Kama unamkubali Dr john pombe magufuli bac naomba unipatie like yko hpo chini plz
@lizzymaundo9515 жыл бұрын
Kweli tunafuata katiba ila huyu Rais anahitajika sana Tanzania bila kupepesa macho aongeze mpka achoke...kama unamkubali rais like hapa
@rojasrodm19715 жыл бұрын
Yaani huyu raisi sijui nimuombeee Nini kwa mungu Cha kumjalia
@victormukama44585 жыл бұрын
Mzalendo namba moja MAGUFULI OYEEEEEEE.
@robertevarist15955 жыл бұрын
Japo hakuna mwanadamu hasiye na mapungufu, lkn Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi hii alotupatia
@ellymaz21875 жыл бұрын
Halafu kuna watu hawamtaki Rais kama Huyu, Nina mashaka na akili zao.
@mahmoodmohammedmasoud59425 жыл бұрын
Bwana RAIS MAGUFULI ndio rais pekee wa anaefaa kuongoza wananchi Mheshimiwa rais nakutakia maisha marefu yenye mafanikio
@jumbelbrownman12955 жыл бұрын
We need him and here we HAVE...who else do we need?the answer is BIG NO....Bravoo JPM viva el comandante.
@grasfordfrank3945 жыл бұрын
Mm nataka utuongoze kwa miaka ishilini tu coz naona kumi ni michache
@benedictmwaluko16175 жыл бұрын
watanzania tunaweza sema huwa tunapenda kujishushaa sijui kwnn
@ramadhaniselemanichalachal66225 жыл бұрын
Sasa hivi wafanyakazi mjitambue usimuamini mwenzako kwenye madili ukimshirikisha tu umeferi
@emanuelmuna22965 жыл бұрын
mh..ungekuwa karibu ningukununulia hata pepsiii!! maana tunaibiwa sanaaaaa!!!
@victormukama44585 жыл бұрын
🎵🎵waale wapiga madili sasa hali Maya,,,,,,,, 🎵ZILIPENDWA🎤🎤🎤🎤🎵🎵🎵
@victormkongewa52295 жыл бұрын
Namkubali raisi wangu, wanaume wezi watataga mwaka huu
@mahamoudabas85555 жыл бұрын
Magufuli oyeee! Hapa kazi tu! Muheshimiwa naomba unipe nafasi ya kukuona na kukupa pongezi baba kwa kazi nzuri unayoifanyia taifa letu na vizazi vyetu vijazo.
@thamu31335 жыл бұрын
Ivi wapiga dili ck izi mnafel wap jaman??😂😂😂
@aridiyahya80495 жыл бұрын
Enzi za JK huo ndo ulikuwa ulaji wenyewe. Watu 20 wanasindikiza ndege kupigwa rangi tena nje ya nchi. Ndo maana watumishi wa serkali wamenuna siku hizi.
@jamesngundateresia26005 жыл бұрын
JPM UKIWA MKWELI UNALA JIKE KAMA LOTE
@pstsabbathngweta16605 жыл бұрын
Duh ndugu zangu Mungu awabariki sana sana kazi mnayoifanya sio ndogo Watanzania tunaweza
@mako3315 жыл бұрын
My President knows mathematics over head, yani hesabu zinashuka tu, yani tunaye Rais awamu hii