SAGCOT WAIBUA FURSA YA KILIMO CHA SOYA UKANDA WA KUSINI NJB

  Рет қаралды 379

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

11 ай бұрын

SCRIPT STORY YA TV
TANZANIA INAKABILIWA NA UHABA WA ZAO LA SOYA
Tanzania inakabiliwana uhaba wa wa zao la Soya ambapo uzalishaji kwa sasa ni tani elfu tano huku mahitaji kutoka viwanda vya ndani vya kuchakata vyakula vya mifugo na binadamu yakiwa tani milioni moja kwa mwaka
Hayo yamebainishwa na wadau wa kilimo cha Soya ambao ni wabia wa taasisi ya kuendeleza kilimo ukanda wa kusini SAGCOT wakiwa katika mabanda ya maonyesho ya kilimo ya nanenae jijini Mbeya…………..Abdalah Msambachi meneja wa mradi wa soya Sagcot
Wadau hao pia wameeleza kuwa siku za hivi karibuni mahitaji ya soya yamekuwa makubwa hali inayopelekea baadhi ya viwanda kuagiza kutoka nchi jirani kutokana na uhaba katika soko la ndani………….John Mgogo afisa masoko kampuni ya kuchakata soya ya Real World na Maiko Kilango Mtafiti wa mbegu kutoa Tari
Baadhi ya wakulima wameanza kunufaika na fursa za kilimo cha soya walikua na haya ya kusema……………….Safia Madenge Mkulima wa soya kutoka Iringa

Пікірлер: 3
@RehemaTogola-ek2lg
@RehemaTogola-ek2lg 5 ай бұрын
Nipo mbozi songwe,nalima zao hili la soya lakini changamoto ni soko lake halipo kabisa huku.Naomba mawasiliano yenu ili nipate urahisi wakupata solo.
@user-oe8ee5tw7l
@user-oe8ee5tw7l 11 ай бұрын
Niko Mwanza Natamani sana kuamzisha kilimo cha zao hili naomba wahusika niweze kupata elmu zaid kama kuna groupo la whatsApp pia naomba niunganishwe na wataalamu
@njbtv2982
@njbtv2982 11 ай бұрын
0766880828
Mkulima: Kilimo cha maharagwe ya soya
13:36
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 2,2 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 32 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
SEEDS OF GOLD: How to successfully grow ginger
19:41
NTVUganda
Рет қаралды 93 М.
KILIMO CHA SOYA CHENYE TIJA
1:38
AYAPOA TV
Рет қаралды 352
DEREVA AKUTWA  AMEFARIKI KWENYE GARI AKIWA NA  JIKO LA MKAA
11:38
NJB TV NEWS
Рет қаралды 2,1 М.
DC NJOMBE  AWAPA MASAA 48 VIJANA 80 KUHAMA  WILAYA YA NJOMBE
10:35
NJB TV NEWS
Рет қаралды 27 М.
UFUNGUZI HOTEL YA MTUME MWAMPOSA G7 WONDERS MBEYA
31:23
Chomoza Tv
Рет қаралды 64 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 32 МЛН