Hongera sana Baba Askofu kwa kazi za Kitume. Mwenyezi Mungu na akuzidishie umri na uendelee kuliongoza Kanisa lake Takatifu. ❤❤❤
@KasianiAloyce2 ай бұрын
Hongera sana baba Askofu wetu na Mungu akubariki sana. Umekuwa Askofu wangu jimbo la Mbulu na sasa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam!
@Deonfnyoni2 ай бұрын
Ni askofu bora ktk maisha yangu Mungu akubariki 🙏
@fatumamaila62332 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba,mkono utoao ndiyo upokeao pokea🎉🎉🎉 yako
@fortunatamango84412 ай бұрын
Hongera sana Baba Askofu, Mungu aendelee kukutunza na kukubariki katika utume wako.🎉🎉🎉🎉
@m.mmarckus629821 күн бұрын
Mungu ni Mwema sana.ubarikiwe baba Askofu
@user-ii4ux3vp4g2 ай бұрын
Hongera sana Baba Askofu Mkuu na asante sana kwa majitoleo yako
@jimmyisack91642 ай бұрын
Askofu bora kuliko wote Duniani, asiye na tamaa na mali wala makuu. huyu ni mfano wa kuigwa kwa watumishi wa Mungu wengine. Ishi miaka mingi na isiyohesabika Baba Yetu Ruwaichi
@Deonfnyoni2 ай бұрын
Hongera sana baba yang wa kiroho na kwangu ni askofu bora ktk maisha yangu mm najivunia ukatoliki Wang kwa kuonja karama zako kwani nilikuwa mtumishi wa altare ww ukiwa askofu wa Jimbo la Dodoma
@YohanaMbano2 ай бұрын
Hongera sana baba askofu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@saarungu35642 ай бұрын
Hongera sana baba askofu mkuu Ruwaich.Mungu akubariki sana.