RC CHALAMILA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA NA MACHINGA, AAGIZA KUUNDWA KWA KAMATI

  Рет қаралды 14,882

Millard Ayo

Millard Ayo

9 күн бұрын

Пікірлер: 61
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 8 күн бұрын
Chalamila nilikuwa namwamini sana. Lakini baada ya kumsema vibaya JPM vibaya. Nilimumuona ni mnafiki na mchumia tumbo.
@patrickmuvendi142
@patrickmuvendi142 8 күн бұрын
Mkachifunze Rwanda machinga Wana maeneno yao wamejegewa kwa kuzungusha ukuta tu
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 7 күн бұрын
Bongo nyoso
@apolinarymboya3231
@apolinarymboya3231 8 күн бұрын
Machinga waende kwenye masoko yao watoke mbele ya walipa kodi tunatoka mikowani tunakosa uhuri wa kununuwa mali
@jofreyfungo1112
@jofreyfungo1112 8 күн бұрын
Chanzo Cha machinga ni Kodi kubwa.Machinga ni mtu anayeogopa kulipa Kodi na wanaodai Kodi wanabaki na watiifu wa Kodi Sasa wanazidisha kudai huku wakiogopa kudai Kwa machinga.Dawa punguza Kodi na maeneo yalioandaliwa Kwa ajili machinga kusiwe na Kodi yeyote ije Baadae nayo isiwe kubwa.
@pena_tz
@pena_tz 8 күн бұрын
mtu unaenda kkoo lakini unajikuta unapaki posta
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 8 күн бұрын
Hawa machinga wanakera mda mwingine utakuta machinga anamfata mteja hadi dukani kwako kwako kama una nyomi la wateja utakuta watano wameondokanao😅😅😅😅
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 8 күн бұрын
Machinga muwapishe wafanya biashara iri maduka Yao yaonekane mjiandae kuondoka kauli ya raisi ni Sheria
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
Na wachina wote waondokee kuuza kwenye maduka kama wazawa
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 8 күн бұрын
Serikali ifike sehemu ijue machinga ni yule mtaji wake chini ya m1, lkn m1.5 huyo ni mfanya biashara. Fanyeni hvyo mtakuja kunishukuru
@samyspesho1698
@samyspesho1698 8 күн бұрын
Machinga kiukweli ni kikwazo
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 8 күн бұрын
machinga mna mtetez anayejua changamoto zenu, hongera kiongoz wa wamachinga
@Piscesblair
@Piscesblair 8 күн бұрын
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ongea na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Uwanja wa Anatoglo utumike kuwandoa Machinga Kariakoo Katikati.
@user-om7vu3fn8w
@user-om7vu3fn8w 7 күн бұрын
una akili sana, utafika mbali
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 8 күн бұрын
Tatizo ni serikali machinga wanakuja wanawangalia2 mpaka inakua kerobaya zaidi hawalipi kodi na bado barabara wanaziba magari na watembea kwa miguu inakua kero
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 8 күн бұрын
HIVI MNATAKA WATU WASISHUSHE MIZIGO NA WASIUZE HILO NI SOKO AU NI UJINGA? SERIKALI TEGUENI HILO BOMU.
@SakayaG
@SakayaG 8 күн бұрын
Nadhani kuna umuhimu wa kuangalia nguvu ya mnunuzi. Mnunuzi akisimamiwa awe na risit akifanya kila manunuzi,inaweza kusaidia
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 7 күн бұрын
Nchi zinazoamini kuwa mwanasiasa ni mungu
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 7 күн бұрын
Acha loho mbaya
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 күн бұрын
MH. RAIS SAMIA NA VIONGOZI WAKUU WOTE NA WATENDAJI NENDENI RWANDA MKAJIFUNZE NAMNA YA KUENDESHA BIASHARA KWA WENYE MADUKA NA MACHINGA.....MSIONE AIBU KWENDA KWA RAIS KAGAME.
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 8 күн бұрын
Kabla ya yote, watambulike tuu ndo mwanzo Pick up wher Magufuli left off...hapo mmoja ana haki kuliko mwengine sababu hatambuliki
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 8 күн бұрын
Na pia ni kweli machinga ndo wawe kipaumbele kwenye vizimba.
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 7 күн бұрын
Acheni usenge
@user13375
@user13375 8 күн бұрын
😮😮😮
@msamanga2277
@msamanga2277 8 күн бұрын
Machinga wana bana magari yanayolipa kodi za barabara
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 күн бұрын
SERIKALI YA CCM INAWAOGOPA MACHINGA KWA SABABU ZA KISIASA.
@WilhelmPetro
@WilhelmPetro 7 күн бұрын
Mana ya mmachinga na mtaji wa mmachinga unaishia sh ngapi
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 8 күн бұрын
Matransporter pia ni kero mitaani
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps 8 күн бұрын
Minadhani mchinga wawe na sehemu wasipange bidhaa zao mbele ya maduka ya wenzao ,!
@muhamedbashir2661
@muhamedbashir2661 8 күн бұрын
Ata vyatu kariakoo dukani inauzwa 30000 na machingi wanauza 15000
@alvezog_3836
@alvezog_3836 8 күн бұрын
Serikali Yenu Ya CCM Ndio Chanzo Kikubwa Cha Haya Yote..
@alvezog_3836
@alvezog_3836 8 күн бұрын
Hivi zile Pesa Wanazokopaga Kutoka Nchi Za Nje zinaendaga Wapi?Barabara Za Mwendo Kasi Ya Mbagala Paka Leo Hakuna Mabasi,Wamachinga Ndio Hao Wanalalamikiwa Leo Dah Kweli Tanzania,,
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 8 күн бұрын
Ila kweli ukiwa na biashara halafu mtu aje apange mbele yako inauzi
@YassinRajabu
@YassinRajabu 8 күн бұрын
wamachinga oyeeee 😂😂😂
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 8 күн бұрын
Mchungaji chalamila hii imekaaje 😂😂😂😂
@sleymanshaffih-vj5pq
@sleymanshaffih-vj5pq 8 күн бұрын
Hapo ndipo machinga wa dar watakapo mkumbuka@ Mh makonda
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 8 күн бұрын
MACHINGA ASIZUIYE MADUKA KUINGILIKA. HAKI IZINGATIWE. ALIYEPA GISHA DUKA ASIZUIWE MBELE YAKE NA BIASHARA YA MACHINGA.
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
Mhe mkuu.wa mkoa hawa machingaa wamezibaa njia zote wakupita,masokoo nyingi zipo tupu hawataki kulipia kodi za vizibaa
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy 8 күн бұрын
Aache uongo huyo demu wa vyombo mpumbavu
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
Walipee.kodi zote hao wamachinga ndo tutuendaa vizuri
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 8 күн бұрын
Like soko la kariakoo lililounguaga nashauri lipewe wamachinga Kwa sababu machinga ni kifutio Cha Jiji na miji
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
Wanataka kila kitu buree,
@KarumeKindamba-lk1px
@KarumeKindamba-lk1px 8 күн бұрын
Wamachinga wataondoka iwapo watapata maduka ya jumla ambayo yatakuwa karibu na maeneo yao.Pili mmachinga ndio mnunuzi,muuzaji na pia ni mlaji wa bidhaa kwahiyo viongozi wa machinga hii ndio fulsa ya kutafuta wafanyabiashara ambao watawekeza maduka ya jumla iliwamachinga ktk mitaa yao watakayopangiwa wanunuewe hizo bidhaa.Nina Imani pakiwa na huduma muhimu ktk mitaa ya machinga hapatakuwa na maneno na machinga watahama wakiwa na amani.Nimatumaini yangu serikali ya ccm itapata mafanikio iwapo itaweka mazingara mazuri wamachinga kisiasa na kiuchumi.Kisiasa watapata kula na kiuchumi wamachinga watachangia Kodi.
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 8 күн бұрын
Jamani embu angalieni kichwa cha huyu chalamila kwa maana ya I,Q yake nyie mnae ongea nae mmemshinda uelewa kwa kiasi kikubwa na hakuna dalili ya kuleta ufumbuzi wa tatizo lolote la kitaifa kulingana na upeo wake
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
Watokee barabarani
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
Wee unaongea uwongo mbelee ya.mhe mkuu wa mkooa,mwongooo sana lipeni kodi hatutaingilia
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 8 күн бұрын
Boss ulikua unafoka vp tena hao mabos zako mkuu
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 8 күн бұрын
@@EmmanuelChrispin-bo5xh kalowa mbele ya kauli ya mhe.Raisi,ndo maana si alisema ataleta polisi sasa awalete kutoa wamachinga
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 8 күн бұрын
Serikali ikisha mtambua mmachinga kama muuza bidhaa anaye panga mzigo wake kwenye baraza au kandokando ya barabara Hakika ningumu kutatua changamoto baina yake na mfanya biashara. Kama mmachinga ni yule anaye tembeza vitu vyake kandokando ya barabara (not stationary ni mobile) tatizo serikali italimaliza. Anaye tembeza asibughuziwe ,ambaye ni stationary ana business premises sawa na mwenye duka. Sasa huyo aonyeshe mkataba wa kupangisha eneo alikoweka mzigo,alipishwe kodi kama kawaida au kubwa kwakumzuhia mwenzake etc. Mbona naona jambo ni rahisi. Ugumu wakutekeleza wazo hili nikwamba nikipindi kibaya cha uchaguzi
@ishengomanelson
@ishengomanelson 8 күн бұрын
Stop being political. Be pragmatic and forthright. Acheni lugha zisizotekelezeka. Kama wanaondoka, waondokeje, lini na wapi?, period.
@pena_tz
@pena_tz 8 күн бұрын
hiyo ngumu,2025 is around the corner 🤣
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 8 күн бұрын
😂
@benardmwinuka6948
@benardmwinuka6948 8 күн бұрын
Na ww nunua
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 8 күн бұрын
Machinga anaviombo vya kubeba fuso.wanajificha kupitia jina machinga.
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 8 күн бұрын
Siasa na machinga ni samaki na maji
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 8 күн бұрын
Machinga wanaaribu sana. Hata njia wanaziba, ni shida kwa kweli.mimi nina miaka zaidi ya mminne sijakajaga kkoo.kwa kuwa ni vurugu tupu
@yahayammbaga1839
@yahayammbaga1839 8 күн бұрын
Tungependa pia ushiriki wa Wizara ya Maendeleo ya jamii, kwa kuwa ndio Wizara yenye dhamana ya kuratibu na kusimamia Machinga nchini
@barakanatus5676
@barakanatus5676 8 күн бұрын
Wamachinga tuache hutani mnaharibu biashara za watu.
@FahadyabdallahTanzania
@FahadyabdallahTanzania 7 күн бұрын
Yan huyo mama kama angekuwa anazunguma akiwa hapa kariakoo Asingetoka salama. Kwa sababu anazungumza upuuzi Hao watu wa maduka wanalipia kodi ya frem mwezi 200 0000 million mbili Alaf ti machinga anakuja kwa gar alaf mfanya biashara anakuja kwa mguu
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 112 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 15 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 17 МЛН
MEA: Foreign Secretary Briefs on PM Modi's Russia Visit
36:26
The Indian Express
Рет қаралды 878
Biden gives closely watched speech at NATO summit
15:01
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 112 МЛН