PRINCE KATEGA: KUMBE BINADAMU HATUFARIKI HUWA TUNAACHA MWILI ..... WAAFRIKA TUJITAMBUE

  Рет қаралды 26,447

Tricod Media

Tricod Media

Күн бұрын

Пікірлер: 126
@owtisowtis4049
@owtisowtis4049 3 жыл бұрын
Sijutii kabsa kukusikiliza mzee wangu... Namshukuru Mwalimu wangu the Great Sir TABARO KAIJAGE kunitambulisha kwako...
@zubedarichard3238
@zubedarichard3238 4 жыл бұрын
Asante sana nlienda kwa wachungaji wanasema niache mizimu nlikuw naumwa balaa lkn toka nimetambikia mambo yanaenda vzr
@salyungumabula5539
@salyungumabula5539 4 жыл бұрын
Siku waafrika tulivochezewa, tutashangaa Siku tukiamka. Ukweli tunauona kama uongo na uongo kama ukweli. Babu zako ulio ishi nao wakifa wanaitwa mizimu na hautakiwi kuwakumbuka wala kuwasigelea, wao wakifa wanaitwa no watakatifu, lazima tujifikirie Waafrika tulipokosea. Until we are awake ndo tutayajua anayoyasema Prince Katega II. MUNGU wetu atuhurumie!!
@mrsun6886
@mrsun6886 3 жыл бұрын
You're right Prince religion they call them angles but Africa we call them ancestors so mizimu ya mababu n.a. mabibi zetu ndio malaika wetu ambao dini zinaita malaika
@allenjoelmassawe6810
@allenjoelmassawe6810 4 жыл бұрын
Mzee mm naomba unifundishe jinsi ya kuongea na mizim ya babu zangu maana hatujui kubisa
@mbaryajunior2168
@mbaryajunior2168 4 жыл бұрын
Kutoka duce tupo pamojaaaaaaaaa nakubali sanaaaa kazi zako
@isakabaragomwa296
@isakabaragomwa296 4 жыл бұрын
Siku zote dawa inayo ponya lazima iwe chungu. Lakin kunywa Ni lazima kama tunataka kuishi.
@EREVUKATV
@EREVUKATV 3 жыл бұрын
Ahsante sana mzee Wangu wewe ni zaidi ya Mwalimu!
@stevenmwaisunga5090
@stevenmwaisunga5090 4 жыл бұрын
Nakupenda sana katega.
@mbondoo1780
@mbondoo1780 4 жыл бұрын
Prince katega uko sahihi kabsa lakin Kumbuka watu wanaprogram ambazo zimepandikizwa kwa miaka mingi nasio rahisi kuzitoa kwa wakat mmoja., Endelea kuuongea ukwel kwan UKWELI Utatuweka kua huru 💝💗💗💗💖💕🙅
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 4 жыл бұрын
Nakukubali sana mzee wng
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 4 жыл бұрын
Hongera, tuko pamoja
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 4 жыл бұрын
Pure truth 100%...ukiskia maarifa ndio haya...USIANGAMIE MUAFRIKA.
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 4 жыл бұрын
Mungu alitamka lini !
@audaxminde5314
@audaxminde5314 4 жыл бұрын
Asante kwa somo
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 4 жыл бұрын
Ukweli Mtupu......
@mgala0782
@mgala0782 4 жыл бұрын
Ukweli ni kua nadharia ya kifo haipo binadamu hafii ukiangalia angani jua lipo, mwezi upo , nyota zipo , binadamu hafii
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
kuwepo kwa nyota, jua na mwez kunahusianaje na kufa kwako had useme hufi
@fransgold7515
@fransgold7515 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@JKGJICHOMAKINIONLINE
@JKGJICHOMAKINIONLINE Жыл бұрын
@@hamisimtemi3803 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@munirafarah9369
@munirafarah9369 4 жыл бұрын
Hongera
@dailymatrixpurpose19siva
@dailymatrixpurpose19siva 4 жыл бұрын
Its only Mamafrica baba juu si wote ni watoto wa Mungu sio Jesus peke ...i believe there are two greatest law which are responsible for humanity life on earth..THE LAW OF CAUSES AND EFFECTS WHICH KARMA AND THE LOW OF REBIRTH as you said REINCARNATION BABA and HUMAN BODY is a one of the amazing vehicle in universe transmute those law Sir Kageta...since I was born I always believe that we all have the spark of Nature or God which I call Soul inside of us which live forever in different forms by the power of its own minds
@mrsun6886
@mrsun6886 3 жыл бұрын
You're right❤
@jonathanpaul4784
@jonathanpaul4784 4 жыл бұрын
Kuna watu wanaamin kuwa mussa na elia pale walipo mtokea yesu kwamba wale ni watakatifu .kutokana na mafundisho tunayo fundishwa katika imani zetu kuwa ..muafrika akifariki ni amefariki tu na anakuwa mzimu ila wazungu wao wanajua nguvu ya mizimu ndio maana wao mwenzao akifa wanamuita mtakatifu ndio ujiulize mpaka leo hakuna mtakatifu muafrika ni wazungu tu
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Musa hakuwa mzungu
@nasrihamisi8569
@nasrihamisi8569 4 жыл бұрын
Tufundishe baba uzungu unatupoteza Sana nahawata tuambia ukweli.
