RAIA WA KIGENI ALIVYOKAA GEREZANI MIAKA 11 MOSHI NA KUACHIWA, ALIKAMATWA UWANJA WA KIA,WAKILI AELEZA

  Рет қаралды 56,463

Millard Ayo

Millard Ayo

11 ай бұрын

Пікірлер: 125
@fridafabian1509
@fridafabian1509 11 ай бұрын
Thanks you, nilikuwa nasubilia hii story sana, mmeweza❤️
@angelsulle7177
@angelsulle7177 11 ай бұрын
Vitu vinavyodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya vikoje????? Ni aibu Gani hiyo
@martinchambala9399
@martinchambala9399 11 ай бұрын
Rushwa imetawala sana hii nchi mtu amekamatwa na madawa saizi wanazani kua ni madawa kweli daaah
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Sana
@Myplusbee
@Myplusbee 11 ай бұрын
Chifu, mambo ya sheria ni magumu kuyaelewa! Wakati kesi inaendela, utasema "vitu VINAVYODHANIWA ni madawa" kwa sababu bado hajapatikana na hatia! Na kwavile mahakama imemwachia huru, kisheria inamaanisha HAJATENDA KOSA, na hapo tena itaonekana ambacho alimatwa nacho KILIDHANIWA MADAWA! TATIZO HASA LIPO WAPI? Inawezekana kweli ni rushwa lakini pia inawezekana HAKUNA RUSHWA YOYOTE! Tatizo ni lile lile la Polisi wetu kutofuata sheria. Kwa mfano wewe leo hii unaweza kwenda kuvunja duka la mtu na kukomba kila kitu na kwenda kuficha ndani kwako! Kisheria, Polisi wakija kwako lazima waoneshe Search Warrant kabla hawajapekuwa! Sasa jiulize, ni mara ngapi Polisi wetu wanapekuwa nyumba za bila search warrants?! Sasa kwa mfano huo huo wa kwako, endapo polisi wanakupekuwa na kuzikuta hizo bidhaa ulizoiba kisha ukafikishwa mahakamani--- kama HUNA Wakili Utafungwa tu lakini kama una Wakili, HAPO HAKUNA KESI na utaachuiwa HURU ingawaje ni kweli uliiba na hakuna rushwa yoyote uliyotoa! Nadhani moja ya matatizo ambayo Mahakakimu yanawaumiza ni hili! Yaani moyoni mwako unajua kabisa kwamba huyu Mwamba KATENDA KOSA lakini UNALAZIMIKA kumwachia uhuru kwa sababu tu za kisheria!
@neema_mollel
@neema_mollel 11 ай бұрын
Kinachodhaniwa kuwa ni madawa ya kulevya .kwani hawajui madawa ya kulevya??? Anyway arudi kwao Sasa
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Ajabu kwa sababu pale pale Airport wanavipimo huwezi kumuweka mtu mda wote huo kwa kutothibitisha ni madawa kweli. Rushwa imemtoa na Wakili anamtetea huyo ni mbeba madawa
@homeandaway2811
@homeandaway2811 11 ай бұрын
Lazima anaongea kichaga sasa 😅
@salomewandya7257
@salomewandya7257 11 ай бұрын
🤣🤣🤣
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 11 ай бұрын
😂😂😂
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 ай бұрын
Arudishwe kwao asituletee mabalaa yake nchini kwetu, Asante Mahakama kwa kumkomesha miaka 11
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 11 ай бұрын
Inaonekana unaroho mbaya, hujui sheria maana serikali ilimtia hatia bila makosa.sasa hapo kosa la serikali au lipi
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 11 ай бұрын
Soma vifungu 246 makosa ya jinai.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 ай бұрын
@@ikramalmas7039 Mwanasheria anatetea hata jambazi mtoa roho ndio kazi yake, kifupi naisifu Serikali yangu kwa kukomesha wanaojaribu kutuletea madawa ya kulevya Sasa apeleke salamu kwao Tanzania sio pa kuchezea
@PyurityJuvenal-gh5th
@PyurityJuvenal-gh5th 11 ай бұрын
Hahahahahahhahhaah😅
@thomastarimo
@thomastarimo 11 ай бұрын
we mbira sana una ata adabu nimijitu mingapi hapa Tanzania wanafanya ujuma za kishetani na akuna action yoyote mijitu inajibia miela ya watoto masikini na akuna action then wewe chawa unamponda mtu asiyekua na atia wewe yuda msaliti mkubwa unakosa ata ubinadamu mijizi imeja kila kona then akuna action
@amourmohamedfaki4506
@amourmohamedfaki4506 11 ай бұрын
Hatar kabisa 🎉haya maua yenu ayo apo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 11 ай бұрын
Ukiwa na fedha hakuna kukwama !!
@joysekiza3944
@joysekiza3944 11 ай бұрын
Akome hole wake tena aingize madawa tena na uongo juu TNZ bwana hmm ingekua nchini kwao kwisha kazi
@anjelinakaniki9162
@anjelinakaniki9162 11 ай бұрын
Kabisa yaani
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 9 ай бұрын
Our judicial system is one of a kind
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 11 ай бұрын
WAHUNI WAMERUDI KWA KASI!! HOLLAND-NETHERLANDS BANGI INARUHUSIWA!!
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 11 ай бұрын
hawa watu wa madawa kuwaweza ni kazi maana wanapesa nyingi
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 ай бұрын
Duuh. Yaani sheria hua zinapingana. Kwa hiyo wale wanasheria wa awali hawakua sahihi. Namshukuru Mungu hii kozi iliniepuka sb pengine ningekengeuka. Duuh yaani sheria ni kipengele jamani. Kwa hiyo Jaji wa kwanza alikosea na mkemia pia. Eti vithibitisho?! Lool pesa mbaya jmn. Km ni kweli basi Mungu aingilie kati kwa familia zenu nyinyi mnaotetea hizo dawa au km mmemtetea alikua anaonewa basi pia Mungu awabariki kwa kutenda haki.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 ай бұрын
Aliyeongea ni Mwanasheria anayemtetea mzungu tungesikia na Mwanasheria anayeitetea Serikali tungeelewa tunadili na punda mbeba unga
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
​@@darajalakidatukilomgi2362Wa Serekali na wamteja + hakimu na Polisi walioficha kidhibit wote wameshibishwa yaani ni rushwa tupu
@Myplusbee
@Myplusbee 11 ай бұрын
Kwenye SHERIA kuna kitu kinaitwa LEGAL TECHNICALITIES. Watu wengi huwa wanaachiwa huru sio kwa sababu Mtuhumiwa hakufanya kosa bali kulikuwa na mapungufu kwenye legal technicalities-- yaani makosa ya kiufundi ya kisheria. Kwa mfano, unakuta mtu kavunja nyumba na kuiba kila kitu. Saa kadhaa baadae, Polisi wanaenda kwa mwizi lakini bila Search Warrant na wanaamua kupekua nyumba hivyo hivyo na kukuta vitu vilivyoibwa! Mwizi huyu akifikishwa mahakamani, Wakili wake atasema Polisi walienda kwa mtuhumiwa bila search warrant, na kwahiyo huenda waliamua tu kumbambikia kesi. Na mahakama ikithibitisha kwamba hapakuwa na search warrant, hiyo kesi ITATUPWA TU. Hapo imetupwa sio kwa kwa sababu jamaa hajaiba bali polisi hawakufuata utaratibu-- huo utaratibu ndo legal technicalities zenyewe. Na kwa bahati mbaya sana, Polisi na Waendesha Mashitaka wetu huwa wanafeli sana katika hili jambo na ndo maana unakuta kesi nyingi zinatupwa au watuhumiwa kuachiwa huru halafu raia tunadhani kuna rushwa imetembea! Na hapa kwenye legal technicalities ndipo unapokuja umuhimu wa kuwa na Wakili kwa sababu mara nyingi anachofanya ni kucheza tu na vifungu vya sheria!
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
@@Myplusbee Hizo Technicalities ndio pesa inazitengeneza kuhonga kuanzia Polisi kuficha ushahidi .Lakini kesi hii sio sawa na hiyo ulotaja ,hii kakamatwa Airport na kidhibit na nadhani alihojiwa na kusema ndio sanduku ni lake .Anyway Mwanasheria kasema ameachiwa kwa kuwa kidhibit cha madawa hayajaletwa Mahakamani bali imeletwa karatasi ya uthibitisho tu sasa tujiulize Je madawa yapo wapi alokutwa nayo ?.Ndio maana tunasema kesi imetengenezwa ushahidi umepotezwa kwa Mahakama zetu sishangai kwani hata mafaili ya kesi utasikia yamepotea au karatasi za ushahidi hazimo ndani ya faili
@florencemeza6540
@florencemeza6540 11 ай бұрын
Mbona walokamatwa na magufuli wote wameshatoka!! Huoni madawa yanavyoharibu saaaana vijana wanabembea tu shida nu uongozi uliopo
@nelsonmaleo3342
@nelsonmaleo3342 11 ай бұрын
Good job
@geeva99
@geeva99 11 ай бұрын
Duh!! Nikimuangalia inawezekana kweli maana wazungu wakike wa ulaya wakijaga bongo wanakuaga too positive yani hata ile taazali ya wastani wengine hawana ina kuwa too much Kumbaya
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 11 ай бұрын
Begi pa vinyago? Hilo hata DHL si wangetuma kwa mwenye nalo.Nyie mawakili nyie😅
@beatricepaul3001
@beatricepaul3001 11 ай бұрын
Milard Ayo mnajitahidi sana kwenye habari ila pia mjitahidi kutoa habari kwa lugha ya kingereza pia Kuna wengine hatuelewi kiswahilo ❤
@user-go6xm3ef1o
@user-go6xm3ef1o 11 ай бұрын
Nataka nishangae hii ulio andika ni lugha gan kumbe umecoment kizungu ujui kiswahili pole sana ila mtoa habar endelea kuongea kiswahili sababu ni lugha ya nchi yetu
@maryoommaryoom
@maryoommaryoom 11 ай бұрын
​@@user-go6xm3ef1o😂😂😂😂😂😂
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 11 ай бұрын
Kwani hapa umeandika kireno?😂😂😂😂
@ellygach6515
@ellygach6515 11 ай бұрын
Nitumie namba ako niwe nakutumia subtitle
@maryoommaryoom
@maryoommaryoom 11 ай бұрын
@@ellygach6515 tuma za kwako
@pascalkingu9570
@pascalkingu9570 11 ай бұрын
Mmeshapiga hela kwanini madawa hayo hawajaleta mahakamani,ngoja aende kwao ajipange vzr,mara tutaskia ndege ya ATCL imekamatwa,lazima mmlipe fidia,ni sawa naya bandari hayo
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Umeongea ukweli mtupu,ujinga wa Serekali zetu ni kununuliwa kila pahali na kujenga mazingira ya kugeukwa na kudaiwa wachache tuliowapa madaraka hawafikirii kabla ya kutenda wakiona fedha tu hubadilisha hata sheria za nchi.Hapo wamehongwa Polisi kuficha kidhibit ikapelekwa barua tu ilimradi itengenezwe njia ya kuua kesi ,mawakili Polisi na hakimu wameua hiyo kesi .Polisi akikamata kidhibit lazima akitunze sehemu maalum stoo je icho kimeenda wapi kama sio hila ya rushwa imetengenezwa?.Marekani vidhibit huwekwa miaka mingi hata kesi ikiisha kwani inawezekana mfungwa akatolewa kimakosa au ikawa kama hivi akarudi kushitaki Serekali
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 11 ай бұрын
AKILI ZETU NDOGO KWA KWELI , INA MAANA HAYO MADAWA WALIGAWANA NDO WAKAJIKUTA HAWANA KIELELEZO LAKINI TUWENI MAKINI AKIENDA SOUTH AFRICA CORT ATATUSHINDA HUYO, NGOJA TUSUBIRI MMEMHARIBIA MTU HATA MUDA WA KUTENGENEZA MAISHA NA FAMILIA .
@rosehillary8742
@rosehillary8742 11 ай бұрын
Yani wenyewadhirika wa madawa kweli mpambane na majanga yenu..Wengine Mungu atusaidie yasirukute jamani...Punda ktk harakati...Ila tutateseka sana
@user-qt7jd5on4z
@user-qt7jd5on4z 11 ай бұрын
Daaah yan kakaa magereza tena ilio muhukumu ni mahakama leo mahakama iyoiyo inasema hakukua na utaratibu kwel😅😅😅😅
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 11 ай бұрын
Apandishwe ndenge arudi kwao
@happynelson1180
@happynelson1180 11 ай бұрын
Sijui ndiyo huyu niliona kwenye habari miaka 11 iliyopita kuwa alikamatwa na madawa Moshi kumbe alifungwa
@successpatience7641
@successpatience7641 11 ай бұрын
Mimi nikitoka naroga mtu, miaka 10 halafu nisionekane na hatia aiyee
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 11 ай бұрын
Mimi siamini Serikali imkamate mzungu na kusingiziwa madada ya kulevya siwezi hao Lukeisa wanasambaza sana madada ya kulevya. Ulaya na kutumiwa kama wabebaji wanaingera huwatumia sana hao
@ototek8037
@ototek8037 11 ай бұрын
Kazi ya wakili ni kutetea hata kama umeuwa na anauhakika, atasimama upande wako hadi we mwenyewe utaona umesimgiziwa.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 ай бұрын
@@ototek8037 kweli kabisa apo kashalipwa na mzungu amtetee arudi kwao usicheze na choo cha shimo na ugali wa Maharage mpaka nywele zimenyonyoka chezea jela
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Kweli kabisa wanatumiwa kwenda mpaka South Amerika wamejaa magerezani nchi nyingi. Mawakili kazi yao ni kuchenga sheria ili mteja atoke.kifupi fedha imefanya kazi
@johanessmwijage1192
@johanessmwijage1192 11 ай бұрын
Inabidi afingue kesi ya madai maana niujinga wa selikari yetu washitakiwe niwapumbavu
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 11 ай бұрын
Ajaribu akione kama hajaozea jela, wakili kazi yake kutetea mteja wake hata ukiua atasema alikua anajitetea huyu punda mbeba madawa ya kulevya amekipata alichostahili Sasa apeleke salamu kwao Tanzania sio pa kuchezea
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 11 ай бұрын
Mmmm
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 9 ай бұрын
Kwani wauza vinyago hawawezi kusafirisha mzigo mpaka atumwwe kuchukua..
@jennet6484
@jennet6484 11 ай бұрын
ALIDHANIWA,WATU WASIOJULIKANA . ifike mahara hvyo vitu viishe.
@user-qt7jd5on4z
@user-qt7jd5on4z 11 ай бұрын
Na tena vilivyo zaniwa nimadawa mpaka mkapeleka kwenye vipimo mpaka mnahukumu. Mnajua nini mnafanya sas leo nini mnafanya
@expert5898
@expert5898 11 ай бұрын
Inaonesha alikuwa na madawa kweli kabisa, ila wamehonga hela nyingi sana then madawa yamegeuka kuwa unga wa muhogo.
@hildalyatuu6641
@hildalyatuu6641 10 ай бұрын
Nimesikia aliijia mzigo wa rafiki wa boyfriend wake Na akiufikisha atapewa hela ya kumsaidia kwenda kusoma shule ya mziki. Maelezo ya mwanasheria Khaaa! Inaingia akilini kweli?
@expert5898
@expert5898 10 ай бұрын
@@hildalyatuu6641 hahahaha! Hiyo hapo.
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 11 ай бұрын
Bongo bongo zozoo, Mwenye nacho huongezewa🤔
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 11 ай бұрын
Inchi haina usimamizi
@rerisamba
@rerisamba 11 ай бұрын
Na imagine hio familia miaka hio yote mpendwa wao ako gerezani tena nchi ya kigeni ilikua wakati mgumu kweli
@user-or7ed7vd5w
@user-or7ed7vd5w 11 ай бұрын
Na.wangapi.wamekamatwa.nakuukumiwa.kwakuzania.kama.sio.utombolo.ripi.mangu.tunakukumbuka mjomba
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 11 ай бұрын
Sheria ni ubabaishaji
@zitongwang6278
@zitongwang6278 11 ай бұрын
SASA wamlipe Dada wa watu fidia, you find those who are in authority are nat eligible but those who are out there called normal civilian are worth it way to far. TANZANIA YA CCM IPO SIKU ITAELEWA TU.
@lgdnce8309
@lgdnce8309 11 ай бұрын
Muchezo huo apo tayari pesa imesha tumika
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 11 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 good comment hii ndo nilikuwa nasubiri
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 11 ай бұрын
Apokwene kutokuletwa vielelezo mahakamani nimeelewa watuwaselikali waliuza ushahidi ikoivo tu
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Ingekuwa mtanzania kakatwa Ulaya angetoka gerezani tu angerudishwa moja kwa moja asingekaa hata siku wangeagizaa barua ya dharura na kusafishwa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 11 ай бұрын
Jamani km kweli aliuxa midawa akatoka Mungu atashughulika na walomtetea,vijana wanateremsha maudenda wengine wamekufa.
@emanuelandedela7901
@emanuelandedela7901 11 ай бұрын
Yaani acha kabisa
@denniskado3990
@denniskado3990 8 ай бұрын
Mahakama zetuu!! Mjiangalie! Compitance ni 0
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 11 ай бұрын
Huyu dada alikuwa amebeba dawa za kulevya, Ila fedha chafu za wauza dawa za kulevyea zimetumika kumuachia huru.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 11 ай бұрын
HOLAND NI NCHI INAYOONGOZA KWA MADAWA
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 11 ай бұрын
Kuna chezo wamecheza huyo alikuwa na madada ya kulevya huwezi wakamueka miaka 10
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 11 ай бұрын
Madawa sio madada
@beatricepaul3001
@beatricepaul3001 11 ай бұрын
Madada au madawa??😂😂
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 11 ай бұрын
Kifungo cha maisha una tuimikia mika 11 Tanzanian Hainatofauti na Congo Kwa Rushwa??
@neema_mollel
@neema_mollel 11 ай бұрын
Rufaa inapokatwa hata ushahidi unakua haupo tena . So rufaa nyingi zinawatoa watu
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
​@@neema_mollelInategemea rufaa ni bahati nasibu kwa kwetu rufaa ni daraja au pango huzaa rushwa na kumfanya mtuhumiwa atoke .Lakini vinginevyo rufaa inaweza pia ikaongeza ukubwa kwenye kesi na kuongeza mda wa kifungo
@user-or7ed7vd5w
@user-or7ed7vd5w 11 ай бұрын
Ivijamani.kweli.ataukumiwamtu.bila ushaidi kweli
@Myplusbee
@Myplusbee 11 ай бұрын
Sio USHAHIDI-- issue ni ikiwa huo ushahidi umefuata taratibu! Mambo ya kisheria ni magumu sana! Hivi una habari kama polisi wamekuja kwako bila Hati ya Upekuzi halafu wakakupekua hivyo hivyo na kukukuta na gunia la bangi tena chumbani kwako! Baada ya hapo ukapelekwa mahakamani, na gunia la bangi likatumika kama ushahidi. Ukipata Wakili mzuri, HAPO HAKUNA KESI, na utaachiwa tu! Na Wakili wako atasema "alifikishwa mahakamani baada ya kukutwa na vitu VILIVYODHANIWA ni bhangi"
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 11 ай бұрын
Uyo cristina inavyoonyesha nikweli itakuwa amekamatwa na madawa maana utatumwaje utoke inchini kwenu uzunguni uje tanzania umchukulie vinyago why uyo rafiki yake asije kufata ivyo vinyago yeye mpaka amtume cristina ni alikuja kufata mzigo wa badawa ila pesa imetembea hapo ndio maana ametoka ni pesa imetoka hapo umsuchushoshe bwana
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 11 ай бұрын
KAma ana onjoonja Ila apumzike kpt somo
@Nedjadist
@Nedjadist 11 ай бұрын
Hii nchi mbona ya kipumbavu hivi ? Kweli hatuna wasomi wenye akili na kufikiri? Hii nchi imekuwa hatarishi kwa maisha ya mtu. Kesi kama hii, hata kwa common sense tu ingeamuliwa kwa uadilifu kabisa. Kwanza haiwezekani kumfunga mtu bila ya kuleta ushahidi wenyewe mahakamani! Yaani tuamini certificate tu? Kuna kitu gani kinachozuia kuleta ushahidi? Pili: ni dhahiri huyu mama ni innocent na naive, amerubuniwa kuchukua mzigo. Hivi hawa wanasheria wetu na wapelelezi hawakuweza kulinasa hilo jambazi la kweli? Tanzania ni police state ndipo inapokuja kwenye adhabu unakuta haziwiani na kosa. Shabaha ni kutisha watu. Kweli yaingia akilini kifungo cha maisha kwa jambo ambalo hata likithibiti madhara yake ni madogo kwa Tanzania, wakati majizi na yule Singasinga ndiyo wametolewa gerezani?
@yasinimalya4001
@yasinimalya4001 11 ай бұрын
Huyu amebambikiziwa kesi Duh Tanzania Yetu 🤔 inamaana airport nyingine walipitaje? Ah come on
@mwitaagness455
@mwitaagness455 11 ай бұрын
11yrssssss, hlf eti alidhaniwa, pumbafuuu
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 11 ай бұрын
Mbona Kuna maneno ya kisiasa hapo jamani wabongo!! Kwani maabara hazipo bongo kuhakikisha kama hizo dawa zilikuwa ni za kulevya!!!!
