SHILOLE ALIVYO MKATAA ALIYEKUWA MUME WAKE ROMMY/SIPUNGUZI TENA UNENE/WASANII HAWAJUI KUPIKA #SHILOLE #carrymastorytv
Пікірлер: 23
@witnessmlay74158 күн бұрын
Shishi kujieleza huwezi shoga angu😀
@alsam48818 күн бұрын
Shishi hajui kujieleza wala kutangaza biashara kabisa.
@nurungalisoni267 күн бұрын
ORYX walitakuwa wamuandae nini aongee juu ya gas yao.
@Brunn-mh2bq5 күн бұрын
@@nurungalisoni26Hapo wamejitahidi kumuandaa ila sasa kisomo hamna. Kuna ukomo wa uwezo
@kazkaz19437 күн бұрын
Utajiri na mwili mkubwa haviendani shishi, tajiri ili uinjoy utajir wako lazima uwe na mwili wenye afya au bado hujajua kama ww ni rich ❤
@ruqaiamohammed3453 күн бұрын
Shishi kakwepa swali la ndoa yake 😂😂
@eggysulle79884 күн бұрын
Shishi umepentesaa mno 👌😄🔥🔥🔥
@deedollarz71447 күн бұрын
Shishi kichwa maji.. Interview imekuaibisha sanaaa bora ungevunga
@machasofficialsite62217 күн бұрын
Sasa unaelezea kitu hutaki kutaja bei hiyo ni akili ya hovyo zaidi
@queenmilan20247 күн бұрын
Shilole hawezi tangaza biashara. Ameharibu
@ShabanMainde5 күн бұрын
😅😅
@user-mi7cd8ch1b5 күн бұрын
Dada shishi nakupenda sana mpambanaji,,ila tumbo rimekuwa kama kichugu nn shida jitaid kufanya mazoezi rimekuaribu shooo?
@steveabel58197 күн бұрын
Shilole hawezi kuelezea moto wa blue😅
@umranim58548 күн бұрын
Unapo fanya advertising jaribu wakuexplenie bei kuliko unavo aibika kitu una kuitumia hujui bei yake 😅 halafu uongo wazi kabisa hata kama una pika aje huwezi kummaliza mtungi mzima na ni saizi kubwa 😢 badala kusifia ameiponda umeisifia kiuongo 😂
@hanifahkhamiss84858 күн бұрын
Understand shilole😅😅😅
@rubbymusa19717 күн бұрын
Umefanya poa, wakuandikie vya kusema bidhaa si zao bwana,
@blendembesimba8 күн бұрын
Saba saba
@michaellagwen81988 күн бұрын
Kaka vido ananenepa Sana jaman
@machasofficialsite62217 күн бұрын
Unajifukuzishia wateja kwa utanutani wa hovyo
@user-mi7cd8ch1b5 күн бұрын
Watu wapewe herimu na matumizi ya gesi kwani watu wataungua wengi na kupoteza maisha herimu itorewe gesi ni fasta lkn herimu muimu
@sikudhanimohammad769219 минут бұрын
Ww pia unatakiwa upate elimu kwa sababu hujui kuandika
@beatricejohn16597 күн бұрын
Waanzishe tuu mpk gas ya kupima mpk kilo moja kama India. gas kilo moja inatumika siku 4 Kwa matumizi ya familia.