SHANGWE ZATAWALA ASKOFU NGALALEKUMTWA AKITOA NENO LA SHUKRANI MBELE YA MAASKOFU NA DK.MPANGO

  Рет қаралды 28,099

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

11 ай бұрын

Пікірлер: 38
@hezronkangalawe1319
@hezronkangalawe1319
Baba Askofu Ngalalekumtwa, umekuwa alama ya utumishi uliotukuka kwa kanisa na kwa kuwatumikia wananchi katika mahitaji ya kimwili. Nakuombea afya njema ili uzidi kututumikia. Kwa namna ya pekee umetuwakilisha wana Iringa katika kuwatumikia watu kwa hofu ya Mungu. Barikiwa.
@leticiamlandali3022
@leticiamlandali3022
Hongera sana Baba Askofu,Mungu mwema aendelee kukubariki kwa utume wa miaka 50.
@paulmnyeti7027
@paulmnyeti7027
Mungu mtakatifu wa mbinguni akubariki mzee wetu, babu yetu, mchungaji wetu Mtumishi Wa Mungu Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu Wa Iringa.
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123
Mwenyezi mungu akujalie afya njema nayenye baraka teleee wewe pamojaaa na kanisa katholic loteee
@user-hx2kk4ej2e
@user-hx2kk4ej2e
Hongera Baba Askofu kwa jubilei yako ya miaka 50 ya utume.Mungu akubariki sana
@user-ye1qc9tc5c
@user-ye1qc9tc5c
Ásante Mungu Kwa zawadi ya baba yetu, Askofu wetu, Mjomba wetu . Ásante Kwa ukarim wako, upendo, uchaji wa Mungu na Imani kubwa kwa. Mungu. Ubarikiwe sana Baba. Nikutakie majukumu mema yanayoendelea ili ulimwengu uzidi kumjua , kumpenda na kumtumikia Mungu.
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662
Babu Ngalalekumtwa kwa watu wa iringa ni zaidi ya kiongozi wa kidini, ni baba na babu kwa kila mtu, amekua baraka na chemichemi ya furaha kwa watu wa dini zote na rika, hakika mzee huyu ni nyota inayong'ara.... Mwenyezi Mungu amweke salama amalize vyema mda wake wa utumishi na kukabidhi kijiti kwa mwandamizi wake, kazi ya Mungu isonge mbele. Hongera baba askofu na Wana iringa wote.
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571
Hazina kubwa sana kwa kanisa la Tanzania
@user-hi7ul5le2n
@user-hi7ul5le2n
Baba yetu hongera kwa kazi kubwa hakika mungu anajivunia mteule wake
@visensiakadege6608
@visensiakadege6608
BABA ASKOFU MUNGU AKUBARIKI SANA. TUNAMSHUKURU MUNGU KUTUPATIA WEWE BABA NA BABU YETU
@drgeofreymdede3952
@drgeofreymdede3952
Asante sana baba Askofu. Nimemsikiliza mara tatu hadi sasa. Katika maisha yangu wewe ni askofu bora sana kwangu. Sijawahi kuchoka kusikiliza mahuburi yako.
@user-pt3go6xo1n
@user-pt3go6xo1n
Hongera baba yetu tunakukuombea utume mwema Asante mungu kwakutuletea askofu wetu wajimbo lairinga mungu akubaliki🙏
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146
Utume mwema Baba Askofu Ngalalekumutwa
@katunzimutalemwa3366
@katunzimutalemwa3366
Mungu azidi kukubariki
@joshuachuwa5695
@joshuachuwa5695
Jamani inguluvi yatupelye baba askofu huyu.Asandi sana baba.
@petercharles1819
@petercharles1819
Ilikuwa njema sanaaaaa
@FransiscoKivamba-zu8gc
@FransiscoKivamba-zu8gc
Mungu akulinde
@jaspermtuya228
@jaspermtuya228
Mungu awe nae siku zote
@MbambuAnnah
@MbambuAnnah
I connected my self and my family to the mass🙏🙏
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284
Amina
UZINDUZI WA NYUMBA YA ASKOFU WA MAFINGA
17:14
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 10 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 11 МЛН
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН