No video

PORT DE KAZIMIA FIZI RDC.

  Рет қаралды 4,417

Mmunga ML TV

Mmunga ML TV

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@anzurunimwenembele5583
@anzurunimwenembele5583 2 жыл бұрын
Good
@asukuluehota8473
@asukuluehota8473 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu kwa vidéo za nyumbani msaahu kwao ni mtumwa
@ibrahimmmunga2964
@ibrahimmmunga2964 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa video zako bro
@panda_music5342
@panda_music5342 2 жыл бұрын
Excellent.
@asukuluehota8473
@asukuluehota8473 2 жыл бұрын
Vidéo nzuri sana
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 2 жыл бұрын
Share
@jeannesumaili8718
@jeannesumaili8718 2 жыл бұрын
@@MmungaMLTV Kaka huo wimbo unaoitwa Jina la Yesu upo KZfaq aidha mtu anaweza kuupata je
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 2 жыл бұрын
@@jeannesumaili8718 ndiyo. Andika jina la yesu.
@mwajumatanganyika7840
@mwajumatanganyika7840 2 жыл бұрын
Kweli ni zawadi kutoka kwa Mungu.
@alimmongelwa3121
@alimmongelwa3121 2 жыл бұрын
Hongera sana ndugu yangu na Mungu azidi kukupa akili zahidi yakuhonyesha watu nyumbani nili watu wapate kuwa nakumbukumbu y’a nyumbani kwetu. Ubarikiwe sana
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 2 жыл бұрын
Asante sana. Na unaweza watumia wengine ili wapate kuona kwao pia.
@william.GMJ3887
@william.GMJ3887 2 жыл бұрын
Nice place.
@ramahnkallamsambatghanya7141
@ramahnkallamsambatghanya7141 2 жыл бұрын
Pongezi sana kwa kutuonesha nyumbani fizi zidi sana kaka kutupa vipya kila Mara kaka mungu akubariki
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 2 жыл бұрын
Merci sana. Nakuomba usikose ku subscribe channel yetu MMUNGA ML TV ili uwe wakwanza kupata videos zetu pindi tutakapo post zingine hata unaweza tumia na wenzako nao ili wapate kuona nao. Asante.
@severinemmunga5763
@severinemmunga5763 2 жыл бұрын
👍👍👍👍
@bitalucidetanganika9089
@bitalucidetanganika9089 2 жыл бұрын
Kazimia mbele kwa mbele
@MMUNGAMLMUSIC
@MMUNGAMLMUSIC Жыл бұрын
Port nzuri sana kabisa.
@terezamusa
@terezamusa Жыл бұрын
Nice
@aliaden608
@aliaden608 2 жыл бұрын
Excellent
@anzurunimwenembele5583
@anzurunimwenembele5583 2 жыл бұрын
Well done
@vickycadette1992
@vickycadette1992 2 жыл бұрын
Good job
@mwajumatanganyika7840
@mwajumatanganyika7840 2 жыл бұрын
Naipenda kweli.
@dawdahewabora7788
@dawdahewabora7788 2 жыл бұрын
Wow 👏
@buwaca7370
@buwaca7370 2 жыл бұрын
Niceee
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 2 жыл бұрын
Nakuomba usikose ku subscribe channel yangu MMUNGA ML tafadhali ili uwe wakwanza kupata videos zangu kila ninapo post videos mupya.
@kashindimwesa480
@kashindimwesa480 2 жыл бұрын
Vizuri sana
@MwajumaTanganyika
@MwajumaTanganyika Жыл бұрын
pazuri kweli
@clemantmalisawa3080
@clemantmalisawa3080 2 жыл бұрын
Kwetu pazuri Kweli
@mangetz2835
@mangetz2835 Жыл бұрын
Kuna uzuri gani hapo 😂
@vickycadette1992
@vickycadette1992 2 жыл бұрын
❤️❤️
@user-kt7zm4cl4o
@user-kt7zm4cl4o 8 ай бұрын
Nyumbani napaona,acha nitowe mauwa yake kazimia yetu
@mrlyricsstar7881
@mrlyricsstar7881 2 жыл бұрын
Home
@mangetz2835
@mangetz2835 Жыл бұрын
Aseme port.. hii ndo wewe unaita Port?? Kweli akili yako haina akili. Hiivi wee unajua port? Babembe mujifunze kukosoa vitu vyenu,kwamba viko nyuma ya maendeleo. Ili mupate solution ya kurekebisha. Sio kila kitu munasifia tuu ata kikikua ni kibaya. Munasifia tuu kwakua ni kya ubembeni.. hamna port hapo.
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV Жыл бұрын
Maisha nikutafuta na sikutafutana. Tafuta yako nami niache na yakwangu. Wabembe wa mefanya nini? Ukianza kutukana wabembe na aliye ( anaye ) sema hivyo ni mimi, kwanini utukane wa BEMBE ? Luga yako umeitumia kimakosa kwa ndugu zangu wabembe wengine bure wengine bure. ( Mimi nimeisha elewa tayari naongea na mtu gani tayari. Lakini nata nikujulishe kuwa PORT unayo hona hapo ni PORT MZURI SANA TENA SANA, ila kunakitu naona unashindwa kutofautisha ni kujengwa na kuto kujengwa. Hiyo port ina KOSA KUJENGWA. Na ndicho kitu unacho shindwa kuelewa hadi kufikia kusema hivyo na kutusi Wabembe bure. NB: Tambuwa @CHANNEL YETU SIO YA KISIASA WALA MALUMBANO ( MATUSI ) hapana. Asante.
@mangetz2835
@mangetz2835 Жыл бұрын
@@MmungaMLTV hakuna port hapo.. unajidanganya wewe na wenzko
@mangetz2835
@mangetz2835 Жыл бұрын
Kuliko muikaa chini, afu mutafakari tatizo ni nini ile mupate solution ya kuleta maendeleo Ubembeni, ila nyie munaikalia kujidanganya wenyewe eti kwenu pazuri… angalieni nchi za watu na region zingine hapao congo zinazoendelea kimaendeleo.
@mlongecabutanga4587
@mlongecabutanga4587 2 жыл бұрын
Excellent.
@sadockfamilytv4973
@sadockfamilytv4973 18 күн бұрын
Excellent
@kashindimwesa480
@kashindimwesa480 2 жыл бұрын
Nice
@KWAYATV
@KWAYATV 10 ай бұрын
Excellent
KAZIMIA FIZI SUD KIVU RDC.
19:38
Mmunga ML TV
Рет қаралды 1,1 М.
BOURDIEU - La reproduction sociale
36:08
Le Précepteur
Рет қаралды 213 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 33 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
KAZIMIA FIZI / ECOLE MASISA & IBÚMBA EN RUINE CRIE AU SECOURS.
11:13
KAZIMIA CITY FIZI RDC @Mmunga ML TV
19:45
Mmunga ML TV
Рет қаралды 681
MAISHA HALISI YA MZEE BONNE FETE NA FAMILIA YAKE | FIZI CENTRE
14:33
Tanganyika TV
Рет қаралды 101 М.
Intégralité de meeting à Tchomia par l A t du Territoire de Djugu
38:45
Ituri Actualités rtb tv
Рет қаралды 44
Maandalizi ya Ukumbusho wa Massacre  Makobola | MWALO 2020
30:24
Tanganyika TV
Рет қаралды 1,1 М.
BARAKA VILLE 2024. TIZAMA MUONEKANO NA MAENDELEO YA MJI WA BARAKA
18:36
MBOKO R.D.C
22:53
C. Maskini
Рет қаралды 32 М.