@apolleorevocatus8577
@apolleorevocatus8577 11 ай бұрын
Inawezekana ni zile issue za wazee wa kuhifadhi kidhibiti cha gongo siku ya kesi inaletwa maji
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
😅😅😅😅
@comraderashid_nuru_m5260
@comraderashid_nuru_m5260 11 ай бұрын
Sheria ni mchezo mchafu sana
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 ай бұрын
Sana
@mwitaagness455
@mwitaagness455 11 ай бұрын
Haki ipo mbinguni
@mamamwajei8789
@mamamwajei8789 11 ай бұрын
we wakili inaezekena huna ndugu,jirani Wala jamaa aliedhurika na madawa wewe,,,unatetea ubaya Ili we ule na familia Yako akati Kuna familia zinaangamia
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 11 ай бұрын
Nchi Ngumu hii miaka 11 ushahidi umshamuumiza mtu afu hana hatuya bure bure tu
@mamamwajei8789
@mamamwajei8789 11 ай бұрын
aisee uyu katoka tu lkn kwa maelezo ya wakili uyu ni mkosaji kabisaaa,,,yaani atoke luthenia aje kujifunza mziki uku mxeeeew
@gislashayo
@gislashayo 11 ай бұрын
Uongo mtupu vinyago ?? MHUU
@repsphrs5051
@repsphrs5051 11 ай бұрын
Kwa maelezo tu haya tyr huyu alikuwa akibeba madawa
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 11 ай бұрын
Weeee!!wa Liuther na vinyago vya kiafrica?uo ni uongo wanavyochukia waafrica sidhani kama kuna mtu angenunua hivyo vinyago
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 11 ай бұрын
Kesha jifunza😂
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 11 ай бұрын
😂😂😂 vinyago amfuatie tz then apewe ufadhili watoto wetu fungukeni
@emanuelandedela7901
@emanuelandedela7901 11 ай бұрын
Maelezo hayo sijui yamekaaje halafu wahusika wanakubali maelezo Kama hayo kaaaa
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 11 ай бұрын
😂
@alisaid9024
@alisaid9024 11 ай бұрын
Kama ni wakili basi ni mjinga sana Kitu kinachodhaniwa ni madawa ya kulevya ni kiswahili gani kwanini husemi kaosa lake halisi kua alikua akisafirisha madawa ya kulevya??? huu ni wazimu mkubwa ati wewe ni wakili ..wewe ni muongo na hujui kazi yako ni njaa tu ,,,kama kaachiwa ni huruma tu lakini kama kakamatwa na madawa ni makosa usemi wako wa kudhaniwa kama madawa ni uongo ,,vipi wasijue kama ni madawa au madawa??
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Ni Lugha ya Tanzania kuficha uovu kila jambo halisemwi kiuhalisia utasikia alidhaniwa mwizi alidhani mchawi yaani ni Lugha mbaya sana kudhaniwa na inasadikiwa hata ikiwa tayari ushahidi upo lakini bado wanatumia maneno hayo
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 11 ай бұрын
Kama alikamatwa na madawa na ushahidi haukuletwa tafsir yake waliomkamata walipiga bei😅😅😅
@salcle9702
@salcle9702 11 ай бұрын
Hako kazungu kanaonekana ka drug cartel ila chamoto amekipata
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 11 ай бұрын
Mmazingwa funga kabisa
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 11 ай бұрын
Mauza uza tupu
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 11 ай бұрын
Yaani alikamatwa na ushahidi akiwa madawa hapohapo ikawaje tena akaachiwa je ni nini tena kilifanya akaruhusiwa kuwa free ? Kozi zingine ni tabu wanasheria Mungu awatazame sana maana kama ni hivi kuiona pepo ni ngumu sana
@amourmohamedfaki4506
@amourmohamedfaki4506 11 ай бұрын
Hatar kabisa 🎉haya maua yenu ayo apo
@mohamedisalimu
@mohamedisalimu 11 ай бұрын
wana mtandao mpana
@mohammedikingazi5109
@mohammedikingazi5109 11 ай бұрын
Eti inazaniwa mbona hamueleweki kwahiyo mmesingizia yaani habali haieleweki kabisa
@saidasimba9979
@saidasimba9979 11 ай бұрын
Wauza madawa ya kulevya ni taifa kubwa..walishatoa mpunga kwa mawakili wa serekali wasiorodheshe ushahidi na wakauchoma bongo bwana comedy tu...
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 11 ай бұрын
Mauza uza tupu
President Ruto full speech
13:27
KTN News Kenya
Рет қаралды 41 М.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,5 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 44 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 15 МЛН
HAYA HAPA MATANGAZO KUMI YALIYOTIKISA MIAKA YA NYUMA, NOMA!!!
12:28
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН