RC Chalamila awaacha hoi Maaskofu na Mapadre / ''Visasi muachie Mungu mwenyewe'' Tuikwamue Kagera

  Рет қаралды 68,425

Radio Mbiu

Radio Mbiu

Жыл бұрын

Ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Cgalamila, alipokaribishwa kutoa salaam kwa waamini Wakati wa Misa Takatifu ya Jubilie ya miaka 25 ya Daraja Takatifu ya upadre kwa Padre Longino Rutagwelera Kamuhabwa. Misa iliyofanyika nyumbani kwao Mayondwe - Parokia ya Kagondo Jimbo Katoliki la Bukoba. Nakuongozwa na Padre Longino Rutagwelera.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Пікірлер: 287
@michaelkasogela7219
@michaelkasogela7219 Жыл бұрын
Kuungama ni muhimu sana mh Chalamila Mungu akubariki sanaaa
@user-dn5jb6so1m
@user-dn5jb6so1m Жыл бұрын
Mbona Kama Magufuli vile jamaan mnyongemnyongeni haki take mpen huyu mwamba namkubali Sana mnyalukolo piga kazi tu tunakuombea mema siku zote
@estermgata9617
@estermgata9617 Жыл бұрын
Yaani mnyalukolo Mwachalamila ninakukubali sana utendaji wako wa kazi. Yaani Inguluvi yikutangage hilo na yikulongolelage hilo bela
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 Жыл бұрын
Mnyalu ulonzile wunofu Hilo. Huyu MH. Challamila Mungu Ampe Afya njema hapo Kagera. Nyongise Hilo.
@justinemugwewa1583
@justinemugwewa1583 Жыл бұрын
Toka itiryo tarime mara tanzania Nawafuatilia online radio mbiu.
@user-dn5jb6so1m
@user-dn5jb6so1m Жыл бұрын
Duh huyu mwamba alikua wapi siku zote mbona Yuko vizur had siyo poa mnyalukolo nakukubali Sana Mungu awepamoja nawe
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 Жыл бұрын
Kuungama Huleta faraja na Baraka ya maisha. Hata zakayo mtoza ushuru alimuungamia Yesu
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Anaongea kama JPM. Anazijua Takwimu kama JPM. Namkubali sana tena sana mh. Albert Chalamila. Maybe, the President to be.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Kichaa kabisa
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Ай бұрын
Exactly 💯
@tumainmasuki7110
@tumainmasuki7110 Жыл бұрын
Powerful
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 Жыл бұрын
Hongera
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 Жыл бұрын
Point sana chalamila
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Safi mheshimiwa utawala unauweza kagera wamepata jembe
@reganantony8913
@reganantony8913 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@nyikaaron3324
@nyikaaron3324 Жыл бұрын
Kweli nimekuelewa
@paulmsape163
@paulmsape163 Жыл бұрын
Wengine wanaungama kwa waganga wa kienyeji
@grationkato7253
@grationkato7253 Жыл бұрын
Chalamila tusadie wana Kagera tupo nyuma yako
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Жыл бұрын
Hakika mh ,charamira Ni kiongozi
@mankacharles4559
@mankacharles4559 Жыл бұрын
Hakuna toba kwa mtu anaeonekana kwa macho,toba ya kweli na ya haki toba ni kwa aliteumba asie onekana kwa macho
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Huna sababu ya kubishana suala la Imani ni la binadamu na muumba wake. Hiyo unayodai ndiyo Toba ya kweli utaithibitishaje? Kumbuka Toba yahitaji dhamira ya dhati ya mtu binafsi kujutia dhambi ikiongozwa na imani. Hivyo mdhambi anayemwendea Padre kwa kitubia akiwa na dhamira thabiti ya kutubu na Imani kwa mang'amuzi thabiti ya kwamba Padre ni mpakwa mafuta , mtumiahi wa Mungu aliyepewa kazi ya kulichunga Taifa la Mungu, basi kama alivyopewa mamlaka ya kuwabatiza watu ili wapate kuzaliwa upya na kuwa wana wa Mungu basi anasimama vile vilë akifanya kazi ya ukuhani ya KUWAPATANISHA wanadamu na Muumba wao. Hii kazi hawajajipangia Mapadre kwa matakwa yao bali ni kazi waliyopewa na Mungu Mwenyezi kama mojawapo ya majukumu ya makuhani. Soma kitabu Cha wakali!
@rafaelpaschal2245
@rafaelpaschal2245 Жыл бұрын
Nimekupandisha cheo Sasa umekua dkt charamila
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 Жыл бұрын
Nimeneno ya msingi baba asikofu
@GregoryMlay
@GregoryMlay Жыл бұрын
Ktk top 5, inashika nafasi ya 26? Hapo sijaelewa vizuri.
@charleschagu7818
@charleschagu7818 Жыл бұрын
Yaani katika mikoa mitano ya mwisho kimaendeleo kagela ni ya 26
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Kwamba una wasomi wengi lkn maendeleo bado. Kamaanisha wasomi wapo mjini lkn kwao kupo nyuma
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Kati ya top 5 mikoa masikinibna kagera IPO na Niya 26 Kati ya 30 YENYEWE ya 26 kwabhiyo top 5 mikoa maskin kagera IPO aibu mkoa wa wasomi
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Жыл бұрын
Mnyalukolo kamwene
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Wako huku mjini kwao wamepasahau kabisaa
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 Жыл бұрын
RC KAGERA haina stendi ni vema ukalianza na hilo
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Je wewe hauiamini madhabahu ya Mwaposa?
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Ай бұрын
Hapana..hiyo ni ya mwanadamu..
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Hapo mh umechemka utakapotubu mbele ya binadamu mwenzio unategemea nini yeye mwenyewe mjadhambi huo ni ukichaa tu
@davidchambulila6318
@davidchambulila6318 Жыл бұрын
Padri nimuongozaji tu wamaungamo pia ni shahidi tu wamaungamo anayeondoa zambi ni mungu
@Expedito2512
@Expedito2512 Жыл бұрын
Bahati mbaya hujui vizuri! Siyo kutubu kwa mwanadamu. Chukua muda kujifunza jambo ili uliongelee
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 Жыл бұрын
Imeandikwa.Akawavuvia akawaambia.Pokeeni Roho.Mtakao waondolea dhambi wameondolewa.Je,wewe unapingana na maandiko matakatifu? Ishu tu alipoingiza udini hapo ndipo amekosea.Maandiko yanasema mtu haji kwa Baba ila kwanjia ya mimi sio kwanjia ya dini. Hakuna dini iliyoingia mkataba na Mungu kuwa yenyewe ndiyo dini sahihi na pekee. kuwapeleka watu mbinguni.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Pole na hongera
@grationkato7253
@grationkato7253 Жыл бұрын
Fata imani yako
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 128 МЛН
"WANYWE POMBE" | Kauli ya RC Chalamila iliyowavunja mbavu TRA
8:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 91 М.
CHALAMILA : NIMEOA ILI NIYATUMIKIE HAYO MAPENZI WANAYOSEMA NAPENDA
8:18
Gangana Info Channel
Рет қаралды 33 М.