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Asante kwa funzo,nimejifunza kitu hapo.
@fredichaki4868
@fredichaki4868 3 жыл бұрын
Prince katega wa pili Nina muelewa Sana uwa
@sahalexcha3036
@sahalexcha3036 4 жыл бұрын
*_Anaposema kilichotokea kwa Mh Benjamin William mkapa kwanni mnatoa hiyo saut acheni zenu_*
@allenjoelmassawe6810
@allenjoelmassawe6810 4 жыл бұрын
Ila ndugu unavyo weka mambo hadharani ivi ina maana hawa jamaa hawata kufanyia njama zizote ndugu maana ukweli siku zote sio rahis kuujua kirahis na ukijua lazima utapata kipangamizi
@jorammwakatobe9579
@jorammwakatobe9579 4 жыл бұрын
Nifundishe niongee na baba zangu
@winfordmosha11
@winfordmosha11 4 жыл бұрын
Asante baba huwa nakuelewaga sana
@kabilazunda2791
@kabilazunda2791 3 жыл бұрын
Tufundishe jinsi ya kuwasiliana na mizimu
@FAMILYKALEGERA
@FAMILYKALEGERA Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho haya yote.
@manakamuhammad6936
@manakamuhammad6936 3 жыл бұрын
Nimesikia katika history yako kutoka colobalt TV Tanzanian ndio nimeamua kukufua.
@samniza1763
@samniza1763 4 жыл бұрын
I am not sure about those mizimus, but Let's keep reading the original word of God.
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 жыл бұрын
Which is the original God and which is not plse?? Advise plse
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Uko sahihi muheshimiwa katega
@ethankihoro216
@ethankihoro216 3 жыл бұрын
Iwe kweli ama urongo me sijui lakini najua kile binadamu anaanzisha huisha baada ya miaka kidogo na kupitea kabisa lakini kile mungu alianzisha hakiishi kitadumu milele ....from 254
@barakamaingu9858
@barakamaingu9858 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Prince, ila nina maswali machache ya kukuuliza
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@Landosofficial10
@Landosofficial10 4 жыл бұрын
Mwalimu nakupataje
@jonathanpaul4784
@jonathanpaul4784 4 жыл бұрын
Mimi nmekuelew ila bado kuna watu majuha watakupinga
@dumasbajun0012
@dumasbajun0012 Жыл бұрын
Shukran 🙏🏿
@zainabukombo411
@zainabukombo411 Жыл бұрын
Ni kweli kbs baba
@edmundkalonga6461
@edmundkalonga6461 3 ай бұрын
Hatuwezi kuamka kwa sasa mpaka. Kila mmoja akubali lakini kwa wengi waliopo sasa na kwakuwa hawapendi kuamini na kuaminiana sisi kwa sisi wazungu wamefanya jambo sana kwamba sisi tusiaminiane tuwaamini wao hapo ndio wametuweza sana
@elizakeleme73
@elizakeleme73 3 жыл бұрын
Nifundishe mimi njinsi yakuongea na babu nzangu
@nackeltayiai9330
@nackeltayiai9330 4 жыл бұрын
Sisi ndio watoto was Israeli...watoto wa mungu
@sahalexcha3036
@sahalexcha3036 4 жыл бұрын
_KUKUBALI SANA KATEGA_ ila tu bado sijapata kitabu Chako naomba nijue nakipataje
@nackeltayiai9330
@nackeltayiai9330 4 жыл бұрын
Asante kwa masomo hii
@samweljoab5109
@samweljoab5109 3 жыл бұрын
Good
@shemodero8886
@shemodero8886 Жыл бұрын
Kama tunarudi, kwanini population inaongezeka zaidi . Nina mona kwamba wengine watoka wopi?
@edwardochieng7962
@edwardochieng7962 3 жыл бұрын
Nashikuru sana prince...lakini eliya wala hakufa.
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 4 жыл бұрын
Usipingane na maandiko kwa kujificha kwenye kivuli cha uzalendo wa kiafrica na upotoshaji wa haoo walio potosha bali hebu jaribu kuutafuta ukweli ukiupata ndo uwaeleze watu hivi" unaonaje utakapo wafundisha watu kua hawato fufuliwa alafu wakajikuta wanafufuliwa kiurahisi tuu"! Umewahi kujiuliza hali itakuaje kwako wewe kama mkufunzi pamoja na wale ulowafundisha wakakuamini!??
@ezekielmartin5675
@ezekielmartin5675 4 жыл бұрын
Huyu jamaa hajielewi kabisa.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Dunia ina dini 4300 dini zote hazielezi kuhusu ufufuo sauti ya wengi ndio sauti ya Mungu
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 4 жыл бұрын
@@BigZhumbe lau dunia nzima ikakubaliana katika jambo lisilo la kweli, na yakatupiliwa mbali maoni ya mtu mmoja mwenye haki, kukubaliana kwa watu wote duniani, hakufanyi ukweli kua uongo ukweli utabaki kua ukweli na uongo utabaki kua uongo
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 4 жыл бұрын
Hiviovitabu kaandika nani kamasio binadam. Tena vimehaliliwa kwa 320 chiniya yamzungu mtoto waarekizanda wapili. kaisali
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 4 жыл бұрын
@@ezekielmartin5675 ukiwa wewe mwenye kujielewa toa maoni yako,watu WAJIFUNZE Kujifunza sio dhambi dhambi Ni kuamini kitu bila kujua aliyekuletea,alikuwa na Nia gani na wewe..fikiria nje ya box
@DavidNdara
@DavidNdara 4 жыл бұрын
If a lie can destroy such a strong truth, it means the lie is stronger than the truth...Mr. Prince, any idea in the power behind that lie, whats its secret. Maybe we should disseminate the lie
@audaxminde5314
@audaxminde5314 4 жыл бұрын
Hebu niandikie hilo neno
@barakamateru7615
@barakamateru7615 3 жыл бұрын
Mzee unjaua tatizo uhaya mwingi sana unajisifia fisia kila saa nenda kweenyee point
@mbaryajunior2168
@mbaryajunior2168 4 жыл бұрын
Wakwanza kucomment weka hapa comments zote za katega
@alfanboman5455
@alfanboman5455 Жыл бұрын
Saf San mzee wgu
@mansourmakame355
@mansourmakame355 4 жыл бұрын
Tusiposoma kur an tutapotezwa sana na watu wa aina hii, na kuna tatizokubwa litatokea pindi watoto wetu watakapoacha kusoma kur an
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 ай бұрын
❣️🇹🇿👏
@allironjo2698
@allironjo2698 3 жыл бұрын
Elimu ikzidi sana inakua ujinga
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 6 ай бұрын
Umeludi Mala ngapi Dunia
@stanobwago9991
@stanobwago9991 3 жыл бұрын
Jaman, mie biblia yangu yote inaniambia Eliya alipaa mbinguni na gari la moto huku elisha akimuangalia, sasa huyo aliekufa ni yupi labda
@Child0fStarSon0fSun
@Child0fStarSon0fSun Жыл бұрын
1:54 right out of either
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 3 жыл бұрын
Unsyuka 😄😄😄🤸🤸🤸
@shemodero8886
@shemodero8886 Жыл бұрын
Tunaka wapi tukishawacha mwmili??
@innocentmallya6728
@innocentmallya6728 2 жыл бұрын
Wa wa wa katega waa tunakupenda mfalme
@justinemashine4292
@justinemashine4292 2 жыл бұрын
prince katega BABA WA FIKRA
@manakamuhammad6936
@manakamuhammad6936 3 жыл бұрын
NifutAlia kabisa
@chiragiabel
@chiragiabel 4 жыл бұрын
This is Satan's great deception, "Natural immortality of the soul" Satan said, ye shall not surely die. Now its just the matter of choice, to trust what God said or what Satan lied. But of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it: for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die. Genesis:2:17 KWELI ITABAKI KUWA KWELI TU😊
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Kwaivo Mungu hakutaka tujue good and bad alitaka tuwe midoli wa mbinguni forever?
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 4 жыл бұрын
K😃
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 4 жыл бұрын
😃
@zachariahexegesists7892
@zachariahexegesists7892 3 жыл бұрын
you are not the body that takes you to churches or mosques
@chiragiabel
@chiragiabel 3 жыл бұрын
@@BigZhumbe Wewe unamchukuliaje huyu Mungu? Canst thou by searching find out God? canst thou find out the Almighty unto perfection? It is as high as heaven; what canst thou do? deeper than hell; what canst thou know? The measure thereof is longer than the earth, and broader than the sea. If he cut off, and shut up, or gather together, then who can hinder him? For he knoweth vain men: he seeth wickedness also; will he not then consider it? Job:11:7-11 MY FRIEND, MUNGU HACHUNGUZIKI. HATA ANGETAKA TUBAKI MIDOLI FOREVER, ANABAKI KUWA MUNGU TU.
@PauloMaona-in4qh
@PauloMaona-in4qh 11 ай бұрын
ufufuo upo
@Kibonge1
@Kibonge1 6 ай бұрын
Nilichelewa kuguskiza Lakini nakubaliana na wewe
@user-wu7sy6dp2o
@user-wu7sy6dp2o 2 ай бұрын
Unawasema wazungu akati %80 unaongea kingeleza unafki uo mbona mbarikiwa aongeagi kingeleza kingi ivo
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Kuna MWILI na ROHO. hata YOGI kama Sadhguru anasema sana hilo. Ndio maana kwa wakristo husema Yesu ni Mungu
@ErickNduwimana-tp9gb
@ErickNduwimana-tp9gb 3 ай бұрын
Nakuwunga Mukono
@selemanimandindi9194
@selemanimandindi9194 3 жыл бұрын
Mzee minimekuelewa ila kuna baadhi ya vijana hawaelewi kabisa ndio kwanza wa nakuambia unavuta bangi
@fransgold7515
@fransgold7515 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mohamedmmubullah1147
@mohamedmmubullah1147 4 ай бұрын
Vema
@SasukeKasongo
@SasukeKasongo 2 ай бұрын
upuuzi mutupu
@alikarisa
@alikarisa 3 жыл бұрын
Unapotosha watu. Kwahiyo wanaokufa wameumbwa Na Nani?
@ptv7577
@ptv7577 2 жыл бұрын
Rencalate of bodies
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 4 жыл бұрын
Kidogo nina Shaka na "reincarnation" Kwanini Ni baadhi ya watu.. kwanini sio sisi sote
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 3 жыл бұрын
Mie ni mgogo tunawaita milungu mzimu
@ubempiretz1625
@ubempiretz1625 3 жыл бұрын
Mh
@ezekielmartin5675
@ezekielmartin5675 4 жыл бұрын
Wewe acha kupotosha wakristo, Wapi Yesu aliletewa mizimu?
@estherbandari7688
@estherbandari7688 4 жыл бұрын
Google transfiguration of jesus utaelewa anachoongea
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Kwani mzimu ni nini kwa mtazamo wako?
@ezekielmartin5675
@ezekielmartin5675 4 жыл бұрын
@@BigZhumbe soma bible usidanganywe naporojo za hekima ya kidunia🤣🤣🤣 Wakolosai 2:1-15,17-23 [1]Maana nataka ninyi mjue jinsi ilivyo kuu juhudi yangu niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili; [2]ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo; [3]ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika. [4]Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kuwashawishi. [5]Maana nijapokuwa sipo kwa mwili, lakini nipo pamoja nanyi kwa roho, nikifurahi na kuuona utaratibu wenu na uthabiti wa imani yenu katika Kristo. [6]Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye; [7]wenye shina na wenye kujengwa katika yeye; mmefanywa imara kwa imani, kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukrani. [8]Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo. [9]Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili. [10]Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka. [11]Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono, kwa kuuvua mwili wa nyama, kwa tohara ya Kristo. [12]Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu. [13]Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutokutahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamehe makosa yote; [14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani; [15]akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo. [17]mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. [18]Mtu asiwanyang’anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili; [19]wala hakishiki Kichwa, ambacho kwa yeye mwili wote ukiruzukiwa na kuungamanishwa kwa viungo na mishipa, hukua kwa maongeo yatokayo kwa Mungu. [20]Basi ikiwa mlikufa pamoja na Kristo mkayaacha yale mafundisho ya awali ya ulimwengu, kwa nini kujitia chini ya amri, kama wenye kuishi duniani, [21]Msishike, msionje, msiguse; [22](mambo hayo yote huharibika wakati wa kutumiwa); hali mkifuata maagizo na mafundisho ya wanadamu? [23]Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
@@ezekielmartin5675 Hio biblia ilikua wapi wakati wa slavery na ilimsaidia vipi muafrica?
@digoyaguitarally2790
@digoyaguitarally2790 3 жыл бұрын
Aisee kuna vitu vingine muelewa mjitambue nyie
@ezekielmartin5675
@ezekielmartin5675 4 жыл бұрын
Wewe huwez kukomboa fikra za mtu
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 4 жыл бұрын
😃😃
@ezekielmartin5675
@ezekielmartin5675 4 жыл бұрын
Acha bangi
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 20 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 20 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
Medali ya Miujiza
5:06
SHUJAA WA IMAKULATA
Рет қаралды 4,8 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 20 МЛН