No video

#SamiaMotocrossChampionship2024

  Рет қаралды 6,920

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Tazama wataalamu wa kukimbiza pikipiki wakifanya 'maufundi' yao kwenye kwenye mashindano ya pikipiki ya Samia Motocross Championship katika viwanja vya Laki Laki mkoani Arusha.
Washindi watakwenda kuiwakilisha nchi kwenye michuano mbalimbali ya kikanda na kimataifa, ikiwemo mashindano yatakayofanyika mwezi wa tisa nchini Morocco.
#SamiaMotocrossChampionship2024 #RacingShow #Arusha

Пікірлер: 8
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Ай бұрын
Big up sana Mheshimiwa Makonda. Vijana tunakuelewa sana Ngosha
@africanreaction8501
@africanreaction8501 Ай бұрын
🎉🎉🎉Safi kama mbele makonda mitano tena
@farajashango1267
@farajashango1267 Күн бұрын
yaani commenter au watangazaji wa azam ni sifuri sifuri yaani wako kama wanatangaza mpira na nafuu hata mpira. hii kazi ya ku commente wange tuachia watu wa chuga waone ipo kama ni msiba sijui gwai!!!!! hovyo kabisa
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Ай бұрын
KWELI EXPART WAPO VZR
@farajashango1267
@farajashango1267 Күн бұрын
bila kusahau editor wa azama 00000000000000 yaani hana utofauti na mshabiki yeye alilipwa aonyeshe mapikipiki tu ambayo hata mm mwenyewe sim kubwa ningeweza fanya. haya basi ma camera man wamechukua clip edit basi kitu kinacho eleweka basi hewa hewa tupu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
hapa ni wapi? mbona kichwa cha habari hakisemi ni wapi? dah sasa Azam wanakuaje?
@allysalim9822
@allysalim9822 Ай бұрын
Arusha...laki laki
@thomasnelson8261
@thomasnelson8261 Ай бұрын
Arusha
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 7 МЛН
NDARO NA STEVE MWEUSI WAGOMBANISHWA NA MWANAMKE UTACHEKA
15:47
RC MAKONDA NA MWAMPOSA MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA 2024.
16:00
MAPITO TV online
Рет қаралды 273
Impossible Climb Andler 2019 | Dirt Bike Graveyard | Hill Climb
18:46
Enduro Life Media
Рет қаралды 414 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 147 М.
مناظرة القرن بين الإسلام والمسيحية
3:38:31
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН