Ukipuuza haya usimlaumu mtu siku Dada wa Kazi akiwa mke mwenzako

  Рет қаралды 6,209

Kalamutz

Kalamutz

Ай бұрын

Ukht Fatma Mdidi

Пікірлер: 28
@RehemaJuma-es4jk
@RehemaJuma-es4jk 24 күн бұрын
Jazakah Allah kher nakupenda nikiwa kenya ukhty Fatma mdidi Allah ajalie siku moja nikutane n ww live nizidi furah n darsa zako
@rahmayusuph9973
@rahmayusuph9973 Ай бұрын
Ma shaa Allah Tabarakallah ❤❤ ukhty wetuu tunakupendaa kwa ajili ya Allah 😍😍😍
@serahmohamed6513
@serahmohamed6513 Ай бұрын
MaashAllah tabarakaAllah wa Jazakallahu kheir inshaallah, ukhty Fatma nakupenda ww na mafundisho yako kwa ajili ya AllALLAH.
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Ай бұрын
Eweee Ukhty Fatma wee 🙋‍♀️Mashallah Allahumma barik😁
@sadasaid7212
@sadasaid7212 Ай бұрын
Maa shaa Allahu kipenzi changu roll model wangu!! I wish one day nihudhurie darsa lako liveee yn
@nismaali2982
@nismaali2982 Ай бұрын
Maashallah Tabarak Allah ❤❤❤❤ukthy allah akujalie kila lenye kher nawe🤲🤲
@jasmintanga2474
@jasmintanga2474 Ай бұрын
Maashaa Allah, shukran ukht kwa elimu
@arashe6351
@arashe6351 Ай бұрын
Ma sha Allah....Ma sha Allah.....shukrani sana kwa elimu.
@ZaidaNyanyagi
@ZaidaNyanyagi Ай бұрын
Masha Allah, nakupenda kwa ajili ya Allah
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Ай бұрын
Naaam maadam fatuma wanawake wengi ndo mama ndo bab kila unachokifanya bila wewe kutoka walala njaa na watoto hali wala kwenda shule na kuvaa lakini kwa mwanaume wenye kazi watafany hayo
@tumwesigyehamdan8587
@tumwesigyehamdan8587 Ай бұрын
Wambie.. Daada
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 Ай бұрын
Ukhti darsa zako zinapatikana wapi kwa mabinti wari wanao olewa tunahitaji kuwaleta uwafundishe kabla ya kuolewa tafadhali
@MajuvaMajuva
@MajuvaMajuva Ай бұрын
Masha Allah baraka llah fika
@OmaryIssa-uk4zh
@OmaryIssa-uk4zh Ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@user-pt9uw3nz8c
@user-pt9uw3nz8c Ай бұрын
Maa Shaa Allah,TabbarakaAllah❤❤
@ashuumuhammad8269
@ashuumuhammad8269 Ай бұрын
MaashaAllah ukhty
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 Ай бұрын
Mashallah ukhuti
@a.856
@a.856 Ай бұрын
Jazakallah khayran
@thetruth8979
@thetruth8979 Ай бұрын
hivo kama mume hazingatii wajibu wake hivo vinyoleo na sabuni unazipara wapi?na kingine unashinda na njaa nguvu zinatoka wapi ukhti wanawake wengi wanajitahid waume ni tatizo labda wewe mwenzetu unahuduma bora ndio mana unamudu hayo unayo sema usafi unatoka wapi huduma hakuna
@moanamessi1749
@moanamessi1749 Ай бұрын
Mashaallah tabaraka llah
@ZaidaNyanyagi
@ZaidaNyanyagi Ай бұрын
Masha Allah
@user-mr5yf1hp7t
@user-mr5yf1hp7t Ай бұрын
Waambie wainga wainga wasio jijua NA majeuri yamewajaa wenyewe hawajui hata kujisafisha
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Inamanisha mume no mtoto wa mwisho nyie😂😂😂😂😂 nimechoka mimi wakwangua anapenda ushindi au magadi
@ASIMOnlineTv
@ASIMOnlineTv Ай бұрын
Tufundisheni watoto wa kiume usafi
@user-bo1cn3dw6o
@user-bo1cn3dw6o Ай бұрын
Mbona unamambo ww nimnyoe kwani yy Hana mikono mnahangaika na hao wanaume hawana maana kesho wanakuletea wanawake wengine Sina muda huo
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 29 күн бұрын
Mm nashangaa hawa wanaofindisha hv uislamu umefundisha mwanamke amfanyie mwanaume tu yy. Mwanaume hana yakumfanyia mkeo. Kiufup mwanaume ndio amfanyie mkewe sio mwanamke tu
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 29 күн бұрын
Ndio hpo utasema ni mlemavu umfanyie hvo wengine hawatak ujinga huo wanajua kwamba mwanamke anachoak kazi za nyumba kuangalia watoto bdo uwangalie mpk kucha za mwanaume si kutupa kazi bila mshahara.
@nurumasha
@nurumasha Ай бұрын
Mh!!!!!!
Kinacho waponza ni Chipsi Kuku - Ukht Fatma Mdidi
21:32
Kalamutz
Рет қаралды 8 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
HUU NDIO WIVU UNAOWEZA KUJENGA MAPENZI KWENYE NDOA (HUBBUL HALAL)
20:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
KISA CHA IMAMU ALIE FIA BARABARANI - SHEIKH SHAMS ELMI
12:19
WAZEE  NA VIJANA WACHAWI HUJITIA KUSOMA MAULID // SHEIKH NYUNDO
17:34
arkas online tv
Рет қаралды 7 М.