No video

SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU"

  Рет қаралды 218,937

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU"
MBUNGE wa Rombo, Joseph Selasini, ameitaka serikali kuhakikisha wanapitia upya usajili wa vikundi au wachungaji wanaoendesha makanisa ili kujihakikishia kama kweli wanafanya kazi zao kihalali..
Selasini ametoa hoja hiyo kufuatia matukio mengi ya kushangaza yaliyotokea hivi karibuni yakiwahusisha wachungaji likiwemo tukio la watu 20 waliofariki mkoani Kilimanjaro wakigombea kukanyaga mafuta ya mchungaji Mwamposa..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co....
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 469
@habibukhamis5589
@habibukhamis5589 4 жыл бұрын
Allah nijalie mwisho mwema wewe ndie unaepaswa kuabudiwa pekeako 🙏
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 жыл бұрын
Aamiin
@nurusunday3547
@nurusunday3547 4 жыл бұрын
pongezi kubwa kwako mweshimiwa Selasini. msema kweli mpenzi wa Mungu.
@ephraimmwandemange5083
@ephraimmwandemange5083 2 жыл бұрын
Imeandikwa nyakatiza mwisho wengi watakuja kwa jina language na watafanyà miujiza mingi kupitia jina la yesu jihadharini nao
@janejohn2060
@janejohn2060 Жыл бұрын
Shida mko gizani hamuoni wala jua kinachoendelea
@denisijosephat2361
@denisijosephat2361 Жыл бұрын
Asante kwa maneno yako maana yesu anahubiriwa ktk roho na kweri sio ktk mahi na mafta.
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 4 жыл бұрын
Amen amen. Kazi ya Mungu siyo ya kiganga. Kinacho tajiwa jina la Yesu kimesha kua takatifu. Tbs yetu ni Roho Mtakatifu. Amani posipo watumishi wa Mungu akuna. Hao wanaojita awatumishi uku wanachochea watu mabaya ukumu ipo juu yao. Uko kwenu rombo tumewamsha wengi kwa nguvu ya Mungu. Na hata wewe upo leo kwa ajili ya maombi ya hao watumishi unao wasema vibaya. nikweli mimi ni mwombaji sana lakini sijawa kumuombea mtu akapokea hela ,bali nimewaombea wengi wakapokea uponyaji na kubarikiwa kazi zao na kufunguliwa vifungo mbalimbali katika maisha. ( Neno moja toka kwa Mungu tupendane). Mh karibu nyumbani Ccm kumenoga. Mungu atusaidie. Amen..
@generosemandari5537
@generosemandari5537 4 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu naomba uzidi kumtiya nguvu mtumishi mwamposa
@benjamenshepa1000
@benjamenshepa1000 2 жыл бұрын
Wewe umeshatiwa nguvu
@henesysolomon8196
@henesysolomon8196 Жыл бұрын
Amen
@lusymakinya2229
@lusymakinya2229 4 жыл бұрын
Safi sana umeongea point sana
@rubyo.masuku5684
@rubyo.masuku5684 4 жыл бұрын
🙏
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Mungu akulinde baba aione hekima iliyo ndani yako
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kukemea Makanisa yasiyo na asili ya KRISTO...
@msellemsaid9348
@msellemsaid9348 4 жыл бұрын
Respect Muheshimiwa💪
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj Ай бұрын
Mungu akusaidie sana mtumishi wa Mungu alafu kiongozi
@theodosiavenasi3066
@theodosiavenasi3066 Жыл бұрын
Tunapo wacha Mungu bungeni barikiwa mtumishi wa Mungu
@peterfania1005
@peterfania1005 4 жыл бұрын
💪🏾🇹🇿 safi sana
@daviesoscar1603
@daviesoscar1603 4 жыл бұрын
Asante Mbunge
@halimageorgesanga1018
@halimageorgesanga1018 4 жыл бұрын
Nimeelewa,Assnte sana
@namsamson3443
@namsamson3443 4 жыл бұрын
Very true Mr..usipofanya kazi huwezi kula eti mtu anasimama anafungua pochi zijae hela
@rubyo.masuku5684
@rubyo.masuku5684 4 жыл бұрын
Wapo siyo mwamposa lani Wapo WENGI
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 жыл бұрын
Yuster Zacharia Ni ujinga mkubwa sana yani mimi niliona clip moja Rwakatare anawaombea upepo wa kisulisuli wafungue pochi zao na wallet wanapokea muujiza wa pesa alafu anamalizia kwa kicheko cha kejeli yani anawaona wajinga kupitiliza
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 жыл бұрын
Yuster Zacharia Ni ujinga mkubwa sana yani mimi niliona clip moja Rwakatare anawaombea upepo wa kisulisuli wafungue pochi zao na wallet wanapokea muujiza wa pesa alafu anamalizia kwa kicheko cha kejeli yani anawaona wajinga kupitiliza
@emmanuelkimath2881
@emmanuelkimath2881 4 жыл бұрын
AKILI KUBWA NI AKILI KUBWA TUU.
@stuartkamba1598
@stuartkamba1598 3 жыл бұрын
Leo mzee Wang nimekushusha sana thamani.
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Tafakari
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 жыл бұрын
Ili kumjua anaezungumza kama ni wa NURUNI au GIZANI ni matendo na maneno yake, maana imeandikwa kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake, mtu wa siasa hawezi kujua NENO LA MUNGU wala kumhofia MUNGU lkn mtu wa ROHONI anaweza siasa ,na kama ni imani potofu anajua mtu aliyena ROHO MTAKATIFU sio aliejaa roho mtaka siasa,wala kwa siasa hatoki pepo kwa mtu , inaitwa siHASA bali HASA ni NENO LA MUNGU
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 4 жыл бұрын
Waacheni watu wapige neno kama wa kweli kama wa uongo wote waacheni ila mwisho ukifika kitaeleweka upi mchele zipi pumba
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 жыл бұрын
Mwisho unaujua
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 4 жыл бұрын
Hoja ya Mh. ni nzuri Sana, Tatizo la Dini ni watu hutiwa Hofu Tena Hofu isiyo wiana na Utashi wa Fikra Halsii. Ninyi mnaotaka watumishi wasiaswe Ukweli mnataka kutwambia Watumishi ndo wenye haki ya Kufanya chochote Hata kikiwa hakiko sawa???? Tusipo ambiana sisi kwa sisi mwataka nani atwambie Ukweli huu??? Tufungue Utashi wetu tutajua mengi zaidi ya tunayoambiwa kwa vinywa vya Watumishi wetu. Acheni Imani za Uoga za kuwaogopa Watumishi. Mtumishi si Mungu ni Binadamu na anakosea Kuliko ww usie na Kanisa. Huu upuuzi wa Iman umekithiri na Madhara yake ni Makubwa tukizidi kunyamaza. Kama Mungu hadhihakiwi Mbona Watumishi ndo wanadhihaki kwa Kukufuru kwa Imani za Upotoshaji??? Tuweni na Utashi tuliopewa na Mungu.
@fidiankwera530
@fidiankwera530 4 жыл бұрын
Umenena... Nimekuelewa. Ukweli lazima usemwe
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 ай бұрын
Kubishana sana ipo siku utajikuta unamkosea Mungu bora ukakamata Biblia na quruan vitabu vitakatifu ukapekua ukaujua ukweli basi utaijua kweli ya Mungu
@andreaassenga7663
@andreaassenga7663 4 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Ubarikiwe kwa Baraka zako.
@restutarhamis4609
@restutarhamis4609 4 жыл бұрын
Safi sana waache kutuwekea turbai
@ramadhaniamiri4535
@ramadhaniamiri4535 4 жыл бұрын
Safi sana mbunge 30
@brigithashirima7760
@brigithashirima7760 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Mbunge wetu Mungu akubariki sanaa umenena vyema,Waambie ukweli hao wataelewa tu🙏🙏
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Truly!!!!!!
@rechoraymond3396
@rechoraymond3396 3 жыл бұрын
Acha kuukumu watumishi wa mungu kwani wew ni binadamu2 kama ni wa kweli au si wa kweli wakuwaukumj ni mungu acha kijitafutia laana
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 жыл бұрын
Mtetezi wangu yesu anaishi Leo mtetezi wangu yuhai Leo kesho na kesho kutwa ,na hata milele,
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 4 жыл бұрын
Wanaopenda mafuta ya upako na pochi zao ziwe wazi kanisani tujuwane👍
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
😄😄😄🖕
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Point
@andrewpaul4770
@andrewpaul4770 2 жыл бұрын
Amina
@byabatotv3283
@byabatotv3283 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mkuu
@jumamwita9995
@jumamwita9995 Жыл бұрын
Nikweri abarikiwe amenena
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 11 ай бұрын
Hawa watu wanaomuelekea Mungu tusiwachukulie poa au kuwasema vibaya maana ukweli anao Mungu na wao wenyewe ni suala lakujiuliza mtu au mtumishi wa Mungu aliyeamua maisha yake n kusali yaani yeye na Mungu masaa zaidi ya kumi au kila iitwapo leo au mtu anachambua na kusoma quruan na Biblia anatenga muda mwingi kwa Mungu Ila sisi rumetenga muda kuzungumza na Mungu? au kusoma vitabu vyake tujisemeze wenyewe muda wetu tumetenga tupo ktk majukumu ya dunia au kaisali wengine tupo kwa starehe ivyo hawa mashekhe ,na watumishi wa Mungu yaaani wachungaji, mapadre na wengine waliojitosa ktk Mungu nawapa maua yenu hivi najiulizaga mwisho wangu nitapeleka hesabu gani kwa Mungu nilikusanya au nilitawanyisha kondoo wake toka nilipopata ufahamu wa zuri na baya kazi ninayo
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Жыл бұрын
🙏 Amina, kiongoz mungu akutie nguvu maana msema ukwel mpenz wa mung hakika unatunz I ebu ona huyu mchungaj alikuj huku njombe alikusanya watu walikufa sana jmn ,.
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Жыл бұрын
Baadhi ya wachungaji wanapoteza watu na kuchafua dini ,maana watu wanajikuta wako njia panda ,mungu atupiganie,🙏
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 жыл бұрын
We mzee sio kweli si bola washinde kanisa kumuomba mungu kuliko kushinda bar au kuvuta mibangi ushakunywa nyagi povu lakutoka wacha watu wamuombe mungu amini kile unachokiamini kinakuuma nini kama mtu alikua hajawahi kupata ujauzito miaaka gedegede leo kwenda kuombewa kafanikiwa eti akitoa sadaki anaibiwa mbona kwa waganga na mbuzi Hadi n.gombe Kaa kimya
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 4 жыл бұрын
Ww huna akili angalia usimzihaki Mungu acje kukuhukumu acha kazi ya Mungu iendelee
@nicolausnyongole5611
@nicolausnyongole5611 4 жыл бұрын
Tunaangamia kwakukosa maarifa naikisoma bible kumcha mungu nichanzo chamaarifa mungu atuongoze kwenye njia zake
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 4 жыл бұрын
😂😂😂 Ukigeuka nyuma unajkuta peke ako😂😂
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
😄😄😄
@matridawilium9945
@matridawilium9945 Жыл бұрын
Jina la yesu ndo jibu
@hosianajosephu4296
@hosianajosephu4296 4 жыл бұрын
Big up mheshmiwa...
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
IS Trueee!!
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 жыл бұрын
Asante kuhusu watu tulio nje kupiga kura asante
@lilianmbangwa6151
@lilianmbangwa6151 4 жыл бұрын
Amen Mungu tusaidie kwa hawa watakavitu
@barnabamollelysaruni4613
@barnabamollelysaruni4613 4 жыл бұрын
Umesema kweli Baba kuna roho mtaka vituuu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Kwa huyo roho mtaka vitu usitoe kabisa😄Ila Kwa Mungu toa
@herriethmwakifulefule165
@herriethmwakifulefule165 2 жыл бұрын
Haya tangu lini Mbunge akaongelea dini???Mungu amekupumzisha naajungu,huwezi kumpiga majungu Yesu Kristo ukabaki salama
@meshackraphael9638
@meshackraphael9638 4 жыл бұрын
Mmzeeee umeongea point MUNGU akubariki
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 жыл бұрын
Hapo kwenye makanisa umeongea point less Mungu haziakiwi kila mtu anachokiamin ndio kinampa majibu yake hatuwez kutembea kwenye maono ya aina moja , hivyo acha wivu wewe mabrich kwa kutoa kasoro za imani za watu juu ya kile wanachokiamini waache watu na imani zao wasonge mbele
@kabweharuna5569
@kabweharuna5569 3 жыл бұрын
Mbona waganga hamuwasemi au kwa sababu wanafanya GIZANi acha hizo
@sungula100
@sungula100 4 жыл бұрын
Mmh, umeongea vitu vyepesi sana kuhusu suala zito sana la imani!
@saulindama3697
@saulindama3697 4 жыл бұрын
Hakuna mtu wa kumteteaYesu yeye ni mwenye uweza na mamlaka anajitetea mwenyewe.
@tymchanneltv1143
@tymchanneltv1143 3 жыл бұрын
Hapana SI kweli Mungu ndie mwenye kumtetea Yesu,, yeye Hana uwezo. Kwa maana Yesu sio Mungu., Soma Biblia. Huo Ni moja katika Aya nyingi. Mathayo 26:39.
@kuburilinyama8111
@kuburilinyama8111 4 жыл бұрын
respect
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Ya Mungu MPE Mungu ya Kaisari MPE kaisari we we endelea kuibia wananchi hapo bungeni na Mwamposa mwache afungue watu Nina LA Bwana lihimidiwe. Mwamposa tembea na jeshi lisiloonekana achana na madhabahu feki ya Hugo huko aliko
@noahmbalwa4167
@noahmbalwa4167 4 жыл бұрын
Sio kweli
@faustinmarko3472
@faustinmarko3472 4 жыл бұрын
Moto unakuhusu wewe
@rosemeryrichard164
@rosemeryrichard164 2 жыл бұрын
Bibilia.inasema mwaacheni.mwenye.imani.haba wewe.ninani.unatuurumia.umetuumba.mungu.akusaidie
@salamhapachavi5371
@salamhapachavi5371 2 жыл бұрын
Sema kweli
@herriethmwakifulefule165
@herriethmwakifulefule165 2 жыл бұрын
Haya tangu lini Mbunge akaongelea dini???Mungu amekupumzisha na majungu,huwezi kumpiga majungu Yesu Kristo ukabaki salama
@rebeccajohn724
@rebeccajohn724 4 жыл бұрын
Mheshimiwa mseme wasaudieye tanzania
@justinekashiriririka8690
@justinekashiriririka8690 4 жыл бұрын
Duh mzee umeongea point leo
@janethjackson1257
@janethjackson1257 4 жыл бұрын
Nakuelewa
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 4 жыл бұрын
We ni mpumbavu natena umechanganikiwa natena mwaka ujao bungeni waRombo hatukurudishi, piga tatu mzuka achakumpiga vita Mungu.
@heavenlinkmedia2834
@heavenlinkmedia2834 4 жыл бұрын
Hivi ww unaelewa alichokisema yesu au unalaumu tu paspokujua , brother omba mungu akupe uelewa au tafta kujua nn maan ya injili
@rutakihama3523
@rutakihama3523 4 жыл бұрын
Safi sana leo umenena point
@pettymbomela7663
@pettymbomela7663 4 жыл бұрын
Uko sawa Mheshimiwa hawa Mitume wamezidi
@zephaniakisumo4477
@zephaniakisumo4477 4 жыл бұрын
Najua wengi watanuna sababu kweli inauma,lakini wanayesimama katika njia ya kweli wamekubaliana na haya yaliyosemwa.
@PastorsTz
@PastorsTz 4 жыл бұрын
Aminaaaa sana asiyefanya kazi na asile
@magrethmagreth8900
@magrethmagreth8900 3 жыл бұрын
Roho mtaka vitu
@christophermwandemange796
@christophermwandemange796 Жыл бұрын
Acha Mambo ya kanisani, ngumu sana kuyaelewa ukitaka kuelewa jiungeni Acha mambo ya kanisa
@evethaasey1791
@evethaasey1791 4 жыл бұрын
OK OK OK BABU ubunge 2020 kz unayo
@jovithaabraham6375
@jovithaabraham6375 4 жыл бұрын
Kabisa evetha. Mimi jovitha Asey
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 4 жыл бұрын
Kura yangu sitompa kichaa ka huyu.
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 жыл бұрын
@@eugenyraphael4334 Hana shida kishafaidi
@musahassan4606
@musahassan4606 Жыл бұрын
Kweli
@mariasimon7545
@mariasimon7545 4 жыл бұрын
UBARIKIWE MPENDWA NAKUUNGA MKONO KWA HILI, UTAPELI KWA NYAKATI HIZI ZA MWISHO UMEKUWA MWINGI WATU WANAIFEDHEHESHA IMANI YA MUNGU WETU MWOKOZI YESU KRISTO. WAMETUMWA NA shetani KUHARIBU IMANI YA KWELI YA KRISTO.
@richimuniko3578
@richimuniko3578 2 жыл бұрын
Ni kwa Nini hujaongelea waganga wa kienyeji wanaopiga pesa ndefu na kuibia raia wema zibiti wachawi kama Wewe unaweza.
@nyamtayachamriho7065
@nyamtayachamriho7065 4 жыл бұрын
umeua baba big up sana uwe unaongea una point hamna mrombo mjinga wote point tupu
@ibrahimmusician2355
@ibrahimmusician2355 4 жыл бұрын
KwA wenye akili njema,umeongea pointi Sana,
@lazarominga896
@lazarominga896 4 жыл бұрын
Kbsa
@happinessseroin2336
@happinessseroin2336 Жыл бұрын
Mungu aendelee kyongeza viongozi wenye hekima
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 4 жыл бұрын
Mzee yuko sawa point sana ila kwaharaka haraka huta muelewa chunguza utapata jibu
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 жыл бұрын
Mheshimiwa je ukiletewa mtu mwenye pepo utamtoa ili tujue ulivyosimama? Maana imeandikwa aliemwanafunzi wa YESU atatoa pepo na kuweka mkono kwa mgonjwa akapona VP hapo imani iko wp Mana bila matendo imekufa
@janetkiwelu2429
@janetkiwelu2429 4 жыл бұрын
Kweli kabisa baba
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 жыл бұрын
Mungu ndie muhukumu
@slyvesterkameo6847
@slyvesterkameo6847 4 жыл бұрын
Kama ni waongo, matapeli na malaghai watendelea kuhukumiwa hapa duniani maana wanaolaghaiwa na kuibiwa wapo duniani!
@beatricesoka3134
@beatricesoka3134 4 жыл бұрын
Ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 жыл бұрын
Ili kumjua anaezungumza kama ni wa NURUNI au GIZANI ni matendo na maneno yake, maana imeandikwa kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake, mtu wa siasa hawezi kujua NENO ila mtu wa ROHO anaweza siasa na kama ni imani potofu anajua mtu alive na ROHO MTAKATIFU sio aliejaa roho mtaka siasa,wala kwa siasa hatoki pepo kwa mtu
@hussenimlimati9592
@hussenimlimati9592 4 жыл бұрын
Apo kabisaaaaaaa kuna roh mtakatifu na rooooooo MTAKAVITU. MWAMPOSYA
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 жыл бұрын
Mauaji ya Rwanda ni ya kikabila sio ya kidini. Huko uarabuni wote ni waislamu na wanauana
@hassanshaban4168
@hassanshaban4168 4 жыл бұрын
Jamaaa we kila kitu unapinga tuuu sikiliza point usibishe tuu
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 жыл бұрын
@@hassanshaban4168 ndo shida yakukanyaga mafuta kila point unaona ya hovyo mwee
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Wanapo wafutinisha wakauana ni hao wazungu wanao tafuta kwa dunia mzima faida mnao wafata dini zao za kutungwa mzungu lini akawa na dini. Hata isa atawakana Na makanisa yao ya ushoga na kuva uchi isa asili yake ni kutoka kwa ibrahim na ibrahim na isa ni waislam safi hakuna alie toka marekani na rome isa bin mariam hajaleta maji ombeni wenyewe msifate watu wawaombee ni utapeli tu
@syliviakente9460
@syliviakente9460 2 жыл бұрын
Hukusikiliza viziri
@magrethprosper1025
@magrethprosper1025 Жыл бұрын
Jaman. Ebu achen hayo
@pamelakasambala9589
@pamelakasambala9589 4 жыл бұрын
Acha hiyo
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Жыл бұрын
Nimejalibu kupitia comment Kuna watu wa mafuta wanekupinga hakuna kukata tamaa baba 30 ni heri ufe Kwa kusema ukwel kuliko kunyamaza damu ya yesu ikutawale milele Niko nyuma Yako, me Huwa naira shujaa twende mbele binadam wa sasa ni wanyama,.
@crintonkapamba1290
@crintonkapamba1290 4 жыл бұрын
Amina baba maana sikuhizi matapeli wameingilia pabaya
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 4 жыл бұрын
Safiiii mtumishi wa Mungu
@anordsakaya9852
@anordsakaya9852 4 жыл бұрын
Usipoangalia vizur na kubadilika utaimba kway mpaka unakufa na mbingun unawez usiende please badilika bint yang usitukan wal kudharau watumish wa mungu itakuletea laana mwanangu
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 4 жыл бұрын
@@anordsakaya9852nimefanyaje mpaka niimbe niishie jehanamu? Yesu wangu hakuingia gharama ili niende jehanamu, na ktk jina la Yesu jehanamu hakutengezewa mwanadamu, na MUNGU angekuwa na hasira watumishi wanao tudanganya kwa polojo nyingi angewaaibisha lkn yet ni wa rehema, mtumishi ungeijua NEEMA usingesapoti mafuta ambayo ni mfano wa mafuta ya Roho mtakatifu kabla Yesu hajapaa, mwana wa MUNGU nashangaa kusikia sitaenda nbinguni kwa sababu nimesema Safi mtumishi mh
@anordsakaya9852
@anordsakaya9852 4 жыл бұрын
@@veronicamnico4773 tuwaache. Wafanye ibada zao wanazozipenda Ili mrad watu waokoke na kumjua Mungu sisi tuliokoka hatuhitaj kuwaita hawa Wa kienyeji hata kama hatuelew ibada zao inabid tuwe mfano Wa kuigwa kwa kuwaheshimu tu hawa wachungaj na si kuwatukana kwa kufanya hivyo Mungu atakuinua kwa viwango vya juu zaidi Amen
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 4 жыл бұрын
@@anordsakaya9852 kosa langu nini? kusema (Safi mtumishi?) Mtumishi Mimi nilishainuliwa na Yesu tangu alipoenda carvali laana zangu zote zilibaki carvali, kuinuliwa ni haki yangu na kubarikiwa ni haki yangu kupitia Yesu, hata siku moja siwezi kumtukana mtumishi wa MUNGU, isipokuwa siwezi kushabikia polojo, tena mtumishi naomba tujuane zaidi, ninasali kanisa la Philadelphia niko mwanza buswelu kwa Askof ISAYA. Na nikushirikishe kusoma chuo cha biblia huku mwanza Cha WIBI utajua ninacho maanisha. Asante
@anordsakaya9852
@anordsakaya9852 4 жыл бұрын
Niliona comment yako kwenye post ya nabii mwammposa niliisioma ns kuipotezea ni weng waliotukana lakin hata sielew mbona nimekufata nahis Mungu ana mpango na,wew ndo maana nilikushaur nimekushsur mwanangu mim TAG tabata kimanga Dar es salaam na nimemwona Mungu kupitia kuwaheshimu na kuwaombea tu hawa watumishi Wa Mungu Amen
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 4 жыл бұрын
Sawasawa baba
@komumbughuni8301
@komumbughuni8301 Жыл бұрын
Kajilipua mwenyewe,kwani yuko wapi sasa?
@furahinimbise1804
@furahinimbise1804 4 жыл бұрын
Wewe hatujakupa Ubenge ili ukawakashifu wajumbe wa Mungu, fanya kazi tulio kutuma, Watumishi wetu tulio letewa na Mungu achana nao.
@erickmachua8829
@erickmachua8829 4 жыл бұрын
Shindwa.. Selasini yuko sawa.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
HUYO MBUNGE aliyejaribu KUIPINGA KAZI YA YESU KUPITIA MTUME MWAMPOSA yuko wapi saizi? Ni nani awezaye kuipinga Kazi ya Yesu na akafanikiwa ?
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Tutapaka sana mafuta na hayo majungu yako hayashindani na Nuru wewe ni giza tembea nalo tuache sisi tutembee na Yesu vipi babuuu
@joshuamatagane8105
@joshuamatagane8105 4 жыл бұрын
MBONA NINYI MNAKWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA MNAKAA UCHI HUKO WENZENU HAWASEMI?? AU TUWAITE HAPA WAWAUMBUE????
@jackpaul9825
@jackpaul9825 Жыл бұрын
Wewe huna Sera ulaaniwe mala 7
@venerandamagesa9509
@venerandamagesa9509 Жыл бұрын
Waambie ndugu yangu maana waganga hawaongelewi kabisa mbona tunatumiwa mpaka sms za waganga Hilo haliwakeli😂😂
@hellenminja5834
@hellenminja5834 Жыл бұрын
Uongo Ni hatarii sana mbona husemi waganga ?????
@ngumbaonzaro5716
@ngumbaonzaro5716 2 жыл бұрын
Ngumbao nzaro
@tumainpeter3805
@tumainpeter3805 4 жыл бұрын
Yuko sahihi
@erickmachua8829
@erickmachua8829 4 жыл бұрын
Kabisa.. Manabii matapeli.
@jonikaonline6868
@jonikaonline6868 4 жыл бұрын
Hatar sana tumaini
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 4 жыл бұрын
ERICK MACHUA kweli nitapeli
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Mzee akili kubwa Sana kuhusu makanisa ya kitapeli na wajibu was serikali kulinda raia na Mali zao ......BIG UP Hilo la wafungwa kupiga kura ni jema lkn kwanza kabla hawajapiga kura wangepata Haki ya kuhabarika ili wasije chagua mazuzu bure😂😂😂
@danielkamendu2153
@danielkamendu2153 2 жыл бұрын
Umepotea
@burkardkayombo5271
@burkardkayombo5271 4 жыл бұрын
Huwezi kuingilia matatizo ya mtu mwingine na kumsemea, hii ni kama ajali tuu, kama ni hivyo basi hata wabunge wafutwe. Tunakwenda kwenye uchaguzi Arubino wapo mashakani. Hapa panataka busara tu, siyo vijembe.
@samadoushujaa7028
@samadoushujaa7028 4 жыл бұрын
Mnaangamia kwa kukosa maarifa..
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 жыл бұрын
Ajali ungekufa ww au ndugu yako
@cecilhaule9837
@cecilhaule9837 Жыл бұрын
Sasa mnaanza kupambana na nyumba wenu hamuwezi, tupambane na wanaoibia fedha za serikali jamani
@jaqlinemanyama1876
@jaqlinemanyama1876 Жыл бұрын
Aache imani za watu
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
Fact
@emmanuelsundaymtosa2366
@emmanuelsundaymtosa2366 4 жыл бұрын
Ashindanae na yesu atapondwa kabisa imekua . usinyoshe kidole kwa masihi Bwana
@lusuvilonzowa9716
@lusuvilonzowa9716 4 жыл бұрын
Baba fanya siasa Mambo ya dini yaache itakugharimu Sana .
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 жыл бұрын
Wa Tanzaniya muwe hange munapo ongeya kuhusu rwanda,ya rwanda ni marefu kiasi kwamba hamuwezi kuyaelewa.kinyarwanda ni lugha mbali nanyi hata ukoloni ni tofauti .
@anethamos7429
@anethamos7429 4 жыл бұрын
Kabisa dini zimekuwa biashara
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Mtawa tambua Kwa maneno na kutembea kwao ataukipinga anatawala tuu ata useme Sana anatawala tuu Bora unyama........
@silviafabian7758
@silviafabian7758 4 жыл бұрын
yaani selasini leo umetuangusha wana rombo usipambane na mtumishi wa mungu atatetea na aliye muita tapeli ni wewe mwenyewe ushindwe yaankini hicho kiti cha ubunge mwaka huu kikakukataa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
Hapati hicho kiti
@erickmachua8829
@erickmachua8829 4 жыл бұрын
Selasini yuko sawa.
@ainesslema8881
@ainesslema8881 4 жыл бұрын
Mtumishi wa hela hapo. Hamna lolote. Wanaenda kupewa maruani ya utambuzi. Anakwambia kila kitu na kufarakanisha familia za watu. Na tiba hakuna.
@luizatarimo8870
@luizatarimo8870 4 жыл бұрын
wewe mh kaongea point sana simama kwenye imani yako
@PastorsTz
@PastorsTz 4 жыл бұрын
@@luizatarimo8870 aminaaaaaaaa aminaaaaaaa
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3,4 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 61 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 39 М.
MWAMPOSA TAPELI SHEIKH MAZINGE ALIPUKA
7:18
arkas online tv
Рет қаралды 35 М.
FULL SPEECH: Barack Obama’s full speech at the DNC
36:08
ABC News
Рет қаралды 3,5 МЛН
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 56 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН