No video

Rais Magufuli agoma kupandisha mishahara, aeleza sababu

  Рет қаралды 48,474

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Rais Magufuli akiwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyafakazi (Mei Mosi) ambazo kitaifa zimefanyika katika Uwanja wa Samora mjini Iringa, amekataa ombi la kupandisha mishahara ya wafanyakazi lililotolewa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Amesema yeye anavyoona ni bora zaidi kupeleka fedha kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayoendelea nchini kuliko kuongeza mishahara.

Пікірлер: 58
@zalfayusuf2477
@zalfayusuf2477 6 жыл бұрын
hapo sawa iweke nchi ikae sawa
@abdulhussein4000
@abdulhussein4000 6 жыл бұрын
Uko sawa mkuu wetu Mungu akuongezee miaka 1000000
@sospetermtebe5797
@sospetermtebe5797 6 жыл бұрын
Hapo sawa Rais wetu acha tupambane na hali zetu.
@josephatmusa5391
@josephatmusa5391 6 жыл бұрын
Chapa kazi baba nakukubali xana
@christopherkisimboz7721
@christopherkisimboz7721 6 жыл бұрын
Honger sn mkuu mungu akupe maish marefu
@zawadimgonde7331
@zawadimgonde7331 6 жыл бұрын
uko sahih rais huwez pandisha watu wachache mishahara haraf wengine wanateseka kwel rais asie muelewa rais ni MTU wa ajabu viva magufur wetu mungu akuweke maisha 10000000000
@aizackanton767
@aizackanton767 5 жыл бұрын
Nikweli baba uko saea
@cvanocharles6001
@cvanocharles6001 6 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba
@salumkseleman1470
@salumkseleman1470 6 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo mkuu
@davidm.baraka1410
@davidm.baraka1410 6 жыл бұрын
A great president, Mungu akuwezeshe Katika maono uliyo nayo kwa nchi nzuri Tanzania. Much blessings my president
@jumaabdallah1460
@jumaabdallah1460 6 жыл бұрын
Exactly wewe ni mjuzi na haya yote yakiwa sawa naamini mimi mwalimu wa karagwe nitakuwa kama tajiri vile nakupenda rais wangu umezungumza kiuchumi zaidi kama inflation ikiwa juu hata utupe milioni 100 kazi bure tusafishie mazingira ya kuja kufurahia ongezeko lisilo athariwa na persistence increase in price of goods and services (inflation)
@frankditrick3109
@frankditrick3109 6 жыл бұрын
Mkuu yupo sawa hongera sana Rais wetu miaka 509000000000
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
Frank Ditrick nikweli raisi anapaswa kupongezwa nami nampongeza na nina mpenda lakini hawez kutawala nje ya katiba sow hiwezekan na haitokaa iwezekane
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
Narudia sina chana ila chama chochote au mtu yoyote anae jali maslahi ya taifa nampongeza Mh Rais Mungu akutunze na nimefurahi unatufikiria wanachi wako haswa wale wa hali ya chini na umefanya mamuzi sahihi kwa maslahi yetu sote ubarikiwe sana sana sana
@andreakadunda6022
@andreakadunda6022 6 жыл бұрын
Safi sana rais
@josephmalisa3432
@josephmalisa3432 6 жыл бұрын
Huyu mtu naona taifa linabidi kumwelewa. Hana nia mbaya anataka watanzania wawe watu. Ila tu nabii huwa hatuzwi kwao!!
@ndegeulaya7721
@ndegeulaya7721 6 жыл бұрын
tufanye kaz tusisubir tupandishiwe mishahara Piga moyo konde ipo siku atatupandishia mpaka laki laki
@jescamushi5013
@jescamushi5013 6 жыл бұрын
nmeipenda hyo
@khalifaabdallah6889
@khalifaabdallah6889 5 жыл бұрын
bora aajiri watumishi wapya kuliko kuongeza mishahara kwa waajiriwa
@benedictmagoto5781
@benedictmagoto5781 6 жыл бұрын
Nia ni njema ila kwa sasa watu wanaweza wasimuelewe lakini ukweli ndo huo mdogo mdogo watamuelewa nadhani mambo yatakuwa safi ndg zangu tujipe moyo tu
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 2 жыл бұрын
Nitakumbuka daima babaafraca
@johngachugu305
@johngachugu305 2 жыл бұрын
Ndio maana alijua suala la mishahara itafurahisha watu wachache sana.
@ahmed59122
@ahmed59122 6 жыл бұрын
Nia ni njema kabisa kwa taifa lenu ,kila biinadamu anayo kasoro hivyo mumuhunge mkono na kuwatoa wale wanao harabu harakati zake nzuri.
@anthonymkumbae6328
@anthonymkumbae6328 6 жыл бұрын
Na kwangu mimi 🤣
@jerryalfredngailo6106
@jerryalfredngailo6106 6 жыл бұрын
Ninaona tuchukue mkopo hatuwezi kujenga miradi yote hii bila kukopa! kwa kuzuia nyongeza wananchi hasa wafanyakazi ambao ndiyo maisha yao wengi yanategemea ajira wanaathirika maana wataishia na pension ndogo sana.
@katheverkazumari9742
@katheverkazumari9742 6 жыл бұрын
fact president
@ngatungazakali428
@ngatungazakali428 6 жыл бұрын
Hapo walim hawakuelew hata kidogo
@leonardkatono6362
@leonardkatono6362 6 жыл бұрын
kwel leo ni ngumi ya usoooo
@masseaali3564
@masseaali3564 2 жыл бұрын
Ulikuwa na Roho mbaya
@liliangilbert4837
@liliangilbert4837 6 жыл бұрын
Makufuri oyeeee
@amosmasaka493
@amosmasaka493 6 жыл бұрын
Hapo sawa na zile million ----kwa kila kijiji lin ?
@johnramsey670
@johnramsey670 6 жыл бұрын
Hizo miwani vepeeeeeee
@nshimbamagusu3748
@nshimbamagusu3748 6 жыл бұрын
Kweli kwa huyu jama inatakiwa kupambana na hali zetu
@johnanaely166
@johnanaely166 6 жыл бұрын
tuko pamoja rais nimekuelewa japo vichwa vigumu avikosagi
@liliangilbert4837
@liliangilbert4837 6 жыл бұрын
Uyu baba ana nia nzuri lkn pia ana mzigo mzito kwaajili ya maendeleo
@obedikilibaha1437
@obedikilibaha1437 6 жыл бұрын
Mbona camera inawaonesha sana walimu alafu wanaonekana hawanafuraha
@ibrahimmkwamba7896
@ibrahimmkwamba7896 6 жыл бұрын
Kwetu vijibweni mfuko wa cement ulikuwa, 10500 sasa hiv 15000
@katheverkazumari9742
@katheverkazumari9742 6 жыл бұрын
hahaha wamechokaaaa
@yusuphsalumu266
@yusuphsalumu266 6 жыл бұрын
Saf2
@zawadikamanda1086
@zawadikamanda1086 6 жыл бұрын
mungu akupe miaka 6636080711 rais wetu
@jsjdndb
@jsjdndb 6 жыл бұрын
Zawadi Kamanda hiyo No yako ya simu ?
@gracekalinga3634
@gracekalinga3634 6 жыл бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@eliasnjombe2705
@eliasnjombe2705 6 жыл бұрын
Duuuh
@ndakamasabini8071
@ndakamasabini8071 6 жыл бұрын
Mkuu uko sawa kabisa piga kazi Mungu akusaidie saaana
@jumamadili903
@jumamadili903 6 жыл бұрын
Tz
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 6 жыл бұрын
sijawahi muelewa asilan
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 жыл бұрын
Omary Mbalala tuko pamoja
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 жыл бұрын
Omary Mbalala tuko pamoja
@fx-farm6888
@fx-farm6888 3 жыл бұрын
Huwezi kumuelewa naamini leo Samia umemuelewa vyema
@oscarmanase1768
@oscarmanase1768 6 жыл бұрын
Miradi anayosema inasimamiwa na haohao usiotaka kuwapandishia mishahara.oparation za vichwa badala ya miguu hazitaisha na ziro hazitaisha kwanye shule za serikali ambazo ss maskin ndo tunasomea na kusomeshea watoto wetu. Maskin ataendelea kutawaliwa tuu
@josephatjames3126
@josephatjames3126 6 жыл бұрын
Mhhh nimekuelewa mheshimiwa..
@zulfakassim3624
@zulfakassim3624 6 жыл бұрын
alafu ile 1.5 vipi
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 6 жыл бұрын
Ivi huu mpango wa kuhamia dodoma upo kwenye bajeti ya mwaka gani?
@ummuzakariya798
@ummuzakariya798 6 жыл бұрын
We dawa yako mungu atoe hukumu
@godfreyedward8839
@godfreyedward8839 3 жыл бұрын
Ulijuaaa.....?
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 2 жыл бұрын
Vp umepandishiwa
@petromtakati2975
@petromtakati2975 2 жыл бұрын
Mungu katoa hukumu vipi mwenzetu unalipwa ngapi??????
@zalfayusuf2477
@zalfayusuf2477 6 жыл бұрын
hapo sawa iweke nchi ikae sawa
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 303 М.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA WAKUU WA MIKOA ,15 MARCH 2016
25:03
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 11 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Kimenuka, Magufuli Akabidhiwa Majina ya Watumishi wenze Vyeti Feki
27:04
Global TV Online
Рет қаралды 38 М.
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
Rais Magufuli ametaja mshahara wake leo
12:08
Millard Ayo
Рет қаралды 440 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 605 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН