SC Villa 3-1 Singida Black Stars | Highlghts | Dar Port Kagame Cup 12/07/2024

  Рет қаралды 32,558

Azam TV

Azam TV

28 күн бұрын

Singida Black Stars imechapwa mabao 3-1 na Sports Club Villa katika mchezo wake wa pili kwenye michuano ya Kombe la Kagame #DarPortKagameCup ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya SC Villa yamefungwa na Najib Yiga dakika ya 45'+1, Kakande Patrick dakika ya 51' na Reagan Mpande 56' huku la kufutia machozi likifungwa na Marouf Tchakei dakika ya 60.
Tazama highlights...

Пікірлер: 62
@Peter-fy3gf
@Peter-fy3gf 26 күн бұрын
Mimi kama mtanzania mzalendo kabisa nimefurahi Hawa maboya Kupigwa na Bado 😊😊😊
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 26 күн бұрын
Singida wafumgwe tu siwapend
@LuckyTemu
@LuckyTemu 26 күн бұрын
HII MESEJI IWAFIKIE SNGDA BLACK STARS JMN TIMU YNG YA NYUMBAN NDO JEZI GANI HIZI MBUNIFU HUMU KABUGI JEZI MBOVU SANA😢💔
@mussahoza
@mussahoza 25 күн бұрын
watu weng sana humu naona wanapiga kelele singida kufungwa... Timu n mpya, kocha n mpyaa... hawana hata preseson... lkn wasiojua mpira ss ndo kelel nyng..🤣🤣 ila tz mpiraa hatujui jmn khaa
@elishamwakihaba942
@elishamwakihaba942 24 күн бұрын
Singida wajiangalie vinginevyo....
@AbaidiiniNgweti
@AbaidiiniNgweti 26 күн бұрын
Daah kwel sio poa
@Eliaaroni
@Eliaaroni 26 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 26 күн бұрын
Ukitaka kujua tz vipaji vya mpira bado au maandalizi ya kuandaaa wachezaji Hamna mfano ni kama huu hiyo singida wanaocheza wengi ni watz hata coast union ila kwenye mashindano wakikutana na timu hata za Simalia wanapigika😂😂😂🙌🙌
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 25 күн бұрын
Usicho jua hapo watanzania ni watatu bc mvivu wa kufikiri ww
@mussahoza
@mussahoza 25 күн бұрын
singida n timu mpyaa kabsaa hapo hlf kocha hana ht preseson... ndo maana huon wanaojua mpira wanapiga kelele km ww... maana huelew jambo
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 25 күн бұрын
@@mussahoza Bora unisaidie sijui anafatilia mpira wa wap huyu
@mussahoza
@mussahoza 24 күн бұрын
@@Mudathir-tx1md ttzo weng mpira hawaelew... wanakoment tu... wanajua mpira n km maji ukimwaga tu yanasambaa
@mpokisanga2502
@mpokisanga2502 25 күн бұрын
Ilaa guede 😂😂😂
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 25 күн бұрын
Dawa imewakolea dadeeki
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo 26 күн бұрын
Kwa mijezi hiyo mliovaa ya mikosi lazima tu muliwe goal3😅😅😅😅😅😅😅
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 26 күн бұрын
Kusajili kote huko mnapigwa kama ngoma kweli nyie nyoko
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 26 күн бұрын
Jezi waliovaa Ina mikosi na kenedi ndo maana ameachwa kuchomesha TU io mijezivya njano sasa
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 26 күн бұрын
Singida wamekosea kumsajili mohamedi huseni nakubadili jina
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo 26 күн бұрын
Utopolo wachanga mmefanana mpaka matendo 😂😂😂
@soniimedia2440
@soniimedia2440 26 күн бұрын
Duuuh
@mrsnam6897
@mrsnam6897 25 күн бұрын
Yaani wameiua ihefu wanatengeneza uchafu
@EliudiSaitoti-oh7lh
@EliudiSaitoti-oh7lh 26 күн бұрын
Huyo gwede ako wapi
@Salum-ij6mg
@Salum-ij6mg 26 күн бұрын
Ivi VITIMU Vya Nyuma Mwiko VIPigwe tu
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla 25 күн бұрын
Km namuon kenedy akichomesha
@Fistonmaestron
@Fistonmaestron 26 күн бұрын
Aper fc tuzabavuna
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 26 күн бұрын
Msimu ujao wanashuka daaja
@jumaSady-yu3jp
@jumaSady-yu3jp 26 күн бұрын
See. ,
@nzescofield2033
@nzescofield2033 26 күн бұрын
Tanzania you're still young in football don't forget that Simba and young buy players not your boys that lift those clubs👍🙏
@EphrancinaBeyanga
@EphrancinaBeyanga 26 күн бұрын
So u think singida are all Tanzanians , ur crazy and u know nothing about Tanzanian football, there also Ugandans there , ur own ppl😅
@RashidKassim-dt8ss
@RashidKassim-dt8ss 26 күн бұрын
Very foolish so all soca villa are Ugandans eee
@shabanponera2895
@shabanponera2895 26 күн бұрын
We were in AFCON, what about your country?
@EphrancinaBeyanga
@EphrancinaBeyanga 26 күн бұрын
@@nzescofield2033 we were there also, ur country didn't qualify, whom are u trying to lie to🙊
@nzescofield2033
@nzescofield2033 26 күн бұрын
Of course 😁​@@RashidKassim-dt8ss
@franccoz94
@franccoz94 26 күн бұрын
Jezi ya manyokanyoka imewaponzaaa
@JacobNcheye-po3it
@JacobNcheye-po3it 26 күн бұрын
Mbn hii timi ya singida kama mbovu
@othmantv2654
@othmantv2654 26 күн бұрын
Sio kama....ni mbovuuuu😂😂😂
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 26 күн бұрын
Hiyo aijakamilika mzee bado Kuna watu aujawaona ao unaowaona wanaokuja kuwa wa benchi baadh yao ujawaona wa ivory cost wakina guede
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 26 күн бұрын
​@@othmantv2654kina guede kina saido
@storytime1204
@storytime1204 26 күн бұрын
​@@AugustinhoManyangaunitedboetz3guede wa yanga?😂😂kwani mbona mastar wale wapo tu
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 26 күн бұрын
@@storytime1204 eeh wamemsajili guede Kwa mkopo Kuna saido na Kuna wengine watatu wamewatoa asec
@ronaldowilson8165
@ronaldowilson8165 26 күн бұрын
Huyu troule ni hatari
@othmantv2654
@othmantv2654 26 күн бұрын
Huu uwanja hauna ht miez 2 tayar una vipara duh😕😕😕
@sostenkyando2969
@sostenkyando2969 26 күн бұрын
Huo ni Azam complex sio Kmc complex
@petermabale4320
@petermabale4320 26 күн бұрын
Hii ni AZAM complex
🔴 TOOOBAH!! FRIJI BOVU YANGA ANAFUNGWA GOLI TANO NA SIMBA #yangasc
25:50
Sportsking Tanzania Tv
Рет қаралды 7 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 75 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 52 МЛН
YUKO WAPI MLINZI WA MAGUFULI?
2:37
Champion tv
Рет қаралды 10 М.
Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023
9:40
Крутая техника Энтони #boxing
0:14
Эффект MMA
Рет қаралды 6 МЛН