vyetu
@mams1892
@mams1892 5 ай бұрын
Jazzakallahu khairan
@MaryamZugo
@MaryamZugo 4 ай бұрын
MashaAllah nakupenda sanaaa
@zuu515
@zuu515 4 ай бұрын
Ameeen yarab
@a.856
@a.856 5 ай бұрын
Jazakallah khayran
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 5 ай бұрын
Leo hii imekua kinyume, wanawake ndo wanao ziudumia familia pamoja na kumuudumia mume.
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 4 ай бұрын
Masha ALLAH
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 5 ай бұрын
Mashaallah Allahu ❤
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 ай бұрын
Kuna wanawake full make up kama wapo harusini tuchague na maeneo ya kujipodoa wadada huu ni msiba
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk 5 ай бұрын
Ujumbe mzur sana dada yangu mashaallah Allah akuweke inshaallah
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 ай бұрын
Lakini hapo hakuna wanaume halafu mjue wanawake tunapenda kupendeza
@AdmiringCorgi-rg5tj
@AdmiringCorgi-rg5tj 5 ай бұрын
Chukuweni Sunna hapo enyi Wanawake ambao hamujaolewa kwa wafaya kazi wenu pale wanapofanya vizuri.
@kulthum8335
@kulthum8335 5 ай бұрын
Mashallah
@atambitotzmagari7100
@atambitotzmagari7100 5 ай бұрын
Asalamu Alaykm warahmatullah wabarakatu,dada nnashida na wewe naomba namba yako
@crspasmahongepeter5178
@crspasmahongepeter5178 5 ай бұрын
Hi
@reformerthrone972
@reformerthrone972 5 ай бұрын
Shughuli kama hii ya wanawake tu kwa hio wahusika wote na wataarishaji wote watakiwa wawe wanawake... Kama mpiga picha.. Lakini Leo kama hapo anakuwa mwanamume ndio mpiga picha hii inakuwa haikubaliki wala haiingii akilini
@AdmiringCorgi-rg5tj
@AdmiringCorgi-rg5tj 5 ай бұрын
Kasri
@saidsuleiman1912
@saidsuleiman1912 5 ай бұрын
Mbona wengi wenu hapo mko uchi kwa mujibu wa maamrisho ya dini? Licha ya kuwa unaelezea maneno mazuri ya bibi Khadija
@alhabibismail3031
@alhabibismail3031 5 ай бұрын
......makosa ni ya cameraman kuwachkua wakiwa hvyo kisha kuonesha io part,,mana hapo ni wanawake watupu...kosa la pili niww kuangalia ilitakiwa uangalie chni..ALLAH ATUSAMEHE
@khamismuhammad
@khamismuhammad 5 ай бұрын
Mche Allah wewe! Ivi alokwambia wakiwa wanawake watupu wanaruhusiwa kukaa uchi nani? Mche Allah kutokan na maneno yako ayo! Kwani uko walikotoka mpaka kufika apo pia kuna wanawake watupu sio?!! Na hata km cameraman hakuchukuwa watu wakaona je unasemaje kuhusu Allah pia gawaoni au mche Allah
@alhabibismail3031
@alhabibismail3031 5 ай бұрын
@@khamismuhammad jazaka llah khayr kwa nasaa yako nzuri..
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 5 ай бұрын
​@@khamismuhammad uchi Gani umeuona mbona mimi sijaona?
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 5 ай бұрын
Alafu kisheria uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja
@FaridSaid-wm6yh
@FaridSaid-wm6yh 3 ай бұрын
قل الحق من ربك .......... وقل الحق وإن كان مر Kuna maswali mengi yanahitaji uyajibu, Je MUHAMMAD IBNI WAHAAB ni kweli kama inavyo zushwa ati alitumwa na waingereza au mayahudi au makafiri kupotosha uislamu? Sasa wapi alipotosha? Nitajie aya ndani ya Qur'an au Sunna (Hadithi) walau moja alipotosha kwa ushahidi thabiti ? Acheni Fitna za Hadaa kwa Umma .
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 5 ай бұрын
Makofi yanini wamama wazima mna shindwa kusema Taqbiiir!?
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 5 ай бұрын
22:08 22:09
@AdmiringCorgi-rg5tj
@AdmiringCorgi-rg5tj 5 ай бұрын
Aaaaah!! Wakowapi wanaojifananiza angalau kidoogo tu Khadija jamanii?
@user-vj2si3bj8u
@user-vj2si3bj8u 5 ай бұрын
Mashaallah
Hii ndio siri ya RIZKI - Madam Leilah
18:33
Kalamutz
Рет қаралды 7 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
HUU NDIO WIVU UNAOWEZA KUJENGA MAPENZI KWENYE NDOA (HUBBUL HALAL)
20:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
dardaaran qiimo badan guur doon rag iyo dumar
28:07
محمد حسين آدم
Рет қаралды 4,3 М.
OGOPA SIKU YA KURUDISHWA AKHERA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:55
arkas online tv
Рет қаралды 14 М.
Ujue uke wenza Sehemu Ya 1 - Ukht Fatma Mdidi
1:40:03
Kalamutz
Рет қаралды 79 М.
MFANYIE MUMEO HIKI AKUPE KILA UNACHOTAKA
14:29
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 60 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН