Rais wangu huyu kwakweli nampenda aana nawewe kama unampenda my, Rais like hapa
@BongoCryptos Жыл бұрын
Tunao mkumbuka JPM tukutane hapa.
@mnerostationeries11135 жыл бұрын
Kama na ww umeupenda uo wimbo wa Rc bas tupo pa1
@consolathambuya65804 жыл бұрын
Mtunzi n nan kaka huu wimbo samahan🙏
@frediricknandonde16903 жыл бұрын
Oy niaje ? Patieeeeee henzi hizo na marehemu amosi na mzee baba paki .nimekuotea huku
@frediricknandonde16903 жыл бұрын
@@consolathambuya6580 nitumie namba ninao
@rassimbaengswahili61915 жыл бұрын
Laa huyu Rais kweli tumepewa na Mungu si kwa uwezo wetu sisi kama wanadamu
@ngurumanmwita85545 жыл бұрын
Maisha yko vp?
@veronicamchilo85525 жыл бұрын
john thobius tumepewa na yule mzee wa tume ya uchaguzi
@apostleadamgige46625 жыл бұрын
Kwakweli hadi raha,hongera mh wetu,Mungu akujalie maisha mema na afya njema
@vincentauxerbius75545 жыл бұрын
Tokea nipate akili sijawahi kuona raisi yyte akifanya hv kwakweli raisi tumempata hizi ni Neema za mungu pekee...mungu akubariki raisi wetu......like zote hapa
@gipsonice7gipsonice7915 жыл бұрын
Tangu nizaliwe sijawahi ona ndokwanza kuona god blesses magufuli acha we unaweza father of tz
@wolfugangtesha57245 жыл бұрын
Hakuna price ya kuwa humble....Rais wa watu
@jayblack43135 жыл бұрын
Only in Tanzania god bless our land
@danielkwilemba47155 жыл бұрын
Not seen before!
@samirmandala86015 жыл бұрын
Hivi nitu vya kukumbukwa hakika ni kiongoz wa mfano
@elminakalunga40305 жыл бұрын
Why not! God's blessings upon you? OUR HUMBLE PRESIDENT! SERVANT TO HIS PEOPLE.
@jumakapo99145 жыл бұрын
Nampenda sana raisi wangu mchapa kazi mcheshi anacheka na kila mtu kweri mungu baba mpe huhai raisi wetu John pombe makufuri love you so much
@deusdeditphilipo42985 жыл бұрын
Mungu akulinde Raisi wng
@georgegerald35982 жыл бұрын
Yapo mambo Nita sahau vipo vitu ntavi sahau lakini sio rais wangu nilie mpenda toka moyoni kabisa Mungu alimpenda zaidi watanzania tu mwombee zaidi tu hayati rais wetu magufuli kazi aliitenda jaman
@shedrackmgaya63415 жыл бұрын
Hakiya mungu huyu raisi kashushwa na mungu tunalaisi wa kipekee kipenzi cha Watu tz hapa mungu akupe maisha marefu raisi wangu
@amaninaupendo.35395 жыл бұрын
Amen Amen. Umoja , amani na upendo vidum milele yote. Natamani kukutana nawe Mzee wetu. Mungu Mungu aishie Milele yote akubariki na kukulinda wewe na wote wa nyumbani mwako. Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki Afrika na Watu wake. Amen Amen.
@mhandokadudu18655 жыл бұрын
Asili haipotei. Kuwa wa kwanza kutoa huduma mbele ya Mungu.
@dickaugustino22145 жыл бұрын
Hatareeeee !
@Mr.romantictz5 жыл бұрын
Nampenda Rais wetu Magufuli.Mungu anaipenda Tanzania kwa kituletea kiongozi mwenye hofu ya Mungu.nchi sasa inaenda kubarikiwa
@kbdk30655 жыл бұрын
Aliye mkubwa kwenu na awe kama mdogo
@agathathobias86905 жыл бұрын
Yaan had raha Rais wetu n mnyenyekevu mbele za Mungu hapo urais kaweka kando anatumika
@danielmwasi49565 жыл бұрын
Agatha Thobias siasa
@agathathobias86905 жыл бұрын
@@danielmwasi4956 mtazamo wako binaadam hata utende mazur huwez pendeza wote
@masalumathias92175 жыл бұрын
Leo wa 3 ku comment hebu nami niombe like zenu sasa maana huwa sipati like
@esterryoba25385 жыл бұрын
W nimfano wakuigwa rais wetu
@chiefmahucha68475 жыл бұрын
Ahhaaaaa.... Kaka likes hupalewi kwa kuwa wa kwanza, pili au tatu ku-comment... Bali utapewa kulingana "Comment" yako.,..
@johnmwakipesile38172 жыл бұрын
Jamani hii nyimbo inaitwaje
@chiefmtoto13655 жыл бұрын
Mfano wa kuigwa ni Mh Dk John Magufuli,pia kama umeona jamaa mmoja amevaa shart ya rangi ya blue hahatoa sadaka ila kaweka mikono nyuma gonga like kwangu
@mussamchena95953 жыл бұрын
Upumzike kwa amani jemedali wetu😭😭
@christinawatson51145 жыл бұрын
Vzr
@mawayamawaya2405 жыл бұрын
Vizuri
@erickwanjarajr57075 жыл бұрын
Mtumishi kweli
@danielkwilemba47155 жыл бұрын
Usiseme vizuri tu ...Sema kafanya Vizuri sana!
@eliyawilliammagesamarwa84135 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana akukupe Kuongoza adi mwaka 2035
@kbdk30655 жыл бұрын
Nimekuja kuwa tumikia sio ninyi mnitumikie Umefanya vyema raisi mpaka mapadri wamefurahi sana maana unajuwa kujishusha.
@rassimbaengswahili61915 жыл бұрын
Ahsante Mungu
@antonymurethi2708 Жыл бұрын
Truly legend never dier
@agathamwashimaha70125 жыл бұрын
Hongera Raisi wetu kuonyesha unyenyekevu
@UnitedAfricansTv3 жыл бұрын
Tanzanians you are very Blessed to be having such a humble and Serving leader. Naona mkitushinda sisi wakenya soon. Big love from Nairobi
@frednyangwechi7742 жыл бұрын
Kenya.nikutokuona rao yuko
@noelimafwele6023 жыл бұрын
Mungu amlaze Rais wetu mahali pema peponi amin
@jameskasongi31915 жыл бұрын
baba Mtakatifu Magufuli, utuombee....good, muda c mrefu warumi tutakuita st.magufuli..gonga like kama umekubali
@efelimwambije7085 жыл бұрын
Like
@sarahkikove89815 жыл бұрын
Safiii
@dennismalima53655 жыл бұрын
Hili jambo ni la kusisimua Sana Live long JPM
@stevenkipara93105 жыл бұрын
Yes 😁🙏🏿
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
......REST IN PEACE... REST IN POWER MAGUFULI 😭😭😭😪😪😪😪😪 WE STILL LOVE YOU..,
@diltondilunga99155 жыл бұрын
Kumbukeni maneno yake, nanukuu ,Mimi ni mtumishi wenu,.
@khalifanimussa53835 жыл бұрын
Wa mwanzo leo ama kweli huyu ni Rais wa wanyinge na niwamfano duniani mungu amueke insha allah
@omira-yb4ip5 жыл бұрын
Hongera halfani ujumbe wako mzuri wala hukuangalia tofauti ya dini ubarikiwe sana
@LM-dh1fq5 жыл бұрын
Dah Hadi machozi yani Sala zetu zipo kwako Raisi wetu. Unaiga na unafwata nyendo za baba wa taifa. EE MUNGU MWENYEZI TUNAOMBA UMJALIE KIONGOZI WETU AFYA YA ROHO NA MWILI WAJALIE NA WATANZANIA WOTE AFYA YA ROHO NA MWILI TUNAOMBA HAYO KWANJIA YA YESU KRISTO MWANAO ... AMINA
@petromtakati29753 жыл бұрын
Amen 😭😭😭 RIP magufuli
@organistsskills49212 ай бұрын
Nimelia sanaa 😢
@regonmshanga89895 жыл бұрын
Jaman rais Magufuli Mungu akubariki sana, we ni mtumishi Mungu
@lazaromgaya21325 жыл бұрын
good
@michaelvincentmhagama86745 жыл бұрын
God bless
@petromtakati29753 жыл бұрын
Magufuli was born to mugufulify our nation and continent as well ... Tanzanian people's will never forget u forever papa .... continue to rest in peace amen 😓😓😓😓 your presence will be remembered forever.
