RC TABORA AAGIZA KUKAMATWA KWA WATUMISHI 3 NA MMILIKI WA ZAHANATI YA HOSSIANA KWA KULAZA WAGONJWA

  Рет қаралды 18,666

Cg Online Tv

Cg Online Tv

2 ай бұрын

#CgOnlineTv
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa watumishi watatu na mmiliki wa zahanati ya Hossiana Mission iliyopo Manispaa ya Tabora kwa kufanya upasuaji na kulaza wagonjwa kinyume cha taratibu na miongozo ya afya.
Mkuu wa mkoa Chacha, amesema baada ya uchunguzi watakaobainika kuhusika na matukio hayo wafikishwe mahakamani huku akimuagiza mganga mkuu kufanya ukaguzi kwenye zahanati na vituo vyote vya afya mkoani humo na kuvifungia vituo vyote vitakavyobainika kukiuka kanuni za afya.
Miongoni mwa waliokamatwa ni pamoja na kaimu mkurugenzi wa hospitali hiyo Sara Elias, mganga mfawidhi Ezra Masesu, mmiliki wa zahanati hiyo Dkt. Festo Jafari na daktari mmoja mstaafu ambaye hutumiwa kufanya upasuaji kituoni hapo.
Awali mganga mkuu wa mkoa wa Tabora Dkt. Honoratha Rutatinisibwa alimweleza mkuu wa mkoa kuwa timu ya afya ya mkoa ilibaini uwepo wa huduma za kulazwa wagonjwa katika zahanati hiyo kinyume cha taratibu na baada ya kufanya ukaguzi waliwakuta wagonjwa wawili waliopewa rufaa ya kwenda Bugando wakiwa wamelazwa na kuandaliwa kwa ajili ya upasuaji.
Mganga mfawidhi wa kituo hicho Ezra Masesu amekiri kuwapokea wagonjwa hao akisema aliwapokea wagonjwa hao kwa maelekezo ya mmiliki wa kituo hicho ambaye ni daktari wa hospitali ya Rufaa mkoa wa Tabora Kitete aliyeko masomoni.
Zahanati ya Hossiana Mission imefungiwa wakati huu ambao taratibu nyingine za kisheria zikiendelea kuchukuliwa.

Пікірлер: 102
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 ай бұрын
Kama hospitali za Selikari hazitoi huduma nzuri wana Nchi wanakimbilia sehemu ambazo wanahudumiwa nyie viongozi msio na akili tumia akili.
@user-um5uw9yo5q
@user-um5uw9yo5q 2 ай бұрын
Nimekuelwa sana muheshimiwa ni kwa nia njema sana afya sio kitu cha kuchezea mungu akulinde uje na huku kwetu tanga vipo vituo vya ovyo kama ivyo respect mkuu
@mashipeter4819
@mashipeter4819 2 ай бұрын
Mi najiuliza, Wananchi wamelalamika kuwa huduma mbaya au kuna nini?? Kama watu wanapata huduma nzuri waache waendelee.
@Safarinyumbi
@Safarinyumbi 2 ай бұрын
hyo dspensary iko vzr mno mkuu wa mkoa acha hyo mm nimetibiwa hapo wanahuduma zaid ya kitete yako
@chrismzumbwe
@chrismzumbwe 2 ай бұрын
sana sana watu wa tabora pigeni kazi
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 ай бұрын
Mkuu jifunze kwa Makonda...... Hiyo kiki haiko sawa ni suala la DMO kushauriana na wahusika
@BobNasa
@BobNasa 2 ай бұрын
Kiongozi wangu tatizo ni hospital kuu kutokuwa na usimamizi mzuri.
@user-ci8cg2cq3v
@user-ci8cg2cq3v 2 ай бұрын
Kutok hospital ya mkoa sio mantiki kwamba aende bugando mtu anaenda sehem anapotaka huwez lazimisha mtu akatibiwa anapotaka
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
Sometimes better things changed to badthings, forgive them😂.Rc chacha.we know you that you are doing well.
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q 2 ай бұрын
Hayo ni mambo ya kuchongeana, naamini ni zahanati ila imeshaokoa maisha ya watu wengi na vijana wameajiriwa hapo ila mishe za mjini inaumiza sana, angalia Binti mnaenda kumtesa
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 2 ай бұрын
Wekeninmazingira ya hospitali za serikali kwenye ubora, haya yote yasingetokea,
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa bwana kwani mgonjwa alivutwa kuja hapo?wagonjwa wenyewe ndio wanachoice waende kutibiwa wapi😊
@JosephuSwai
@JosephuSwai 2 ай бұрын
Muwape onyo na malekezo sio kufunga kituo wakati huwezi kuwaajiri hao wafanyakazi mnajua kufunga tu mtu kajitahidi kufika ata apo badala mumsadie ili awasaidie walala hoi mana nyie hamtibiwi hapo
@joetemu8127
@joetemu8127 2 ай бұрын
Kama wako vizuri shida iko wapi wanatibu vizuri hiyo ndiyo swali
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 2 ай бұрын
SWALI ZURI SANA.NA JE,KAMA MGONJWA AMEONA ZA SERIKALI GHARAMA KUBWA NA HAWATOI HUDUMA KWA WAKATI...LUGHA MBOVU,WAENDE WAPI?
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 2 ай бұрын
Taratibu ndiyo kila kitu katika yetu, tambuen na kila kitu kina miongozo yake
@EvodiaDominic
@EvodiaDominic 2 ай бұрын
Kikubwa watu wanatibiwa na kupona, shida iko wapi???!!!!! Hiyo kitete unayoisemea inahitaji rushwa ndo upatiwe huduma vinginevyo utafia mapokezi
@mamajay393
@mamajay393 2 ай бұрын
Mmhh kweli namimi walikula pesa yangu iliniuma Sana Mungu kanilipia
@husseinfundikira3616
@husseinfundikira3616 2 ай бұрын
Sasa mtu kama kafika na katibiwa na osptr ya kitete imeshindwa kunashida mkuu mbona ujauliza wangapi wamepita hapo na walikua na matatizo yaliyo shindikana kitete hapo wakapona
@HasaniShija-ye5xg
@HasaniShija-ye5xg 2 ай бұрын
Kazi ienderee nisomekama mnyamwezi kutoka jijini dar,es salaama tz
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 2 ай бұрын
Ujinga tuu
@andrewsadock4468
@andrewsadock4468 2 ай бұрын
Wanafiki wapo wengi ofcz
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g 2 ай бұрын
Hakuna watu hawapendanagi kama watu wa Afya wanafitina sana mi naona wivu tu wautendaji wa kazi baada yakuona private inafanya vizur kuliko gavament mchongo huo!
@humphreymwaipaja6784
@humphreymwaipaja6784 2 ай бұрын
Hii nchi bna
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 ай бұрын
Duh kuokoa maisha ya mgonjwa tatizo! Hebu acheni hizo mambo!
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 2 ай бұрын
Ila wakishindwa kuokoa utasemaje napo!
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 2 ай бұрын
Ivi mgonjwa ashindikane hospital ya rufaa kisha dispensary ndio ije imalize tatizo lake uko sawa kweli ndugu!
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 2 ай бұрын
Kama wanatoa huduma vizuri basi sioni sababu yakusumbua ..!! Serekali makini, viongozi makini wanawaongezea nguvu na kuwa support hata kama nikwa mkopo wa mda flani ..!!!
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 2 ай бұрын
Acheni kusapoti mambo yasiyofaa labda ni kwakuwa haujawahi kumpeleka mgonjwa kisha akapata tatizo ndio maana unaona sawa zahanati itabakia kuwa zahanati tu hata kama watu hawajalalamika, mtu kapewa rufaa ya kwenda bugando wao wanakaa nao ni sahihi kweli
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Baadae wampe bili kubwa
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 2 ай бұрын
Kitete ilivyo nausumbufu sasa pesa mbele
@SylvesterAmbokile-ur2vd
@SylvesterAmbokile-ur2vd 2 ай бұрын
Sasa nani alimleta hapo kwani wenye dispensary walimuiba huko alikokuwa na kumleta hapo?
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 2 ай бұрын
Rc hapo Umefail Sana.
@samuelboniphace6343
@samuelboniphace6343 2 ай бұрын
Siasa acheni kuingilia afya, Watu wanafuata huduma CYO rufaa kama kuna madaktari wanaweza kumfanyia upasuaji kwa nini wasifanye kama wamejiridhisha wanaweza, na mazingira ya kufanya yapo, kumbukeni kituo kimetoa ajira mnakifunga watu wataishije ,na pia kuna watu wanategemea huduma hapo wataishije,
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa nasutiyako yakicheni pat hovyo kabisa
@JuniorLema-vk8me
@JuniorLema-vk8me 2 ай бұрын
Kama Kuna wengine watapoteza malengo yenu halafu kumtibu mtu nikosa au mnafatilia kwa sababu mmeambiwa muinuke maofisini mnamuiga mh. Makonda 😢
@costamasuba1099
@costamasuba1099 2 ай бұрын
Kagua huduma za kitete ,hospitali ya wilaya,umeangalia upande wa makosa ila angalia na upande wa zina yookoa maisha ya watu,
@azolidamasi9460
@azolidamasi9460 2 ай бұрын
Tunaponea wapi kama sehem zakukimbilia mnazifunga hawana makosa hao nnawatesa t hao
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 2 ай бұрын
Nakama uduma zao ziko vizuri
@mussamsilangamunubimussa2009
@mussamsilangamunubimussa2009 2 ай бұрын
Kumbe amna waganga ninyi
@JOYCENHANDALA
@JOYCENHANDALA 2 ай бұрын
Acha ujinga mkuu hata mm nmeshuudia vifo vingi sana vituo vya serikali kwann nisiende kwa watu wanaojali afya ya m2 na je mgonjwa hyo x akamatwe kwann alienda apo
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 ай бұрын
Kwanini nanyie msie na madaktari bingwa?mkoa mkubwa hauna madaktari bingwa.
@goodluckkapinga2677
@goodluckkapinga2677 2 ай бұрын
Huyo mgonjwa kaenda mwenyewe 😂😂😂 changamoto iko wapi ila makonda ndo kiboko yao
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h 2 ай бұрын
Kwan kuna kifo kimetokea me sion tatizo .tatizo ni hospital za serikali usimamizi mbovu ndo chanzo cha watu kukimbilia huko
@azariamarembo3653
@azariamarembo3653 2 ай бұрын
Sasa kama unatoa rufaa na ugonjwa unaotibika zahanati au which doctor kwa nini nisiende kuliko kwenda kuharibu pesa rufaa
@obadiakimaro6375
@obadiakimaro6375 2 ай бұрын
Kwali madaktari bingwa huwa wanatumia dispensary km part-time job jambo hili lipo sn tu,
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 2 ай бұрын
Huyu ataküa ni mkuu wa kijiji siyo mkuu wa mkoa
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 2 ай бұрын
Hapo kuna kuchomeana, na pia hospitali za serikali zimejaa rushwa, kiburi na majivuno,,, kwanini wenye pesa wasikimbilie wanapoweza kuhudumiwa vizuri.... Ndo maana hata watoto wanatolewa shule za serekali na kupelekwa shule binafsi....
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 2 ай бұрын
Hao vijana mnawaonea,wao wanafuata maelekezo
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 2 ай бұрын
Tuna penda kuwekeza huduma za afya ila viongozi wetu Wana fuatilia vituo binafsi ila za serikali inafanya madudu balaa
@williammatata2611
@williammatata2611 2 ай бұрын
Inaonekana ni chuki za watu ndio wamesababisha tu ,kama hzo procedure zinafanyika vizuri Kuna shida gani ,forgive them real they will change
@GloriaChrisostoms
@GloriaChrisostoms 2 ай бұрын
Shida ni kwamba zahanati zina tibu opasavyo gov hosp mnajua kujaza bill tu
@maswamills3161
@maswamills3161 2 ай бұрын
Mbona wengine wanaandikiwa rufaa wanaenda kwa waganga wa kienyeji ???😊nako mfuatilie.
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 2 ай бұрын
Udobefu sana huo, ajira hakuna na huduma hakuna
@stuartkivava9247
@stuartkivava9247 2 ай бұрын
Samia toa huyu RC ata kuhoji tu shida
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Mwenyewe haoo sijaelewa,sema kosa lao ni kulaza na kufanya upasuaji,ila mtu kuandikiwa referal kwenda hospitali nyingine halafu hasiende na kwenda kituo kinginè,sioni kama ni shida ni uamuzi wa mtèja.
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 2 ай бұрын
Watu wanaumwa jamani serikari laza sekita binafisi ziwasaidie
@luhendenkinga6731
@luhendenkinga6731 2 ай бұрын
Mmmmm
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 2 ай бұрын
Ila bhana hii nchi ngumu sana, km mahakama inahukumu mtu kwenda jera na inampeleka yenyewe kule gerezan. Mgonjwa anapewa rufaa halafu ajipeleke yy bugando
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 ай бұрын
Wakuu wa mikoa jifunzeni kwa makonda kufatilia vitu vya kimaana
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 ай бұрын
Mgojwa mwenyewe kataka,na mmechongeana,na umaskini, serikari bima za vifulushi wananchi hawana uwezo
@obadiajuma436
@obadiajuma436 2 ай бұрын
Hayo nimasifa yasio namaana
@allykassim1120
@allykassim1120 2 ай бұрын
Mzee hapo umebugi sio Cha maana icho umepunguza huduma Kwa maskini ishu jiulize kwnn wagonjwa wanaenda hapo inamaanisha pako sawa!
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 ай бұрын
Serikali,mda mwingine msionee watu.Zipo zahanati nyingi zinalaza msione hiyo.Kikubwa mgonjwa anakuja mwenyewe havutwi na kamba.
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 2 ай бұрын
Mlitaka agenda kwa mganga wakienyeji au
@k2plusstudio858
@k2plusstudio858 2 ай бұрын
Hao wagojwa wameenda Kwa miguu Yao wenyewe pia hospital inspotowa rufaa ndio wanapeleka wagojwa kwenye rufaa
@stuartkivava9247
@stuartkivava9247 2 ай бұрын
Wemkuu wa mkoa kamuhulize mhusika hayo maswali
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 2 ай бұрын
Hospital zenu hazina huduma zinazofaa ndio maana watu wanakimbilia hosp binafsi
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 ай бұрын
Bora makonda anafatilia vitu vya maana ssa kama hospital inatoa huduma nzuri tatizo nini au kuna. Mtu kafa
@MiddyTuesday-on8jp
@MiddyTuesday-on8jp 2 ай бұрын
Yan bora hata hiz zahanat zina huduma nzur kuliko hizo hospital za serikal uozo mtupu
@urbanmission3072
@urbanmission3072 2 ай бұрын
MBONA HUYU DADA ANAULIZWA ANAKIELEZA LAKIN HASIKILIZWI? HEBU WATAFUTWE WATAWALA VIJANA PIA AMBAO WATAWEZA KUHUSIKA KTK KUHOJI WATUHUMIWA N.K
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 ай бұрын
KWANI WAMEUA MTU AU WAMEMTIBIA MTZ? HIZO NI KIK TU WATU WANAFIA KTK FOLENI NA HAMSEMI KITU , VICHWA VIOVU TU.
@petro8010
@petro8010 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa watake radhi bodaboda siyo malay man wengine ni wasomi kabisa graduate lkn ni bodaboda
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q 2 ай бұрын
Huu ni mchongo
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 2 ай бұрын
Kosa ni la mgonjwa mwenyewe
@shortverses1604
@shortverses1604 2 ай бұрын
NI NANI ANAYESTAHILI KUFIKISHWA MAHAKAMANI HILO NDIYO SWALI LENU NYIE.
@ahazinelson6351
@ahazinelson6351 2 ай бұрын
Hizo hospitali za serikali ni uozo mtupu huduma mbovu,kweli hospitali ya rufaa ya mkoa haina mtalaam wa mifupa? Hata huyo RMO hana hata aibu kuongea huo utumbo.
@RajabuMaganga-ob4yh
@RajabuMaganga-ob4yh 2 ай бұрын
Mkuu mgonjwa kaja mwenyewe na matatizo yake kaja kutibiwa yeye mfuko wa mgonjwa ndo kaona hapo panastahili yeye kupona
@obadiajuma436
@obadiajuma436 2 ай бұрын
Kwanini mgonjwa hakuenda bugando akaendahapo waohawakuenda
@user-ir5ch7in4w
@user-ir5ch7in4w 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoaa anasema nyie mnatoa rufaa hata hajui
@Safarinyumbi
@Safarinyumbi 2 ай бұрын
mkuu wa mkoa atakuwa na bifu na mmiliki mana nae anafanya kazi kitete
@obadiajuma436
@obadiajuma436 2 ай бұрын
Kwani kwaospitali za serekali hawafi
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 2 ай бұрын
Wanachi huko nje wanashida kibao .
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 2 ай бұрын
Bolesheni huduma kitete watu tunateseka sana
@yonasimion3130
@yonasimion3130 2 ай бұрын
Chacha Mura, tabhatema
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 ай бұрын
Hajui lolote
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Shida yao kupiga pesa tu.
@afyayakouchumiwako.7886
@afyayakouchumiwako.7886 2 ай бұрын
Hakuna anaekamata mtu kupeleka zahanati.. mgonjwa kapewa referal lakin kaona pengine huko garama ni kubwa hawezi! Kaamua kupata huduma ya kwanza ni haramu? Je angerudi? Kitete? Pia serikali haya mambo inachangia kwa ukubwa sana bora hata waaenda zahanati wengi wanaishia kuabaki tu home na makaratasi yao ya referal.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Mefuata nyayo za makonda sasa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
TATIZO SERIKALINI MNAWAOMBA PESA NYINGI , MPAKA ZINAWASHINDA NDO MAANA WANAONA😢 BORA WAJISAIDIE KWENYE HIZO ZAHANATI. SASA JE HATA KAMA ANGEENDA HUKO ALIKOAMBIWA APELEKWE, NA AKIFIKA KULE HAFANYUWI MATIBABU MPAKA ALIPE GARAMA, AU AMUHONGE DAKITARI KWENYE HIYO HOSIPITALI. MWISHO WAKE WANAKUFA BILA HATA YA KUTUBIWA. SASA SI BORA WASAIDIWE HAPO , WALIPE PESA KIDOGO?. SASA MKUU WA MKOWA UMEWAKAMATA HAO , JE NA WALE WAGONJWA UMETOWA UAMUZI GANI? .UNAWASAIDIAJE ? NA HASA KAMA SHIDA YAO ILIKUWA NI PESA AU MALIPO KULE KWENYE RUFAAA. UTAWAACHA TUU WAENDELEE KUUMIA?. MAANA NI RAHISI KUWAAMBIA POLICE WAWAKAMATE HAO WAHUDUMU, WEWE KWAKO UNAONA UMEFANYA CHA MAANA. NA WALE WAGONJWA JE UMEWASAIDIAJE?. MAMBO MSIIGE.
@mussamsilangamunubimussa2009
@mussamsilangamunubimussa2009 2 ай бұрын
Kuna mambo ya kijinga sana unafungia huduma ili ww upate nini serekali yenu aitowi huduma acha hospitari zinazotoa huduma zitowe punguzeni ujinga ww umeteuliwa ww ni chawa wa samia
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 ай бұрын
Maswali ya kijinga kwani kuna mtu kafa hapo
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 2 ай бұрын
Nyie ni wajinga
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Mwenyewe haoo sijaelewa,sema kosa lao ni kulaza na kufanya upasuaji,ila mtu kuandikiwa referal kwenda hospitali nyingine halafu hasiende na kwenda kituo kinginè,sioni kama ni shida ni uamuzi wa mtèja.
@Safarinyumbi
@Safarinyumbi 2 ай бұрын
mkuu wa mkoa atakuwa na bifu na mmiliki mana nae anafanya kazi kitete
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 2 ай бұрын
Wanasaidia watu wengi hizi dispensary alafu mnakuja kuleta story zakijinga
@IgerekeRamson
@IgerekeRamson 2 ай бұрын
Sasa mwenye makosa na ni mgonjwa kwanini ameandikiwa rufaaa ya bugando harafu akala kosa akaenda dispensary naomba mliangalie hilo
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 9 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
Usiku wa Kuamkia Leo RC Hapi amuweka Ndani Diwani CHADEMA, KISA?
25:35
TAHA yazaa milionea mwingine wa parachichi mkoani Njombe
6:32
TAHA ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.
Record Volatility Surge | Bloomberg Surveillance | August 5, 2024
2:28:22
Bloomberg Television
Рет қаралды 6 М.