SHEIKH MSELEM ASIKITISHWA NA WANAO MRAD MITANDAONI"MIMI YANANIFIKA MENGI SIMJIBU MTU NAKAA KIMYA TU"

  Рет қаралды 8,221

Adil TV

Adil TV

2 ай бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 62
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138
Wallahi katika nchi hii tungekuwa na ma sheikh kama hawa wallahi nchi ingekuwa na neema za kutosha ALLAH AKUHIFADHI MAALIM
@sharifuburuhani1969
@sharifuburuhani1969
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH sheikh Msellem Bin Ally, wewe ni Roll modell wangu!
@kondomrisho8776
@kondomrisho8776
Safi sana uchamungu huwa daima kujishusha Allah (sw) akuhifadhi mzee wangu na hasad za mwana wa adamu
@bakarfaki-vb8kv
@bakarfaki-vb8kv
Hivi ndio watu wema wanavyokuwa katika maisha yao si kijana mwenzangu Haji upepo na niendelee kusema kuwa Haji mm ni mwanafunzi Lakn sijafikia kuwaradd masheikh kwa sababu wao ni binaadamu Kama ulivo ww Haji upepo. Hebu tuwe na aadab kwa hawa masheikh watupe like walichonacho 😢
@ramadhanmbarak3979
@ramadhanmbarak3979
Allah akuhifadh sheikh tunakuelewa Sana MaashaAllah
@jumagora3462
@jumagora3462
Asante mungu akulinde na shari pamoja na ss kibabu kimamaliza kila kitu
@makerebul3650
@makerebul3650
Allah akuhifadhi unaeleweka sana Mashallah.
@musasefu6092
@musasefu6092
May Almighty Allah guide you my mostly favorite shekhe
@suleim505
@suleim505
HAYA NDIYO MANENO YA KUJIBU MTU MWENYE ELIMU NA KUJUA NAMNA YA KUITUMIA: KWA HAKIKA UMETOA MAJIBU MAZURI MNO ALLAH AKULIPE KWA UVUMILIVUWAKO.
@user-rh7lj1lo5x
@user-rh7lj1lo5x
Nimekukubali sheikh Mselem Allah akuhifadhi
@ahmedabry293
@ahmedabry293
Allah akuhifadhi sh msellem bin ally.. Tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246
Huyu shekhe hajikwezi ingekuwa wengine maneno mengi
@PeacefulSoccerGoal-ki7td
@PeacefulSoccerGoal-ki7td
Alikua ana tafuta kk na shk wetu ALLAH akujalie umri na afya njema
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725
Kweli kabisa maneno yako sheikh Allah akuhifadhi yaarab
@fahimkarama9341
@fahimkarama9341
mungu akulinde shekhe wangu
@mchinaaanavoijuwaadiniikiu7823
@mchinaaanavoijuwaadiniikiu7823 14 күн бұрын
Mashaallah Allah ambarkii shkhee watu
@noorsa88d
@noorsa88d
Allah akuhifadh Sheikh Mselem
@HusseinAbdul-is9xq
@HusseinAbdul-is9xq
Naam jazzakallahkhery 🎉
@samiruiddi2077
@samiruiddi2077
Allah akuhidhi shekh mselem hakika mti wenye matunda ndio hupigwa mawe huwezi kukaa chini ya mjohoro akauchucha mawe bali ss tunakuerewa
@husseinhaji9550
@husseinhaji9550
Allah akuhifadhi Sheikh wetu
HISTORIA YA SHEIKH MSELEM HADI KUINGIA GEREZANI (EPISODE 2)
30:52
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4 МЛН
SHK MSELEM NIMEKOSOLEWA NAAMBIWA NA POTOSHA
57:48
Adil TV
Рет қаралды 24 М.
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.
KUNA UCHAWI,MIUJIZA NA MAKARAMA  //SHEIKH OTHMAN MAALI
57:25
arkas online tv
Рет қаралды 45 М.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
shining noor
Рет қаралды 677 М.
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54
arkas online tv
Рет қаралды 15 М.
ONA MAHABA YA DK SULLE KWA WAKE ZAKE WANNE, NAWAPENDA WOTE
13:54
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН