Ufugaji Unalipa Ni Ukweli!!?? Christine Alianza na Kuku wa Nyama 200 Sasa anao Elfu 1

  Рет қаралды 17,537

RUBABA TV

RUBABA TV

Жыл бұрын

Ufugaji wa Kuku wa nyama unalipa pale ambapo utaamua kufuga kwa kufata kanuni za ufugaji Bora. Hii ni kwasababu kwanza Huchukua muda mfupi hadi kuuza lakini pia uhitaji wa Soko lake ni Mkubwa Sana.
Leo tupo Jijini Mwanza Ambapo tumemtembelea Christine Wabeya Ambaye yeye ni mfugaji wa kuku wa Nyama (Broiler ) Tumeweza kuzungumza nae kwa kina kufahamu na kupata maarifa ya kutosha kuhusu ufugaji huu
WASILIANA NASI KWA USAIDIZI ZAIDI
PHONE: +255764 148221 / 0679 148 221
EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
WEB: HTTPS://TANZANIANAKILIMO.BLOGSPOT.COM

Пікірлер: 16
@RubabaTv
@RubabaTv 6 ай бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera Dada
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 10 ай бұрын
😢😢😢yani wanasema eti hiz kuku zinakifaga hovyo 😮watu ni waongo 😊
@mwesigebandio9947
@mwesigebandio9947 9 ай бұрын
Yataka moyo kwanza ndio utapata faida ya kuku
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 10 ай бұрын
Jamani nisaidien na mm nataka niwe mfugaji 😢 maam hiz ajira zimenishosha kabisa
@RubabaTv
@RubabaTv 10 ай бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221
@yusramichael585
@yusramichael585 Жыл бұрын
Naitaji vifaranga boraaa pia kabla cjaingiza vifaranga naitaji kujua banda Bora la kulelea vifaranga
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi tukusaidie 0764148221
@kalumangachannel4760
@kalumangachannel4760 10 ай бұрын
@@RubabaTv nahitaji vifaranga
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 10 ай бұрын
Jaman mm mwenyewe nataman kufuga kuku wa broilers 😊,hiv milion moja inatosha jaman niomben kama mtyu anafaham aniambie budget
@latifarahim8992
@latifarahim8992 9 ай бұрын
Ndio
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 9 ай бұрын
Mbona millioni 1 ni mtaji mkubwa sana
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 11 күн бұрын
Hio inatosha kwa kuku 200
@christermlewa8471
@christermlewa8471 5 күн бұрын
Hiyo milioni Moja haitoshi kama huna Banda,Kuku 100 wanakula mifuko 4
@arnoldpaul-fp1js
@arnoldpaul-fp1js Жыл бұрын
nipo kaliua tabora naitaj kuanza kufuga kuku.....wapi nitapata vifaranga kiurahis
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi 0764148221
EPUKA MAKOSA HAYA ILI UFANIKIWE KWENYE UFUGAJI WA KUKU(BROILER)
12:41
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
BROILER WAMEINGIA HIZI HAPA DAWA ZA KUANZA NAZO🌹🌹🇹🇿🇹🇿
10:56
KADALAOFFICIALTV🇹🇿255
Рет қаралды 1,2 М.
KANUNI 7 ZA KUTENGENEZA MTEGO WA FEDHA! PART 1
30:57
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 209
USISUBIRI KUAJIRIWA, WAKILI WA MAHAKAMA KUU ATOA DONDOO ZA  UFUGAJI
29:52
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
TUMIA DAWA HIZI MBILI KWA BROILER HADI KUFIKIA SOKO/ KUUZWA🌹🌹
15:27
KADALAOFFICIALTV🇹🇿255
Рет қаралды 6 М.
Bajeti na faida ya kufuga broiler 200
11:19
Layers Pro
Рет қаралды 16 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН