Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 2

  Рет қаралды 149,597

YahStoneTown

YahStoneTown

3 жыл бұрын

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪KZfaq Link bit.ly/KZfaqSalamaNa
Kajala Winfrida Masanja ndo jina lake alipopewa na Mama yake kipenzi alipozaliwa. Mama ambaye alikua akilitumikia jeshi la Polisi Tanzania miaka ya nyuma, ambaye alihakikisha binti yake huyu anakua katika maadili yaliyo bora na nidhamu yake iwe ya hali ya juu. So nini haswa kilitokea mpaka akawa si mtoto mzuri yule ambaye Mama alifanya kila aliwezalo kuhakikisha anakua hivyo miaka ya nyuma? Sasa ni Mama na mfanyabiashara anayejielewa tu. Ila yepi haswa ambayo yalishawahi kutokea kwenye maisha yake na ambayo hajivunii hata kidogo?
Mimi na K tunafahamiana miaka mingi sana, mara ya kwanza tulikuna kwenye michezo, kwenye uwanja wa basketball wa Pazi pale Drive In enzi hizo, skuizi nadhani panaitwa Ubalozi maana ni mkabala kabisa na ubalozi wa Marekani na uwanja umo ndani ya nyumba za Tanesco na sisi pia tulikua tukipaita hivyo. I remember alikua anakuja kucheza na sisi enzi hizo yeye anasoma Jitegemee nami nasoma Makongo Secondary School, hakua mchezaji mkaaali ila alikua na juhudi, na kwa mujibu wa maongezi yetu haya aliniambia ile pia ilikua ni moja ya njia zake za kutoka nyumbani na kupata kijihewa ivi, kwa kukutana na watu tofauti 😀. Sisi tulikua tukimshangaa kwa mitkasi yake mingi, alikua anatoka, yuko na marafiki ambao walikua wakubwa kuliko yeye na kama alikua na mambo mengi ivi. Ila huko ndo kukua sasa, maana unachojifunza wakati unafanya jambo ndo hapo unapoweza kujua kama ni zuri au baya na kama lina faida nawe au laa.
Next thing I know Kajala ni mpenzi wa producer mataaata haswa enzi hizo ndani ya P-Funk na kwenye story zetu za humu amezungumzia hilo kwa urefu haswa, vile walivyokutana, alivyokua anakaa nae, reaction ya wazazi wake na waalimu shuleni na mahusioano yao mpaka yalipofika tamati. Jinsi ambavyo walikua wakiishi yeye na PFunk bila ya Mama yake Majani kujua kama mwanae anaishi na mwanafunzi ndani ya nyumba yake na mpaka akapata mimba bila ya yeye kujua. Paula alipozaliwa ndo mambo yakawa hadharani.
Mapenzi yake na PFunk yalikua na mambo mengi ambayo niliyauliza kwenye episode hii ya 35, walikutanaje, waliendeleaje, wazazi, Paula na pengine watu wengine kuhusika na mapenzi yao hayo. Aliniambia mwisho wa siku ilibidi afanye liwezekanalo ili aweze kutoka humo na maisha yaendelee na akafanikiwa kukutana na mtu mwengine Ila na kwake naye mambo hayakua matamu kama ambavyo yalianza. Yaliisha kwa machozi na chuki ambayo anadhani iko upande
wa pili zaidi maana kwake maisha yamesogea na maombi yake ya kuanza upya yamebarikiwa.
Kajala amepitia mambo mengi kwenye maisha yake ambayo mengine anajivunia na mengine siyo hata kidogo. Kama kawaida, yangu matumaini utaokota mawili matatu humu na ambayo pia kama nia na madhumuni yatakufanya ushangae na kujifunza mwisho wa siku. Tafadhali enjoy!
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Пікірлер: 177
@evaristmrope
@evaristmrope 3 жыл бұрын
Nampenda sana sister Kajala yuko very humble mwenyezi MUNGU azidi kumuweka zaidi na zaidi na amzidishie kipato chake cha kila siku
@anniegabby8085
@anniegabby8085 2 жыл бұрын
Salama your very professional yani hadi raha kusikiliza interview zako
@joanna_kitchens6402
@joanna_kitchens6402 3 жыл бұрын
Napenda saana maswali yako Salama you so professional na unaheshimu saana maamuzi ya mtu kama hataki kuongelea kitu hulazimishi ❤️❤️
@nasradodo2365
@nasradodo2365 3 жыл бұрын
salama you're the best, yani you gat my ear and eyes like no one sio hapa sio kwenye podcast yani i learn alot😩😩❤️❤️❤️ ilysm
@celestin4684
@celestin4684 3 жыл бұрын
Bip up sana salama. I wish you could do this interview this time as i am talking. 😆😆😆😂😂
@bilolove23
@bilolove23 3 жыл бұрын
She is a good mother 🙏🏾
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Shukran Sana anty sadaka your our grate mother
@agnesexavery6625
@agnesexavery6625 3 жыл бұрын
She takes things positive thats great
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 жыл бұрын
Dah Salama yani you are very good at your Job! Hongera sana.
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 3 жыл бұрын
Like mother like daughter,ofcourse.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Salamaaa jabir 🥰kajala mpole mremboooo🥰🥰🥰salama bana sasa mtu alkua mumewe lzma atampenda...ukiolewa na mtu haupend lkn jinc mnavokaa mda kupenda itakuja...
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 3 жыл бұрын
Salama ur the best ever n forever yn hujachuja vile tumekufahamu unavyohoji mpk Leo ur one of my best yani
@hythalkarume2843
@hythalkarume2843 3 жыл бұрын
Interview Mzuri tumejifunza vitu vingi tumefurahi umelifanya kuwa jukwa sito la kutengeneza magonvi I like that, hila tuongeze kitu hiwe ni sehumu kwa wale ambao aziendi kuwa ni sehemu ya kuwasuluhisha
@naasamson4905
@naasamson4905 3 жыл бұрын
Amefunguka vizuri tu na hasa kuhusu mtoto huku nyuma ya pazia tunahisi kama vile ni yeye anaedekeza kumbe nimegundua ni mama mkali kwa mwanae
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
Naam, shukran sana, tunazidi kujifunza mengi mnooo...
@ednacelemon5950
@ednacelemon5950 3 жыл бұрын
Asante Salama kwa mafundisho yako.
@agnesrutebuka827
@agnesrutebuka827 Жыл бұрын
I love this Woman, she is Real 🙌
@Richard_Range
@Richard_Range 3 жыл бұрын
Love this ladyy! Much love kajala! I remember meeting you samaki samaki ulikuwa na kina baby madaha and i gave you a hug 2015/6! 🥰
@barakagwakisa909
@barakagwakisa909 Жыл бұрын
She's a protective mom. Keep it up
@mwasakafyukasamson
@mwasakafyukasamson 3 жыл бұрын
Premier Diva Salama , asante kwa kazi yako
@sophiamkandara1834
@sophiamkandara1834 2 жыл бұрын
Salama anahoji vizuri sana and very professional 👌
@glorykimaro5528
@glorykimaro5528 3 жыл бұрын
Huyu dada ni mwanamke bora sana katika malezi
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Kajala we mpole sana ata mm sikupendaga watu walivyo muongelea pau
@mamusmama2882
@mamusmama2882 3 жыл бұрын
Asante aunt kibokoo😜mm ntakusaka tupige story😘 Good job
@aminihaminih7846
@aminihaminih7846 3 жыл бұрын
Pole sana kajala kwa mapito ulopitia dada angu nimeumia sana😭😭😭, nakupenda bure.pia hongr sana da salama kwakuendesha kipnd hiki💪
@zandonaabrondi1906
@zandonaabrondi1906 3 жыл бұрын
Salama uko powa kazi nzuri
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 3 жыл бұрын
Dope
@xkingx8041
@xkingx8041 3 жыл бұрын
Salama!!Nakupendaaaaaaa we dadaake 😘😘
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 жыл бұрын
Pore sana dada kajara..mungu ata kupa mwengine
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 3 жыл бұрын
Good job Aljabir
@tumakassim6286
@tumakassim6286 3 жыл бұрын
Tenda Wema wende zako usingoje shukrani,mh! basi haya ☹️☹️
@aishakidotigakii6157
@aishakidotigakii6157 3 жыл бұрын
Kajala so humble
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 3 жыл бұрын
Mama paula nakupenda tu hunaga mbwembwe
@winfridamdaki5699
@winfridamdaki5699 3 жыл бұрын
Safi sana interview nzuri Salama
@princemujuni9803
@princemujuni9803 3 жыл бұрын
Sema Kajala anaonekana mpole anavyoongea yan alifaa kuwa mama mchungaji no wonder alitaka kuwa nun sema sasa hilo shepu c ingekuwa matumizi mabaya ya shepu.
@sofiajuma3075
@sofiajuma3075 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@leonelleo4425
@leonelleo4425 3 жыл бұрын
Hilo shepu lingeleta balaa kwa mapadri 😀😀😀
@medyamon
@medyamon 3 жыл бұрын
Eti Aunt kiboko😂😂😂😂😂 wewe ni Aunt-no-filter👊🏽😂💕
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 3 жыл бұрын
Umekuwa muwazii saanaa kajala umekiri makosa yako yotee Mungu akuinue zaidi
@jescaemmanuel100
@jescaemmanuel100 3 жыл бұрын
Tena aunt kiboko haswaaaa 😂😂
@vevo3130
@vevo3130 3 жыл бұрын
sawa aunt Kiboko…..niletee Mr. Blue.
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Nice
@magrethmkira6250
@magrethmkira6250 3 жыл бұрын
Part 1
@jacintabati6238
@jacintabati6238 3 жыл бұрын
Kajala is so beautiful and adorable
@mwamvuakayanda8730
@mwamvuakayanda8730 2 жыл бұрын
Najifunzaaa sanaaaa kajala stay blessed mom
@kotindimfinanga1169
@kotindimfinanga1169 3 жыл бұрын
I love you kajala
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 жыл бұрын
Duuh, Nawapenda sana!!!!!
@melvinkyando9081
@melvinkyando9081 2 жыл бұрын
Inauma sana kama mzazi naelewa nini unajisikia kajala
@ab3ab313
@ab3ab313 3 жыл бұрын
kajara nakupenda bure❤❤❤
@lindalaizzer9897
@lindalaizzer9897 3 жыл бұрын
Nampenda sana kajala sana
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 жыл бұрын
Aunti Sadaka anaitajika tena, please mpeleke kwa MWAKA mzima..🙏🙏🙏
@yustinageorge1771
@yustinageorge1771 3 жыл бұрын
Upo sawa 😘😘
@safiangaiwa2597
@safiangaiwa2597 2 жыл бұрын
Nawapenda
@princesbimkhamis6446
@princesbimkhamis6446 3 жыл бұрын
Salama tulelee madam wema
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 3 жыл бұрын
Nakupenda sana nashukuly ku mule ta kajala
@didah6556
@didah6556 3 жыл бұрын
Asante aunt kiboko😂
@queenmichael5319
@queenmichael5319 3 жыл бұрын
Mtu mwenye nafasi awaonyeshe hao watu wanaotafuta part one or two kwa sababu zipo zote hapahapa ila naona wanalalamika.
@kimkimbeth7918
@kimkimbeth7918 3 жыл бұрын
😂😂😂
@kimkimbeth7918
@kimkimbeth7918 3 жыл бұрын
😂😂😂
@kavishejrkavishe9643
@kavishejrkavishe9643 3 жыл бұрын
Jamanieee hii background beat nyimbo inaitwaje?
@faudhatymalembuka7151
@faudhatymalembuka7151 2 жыл бұрын
Dada salama mwambie da kajara nampenda san
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Nampenda San huyu dada nmstaarb Hadi kuongea
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Kabisa
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 3 жыл бұрын
Na nimkwel mno..
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 3 жыл бұрын
Nice kajala
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 3 жыл бұрын
Pole sana dada yangu ndo binadam
@doreentraavis1701
@doreentraavis1701 3 жыл бұрын
Nampenda Sana kajala mstarabu Sana ata ajisikii
@user-lp4vb5dj9k
@user-lp4vb5dj9k 6 ай бұрын
Nakupenda sana kajala
@levinaleonard7652
@levinaleonard7652 8 ай бұрын
Nakpenda sana kajala❤❤❤
@barakayohana6021
@barakayohana6021 3 жыл бұрын
Kajala Masanja,cku izi Industry yenu mbna imekua changamoto sana,mmekua mnapenda skendo kuliko kuigiza,Maisha yenu halisi,yamekua ndio maigizo
@belak999
@belak999 3 жыл бұрын
Yeye umemuona kwenye skendo? Yaan haya majina ya Baraka sijui kwnn ni laana, huwa mnashindwa hata kujielewa
@barakayohana6021
@barakayohana6021 3 жыл бұрын
@@belak999 samaki mmoja akioza,C tunajua wote wameoza mbweha we
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 3 жыл бұрын
@@barakayohana6021 sio kwa mbweha iyo hahaha bila shaka ww ni mhehe
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
🙏
@nancykimaro3845
@nancykimaro3845 3 жыл бұрын
Flaviana Matata plz
@zildatwahid6526
@zildatwahid6526 3 жыл бұрын
Nikki wa pili please...we need him
@nancykimaro3845
@nancykimaro3845 3 жыл бұрын
Master Jay plz plz
@mutahangarwasamwel4643
@mutahangarwasamwel4643 3 жыл бұрын
Paula asome sana sana
@feristerdavid-lq2en
@feristerdavid-lq2en Жыл бұрын
Nzuri
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 3 жыл бұрын
Yaani hii tabia ya watu kuzusha maneno inaumiza sana sijui huwa wanafikilia nini dah😥 salama tunamuomba Jenifer kyaka
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 3 жыл бұрын
Nice....INTERVIEW BRING JUMA NATURE AUNTY HE IS GREAT TOO
@judithkarikwera9091
@judithkarikwera9091 3 жыл бұрын
Nampnda San kajara
@hellenmwasha8482
@hellenmwasha8482 3 жыл бұрын
Unatupa raha Sana stress Free
@princemujuni9803
@princemujuni9803 3 жыл бұрын
Sema hiyo leo inaitwa Tanga wiki iliyopita ilikuwa inaitwa Arusha , Salama unanichanganya
@pbye2974
@pbye2974 3 жыл бұрын
Ooooh hupendi tattoo na mbona umechorana na harmo😀😀 hivi ukirejea hii interview unajickiaje
@latifadaudi1871
@latifadaudi1871 3 жыл бұрын
Jamani😂😂😂
@akederamadhani5867
@akederamadhani5867 3 жыл бұрын
S ndo apo xx
@munirandinda7448
@munirandinda7448 3 жыл бұрын
Kajala mrembo jamani nampenda Sana
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 2 жыл бұрын
Kajala love uuu.nimejifunza kitu
@haskao77
@haskao77 3 жыл бұрын
Where's part one?
@elizabethmlonganile5000
@elizabethmlonganile5000 3 жыл бұрын
Hey where's part one?
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 3 жыл бұрын
Ipo mbona
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 3 жыл бұрын
Online media za bongo ukiondoa Wasafi mnafanya mambo kimazoea sana! Juzi Earadio walifanya hivi hivi. Wameweka part one halafu part two sijui wataweka lini
@rukiashunda9364
@rukiashunda9364 3 жыл бұрын
Mbona IPO
@ednacelemon5950
@ednacelemon5950 3 жыл бұрын
Mimi napenda kusikia unavyotamka jina la Jesca.
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 3 жыл бұрын
Yes,Jessica!! halafu kuna huyo Jesca unayemsema wewe
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 3 жыл бұрын
Hapa ndiyo kwenye tatizo la ndoa za kikatoliki ,hamjaachana lkn una mtu na unatafuta mtoto,poleni sana
@silverdavid6200
@silverdavid6200 3 жыл бұрын
Kuachana hakupo kabisa kwenye ndoa za kikristo.
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 3 жыл бұрын
@@silverdavid6200 umesikiliza maelezo yake? Mwenyewe anakiri wameachana
@wemamlaga3714
@wemamlaga3714 3 жыл бұрын
Salamaaaa.... Skafu unapata wapi/ unanunua wap
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Hivi kuna mtu anaeweza kumuhoji SALAMA na jinsi alivo na IQ ya ajabu, labda OPRAH
@indacarservicestz
@indacarservicestz 2 жыл бұрын
She has to be with Ellen or Salim kikeke
@abenizermusic6694
@abenizermusic6694 2 жыл бұрын
Nimejifunzaa mengi kupitia maojiano ayaa
@msouthdablack
@msouthdablack 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 hata sijui nimecheka nin
@azizalmas4649
@azizalmas4649 3 жыл бұрын
Wanne mie
@kikie_chyna
@kikie_chyna 2 жыл бұрын
Salama you dont understand what she is doing for a living right? 🤦‍♀️ me too.. 🙆‍♀️
@mamuliciosrajab6664
@mamuliciosrajab6664 3 жыл бұрын
Wema sepetu
@zulekhaibrahimally6283
@zulekhaibrahimally6283 3 жыл бұрын
part1?
@jumamachano3442
@jumamachano3442 3 жыл бұрын
Niongeze bandoo eeeee🤣🤣🤣
@saumushabani3170
@saumushabani3170 3 жыл бұрын
Wa kwaza mie
@kozbeahani2328
@kozbeahani2328 3 жыл бұрын
Umlete Paula plzzzz nataka kuskia lifestyle yake
@PiscoJeanClaude
@PiscoJeanClaude 3 жыл бұрын
Wa tatu mie
@superalain100
@superalain100 3 жыл бұрын
🇨🇦❤
@mzeemakame3734
@mzeemakame3734 3 жыл бұрын
Kwann sio yah motoo hii maana kila mahojiano ni mazito
@kulolamasanyiwa3683
@kulolamasanyiwa3683 3 жыл бұрын
Da inaumiza kwakweli,nimejifunza kitu
@kulwamwakagali24
@kulwamwakagali24 3 жыл бұрын
Kwenye tattoo umesema ukweli usiosemwa na wengi...
@karthala6676
@karthala6676 3 жыл бұрын
Kwenye biblia Imekatazwa kuchora mwili. Ya pili watu wenye tattoo hawaruhusiwi kuwapa damu watu wanohitajiya. Watu wafikiriye.
@joycejohn7754
@joycejohn7754 3 жыл бұрын
Kwahyo watu wafe kisa anaetoa anatatoo
@sadikiballack1631
@sadikiballack1631 Жыл бұрын
Salama we noma napenda cocktails zako ...... Chakula cha kisasa mambo yako makbwa ongera kwa hilo
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 329 М.
Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
35:35
YahStoneTown
Рет қаралды 314 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 27 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 60 М.
STORY YANGU S1:E1| DOLLY RESTIE
1:08:19
Femina Hip
Рет қаралды 1,1 М.
Mkasi - SO6E01 with Kajala (Msimu Mpya)
28:59
MkasiTV
Рет қаралды 161 М.
OUR LOVE STORY W/ BSS S13 WINNER- ASAGWILE (WA NYIMBO YA NDOA) AND JACKLINE | EP 07
1:00:34
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
YahStoneTown
Рет қаралды 354 М.
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 22 МЛН
MAGIC DRINK TRICK TUTORIAL 😱😳
0:20
Milaad K
Рет қаралды 24 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 20 МЛН
Принципы...
0:23
Это точно смешно
Рет қаралды 2,4 МЛН
С топором нельзя #ссср #история
1:00
MOTIVATION
Рет қаралды 1,8 МЛН