Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!

  Рет қаралды 500,457

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Captain Aliyetoroka na NDEGE Kenya Apewa Mamilioni na JPM!
Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 23, anapokea Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania.
Katika hafla hiyo Rais magufuli amemkabidhi captain wa kwanza wa shirika la ndege kwa kitendo chake cha ujasiri kwa kuruka na ndege kutoka Nairobi hadi Dar es salaam kwa nguvu bila kujali kulipuliwa.
Ndege hiyo imewasiri leo majira ya saa 10:30 jioni na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
#RAISMAGUFULI
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 407
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 3 ай бұрын
Daaaaah Jpm alikumbuka watu waliotoa maisha kwa ajili ya Nchi. Jaman 😢😢😢😢😢😢😢.LALA BABA HAKIKA ILE KAULI YA UPENDO WEWE NDO ULIIONESHA DHAHILI.
@johnkiyaga1615
@johnkiyaga1615 3 жыл бұрын
We always missing u mzee John pombe joseph magufuli
@blackvirus8740
@blackvirus8740 3 жыл бұрын
Nimelia jaman kwa Furaha😭😭😂😂😂😂R.I.P Rais wetu
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 3 ай бұрын
Daaaaah JPM 😢😢😢😢 mwamba umelala. Ila roho yako inaishi Baba
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 5 жыл бұрын
Wow congratulations nikawie moja sir Mr Mapunda ukikuja Kenya unirushie Mungu akuongezee mara mia
@tendatanzania9483
@tendatanzania9483 5 жыл бұрын
Hapa mzee MAGUFULI nimekuelewa sana..barikiwa
@keithochieng8805
@keithochieng8805 3 жыл бұрын
My president from another country. May your soul Rest in Perfect Peace!.
@samwelmurro3498
@samwelmurro3498 3 жыл бұрын
Amen. Be blessed ndg
@rajabusungi5050
@rajabusungi5050 4 жыл бұрын
Mh.yaani kazi yako ni ya tofauti Sana..!! Sijawahi kuona uongozi wa aina hii,super sana mzee
@choosenempire7772
@choosenempire7772 2 жыл бұрын
tangia dunia ianzee sijawai onaa this man had a rare character. Stay blessed wherever you are magufuli
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 4 жыл бұрын
Hongera Rais magufuli kumkubuka mzee mapunda mzalendo hongera sana rais safi Kenya subutu hakuna wakuwakubuka wazalendo ata ufanye nn utojulikana na yoyote yule family yko tu ndio watakubuka i salute u Mr.orezo bigup muheshimiwa from saudi Arabia
@robinsonrespicius2713
@robinsonrespicius2713 4 жыл бұрын
JOHN MAGUFULI IS THE BREATH OF FRESH AIR , JPM HOYE
@issahhussein1922
@issahhussein1922 5 жыл бұрын
Huyu raisi tutakuja kumkumbuka sana
@sakinayusuf5072
@sakinayusuf5072 5 жыл бұрын
Saaanaaaa tena zaidi ya sana
@user-os9ul5iu5y
@user-os9ul5iu5y 4 жыл бұрын
Natamani guhamia Tanzania
@abdullysige8740
@abdullysige8740 3 жыл бұрын
Tayar tuna mkumbuka
@dalaliamanidar3004
@dalaliamanidar3004 3 жыл бұрын
Asee we Jamaa uliona mbali sana asee R.I.P JPM ntakupenda milele
@kensaty111
@kensaty111 3 жыл бұрын
Tusha mkumbuka
@seraphinembila6745
@seraphinembila6745 5 жыл бұрын
Naipenda tanzania Mungu akubarikisana magufuli
@viviantenai4599
@viviantenai4599 4 жыл бұрын
Ongera sana rais wa Tanzania kwakua unawatambua mashujaa wa nchi yako nakuwatetea wananchi bila kuwabakua. Naamini kenya mungu atatujalia raisi ambae atakua wa hekima na mwenye roho wa utu 2022 .twakupenda nchini Kenya kwa kazi yako nzuri. Mungu aibariki Tanzania.
@peterndossy3008
@peterndossy3008 4 жыл бұрын
Hakika Uncle Magu nakuelewa sana MUNGU Aendelee kukutunza👏👏👏
@seraphinembila6745
@seraphinembila6745 5 жыл бұрын
akika nahamini tanzania mumebarikiwa kiongozi bora duniani raisi anayependa watu wake bila ubaguzi natamani niwe mtanzania ilabasi tena congo inabowa ata raisi wangu anijue
@eliaisaya514
@eliaisaya514 4 жыл бұрын
Karibu sana
@HP-du9tn
@HP-du9tn 3 жыл бұрын
Poleni
@seadogs4460
@seadogs4460 4 жыл бұрын
Wallahi kweli ni Rais wa watanzania,im so proud of you Mr president,you deserve the 2nd term kuwa Rais wa Tanzania na mungu akubariki,2020 kura yangu wewe chukuwa
@roselinendegwa2158
@roselinendegwa2158 3 жыл бұрын
Waaaw you'll be remembered generation to generation. JPM rest in peace
@robertkizito8656
@robertkizito8656 2 жыл бұрын
Rest In peace JPM
@hezy7595
@hezy7595 3 жыл бұрын
Safiri salama Baba Magufuli.Mimi mkenya lakini nitakukumbuka sana kwa mfano mwema ulionyesha duniani.God bless you
@christinesulle5051
@christinesulle5051 3 жыл бұрын
Safiri salama baba yetu Rais wa Africa yetu Milele utabaki mioyoni mwetu daima J.P.M
@mohamedakrabi4801
@mohamedakrabi4801 3 жыл бұрын
Much respect to Mr. President. You never forget where we were and those devoted to our country. Capt Mapunda and Mfugale are live examples. May you continue with same spirit and strength. Will continue to pray for you, future leaders and our beloved country. Mungu Ibariki Tanzania.
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 5 жыл бұрын
Sijawahi tuma comment Leo numeguswa baba kwa stahili hii songa mbele daima ni vizuri Sana kukumbuka wazalendo na wahasisi wa nchi hiii nasema asante
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 жыл бұрын
Yaani mhe Magufuli mie nafurahi ndani ya roho. Hakika umebarikiwa Imani na Fadhila. I cant wait to meet you hakika watapata kigugumzi walotuonea haki yetu mimi na wenzangu. Najua siku itafika Inshallah.
@khatibalamin401
@khatibalamin401 5 жыл бұрын
Apo wadau watatengeneza fursa. Siti ya mapunda atapewa Juma 😤😅😅 ole wenu😣😮😮
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
What a President he was💞 🎩👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 5 жыл бұрын
Mzee naomba tusaidie sisi , kwa safari za ndani nauli iwechini kidogo
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 жыл бұрын
Hon Magufuli, hehehehe, I like the way he recognises his patriots one by one.....
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 жыл бұрын
Raha sanaaar....Ebu Mke wa mapunda aje hapa 😍😍😍😍😍😍
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kuimarisha afya yake raisu wetu
@sakinayusuf5072
@sakinayusuf5072 5 жыл бұрын
Aamin
@johnmorrisnyagado6364
@johnmorrisnyagado6364 5 жыл бұрын
I love this.
@khalfanabdallah5360
@khalfanabdallah5360 4 жыл бұрын
Kiongozi bora ni yule anaewapenda watu wake nawao kumpenda yeye 🇹🇿 twakuombea kila jema na iwe mfano kwa watakao kuja
@josphatkirui7732
@josphatkirui7732 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂,hapo nakubali Makufuli!,unawakumbuka kule mumetoka.Mungu akubariki !.
@bosszulu245
@bosszulu245 3 жыл бұрын
Heaven sent,Mr Maghufuli.
@sebastianngimba4850
@sebastianngimba4850 5 жыл бұрын
dooo miaka mingi sana alipo Iba ndege kule kenya,maRais woote wamepita kimya kama hawamjui,magu kiboko yao mafisaidi.ocd mlinde sana mzee wetu aliyetuibia ndege kenya.
@honourableboy6106
@honourableboy6106 5 жыл бұрын
kweli
@hassanmpwepwe8258
@hassanmpwepwe8258 3 жыл бұрын
God bless my present jpm god bless Tanzania
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 4 жыл бұрын
Da mimi sijui nisemeje magufuli Mungu akulinde sana kwa kuwakumbuka mashujaa wetu love you saaaaaana Rais wangu magufuli
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
nawapenda Sana wazalendo woteee, TANZANIA kwanza kwani huwezi jua kesho Asante JPM Asante mzee mapumda
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg Ай бұрын
KWELI WASUKUMA TUNAUPENDO.
@e.jack.47
@e.jack.47 3 жыл бұрын
Rewarding experience and merit promote n provokes patriotism
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Nani kama huyu Tanzania. Jibu-hakuna Mungu akuone. Amiin
@januarymwingwa2962
@januarymwingwa2962 4 жыл бұрын
Nataman awe anasoma comments asee mzee wetu ww Ni binadam wakipekee sana Mungu akupe umri mrefu uzidi kusaidia wanyonge na waliosahaulika
@afandehassan1
@afandehassan1 4 жыл бұрын
Mwenyeezi Mungu akupe afya na umri mrefu rais wa Marais JPM
@sylvanussebastian6209
@sylvanussebastian6209 5 жыл бұрын
Kwa kweli sion ubaya wako kwa sababu baya moja mazuri 99 lini na saa ngapi nitaona ubaya wako!!!ni wakwanza kulipa fadhira na kumpa mtu heshima anayostahili akiwa bado anaishi hivyo kumfanya mtu ajivunie kuwa mzalendo wa Taiga lake
@iconnectafrica1840
@iconnectafrica1840 5 жыл бұрын
Napenda sana kutoka Kenya
@shadjimmy2766
@shadjimmy2766 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani raisi wangu hakika nina kidonda😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻
@hemed4064
@hemed4064 4 жыл бұрын
hahah, eti asiwe anasafiri kila siku, nimecheka mwe...
@lomulendavid8283
@lomulendavid8283 4 жыл бұрын
Always excellent
@christopherowino1816
@christopherowino1816 5 жыл бұрын
Global TV, pia mubarikiwe kwa kazi mzuri,
@yagadizzo8632
@yagadizzo8632 3 жыл бұрын
We will miss u forever😢😢😢😢😢
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 4 жыл бұрын
DAH : MZEE HUJA TEGEMEA HATA NDOTONI
@jumbeink3173
@jumbeink3173 4 жыл бұрын
Dah sio mchezo
@jamesgitahikahuro2443
@jamesgitahikahuro2443 4 жыл бұрын
Magufuli wewe! Mingi akubariki sana. Kuna wengi viongozi hawajali mwingine ila wao na jamii zao wenyewe.
@maasaione6474
@maasaione6474 3 жыл бұрын
God give us another one like this one.The last breed of good African leader
@josphatmichori1455
@josphatmichori1455 3 жыл бұрын
Lala salama Magufuli 🙏
@halisiaisaya7832
@halisiaisaya7832 5 жыл бұрын
Mungu hakubariki Rais wetu
@saalimmohammed3256
@saalimmohammed3256 5 жыл бұрын
Halisia Isaya : complicated speech or bad writing " hakubariki".
@sulaimankalisa7247
@sulaimankalisa7247 3 жыл бұрын
Kind hearted president RIP@JPM u will always be remembered dear
@nickyrude5766
@nickyrude5766 5 жыл бұрын
wat do we have to do to get such leaders??? much love from +254
@ramadhanimsuya842
@ramadhanimsuya842 4 жыл бұрын
Maguful you are the best
@wanjiruwathuo3643
@wanjiruwathuo3643 4 жыл бұрын
Rais Magufuli Wakenya Twakupenda Bure. ..Hongera Baba Taifa
@ukombozimiracle8332
@ukombozimiracle8332 4 жыл бұрын
Tanzania tuna kila sababu kumshukulu Mungu kwa Ris alie tupatia
@mohaz612
@mohaz612 5 жыл бұрын
Kapande za jeshii.....😂😂😂hamna rais kama magufuli namkubali sana mheshimiwa
@lavenderlucy3444
@lavenderlucy3444 5 жыл бұрын
Nakupenda tu bure raise makafuli
@user-fi9ot6xk8l
@user-fi9ot6xk8l 4 ай бұрын
Mungu amrehem jpm
@chechelawasafi3409
@chechelawasafi3409 5 жыл бұрын
Bonge moja la Rais atokuja tokea kama ww
@missmoresa8854
@missmoresa8854 5 жыл бұрын
na kweli wengine tulikuwa atujui leo tumejua abarikiwe sana
@edwinshigongo3213
@edwinshigongo3213 4 жыл бұрын
Nakubaliana nawew
@ellyayieko357
@ellyayieko357 3 жыл бұрын
In my country the ones who would be entrusted with guarding the man would be the first to betray him
@sengendotwaha9333
@sengendotwaha9333 5 жыл бұрын
Thx Mr president
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
MashaAllah. Safi kabisa!😘🤩🤗👍
@muganziivankaganzi.7300
@muganziivankaganzi.7300 5 жыл бұрын
Asante Sana mshimiwa
@saloujohn3639
@saloujohn3639 5 жыл бұрын
Hhehehehehe Mzee mapunda wa kwetu songea ,mjomba magu asante sana kwa kazi nzuri
@wanjauanthony9582
@wanjauanthony9582 5 жыл бұрын
Hii ni pesa ya raia, angetunzwa kwa meadli wala si pesa.
@wolfhelmgothom6641
@wolfhelmgothom6641 5 жыл бұрын
Akina Mapunda Kama mm mikono Juu
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Tupo
@richardburengengwa6998
@richardburengengwa6998 3 жыл бұрын
Mfanya wema hadumu ukiwa na MA Rais 10 kama magufuli Africa inageuka Europe onetime within 10 years ruling the countries
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 7 ай бұрын
Daaaah eh mungu
@christopherowino1816
@christopherowino1816 5 жыл бұрын
Magufuli, nadhani mungu anakutumia kwa njia ya kuing'arisha TV, nitakuita Musa aliye ongoza manaisraeli jangwani.
@alifarah6742
@alifarah6742 5 жыл бұрын
Mzee Mapunda usisafiri kila sikuu
@sakinayusuf5072
@sakinayusuf5072 5 жыл бұрын
Hahahaaa kamchomekea kabisa
@sylvestermsafiri4372
@sylvestermsafiri4372 5 жыл бұрын
Kwa kweli anastahili sana huyu mzee kupata tuzo na heshima hiyo!
@zachariahtomemba9070
@zachariahtomemba9070 3 жыл бұрын
Hongera Sana Mtukufu Rais
@happypro3212
@happypro3212 5 жыл бұрын
I love so much the tanzanian president Magufuli
@frankaruiz2310
@frankaruiz2310 2 жыл бұрын
daaah lala salama mkuu
@barakaakyoo1905
@barakaakyoo1905 4 жыл бұрын
Nimefrayi Sana ila nawew mzemapunda usiwe unasafiri kila siku
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU mkuu zidi kuturindia raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu
@joshuasabasi3118
@joshuasabasi3118 5 жыл бұрын
Athuman Omary mungu wa mabomu au
@omarmsellem9969
@omarmsellem9969 4 жыл бұрын
Hongera magu saluti
@frankjulius7978
@frankjulius7978 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mh Rais wangu
@elisantemollel3525
@elisantemollel3525 5 жыл бұрын
Taarifa ya habari
@suleymanally4729
@suleymanally4729 4 жыл бұрын
Mama mapunda!! 😂😂😂😂😂
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Nimecheka mpka nataka kujamba
@allymohamed3090
@allymohamed3090 3 жыл бұрын
We will forever mic u our president, magufuli "gone but never forgotten"
@richardphilipo312
@richardphilipo312 5 жыл бұрын
BIKO IYO
@edwinshigongo3213
@edwinshigongo3213 4 жыл бұрын
Magufuli tawala daima
@gibsonndegwa9205
@gibsonndegwa9205 5 жыл бұрын
Hilikuwa ndege ya East African community wakati muungano ulifunyika
@abdinoorshariff4321
@abdinoorshariff4321 5 жыл бұрын
Kenya waliiba tatu
@alexmaige1450
@alexmaige1450 3 жыл бұрын
Dah, barikiwa raisi wetu
@ericmuthurimaitethia8044
@ericmuthurimaitethia8044 3 жыл бұрын
Tumempoteza kiogozi wa maana sana hata siwezi kukadiria huku kwetu waliopigania mau mau bado wanaishi kwa umaskini mkubwa
@enosokothetyang
@enosokothetyang 3 жыл бұрын
Wooow! John Pombe Joseph Magufuli! Lala pema baba!
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 5 жыл бұрын
Ka 10m Cash sio check mmhh
@siasabora
@siasabora 5 жыл бұрын
Mapunda panda ndege ya bure njoo Nairobi.....tuna chumba bed n breakfast Kamiti
@jay-mn7cs
@jay-mn7cs 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂watani zake Magu unaweza kuta ameoa mke mdogo, na kweli anamke mdogo 😂😂😂😂🙌
@fundieddy3490
@fundieddy3490 5 жыл бұрын
Rais Magufuli ni ZAIDI ya MARAIS WOTE. NINAMPENDA SANA.
@eriqueettours6011
@eriqueettours6011 5 жыл бұрын
La..hiyo hela nairobians masaaa mawili wamemaliza ijummaa
@mohammedzahiry5889
@mohammedzahiry5889 3 жыл бұрын
Uongoz wa Nyerere umexhuhudia?
@mohammedzahiry5889
@mohammedzahiry5889 3 жыл бұрын
Uongoz wa Nyerere umexhuhudia?
@karhikalembo3014
@karhikalembo3014 5 жыл бұрын
Naomba Mapunda aje atembeleye Majeshi ya Congo na Wafanya siasa wa Congo, pia na wewe Magufuli, Ubaya gani tunayo kwako? kuje tembeleya DRC tunakupenda!!!! na Uchunge kijana wako Felix...
@langatouch4677
@langatouch4677 3 жыл бұрын
Kwaungozi wako jpm Mimi najitoa.kwenye uzarendo mpaka ujuee maanaa ya democracia na.bado utakamatwa wewe. Jpm pombe mbovu toatoa hizo kodi zetu wa tz unajifanya zako utakufa kama nkurunzinza wa.Burundi utafatia wewe jpm ameni mungu yupo amina
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 5 жыл бұрын
Nimegundua kit kwa Bab Magu ni Rais anaei wataft watu waliosahauliwa ambao walifany kazi ngum San katk Kuwa Wazalendo wa nchi yao Honger San kiongoz unae jali wanyonge walio sahauliw
@kamugishajackson5501
@kamugishajackson5501 4 жыл бұрын
Umeonae
@manselimartni5608
@manselimartni5608 5 жыл бұрын
Mzee mapunda anza safari moja kupanda Air bus kwenda ughaibuni Ila hongera sana Mr presdaaa
@friminamkenda7405
@friminamkenda7405 3 жыл бұрын
Umenifurahisha rais 💃💃💃💃💃
@aminatabakari2741
@aminatabakari2741 3 жыл бұрын
Nakupenda Rais wetu!!!
@elishajoshua4892
@elishajoshua4892 3 ай бұрын
I miss my late President .😢
ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu
12:21
Global TV Online
Рет қаралды 241 М.
"NAKUAGIZA MSIMAMISHE KAZI LEO, AMEUA, ETI ALILEWA, KHAA" - MAGUFULI
8:19
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 73 МЛН
Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo
4:05
Millard Ayo
Рет қаралды 825 М.
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 241 М.
AGIZO LA JPM: Kuhusu Mwanamke alieangua kilio mbele yake
8:28
Millard Ayo
Рет қаралды 253 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН