Mchungaji aliyekuwa Sangoma Kamchape atoboa siri kwanini mizimu inalitesa kanisa hata leo

  Рет қаралды 27,761

PROMOVER TV

PROMOVER TV

8 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 43
@agnessbulegu996
@agnessbulegu996 8 ай бұрын
Ni kweli kabisa Mtumishi WA MUNGU,, Maombi ni ufunuo. MUNGU atusaidie sana.
@user-no2tw5vb8j
@user-no2tw5vb8j 8 ай бұрын
Amen 🙏. Asante kwa neno la mungu . MUbarikiwe sana watumishi wa mungu
@mariamayambwe
@mariamayambwe Ай бұрын
nisaidieni namba ya huyu mchungaji,kama hamna tatizo,Mungu awabariki Promova tv,
@ZubedaVicent
@ZubedaVicent 8 ай бұрын
Mungu akubarki mtumishi, tunaomba mwendelezo
@rerisamba
@rerisamba 8 ай бұрын
😂😂😂 hapo kwa mke mwizi nimecheka sana halafu mzee ulikua umesimama kweli licha yahayo majaribu yote uliendelea kumuhudumia hio ndio maana ya wokovu
@joycekuku1909
@joycekuku1909 8 ай бұрын
Mungu azidi kukupa mema ya kukuza Imani na watu watoke ktk vifungo maana TU zaifu hakuna anaye sema rudisha isaya hiyo Ina mengi ya kututoa tukilijua Neno TU Kwa jina la Yesu kristo maana watu wanaiba nafsi za watu Sana tangu utotoni bila kujua unapokuwa unaanza kujitambia tumesha umizwa tufundishe Neno tutokeUko Amen
@christinemwakio7870
@christinemwakio7870 8 ай бұрын
Yes Isaya 42:22
@godsonkilua7738
@godsonkilua7738 8 ай бұрын
Mungu akutangulie katika huduma mtumishi
@petrohermani5721
@petrohermani5721 8 ай бұрын
Anacho sema ni kweri mtumishi hata mimi nilipewa ufunuo Kama huo na watu wanafunguliwa
@edinakibani8725
@edinakibani8725 8 ай бұрын
Asante Kwa ujumbe
@elleng5227
@elleng5227 7 ай бұрын
Hiyo ya salamu ni kweli jmn, mimi msukuma ila Yesu alinifundisha kuhuusu hzo za salamu za kimizimu nikazihepa, sitaki hata kusikia, nilikuwa naomba sitoki, kumbe nikimaliza kuomba najiungamanisha na mamizimu kupitia salamu,hzo I ngw'ashi sijui E'minza majina ya wachawi wa zamani hayo, nimekuelewa sana baba, niliwaambia wazazi kasirikeni muwezavyo sizitumii, wakinisalimia kilugha najibu Bwana Yesu asifiwe
@LilianKhija
@LilianKhija 5 ай бұрын
Hee kumbe,na mimi ni msukuma pia na nmeokoka,ngoja nilifanyir kaz hili🙏
@janethmmari6968
@janethmmari6968 8 ай бұрын
Ushuhuda mzuri,umenijenga ila ni mfupi sana,huwezi kumpa muda akaendelea wakati mwingine?
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 8 ай бұрын
Atapata nafasi wakati mwingine
@PhilipoGuga
@PhilipoGuga 5 ай бұрын
Piga kazi ya Mungu
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 8 ай бұрын
Mukuje na bujumbura
@user-cy5ck8lh4j
@user-cy5ck8lh4j 7 ай бұрын
kila m2 atabeba Zmbi zake mwenywe yesu hawezi kubeba Zambia zako ukizni ukiiba ni Zambia zako mwenyewe
@oscarurio1176
@oscarurio1176 8 ай бұрын
Hazina za Mungu zinatenda kazi
@rerisamba
@rerisamba 8 ай бұрын
Kaka jactan mbona ukaufanya ushuhuda mfupi na vile umekaaa mrefu
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive 8 ай бұрын
Mwendelezo utakuja
@wamisangi2801
@wamisangi2801 8 ай бұрын
Kwa nini Bwana Yesu alimwaga Damu yake yenye Thamani Kuu pale Msalabani Kalwari na Inenayo Mema Wakati Wote?
@frankgrace1
@frankgrace1 8 ай бұрын
Isaya 53:5
@gracemutono5023
@gracemutono5023 8 ай бұрын
Amen asante
@ru7benniesospeter776
@ru7benniesospeter776 7 ай бұрын
Kwa anaejua anisaidie tutumie majina gani kuwaita watoto wetu?
@StephanoDaniel-es5tv
@StephanoDaniel-es5tv 8 ай бұрын
Mungu ni mwema tunaomba mwendelezo wa ushuuda huu
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 8 ай бұрын
Nimebarikiwaa,,, sana japo mda umekuwa kidogoo sana nadhani ulikuwa na mengi ya kutujuza
@mediakatan
@mediakatan 7 ай бұрын
Kanuni za ufalme wa MUNGU ni utoaji. Sadaka kuu aliitoa MUNGU. (YESU mwana wa pekee.) sasa nawewe mwanadamu mbona usiyaige ya BABA yako MUNGU? Sadaka hukupa kibali haraka kwa MUNGU, na hudhihirisha Upendo wako kwa MUNGU maana MUNGU hanahaja na vitu vyako. Na hiki ndicho kilicho mpa kibali IBRAHIM baba wa imani kwa Biblia.
@user-my4wu9hb4j
@user-my4wu9hb4j 5 ай бұрын
Sasa kama uliokoka je nawale ulikuwa umewachuku misukule umewaludishisha
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Ай бұрын
Nabii wa kweli katika ulimwengu wa leo ni yupi? Mana manabii wote tunaambiwa waongo. TB JOSHUA, MWONGO!,SAMWELI KAKANDE MWONGO YUPI WA KWELI JAMANI?Tusaidieni.
@neemamatiko3745
@neemamatiko3745 8 ай бұрын
Mch dogras alieko dodoma kahama
@philipmbaabu6832
@philipmbaabu6832 8 ай бұрын
Kuna part ingine??
@mediakatan
@mediakatan 8 ай бұрын
Ukweli kabisa sadaka ya ukombozi ni muhimu sana kwa mlokole.
@godlovemalekela8575
@godlovemalekela8575 8 ай бұрын
Sadaka ya UKOMBOZI ya YESU haitoshi kukukomboa
@user-io2ej3ex2p
@user-io2ej3ex2p 8 ай бұрын
Ndugu sadaka ya ukombozi ipi Tena yayesu inatosha.kikubwa watu wawe na Toba yakweli.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
​@@godlovemalekela8575hapo ndipo Sijawahi kufundishwa ,Nimepotea kabisa naanza kuona Kuokoka na Kutokuoka vyote sawa tu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
Sasa Kwa Nini Yesu alitufia Msalabani??Basi Tunakiwa tufundishww kuwa Tumjue Na Tumwamini Yesu ila Kujikomboa ni kule kule kama Agano la Kale nitaelewq,Kama Waislamu wanaambiwa akisali saana anasamehewa dhambi na Mtume na Kwa muda fulani,Akitoa Sadaka Basi Anajenga Huko na Dhambi pia inafutwa kidogo kidogo nitaelewa
@abrahambalamba6679
@abrahambalamba6679 7 ай бұрын
Huyu Mzee bado hajaijua kweli na wala hamjui kristo.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 7 ай бұрын
Nyakati za mwisho tutaona na kisikia mengi
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 8 ай бұрын
Hatuishi chini ya sharia tuko chini ya neema pesa haziwezi kumkomboa mtu wakati old testament 1st Peter 1-18 hatukombolewi kwa thahabu Yani pesa ila kwa damu ya Yesu Christo ndio mizimu ipo lakini ni damu ya Yesu Christo na jina Laka Yesu Christo Amen
@frankgrace1
@frankgrace1 8 ай бұрын
Isaiya 53:5
@gracemariki4841
@gracemariki4841 7 ай бұрын
❤❤❤
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 35 М.
SIFAELI MWABUKA-KAVAA KUTULWA MUTI OFFICIAL VIDEO SKIZA sms 69311298 to 811
8:16
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 17 М.
MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA MAUTI NA KUZIMU SEHEMU YA KWANZA
30:02
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 21 М.