No video

HII RAMANI NI BALAA INAVYUMBA ROOMS 4 BAJETI YAKE MPAKA TOP KOZI Tsh.12,050,000

  Рет қаралды 43,077

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

#ujenzinafuu #ujenzi #ramanizanyumba

Пікірлер: 36
@mwanaharusmohd3732
@mwanaharusmohd3732 11 ай бұрын
Uko vzr sana kaka, nazichanga soon nitakutafuta hongera sana kazi nzuri sanaa
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 3 ай бұрын
Mola Aijaliye Kazi Ya mikono Kuipa Baraka
@josephndoghwe2722
@josephndoghwe2722 10 ай бұрын
Oya mr house tufanye mpango hii uje unijengee mkoani kwetu nilipo babkubwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@beatricenyirasafari8085
@beatricenyirasafari8085 6 ай бұрын
Tuoneshe ndani
@allybayaga
@allybayaga 11 ай бұрын
Ingependeza sana unapotaja gharama za ujenzi ungekuwa unataja na ukubwa wa eneo la nyumba yenyewe na ukubwa wa kiwanja kinacho tosha nyumba husika.
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 7 ай бұрын
20 kwa 20 inatosha kujenga mmi nimejenga
@ElishaJoakim-ir2qf
@ElishaJoakim-ir2qf 7 ай бұрын
Kweli kbx
@zainazaina8711
@zainazaina8711 9 ай бұрын
Habari kaka unaweza kunijenga Kenya
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Napenda madilisha makubwa kama hayo
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 5 ай бұрын
Finishing ndiyo gharama. Weka na kupaua na plasta madirisha milango n.k. kusimamisha tu si gharama. Tupatie mpaka kukabidhi nyumba ikiwa hivyo
@fadhilifredrick4115
@fadhilifredrick4115 7 ай бұрын
vipi unaweza design ramani ya hivi ya rooms 3
@willydigital8196
@willydigital8196 10 ай бұрын
Mkuu jarib pia kuzungumzia na maeneo ambayo Co tambalale
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Nzur
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Utajenga kidogo kidogo Kama golofa Yap total sh elfu moja
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 9 ай бұрын
❤naipenda sana
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Iyo rangi naipendaga imetulia
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 6 ай бұрын
Bro haifiki million 40 hii kwelina material hizo za kisasa?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Sauti sio ngeni kama mlijenga vijumba vya apatimenr vizur mkatowa namba
@jamesfidelis9455
@jamesfidelis9455 11 ай бұрын
Pokea simu
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 3 ай бұрын
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Yapu ndio nyie mliojemga apatiment nzur
@martinmunene9040
@martinmunene9040 5 ай бұрын
Sm ni gapi?
@fridakipingu
@fridakipingu 10 ай бұрын
Kwenye hizo milioni, na ufundi?
@pendoEmmanueli
@pendoEmmanueli 4 ай бұрын
mtu akiwa bukoba mtamjengea
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Zote ni namba zako hizo.
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 10 ай бұрын
Sument mifuko Mia imekula sument
@official-shqudush
@official-shqudush 9 ай бұрын
Hii nyumba inachukua mira ngapi
@official-shqudush
@official-shqudush 9 ай бұрын
Hii nyumba inachukua mita ngapi
@BonifaceMgimba
@BonifaceMgimba 11 ай бұрын
Unapatikana wapi(mji gani)? Nataka nyumba hii ikajengwe Njombe. Jee unaweza kwenda huko ukanijengea? Kwa sababu wewe ni mtaalam na mzoefu ktk ujenzi, kwa kukadiria,nyumba ya size hii itagharimu pesa ngapi ikijengwa: >DSM - Kijitonyama na >NJB - Lugarawa(Ludewa)? Naomba majibu ya haraka mpendwa.
@richardhosea8827
@richardhosea8827 11 ай бұрын
120 ,000,000 thubutu 150 nitakuelwa
@fadhilifredrick4115
@fadhilifredrick4115 11 ай бұрын
quotation ya dsm hiyo it depends na material umenunulia wapi na bei gani
@jovinanthoni7851
@jovinanthoni7851 11 ай бұрын
hiyo bei inawezekana kabisa balaa la hiyo nyumba ni kuanzia kupaua,na finishing hapo ndo utajua haujui kama ukitoka mbio mbio ukaiparamia unaweza kushindwa kuimaliza ukaishia kukaa kwenye boma tu
@hamedhabsi2752
@hamedhabsi2752 11 ай бұрын
Inaweza kua hivyo alivyosema. Kua yategemea na mji mfano Dsm ni tofauti na Arusha. Vitu vitoke Dsm hadi Arusha bei kidogo ya vitu Arusha itakua ni ghali. Pia mjenzi huwa daima anazungumzia gharama za ujenzi tu sio wa Ardhi. Nyumba hiyo ukitaka kuinunua itafika hata millioni 150 hadi 170 sababu ya gharama ya ARDHI
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 9 ай бұрын
​@@jovinanthoni7851😅😅😅
@bilaltamsi3399
@bilaltamsi3399 8 ай бұрын
Hii nyumba nitumie gharama yote plz
@beatricenyirasafari8085
@beatricenyirasafari8085 6 ай бұрын
Tuoneshe ndani
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 47 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 38 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
BANGALORE LA VYUMBA 7 LINAUZWA TSHS BIL 1.4, SALASALA
9:11
DalaliMwanamke
Рет қаралды 272 М.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 19 М.
Jua Kali Leo Jumatano Usiku 21- 8 -2024 High Quality
23:38
Kasai Boy Tv
Рет қаралды 25 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 47 МЛН