No video

Rais Samia Aguswa na Uimbaji wa Kwaya ya Cathedral Bukoba, Atoa Mil.3, Askofu Kilaini Aitangaza

  Рет қаралды 64,679

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 33
@deokimaro7177
@deokimaro7177 Жыл бұрын
hongeren sana Maaskofu na mapadre na masister na wana kwaya waumini wote tunawashukuru pia jugo media kwa kutufikishia
@neemataris3273
@neemataris3273 Жыл бұрын
Hongereni wanakwaya kwa uinjilishajj huu mzuri Mungu awabariki
@josephmwakabeta9087
@josephmwakabeta9087 Жыл бұрын
Safi Sana kwaya yangu. Nimewaona wote mpo na mmeimba vizuri.🌄🌄
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Жыл бұрын
Dada wimbishaji ni wa viwango vya juu
@martinleonidas4361
@martinleonidas4361 Жыл бұрын
Hongereni shirikisho la kwaya Parokia ya Bukoba mjini hakika Mungu ni mwema.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Uzuri wa Kanisa hili umenifanya niuone Utukufi wa Mungu ndani yake. Hongera Wanakwaya, hongera Jugo Media.
@JugoMedia
@JugoMedia Жыл бұрын
Asante sana
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Жыл бұрын
Wanakwaya wengi had raha
@wivinabarthazary6196
@wivinabarthazary6196 Жыл бұрын
Ongera sana wanakwaya kwa uimbaji nzuri
@esterpius7423
@esterpius7423 Жыл бұрын
Utukufu kwa Bwana Yesu
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Nimelikumbuka kanisa lanyumbani maskini 🙏🙏 nimepamiss Sana.🙏🙏🙏
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana!
@aniciakaboya3373
@aniciakaboya3373 Жыл бұрын
Sifa na utukufu Kwa Mungu mwenyeenzi na mwingi wa rehema.
@evamwambogolo3134
@evamwambogolo3134 Жыл бұрын
Jina la bwana lihimidiwe Sasa na hata milele Amina.Nyote asanteni sana
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 Жыл бұрын
Asanteni wanakwaya kwa kuimba vizuri
@theofilmhagama3361
@theofilmhagama3361 Жыл бұрын
Katoliki ni namba ONE
@josevictor59
@josevictor59 Жыл бұрын
AminaMungumwemasana
@labanotsieno3771
@labanotsieno3771 Жыл бұрын
The choir mistress is on another level
@graysonchanga488
@graysonchanga488 Жыл бұрын
Naomba jina la wimbo huu jaman mzuri bukoba amaen
@godlistenemanuel4329
@godlistenemanuel4329 Жыл бұрын
Mme pangilika mpo kwenye nidhamu ya kilitrujia. Mungu awabariki mno kwaya😍
@mdukuzibongo2040
@mdukuzibongo2040 Жыл бұрын
Title ya jina la Raisi rekebisha kidogo.
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
Hongereni wanakwaya kwa kuimba vzr Mungu abariki uimbaji wenu mzidi kumtumikia Mungu.
@amonidafa9665
@amonidafa9665 Жыл бұрын
Hakika mmeimba vizuri..Rais amevutiwa sana
@edoyoseph4606
@edoyoseph4606 Жыл бұрын
Rais wetu Samia hakika ww unayajuwa mazingira halis ya jamii unayoingoza big up mamaa M/Mungu akubark ajaze pale kwne mapungufu k
@user-wl5ze4rf8h
@user-wl5ze4rf8h Жыл бұрын
Vyema huu wimbo waitwaje
@eliudfelician5057
@eliudfelician5057 10 ай бұрын
Mtunzi ni Mwl John Joseph Mugango wa Kanisa kuu la Bukoba wimbo maalumu wa kumkumbuka Mwl Nyerere.
@agatalivigha104
@agatalivigha104 Жыл бұрын
Rais watu anastaili pongezi ameudhuria Ibada ya Misa Takatifu. Huyu mama kweli tumepata Kiongozi ambaye anaiweka Tanzania vyema
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Жыл бұрын
Syo ibada ni misa
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Жыл бұрын
Rais msikivu mwelewa cio m,Bangui,Ana hekima yA kupima mambo
@fr.deolyakunga4984
@fr.deolyakunga4984 Жыл бұрын
Hivyo ndiyo Kanisa Katoliki lunavyomsimika Rais Samia kuwa Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania (!!??). Askofu Kilaini amekuwa sasa Askofu wa Jimbo la Bukoba..??! Huyo ni , Staunch massenger of Ikulu. //Tutainea mbele na hali hii ya kuliuza Kanisa kwa Bei ya Mkwanja na RUZUKU za Ikulu. (Rais ametoa Milioni 3 kwa ajili ya Kwaya..!!) .
@angelsulle7177
@angelsulle7177 Жыл бұрын
DEO wewe sio Fr.na Wala SI mkristu, hakuna Fr. Mwenye wivu na kuongea matope namna hiyo, Rais alienda kwa sababu maalum. Mh. Rais HONGERAAAA!!!!!!!! Shikamana na maaskofu wakuombeee.wenye wivu wajinyongeeeeeee.....
@louiaambalale7898
@louiaambalale7898 Жыл бұрын
​@@angelsulle7177 kweli kabisa. Usilolijua litakusumbua. Hata hivyo ni vizuri kuwa mstaarabu kwa kutulia bila kuandika meseji yo yote. Kuliko kutoa matamshi yasiyofaa. Umemjibu vizuri.
NISEME NINI 'Live Version' || KWAYA YA SHIRIKISHO JIMBO KATOLIKI BUKOBA
6:09
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
Anastacia Muema- Wema Wako Wa Ajabu (Official Video)
4:32
Anastacia Muema
Рет қаралды 3,9 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 78 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
ASANTE YESU
6:06
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 7 МЛН
Maandalizi ya Mwisho ya Kwaya kusimikwa Askofu Bukoba
10:24
Radio Mbiu
Рет қаралды 6 М.
Malkia wa Mbingu
7:02
MT.AUGUSTINO-HIPPO NKUHUNGU
Рет қаралды 59 М.
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 78 МЛН