ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 33,177

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Mungu ni roho na katika kumtafuta Yeye tunamtafuta katika roho,lakini pia Mungu ni lazima awe halisi katika maisha yetu ili aweze pia kutambulika kwa wasiomfahamu.Mungu kuna mahali akikufikisha hata wale ambao hawajawahi kukuheshimu Yeye atakuheshimisha.Huyu Roho Mtakatifu hutufundisha yote na kutuongoza katika yote,kwahiyo tukitaka tufanikiwe rohoni na mwilini ni lazima tujifunze kufanya kazi na Roho Mtakatifu.
Ikiwa ni sehemu ya tatu ya somo hili la Roho Mtakatifu,karibu ujifunze namna ambavyo unaweza kufanya kazi na Roho Mtakatifu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...

Пікірлер: 60
@gracemlelwa4383
@gracemlelwa4383 Жыл бұрын
Nimepokea Roho mtakatifu na nimenena kwa lugha kwa Mara ya kwanza maishani mwangu.Mungu nakushukuru kupitia mtumishi wako ..
@neemachalamila590
@neemachalamila590 Жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza Leo nimenena ktk roho kwa muda mrefu,nguvu za Mungu zimeshuka isivyo kawaida, kinywa changu kimekamatwa nikawa nanena Lugha nyingine hata nilipojaribu kujizuia kwa kuwa sauti ilikuwa kubwa nilishindwa,Yesu mwema
@juliethcosmas
@juliethcosmas Жыл бұрын
Amen ❤
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 2 жыл бұрын
I'm really blessed,please mtumishi if you will come through this comment I need to see you in private,im watching life from gulf.
@catherinekisandu1492
@catherinekisandu1492 2 жыл бұрын
Hii series imeufanya moyo wangu umwogope sana bwana...hakika roho wa Mungu anatupenda
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
Nachojifunza hapa sijapata pengine.Mungu ambariki sana huyu Mtumishi
@flobad.mhubiri
@flobad.mhubiri Ай бұрын
Baba sunbella MUNGU wako aniwezeshe kuishi utakatifu
@official_maryrich346
@official_maryrich346 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sawa pastor sunbella kuna vitu najifunza
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 14 күн бұрын
Nimebarikiwa sana kupitia ujumbe huu
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Ameeen napokea roho mtakatifu anijaze upia tena Ameeen I wish ningelikuwa Tanzania one iwill come they ooh my God najua wingu la kazi limefunguka kwangu kwa jina la YESU KRISTO 🙏🙏
@richardsanga8641
@richardsanga8641 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu huwa nakuelewa sana. Mungu akubariki sana na akuongezee siku za kuishi ili uendelee kutuelimisha. Maana si wewe unayetuelimisha bali ni Roho mtakatifu aliye ndani yako.
@juliethscott1129
@juliethscott1129 3 жыл бұрын
Huwa namwuliza Mungu kwa nini sikukuona zamani maana maisha yangu yasingejaa huzuni ubarikiwe najua kwa wakati wa Mungu ukifika atatukutanisha.
@boniphasiemmanuel9706
@boniphasiemmanuel9706 2 жыл бұрын
Aimen
@mkaiphilip3597
@mkaiphilip3597 Жыл бұрын
Amen, napenda roho mtakatifu sana
@herbertthomas2489
@herbertthomas2489 2 жыл бұрын
Nimelifuatilia san hili somo hakik limenibadilish san,mungu akubaliki mtumish
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Oooh yes am watching in barhrain be blessed mtumishi najua mungu ataweka giza kuu kwa njia ya madui zangu wasinifikie wala kuniona 🙏🙏🙏
@neemamwambaja1856
@neemamwambaja1856 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana.nimeelewa vizuri
@saramartine7330
@saramartine7330 2 жыл бұрын
Napenda somo linalohusu holly spirit
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 8 ай бұрын
Asante Yesu
@momshadrack4772
@momshadrack4772 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa nzuri pst
@novidafredy2245
@novidafredy2245 2 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa mno
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi
@deliverancelifetestimonydl3908
@deliverancelifetestimonydl3908 Жыл бұрын
Powerful message
@jeremiamathayo8284
@jeremiamathayo8284 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mno mpakwa mafuta wa Bwana
@bethkamau6649
@bethkamau6649 Жыл бұрын
Always watching from Kenya and being blessed by your preaching and getting more understanding of the holy spirit
@eveotiato2210
@eveotiato2210 2 жыл бұрын
Following on the topic from Kenya, pastor I can testify you've been of a blessing to my sister and I, we've seen God in another dimension. The holy spirit is at work
@gracemlelwa4383
@gracemlelwa4383 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu Leo nimenena kwa lugha kwa Mara ya kwanza huu nimuujiza mkubwa sana kwangu
@petersingano637
@petersingano637 Жыл бұрын
Asante najifinza safi sana
@user-hq5tw8xk6j
@user-hq5tw8xk6j 6 ай бұрын
Amina
@penzilakaisi
@penzilakaisi 3 жыл бұрын
Biblia ni tamuuu
@angelakway973
@angelakway973 2 жыл бұрын
Pst u a blessing tome God bless you
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Hakika wewe ni mwalim nafurahi sana nikiwa nasikia mafundisho Yako mazuri Mungu akutunze
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Jefrin Nakuunga mkono kuhusu huyu Mwalimu wa Neno....Tutendee kazi mafundisho haya...
@mariamkasekwa2632
@mariamkasekwa2632 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
I really need to see the holyspirit in my finances.
@official_maryrich346
@official_maryrich346 2 жыл бұрын
Be blessed 🙏 pastor
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Amen *7
@petronilangula3525
@petronilangula3525 2 жыл бұрын
Amen Amen
@steliakyteisiehello6096
@steliakyteisiehello6096 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatia nguvu
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Very true servant of Jehovah, practicals are very important.
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
I need the holyspirit to work in every area of my life. This is very critical.
@eliyalucas2188
@eliyalucas2188 2 жыл бұрын
Be blessed
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Thank you Jesus 🙌🏿
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
@revocatusmatiku8662
@revocatusmatiku8662 2 жыл бұрын
Thank you man of God
@suzansuzzan5344
@suzansuzzan5344 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@roseneemamassawe-gv7oq
@roseneemamassawe-gv7oq 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@steliakyteisiehello6096
@steliakyteisiehello6096 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@rahelijeremia6212
@rahelijeremia6212 2 жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi
@eliakimyohana7996
@eliakimyohana7996 Жыл бұрын
Natamani siku moja nionane na wewe Mtumishi wa Bwana
@felestinekwamboka2873
@felestinekwamboka2873 2 жыл бұрын
Be blessed pastor for the great teachings I receive the Holy spirit in Jesus mighty name. Ameeen
@michaelmnzava5149
@michaelmnzava5149 Жыл бұрын
Mafundisho mazuri ssna
@mozzkamaru
@mozzkamaru 10 ай бұрын
Aiseee, What a deep Revelation . Learning so much
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 3 жыл бұрын
Amen Baba 🙏Nami nimepokea kama Mungu alivyotaka.
@thomasgervas8280
@thomasgervas8280 7 ай бұрын
Amina
@novidafredy2245
@novidafredy2245 2 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa mno
@suzaynalusambo7083
@suzaynalusambo7083 2 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Amen *7
@dionicyndelwa663
@dionicyndelwa663 2 жыл бұрын
Be blessed
@nicksimple8964
@nicksimple8964 3 жыл бұрын
Be blessed
ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE - Pastor Sunbella Kyando
1:30:43
Reality of Christ Church
Рет қаралды 28 М.
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 58 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 73 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
ROHO MTAKATIFU NDANI YETU
34:07
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
48:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
FINANCIAL TRANSFORMATION  (DAY 1 ARUSHA) - Pastor Sunbella Kyando
59:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 16 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 75 М.
Roho Mtakatifu Kiongozi amini. Nyimbo za Kristo No: 41
4:34
7T7 MINISTRY
Рет қаралды 140 М.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
SHULE YA ROHO MTAKATIFU-PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:08:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 77 М.
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 30 М.
JINSI YA KUACHILIA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO
1:18:40
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 43 М.
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 58 МЛН