Рет қаралды 3,876
Daily News Digital
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli leo amefika kwenye hospitali ya rufaa Bugando mkoani Mwanza kumuona dada yake Monica Magufuli aliyelazwa kwenye chumba cha wagonjwa wanopewa uangalizi maalumu (ICU)