Рет қаралды 698
#samakiwachangu #tamarind #coastalfoods
Habari zenu wapendwa.
Leo hadi maelezo naandika kwa kiswahili, natumai mtaelewa🤗.
Karibuni sana kwa kipindi changu cha "The Coastal lady".
Leo nawafunza mapishi rahisi sana ya matumizi ya ukwaju,"tamarind" kwa samaki wa maji ya chumvi. Pia mtajua jinsi ya kupika sima/ugali wa kiswahili kirahisi sana kwa nyumba zenu.
■Asanteni kwa kupitia na kutazama nmeshkuru na nawapenda sana. Nimeongezea tovuti au "links" za video zangu za mapishi mengine ya samaki ya zamani na video zangu zengine hapa chini👇.Zikiwapendezea mnaeza nisupport kwa kusubscribe,kushare na kutoa maoni yenu comment section.
• Coconut (Fish & Rice) ...
• SOFTEST/BURGER BUNS US...
• SIMPLE//EASIEST// AFFO...
• MOMBASA RAHA/MARIKITI ...