PR.PAULO SEMBA - ILI KUFANYA MAOMBI SAHIHI ELEWA HILI KWANZA.- MUNGU ABADILI MTAZAMO WA IBRAHIMU.

  Рет қаралды 15,464

Petro Tumaini TV

Petro Tumaini TV

3 жыл бұрын

Mwendelezo wa masomo ya mada ya haki kwa Imaniuchunguzi wa kina kumhusu Ibrahimu. Maombi Mengi ambayo tumekuwa tukifanya yamekuwa si sahihi kwasababu ya kosa kuu moja linalofanywa na wachungaji na waumini pia...TAZAMA SOMO HILI ILI UJUE NAMNA SAHIHI YA KUOMBA MAOMBI YENYE UFANISI

Пікірлер: 23
@eunicebukokhe8983
@eunicebukokhe8983 2 жыл бұрын
Amina PASTOR
@douglasnyambagera7535
@douglasnyambagera7535 3 жыл бұрын
Naguswa na mahubiri haya naomba niwe na hofu ya Mungu kila wakati, asante mchungaji semba Mungu akubariki na familia yako, tuonane ufuoni
@kusakabuga282
@kusakabuga282 3 жыл бұрын
Nimelewa MUNGU MUUMBAJI nisaidie nipate kuishinda dhambi Amen
@mauwamulumba2329
@mauwamulumba2329 2 жыл бұрын
ubarikiwe sana mjungaji
@johnngassa1629
@johnngassa1629 3 жыл бұрын
Amen,l pray to my LORD to help me to conquer sin in my life.
@JeremiahChacha
@JeremiahChacha 7 ай бұрын
Amina pr
@Agness-sp9xg
@Agness-sp9xg 6 ай бұрын
Aminaa❤
@esthetbabu7481
@esthetbabu7481 3 жыл бұрын
Nimepalikiwa sana pr,kwa maubili ya kuniamsa kiroho ,
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 Ай бұрын
Amen 🙏
@victoriajames6190
@victoriajames6190 2 жыл бұрын
Amina barikiwa
@marthanakhungu8370
@marthanakhungu8370 2 жыл бұрын
Amen
@rizikimanamaua9216
@rizikimanamaua9216 9 ай бұрын
Amen, Mungu nisaidie kujjua kuomba. Mungu akubariki na kukutunza ili ufundishe tena na tena ili roho zipone.
@mwinjilistkiangi9276
@mwinjilistkiangi9276 2 жыл бұрын
Je ni kweli Mungu tukiomba anamajibu haya subiri kidogo,majibu ya hapo Kwa hapo au hapana. Naomba majibu.
@komboakiwale
@komboakiwale 10 ай бұрын
Aminaaaa
@ronaldhelmott8379
@ronaldhelmott8379 8 ай бұрын
Tukimuomba Mungu huwa anatujibu, anaweza kutujibu kwa kutupa kile tulichokiomba au hata kwa kukaa kimya hilo pia ni jibu kwa Mungu.
@user-yc7yx9se9w
@user-yc7yx9se9w 5 ай бұрын
Hakuna
@togetherchristiansmedia3437
@togetherchristiansmedia3437 3 жыл бұрын
Nice
@bahinisayi
@bahinisayi Жыл бұрын
Nisaidie katika kukuendea ee Mungu
@ianirungu5445
@ianirungu5445 5 ай бұрын
Wimbo huo ulioimbwa baada ya mahubiri na kwaya ile ya Nyarugusu waitwa aje... Tafadhali nijibu...
@gracapk10
@gracapk10 3 жыл бұрын
EEE Bwana tusaidie ujumbe huu upate nafasi katika mioyo yetu.
@judithmiruka8954
@judithmiruka8954 2 жыл бұрын
Pastor Semba, in lord's prayer, yesu alituambia kwamba, omba hivi, "tupe Leo chakula chetu, Usitutie kwenye majaribu, lakini kulingana na uelewa wako angeomba kwamba , katika njaa tusipoteze Imani, na katika majaribu tusipoteze Imani, Ama sijakupata vizuri pastor fafanua
@user-yc7yx9se9w
@user-yc7yx9se9w 5 ай бұрын
Amen amen nimepata kitu zaidi, barikiwa pr semba
@paulsamuel3976
@paulsamuel3976 2 жыл бұрын
Amen
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 25 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 8 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 4,5 МЛН
KURASINI SDA Choir-Wewe Uliyechoka //Pastor Mbwana
4:32
Evaliz Productions
Рет қаралды 3,4 М.
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 8 М.
JIFUNZE KUJIPAMBA MOYONI na PR.PAUL SEMBA.
1:38
OMBAMUNGU TV
Рет қаралды 2,9 М.