@sixseniii12183 жыл бұрын
mwenyezi mungu Akupumzishe mahala pema peponi
@mpambanajitz70266 ай бұрын
Hapa ndio nakumbuka sana vile YESU kristo alivyoamua kuwaosha miguu watumishi wake MUNGU anatukumbusha kuacha HALI tulizonazo nakujinyenyekeza kwa WATU wa hali ya chini. R.I.P Dr JPM
@hindisaidi50975 жыл бұрын
Haijambo. Nimeipenda hio.mwanzo nilidhani atapokewa lkn kaamua kufanya mwenyewe.
@kenethmichael19265 жыл бұрын
Waroma kesho mshaharà tutagawànà,,,@
@mutalemwagabriel22775 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@steventitus21745 жыл бұрын
Asante magu
@dd-yc1mw3 жыл бұрын
Rais wangu wa maisha yote. Shujaa umelala usingizi wa mauti.
@zawardrugemalira67775 жыл бұрын
nice
@amanrwezahula60635 жыл бұрын
jamani huyu rais wetu sio mtu wamajivuno
@malaki0474 жыл бұрын
Mimi ni Mkenya ila hogera kwa unyenyekevu wako Rais magufuli inshallah Mola akueke nime amini wewe ni mteule
@zainiamohd62349 ай бұрын
Inauma sana ila hatuna jinsi cha kumuombea
@toyedward74755 жыл бұрын
hii ndoo maana ya kuwa role model kama kiongoziiii
@MrKipedd5 жыл бұрын
How can you not like this president.God bless this president.We need more presidents like this in Africa
@lillygraceakongo66213 жыл бұрын
God may blessed raid magu
@joycejohn3253 жыл бұрын
No one like him, hajawahi kuwepo wa hivyo mpaka sasa labda huko badae. Rise in power JPM, nilitamani iwe ndoto niote iishe lkn dah
@dullahtechtz342210 ай бұрын
Alikuwa wa tofauti sana
@shukurukihwelo30846 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😮
@veronicamchilo85525 жыл бұрын
Asije zipeleka kwenye kujengea zahanati😂😂
@esterrhobi28245 жыл бұрын
Amen
@nyambelewinfrida90745 жыл бұрын
Jembe lenyewe halisi halisia jaman Mungu akulinde jembe letu.
@masumbukoclement45822 жыл бұрын
Pumuzika Kwamani Laisi Magufuri🙏🙏😭🇹🇿🇹🇿
@Tanzaniaunforgetable1961 Жыл бұрын
+An Iconic Leader! Mfano wa Kiongozi. Hybrid ya pekee ambayo itatuchukua miaka kuipata sampuli hii ya kizalendo 🇹🇿🙏🏾 Pumzika JPM❤
@rafaeryjonas79225 жыл бұрын
Huyu ni rais wa kipekee xana mungu akujarie uzima wa kufanya kazi.
@drombeamoria8213 Жыл бұрын
How can you take this kind of personality God! if you're NOT Heartless!... i'll remember you as long as i breath....RIP...Malimu
@timotheohongera17383 жыл бұрын
Nimeimba huu wimbo Leo kanisani machozi yakanitoka nilivyomkumbuka Raisi wetu
@organistsskills49212 ай бұрын
Mungu akupumzishe salama JPM😢
@edsoniminani Жыл бұрын
Eeee Mungu tupe Tena Rais kama huyuu jamani tanakuimba Mungu
@emmanuelmmarwa92755 жыл бұрын
Jaman Mimi naona myika inakimbiya na katiba ya nchi ni myika 10 jaman adi laha
@bonniem72605 жыл бұрын
Mtu anaye jua huo wimbo unaitwa aje anisadie kuujua
@salumjuma79945 жыл бұрын
Magu anahofu ya mungu
@sarahsarah49195 жыл бұрын
Hakika tumepata laisi
@simionshinini4395 жыл бұрын
My president Gud bless you
@evangelineuwineza9232 жыл бұрын
Amini
@michaelndilima62103 жыл бұрын
Mungu baba was mbingu na ardhi akuweke pahala pema peponi
@shedrackmgaya63415 жыл бұрын
huyu tumupe tu miaka yote buku Maana kumi michache tutalia akitoka
@teamdammy74545 жыл бұрын
Shedrack Mgaya buku sema vizuri
@zackrichard36175 жыл бұрын
mbinu ya kuwaingia kisaikologia wanyonge....
@simonmsafiri86425 жыл бұрын
Shedrack Mgaya
@daudpatrick11738 ай бұрын
Yaan cjui kama tutakuja kumpata rais kama JPM, alikuwa mzarendo sana, yaan mungu alitupa adhabu kumchukuwa JPM. Amen.
@ponsianpatrick9157 Жыл бұрын
Love you forever magufuri
@johnpaulssentongo8094 Жыл бұрын
Rest in peace Mr President.
@gracethomas6835 жыл бұрын
hii ndo nimeiona leo....kumbe ni muda...doooh! vitu vingi vimenipita!!!!
@francismigongwa41462 жыл бұрын
RIP MH JPM
@deboraevaristo46015 жыл бұрын
penda sana rais wangu.najivunia kuwa mtanzania...
@mirajishentembo49625 жыл бұрын
Hongeraa
@sujasara69003 жыл бұрын
God bless Mr president
@magembemakoye50372 жыл бұрын
Tutakukumbuka rais wetu mchapa kazi
@michaelndilima62103 жыл бұрын
Real President of humbly Tanzania.
@zmwailugula8922 жыл бұрын
RIP BABA ,MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI ,KAZI ULIIFANYA
@damiangabriel87215 жыл бұрын
Safi sana Mungu akubariki Rais wangu
@rashidkawaga42795 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@danitarimo50135 жыл бұрын
Safiii
@frolarafaeli79562 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥😥
@mgalami8 ай бұрын
Nimemkumbuka mpendwa wetu...jamani apumzike kwa amani.was such a wonderful president
@helenamtunge20782 жыл бұрын
PUMZIKA KWA AMANI MTUMISHI MWEMA😭😭😭😭😭😭😭😭
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
ALIHITAJI MAOMBI YETU WENGI WALIMTABIRIA MABAYA JAMANIII PLEASE..🤦🤦😭😪😪😒🚮 LET GOD ALONE JUDGE ALL THIS THINGS AND FORGIVE HIM HIS SHORT COMINGS OUR PRESIDENT 🙏 AMEN
@dennismalima53654 жыл бұрын
Humble president ever.. Inasisimua aisee..
@laumasefi663 жыл бұрын
Dah mshumaa umezimika
@jeromesapi55223 жыл бұрын
Raisi wangu Magufuli
@sharondotto202 жыл бұрын
Daaa
@efelimwambije7082 жыл бұрын
Utafikili yupo jamani nalia nakutokwa machozi.
@masumbukoclement45822 жыл бұрын
🙏🙏😭😭🇹🇿🇹🇿
@petertabitha287 Жыл бұрын
Kuna wale mbwa waliokuwa wanaamininisha watu mwamba alikuwa dikteta hivi wanajisikiaje kwa sasa
@marcopeter40912 жыл бұрын
BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE! UPENDO SAFI MPAKA RAHA