SABABU YA YESU KUJA DUNIANI - Innocent Morris

  Рет қаралды 1,485

Holy Spirit Connect

Holy Spirit Connect

2 ай бұрын

SABABU YA YESU KUJA DUNIANI - Innocent Morris
Bwana Yesu asifiwe! Tumewawekea somo linaloitwa SABABU YA KUJA DUNIANI. Katika somo hili utajifunza mambo mengi sana. Utajifunza namna mtu anavyohesabiwa haki kwa njia ya imani katika Kristo Yesu, utajifunza tofauti kati ya dini na wokovu, utajifunza hukumu itakavyokuwa siku hiyo, utajifunza baada ya kifo nini kinatokea n.k kwa hiyo ni somo ambalo nimefundisha vitu vingi sana ambavyo mkristo mwenye shauku ya kujifunza Biblia atakuchukua muda wake na kujifunza.
Kwa hiyo ukipata muda wako mzuri, kaa chini chukua Biblia yako, daftari na pen 🖊, jifunze Bible Study hii. Hakika hutabaki kama ulivyokuwa. Utajifunza vitu vingi sana ambavyo vitakusaidia katika maisha yako ya wokovu.
Somo hili litakutia nguvu na imani ya kumwamini Kristo zaidi kuliko kitu kingine katika siku hizi za mwisho.
Karibu ujifunze somo hili la Biblia.
Somo hili lipo KZfaq kwenye Channel yetu ya Holy Spirit Connect.
Usisahau kushare na watu wengine.
Ubarikiwe sana.
Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
KZfaq Link:
/ holyspiritconnect

Пікірлер: 62
@happymangesho1139
@happymangesho1139 Ай бұрын
Watoto wangu wakujue wewe Yesu nakuyaishi mapenzi yako
@user-fb8so5nq5p
@user-fb8so5nq5p 2 ай бұрын
Nimempokea yesu mtumishi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen ameeen
@happymangesho1139
@happymangesho1139 Ай бұрын
Watoto wangu wafunguliwe kwajina la Yesu
@happymangesho1139
@happymangesho1139 Ай бұрын
Najiunganisha na ibada hiii kwajina la Yesu
@denisbongore3098
@denisbongore3098 2 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie unione ufalme wako pia neema ya kuombea familia yangu ikujue ww
@happymangesho1139
@happymangesho1139 Ай бұрын
Kupitia ibada hii Mungu usinipite
@rosejulius7756
@rosejulius7756 2 ай бұрын
Mungu hatuwezi bila wewe turehemu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@linetogega7626
@linetogega7626 2 ай бұрын
Amen amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@judithnaliaka972
@judithnaliaka972 2 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 yesu unapozuru wengine usinipite jehovah
@frolencialupilya6209
@frolencialupilya6209 2 ай бұрын
Amen mtumishi. Mungu Atukuzwe kwa kukufunulia Neno hili.
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen ameeen
@allenjohn4328
@allenjohn4328 2 ай бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@beatriceomino6266
@beatriceomino6266 2 ай бұрын
Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-mi8he4rp1s
@user-mi8he4rp1s 2 ай бұрын
❤amen
@Jenifa818
@Jenifa818 2 ай бұрын
Amen 🙏
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@alindaalinda4897
@alindaalinda4897 2 ай бұрын
Amina baba nimebailikiwasana
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@faithe4063
@faithe4063 2 ай бұрын
Amen pastor
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@jesusismyeverything1630
@jesusismyeverything1630 2 ай бұрын
YES I VIVIAN I AM PROUD OF JESUS; OOH MY LORD MY GOD
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@user-pn4wk3du3h
@user-pn4wk3du3h 2 ай бұрын
Amen mungu asante kwa kutupenda kwa kumtoa mwanao wa pekee nakuomba Yesu nisaidie ili jina langu likawemo kwa kitabu cha wafakatifu wako
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@Jefferson_Gospel
@Jefferson_Gospel 2 ай бұрын
AMEN
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@rosejulius7756
@rosejulius7756 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@user-fb8so5nq5p
@user-fb8so5nq5p 2 ай бұрын
Amen ❤
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@user-lq3xg5ti1s
@user-lq3xg5ti1s 2 ай бұрын
🙏amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Amen
@user-ey1ws9cb7i
@user-ey1ws9cb7i 2 ай бұрын
Amen Amen🙏🙏
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 ай бұрын
Amina Amina ubarikiwe Sana kwahii somo
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 ай бұрын
Ee Bwana Yesu Wewe ni Bwana namokozi wa maisha yangu
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@user-sp8iz3td3h
@user-sp8iz3td3h 2 ай бұрын
Amen amen nikumbuke mungu siku ya Leo napitia Mambo mingi nikiwa saudi
@beatriceomino6266
@beatriceomino6266 2 ай бұрын
Mungu atakuwa na ww don't give up my siz usichoke
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@rosejulius7756
@rosejulius7756 2 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi
@rosejulius7756
@rosejulius7756 2 ай бұрын
Na mimi nitavikwa mavazi meupe
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
Ameen
@user-cp2ru1ty8t
@user-cp2ru1ty8t 2 ай бұрын
Ameni ,kweli kabisa dini haina mbingu ya kunipeleka. Yesu kristo ndiye alisema na kwenda kwa Baba kuwa andalia makao nilipo mimi nanyi muwepo: Barikiwa sana Neno
@NinaRyumeko
@NinaRyumeko 2 ай бұрын
Tafazali kuwa una weka kanisa ili niwe nakufata online
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 ай бұрын
Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 ай бұрын
Ameen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@esperancesudi2842
@esperancesudi2842 2 ай бұрын
Amen 🙏🏻
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏
@user-sx6xb2hg3l
@user-sx6xb2hg3l 2 ай бұрын
Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@ExaudyMassawe
@ExaudyMassawe 2 ай бұрын
Amen
@HolySpiritConnect
@HolySpiritConnect 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-ps1fx2qs6h
@user-ps1fx2qs6h 2 ай бұрын
Ameen
MAOMBI: Omba Mungu akupe kibali katika kila eneo la maisha yako By Innocent Morris
1:13:32
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 10 М.
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 20 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 18 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,2 МЛН
SAUTI YA MUNGU (KUISIKIA na KUIELEWA) | Mtume Meshak
57:13
Ukweli Ministries
Рет қаралды 21 М.
NGUVU YA MAOMBI YA KUSHUKURU - Innocent Morris
25:18
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 4 М.
JInsi ya kuvuta kibali cha Mungu cha mafanikio
46:50
Lawi Mshana
Рет қаралды 1,1 М.
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
MAOMBI YA KUOMBEA UFAHAMU - Innocent Morris
1:46:13
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 1,9 М.
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris
1:33:17
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 88 М.
Faida ya Kukaa Kimya -  Pastor Sunbella Kyando.
20:06
Chomoza Tv
Рет қаралды 120 М.
Maombi Juu ya Mashambulizi ya Ndotoni by Innocent Morris
1:11:14
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 109 М.
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 20 МЛН