No video

Sibuka Gospel Hits-Bahati Bukuku(Ajali)

  Рет қаралды 898,281

Sibuka Gospel Hits

Sibuka Gospel Hits

Күн бұрын

Пікірлер: 532
@rosekilawe786
@rosekilawe786 15 күн бұрын
Mungu akuonye Mtumishi hakuna baya litasimama kwako Mungu ana😮 macho tofauti na haya yakwetu ameniponya na mtoto wangu akuponye Ameeeen.
@user-zr8ow8cp6b
@user-zr8ow8cp6b 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukupigania nakupenda ssana!
@DeboraMsigala
@DeboraMsigala 2 ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu!Huwa nabarikiwa sana kwanyimbo zako!umeshinda!
@izhyoomwakisambwe759
@izhyoomwakisambwe759 Ай бұрын
Pole sana maama yangu kwa ajali MUNGU akuponye mana anaweza ponya bila ata sindano ya kudunga dactar mkuu akuponye maama
@user-wu5xn9tm7p
@user-wu5xn9tm7p 5 ай бұрын
Pole mama. Mungu ni mwema wakati wote. Shetani. Kapigwa na kafezeshwa tuzidi kumuomba mungu maana yeye ndie mtetezi wetu
@RafaelMollel
@RafaelMollel 4 ай бұрын
Mungu ako na Jambo na wew mama mungu akulinde na tunaamini utapona Kwa damu ya yesu ❤❤❤❤❤
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi 5 ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote dada bahat pole sana dadangu mungu amekupigania upo Salam jina lake libarikiwe sana
@user-ti3fm4pe6w
@user-ti3fm4pe6w 4 ай бұрын
Asante Mungu kwaku tucungiya muimbaji weyu mkubwa mu Afrique bahati Bukuku Mungu aendele kuku cunga kabisa sana
@AnnCharles-mq9xl
@AnnCharles-mq9xl 4 ай бұрын
😍😪✊🌟✊😘🙏🙏👌 🥳12:32 😘❤️❤️
@user-kk5uh7by3v
@user-kk5uh7by3v 5 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati mungu anaendelea kukupigania akuzidishie maisha marefu mama
@ELIZAMSOLO
@ELIZAMSOLO 3 ай бұрын
Pole dadayetu MUNGU akupe maisha marefu tunakuhitaji saaaana wanaokunenea mabaya habari ziwafikie kuwa hauna mkataba na mauti kwasasa
@wakolisarah683
@wakolisarah683 5 жыл бұрын
Pole sana mama,shetani hana aibu ata.God loves you more...na bado utaishi in jesus name.
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 5 жыл бұрын
Yesu kristo mwana wa Mungu jamani!!! pole mtumishi wa mungu jamani pole sana. Mungu akiwa nawe hakuna kushindwa. Utapona kwa wezo wa Mungu. Twakupenda sana twakuombea na utapona Amen
@estermalembwamalembwa1936
@estermalembwamalembwa1936 4 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa mungu kwa hiyo ajali uliopata mungu atakusaidia hicho ni kipimo Cha Imani Yako tu usiwe nawasiwasi
@colethamwinyi7107
@colethamwinyi7107 Жыл бұрын
Pole sana ! MUNGU mwema dada uko salama🙏
@rachelkihaka6720
@rachelkihaka6720 5 жыл бұрын
Pole sana dada angu Mungu ni mwema sana hadi hapo ulipofika ni Kwa neema tu na yeye ndiye mlinzi wa maisha yako akupiganie na asikuache katika kipindi hichi kigumu kwako Amen
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 5 ай бұрын
Mwanangu akupe hekima busara we ni shindi sugar wa yesu nakupenda sana mwanangu pia nashukuru Mungu kwa uzima unao leo kusikia ukiwa hai ubarikiwe naishi marekani Mungu awe nawe mwanangu
@laodikiajafarikisinda
@laodikiajafarikisinda 6 ай бұрын
Pole mamangu mungu atakusaidia utapona na utaishi miaka mingi shetani hana nafasi ktk jina la yesu
@melvinniceanyango2919
@melvinniceanyango2919 2 жыл бұрын
Nilisikia vibaya mno kusikia kua amefariki bahati nilichoka moyoni kua nimemloteza mwimbaji wagu mzuri nazipenda nyimbo zake ninapo zimba nasikia furaha mungu akuogeze siku baada ya siku
@yessebaraka4010
@yessebaraka4010 Жыл бұрын
Pole sana dada acha mwenyezi Mungu akuonyesha kwa jina la yesu kristo ya Nazareth
@user-dp9ym1pn7g
@user-dp9ym1pn7g 5 ай бұрын
Dada hiliswala limenishituka sana pole sana mungu yupo atakupa afya jema km. Ni w2 mungu atakurali mti wamatund utapingwa mawe dada utapo naujumbe utaupepe Rushal wa mungu
@lucynyambu9392
@lucynyambu9392 Ай бұрын
Pole sana dadangu may God protect you
@user-jr1tr6fs3c
@user-jr1tr6fs3c 8 ай бұрын
Pole sana dada yangu kipenzi, Yani kabisa Mungu ni Mungu kabisa Ku waokowa, ungali nakazi mingi yakumutumikiya.ila sifa zimurudi saana. Natamani hâta Siku moja nikupigiye muziki kwani mimi ni mwana mziki nikiwa mkongomani na Sasa naishi apa yuganda
@Donasian-ry9kh
@Donasian-ry9kh 5 ай бұрын
Pole sana mama mungu atakuponya amina
@agathamusei1820
@agathamusei1820 4 жыл бұрын
Pole sana dada,mungu azidi kukupigani,nimejifunza mengi kutokana na majaribu yako shukuru mungu unatumika na mungu ili wengi wajie Amen kenya
@alphonceshayo7332
@alphonceshayo7332 5 жыл бұрын
Mungu akuponye na awaponye wote kwa damu yake takatifu. Kuwa na moyo mkuu. Mnaoota vifo kwa watu muwe makini ila tujue kifo ni njia yetu sote mavumbini tumeumbwa na kwayo tutarudi. Na tamka afya njema nnyote. Amen
@ellymwakapyanila9274
@ellymwakapyanila9274 Жыл бұрын
Mungu akuinue mtumishi, Mungu wetu ni mponyaji.
@lucychami5017
@lucychami5017 5 жыл бұрын
Pole mwaya dogo Bahati Bukuku. Mungu Mwenyezi unayemtumikia tangu utoto wako ATAKULINDA, KUKUKINGA NA KUBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO. UPONE MAPEMA MWAYA.
@abdojjjabdoll2074
@abdojjjabdoll2074 5 жыл бұрын
Shetani ashidwe na majaribu zake,,,,MUNGU ni mwaminifu akupe uzima tele akuponye dada wetu BAHATI BUKUKU AMINA
@aminaamouri6326
@aminaamouri6326 2 жыл бұрын
Je bénis l'éternel pour sa protection divine envers sa servante Bahati bukuku c'est ne pas seulement que le tanzanien qui ont prié pour notre maman Bahati bukuku il y a aussi les congolais de la République Démocratique du Congo
@niyiesther6571
@niyiesther6571 5 ай бұрын
Ameeen. Pole saana mama BAHATI BUKUKU
@jescamdanga4581
@jescamdanga4581 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa wampendao atazid kukupigania! Mung akuponye mama ang.
@tedybernad3828
@tedybernad3828 5 жыл бұрын
Pole dada bahat
@dnnikeza2563
@dnnikeza2563 2 ай бұрын
Pôle sana dada mungu azidi kukulinnda tunakupenda
@user-ii9qx9ii5p
@user-ii9qx9ii5p 5 ай бұрын
Mungu wetu ni mungu wa neema pole mama yangu bahati kipenzi changu mungu amekupigania Kwa mengi ivyo yupo pamoja na wewe uchawi autakaa mikononi mwako wala mwilini mwako Mika 5:12
@ezekieldeus6022
@ezekieldeus6022 Жыл бұрын
Mungu, akuponye kwa kwa haraka,iliuendelee kumtumikia hapa Duniani. Kabura ulimwisho haujafika.
@noraharbogast5864
@noraharbogast5864 5 жыл бұрын
Pole Sana Dada angu Bahati Bukuku Mungu yupo na atawapa haki yao wanaozusha uvumi mbaya hivyo nawaambia hautakufa bali utaishi ili uyasimulie matendo makuu ya Bwana
@MusafiriIssa
@MusafiriIssa 5 ай бұрын
KWAKWELI mungu HAWEZI kubali huyu dada âge 'kupitiuya zi ametenda kwa hiyi duniya
@peninahruth2870
@peninahruth2870 5 жыл бұрын
Pole bahati bukuku uponyanji waharaka tunakuombea watching from saudii a kenyan citizen i lk ua music its really gave m caurage dunia haina huruma na mulindekai
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 5 жыл бұрын
God is able..hutakufa Bali utaishi nawe utasimulia matendo makuu ya Mungu.NAKUPENDA
@happynesspaul-sk6mg
@happynesspaul-sk6mg 4 ай бұрын
Pole Sana dada angu mungu akutie nguvu upone uludi kwenyealiyako ya kawaida mungu nimwema utapona 8:16
@fatmahbinti8797
@fatmahbinti8797 8 жыл бұрын
pole sana kwa ajali shetna ana mamlaka katika maish yako twashukuru mungu uko mzima dada mungu bado yuakupend wacha tumsifu mungu
@richardotieno9873
@richardotieno9873 7 жыл бұрын
Pole xn mtumixi wa Mungu
@NoelaImani-pw9uw
@NoelaImani-pw9uw 4 ай бұрын
Pôle Sana dada letu bahati mungu wa mbinguni sio ndogo atakupognesha ndani ya umivuu na atakupognesha
@susanmwalili5910
@susanmwalili5910 5 жыл бұрын
Mungu yuko upande wako pokea uponyaji kwa jina la yesu Bahati Bukuku.
@lovenessmwagama6201
@lovenessmwagama6201 5 жыл бұрын
mungu nimwema huonimtihani tuuuuuuuu hutakufa bali utaishi mpendwaaaaaaaaaa!!!!
@wesowesoweso8935
@wesowesoweso8935 9 жыл бұрын
Oh my God!!!! Mama mama yangu mama machozi yananitoka Mungu aliyeziumba mbingu na nchi anajuwa hadi kilindi cha moyo wa mtu akuinue mama akuweke juu juu juu zaidi so as we great testfy and great gradefy the groly of God through my mum bahati.amen.Mourine in saudia.
@bahatimbilinyi7871
@bahatimbilinyi7871 4 ай бұрын
Mungu azidi kukuponya🙏🙏🙏
@pricillahmwangi6171
@pricillahmwangi6171 5 жыл бұрын
Nafurahia sana kuona kujua kwamba no uongo tu wanaosema kwamba umetuaga.Mungu akuponye na usimame tens na kutembea.You are significant to many.
@shebyzedony5020
@shebyzedony5020 5 жыл бұрын
pricillah mwangi r
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 ай бұрын
Mungu akuponye ndugu yangu pole sana
@atuganilerafael599
@atuganilerafael599 5 жыл бұрын
Pole dada bahati.tunaamini Mungu amekuponya mpaka ulipo fika hapo.
@magrethclement7243
@magrethclement7243 4 жыл бұрын
Dada Bahati umepona na Yesu aendelee kukuganga kila mahali " Mimi nimeamua kutengeneza na Mungu wangu" uko vzr dada.
@simonmdune9066
@simonmdune9066 5 жыл бұрын
Poleni saana mama bahati bukuku nakupenda saanaa akii.pia kiswahili chako kitamu zaidi aisee
@christianoctk8542
@christianoctk8542 5 жыл бұрын
Una sema eti watanzania wanakupenda, lakini na weza kusema kama kuna Wakongomani ambao wana kupenda sana zaidi than you can't imagine. My family wanted to know the truth about your death!!! We are happy that you're still alive😊 thanks God
@ngogajeannedarc9083
@ngogajeannedarc9083 5 жыл бұрын
Mimi na mpenda zaidi yenu Mungu asante tena baba .from Burundi.
@sankaresiato4002
@sankaresiato4002 5 жыл бұрын
Pole mungu anakupenda sana ...zidi kumtumikia tunakupenda Dada
@marthalazaro9720
@marthalazaro9720 4 жыл бұрын
Mungu akuponye haraka dear urejee kwenye kiwango kingine.
@dougdjum3737
@dougdjum3737 9 жыл бұрын
dada maombi umeombewa dunia nzima sio kwa wa tanzania peke yao mimi ni mcongomani na mmefata magazeti zako usiku na mchana Mungu akujalie mema na maisha marefu na hekma nyingi tena mama asante
@fredrickotieno8693
@fredrickotieno8693 6 жыл бұрын
Maulana yupo simama tu kwa neno moja yakwamba kwakujeruhiwa kwake tumeponya nawe pokea katika jina la kristo Yesu.
@ElizabethNdunguru-cn4rm
@ElizabethNdunguru-cn4rm 4 ай бұрын
Duuuh pole sana mungu akutue nguvu
@AliAli-ez8nu
@AliAli-ez8nu 5 жыл бұрын
Pole sana dadangu mungu uko pamoja na ww,i wish you quick recovery mum
@lucyshirima402
@lucyshirima402 5 жыл бұрын
Pole Dada bahat jmn mungu ni mkubwa mungu asidi kukupingania ila wanahabar akili zao wanasijua wenyewe sijui kwann wanatoa tarifa za uwongo kwenye mtandao mkubwa km huu dah mungu you pamoja nawe my sister
@SliviaNamataka
@SliviaNamataka 4 ай бұрын
Pale sana sukuru mugu wako kuzuia life Yako thank God sana .
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 7 жыл бұрын
i like your confidence mama bukuku mtu mwenye jina lazima unenewe lolote ila pole kwa yote
@leahgilbat4185
@leahgilbat4185 5 жыл бұрын
Mungu akiwa upande wako ninan? Alive juu yako ubarki we mtumish wa mungu
@givenmacha514
@givenmacha514 5 жыл бұрын
Oooooh! Huwez kupendwa na wote!!! Mungu yuko upande Wako. Pole sana wangu ,penda sana ww!
@dougdjum3737
@dougdjum3737 9 жыл бұрын
asante kwa Mola wetu kwa jambo lolote limetutokeya dada Bahati ,toka Rdcongo
@neemarumas3754
@neemarumas3754 9 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana Bahati uponyaji wa haraka uwe kwako sasa! kweli tunahitaji huduma yako!!! amen!
@wennyramdan7820
@wennyramdan7820 8 жыл бұрын
pole mama japo nikitambo lkn mungu akuonekanie kila upande
@dianashabani9131
@dianashabani9131 4 жыл бұрын
Pole sana dadaangu mungu yuko upande wako
@LovenessMdoe
@LovenessMdoe 5 ай бұрын
Pole sana mama yangu umenipa moyo
@user-kp1xi8xi2e
@user-kp1xi8xi2e 4 ай бұрын
Pole sana dada yangu bokuku chakwasa inatakiwa tumwogope sana mungu wa mbinguni
@johnkasuga3290
@johnkasuga3290 5 ай бұрын
Pole Sana Bahati Bukuku kwa ajali hiyo,Mungu atakuponya,,!!!
@zaburonimeshacki5917
@zaburonimeshacki5917 Жыл бұрын
Pole sana asante yesu kwa kukuokoa na roho ya mauti ameeen
@laini120
@laini120 9 жыл бұрын
I love you Bahati. Nashukuru Mungu wetu amekulinda
@anisethkimario8019
@anisethkimario8019 5 жыл бұрын
Kufa ufe ww unaye tangaza mama wa aman amekufa mam yangu Dada yang bahat bukuku pole xan kwa ajal mwenyez mung akapate kukuponya ktk jina la yexu amin
@meddyakimana4104
@meddyakimana4104 9 жыл бұрын
Pole sana Bukuku wetu Mungu apewe sana sifa zake kwa kukulinda tunafulahi sana kusikia umuzima.
@samuelmisiani3722
@samuelmisiani3722 4 жыл бұрын
Sorry mammy utapona hamini mungu atakuponya
@inviolataloice9200
@inviolataloice9200 5 жыл бұрын
God bless u bukuku ,we love u and u are protected with blood of God,from kenya
@salomeihilika497
@salomeihilika497 3 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa BWANA
@joysimventures2242
@joysimventures2242 Жыл бұрын
Wah pole sana, Glory be to God that he protected you Ingekua mbaya sana. Drivers Kimdly dont drink and drive
@florymulboy5957
@florymulboy5957 2 жыл бұрын
My sister I love so much you will live in the name of jesus christ from DRC
@francisnyahage4576
@francisnyahage4576 7 жыл бұрын
Always God is with His people no matter wat the devil plan in your live it wil not succeed, Maisha yetu yako kiganjani mwake. pole sana Mtumishi, tell the righteous its well.
@olivajoseph4187
@olivajoseph4187 6 жыл бұрын
Pole mamy mungu mwema sifa nautukufu zimrudie yeye
@marianamohele804
@marianamohele804 5 жыл бұрын
Pole Dada bukuku Mungu hamwachi aliyeupande wake
@patiencengowa3492
@patiencengowa3492 Жыл бұрын
Pole sana bahati bukuku mungu akusaidie wimbaji wako uendelee
@malayikamariejoseepatiente913
@malayikamariejoseepatiente913 5 жыл бұрын
Pole mama, ninakupenda Sana, ungali muzima kwa Jina la YESU nafulahi Sana.Be blessed mama
@lovenessmwagama6201
@lovenessmwagama6201 5 жыл бұрын
bahati dadaangu kumbuka wemawamungu umekuzunguka
@alicestraetemans5890
@alicestraetemans5890 9 жыл бұрын
MUNGU yuko upande wako dada namuhomba MUNGU sana tena akuogezee miaka yakuuishi !!! uimbadji wako unasahidia watu duniani siyo tu wa TANZANIA tupo wengi tuna sahidiwa kupitia uhimbadji wako dada
@betekenya7456
@betekenya7456 5 жыл бұрын
Mungu.akopamoja.na.wewe
@franqlee7703
@franqlee7703 4 жыл бұрын
yot muachie mung sister wet twakupend sanaa
@mektridapetro2613
@mektridapetro2613 Жыл бұрын
Pole sana mtumishi mwamini mungu wambinguni alali asinzii atakuponya
@phidiamaingi399
@phidiamaingi399 5 жыл бұрын
Bahati... Nikikuskiza umejaa hekima. Sio watu wengi wanajua kupokea watu wasiowapenda au maneno yaliyo kinyume nao. Lakini wewe umenitia moyo sana🙏
@evalinemjema-ry9dm
@evalinemjema-ry9dm Жыл бұрын
Umeimba vizuri sana , Mungu azidishe kipaji chako , ipa pole kwa ajali mbaya sana . Lakini Bwana Ni mwema
@presseg.6362
@presseg.6362 5 жыл бұрын
Ulinzi wa mungu uu juu yako, mungu akutie nguvu
@lucymarawa864
@lucymarawa864 3 ай бұрын
Mungu akutunze naakuvushe ili uwashangeze waulimwengu nauwe mfano duniani
@florenciaearnest5241
@florenciaearnest5241 5 жыл бұрын
Utapona bahati bukuku. maneno yako yatia moyo. wengine lazima mabaya tunenewe na tupewe lawama
@DayanaMallya
@DayanaMallya 5 ай бұрын
Mungu akupe kibali mbinguni akupe hekalu ukaendelea kumwa budi mbinguni wala usiache kumsifu hata mbinguni imba
@nirmaladavid8861
@nirmaladavid8861 6 жыл бұрын
Pole sana mtumishi tunajua kawaida shetani hapendezewi kamwe kuona mwanadamu akiwa na furaha pole
@kisanyafrancis6290
@kisanyafrancis6290 4 жыл бұрын
Mama sasa Bwana akikuponya,hudumia Bwana zaidi kwa roho na kweli,zikumbuke enzi za mwanzo ulipoanza injili haswa katika wimbo Mapito na pia Majaribu.Mama yangu mimi nakutakia afueni na nakupenda.Ila kumbuka ulikotoka.
@paulineitenyo1170
@paulineitenyo1170 4 жыл бұрын
Dada pole.Waja mungu aitwe mungu.QR n blessings too
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 5 ай бұрын
Pole mwanangu Mungu akusaidie akupe nguvu na siku nyingi duniani
@user-bh2bx3kk4u
@user-bh2bx3kk4u 5 ай бұрын
Pole.mwanamke.mwenzangu
@edwinmusire5111
@edwinmusire5111 8 жыл бұрын
The bible says no weapon set against us shall prosper.thank God for His hand of protection
@LightnessMtaita
@LightnessMtaita Ай бұрын
Polemtumishi utapona kwa jina la yesu
@zawadijuma5479
@zawadijuma5479 5 жыл бұрын
Ameen Dada mungu yuko pamoja na wewe shetani amemeza wembe ameen
@neemanaulati4801
@neemanaulati4801 5 жыл бұрын
Pole Saana kipendwa wetu. Mungu akujalie upone mapema
@johnkariuki-ff6md
@johnkariuki-ff6md Жыл бұрын
Pole sana dada mungu amekuponya amini mungu uko sawa kabisa?
@lucynth1132
@lucynth1132 9 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa uzima. Twakupenda sana wakenya.
@DidierIlunga-df7ej
@DidierIlunga-df7ej 4 ай бұрын
Basi mungu ashukuriwe kabisa kwa kumisikiya tena muibadji muzuri 'upona katoka adjari kubwa tuna muobeya kabisa mungu akujunge Pia akupone
@JamesLupokela
@JamesLupokela 3 ай бұрын
Mungu atakuponya
@pambacom4196
@pambacom4196 5 жыл бұрын
Bahati bukuku mungu akuzidishiemaisha malefu yukopamojanawe
@happyrichard534
@happyrichard534 5 жыл бұрын
mungu yupo pamoja naww
@malipojules8993
@malipojules8993 5 жыл бұрын
Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu, nikusema mungu yupamoja nawewe mama
@akimomonhimodo7522
@akimomonhimodo7522 4 жыл бұрын
Pore mama mungu akuponye
@lornahachieng4358
@lornahachieng4358 5 жыл бұрын
Mungu yu mwema pokea baraka na uponyaji Dada,pigana vita natumai ushapona kwa jina LA yesu.
@innochris9781
@innochris9781 5 жыл бұрын
God is great, mpaka hapo Mungu Kisha fanya dada yangu utapona, Mungu awe nawe daimaaaa...
@matridaezra6801
@matridaezra6801 5 жыл бұрын
Pole Mamangu watapigana nawe lakini hawatakushinda Bwana yu pamoja na Wewe.
@marcelineKabamba
@marcelineKabamba 3 ай бұрын
Bahati bukuku mungu akusaidiye sasa😢😢😢
@anglehope8534
@anglehope8534 5 жыл бұрын
Shetani Hana nafasi kwa maisha yako mama
@lightnesssanka1928
@lightnesssanka1928 5 жыл бұрын
Nakupenda dada Mungu ukuongeze heri na miaka mingi
WARAKA WA AMANI ESTER
12:55
fimtespa
Рет қаралды 114 М.
ZABRON SINGERS- SWEETIE SWEETIE! (SMS SKIZA 7639929 TO 811)
5:17
Zabron Singers
Рет қаралды 46 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 26 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
BAHATI BUKUKU MAAMUZI
11:58
Elijah Njenga
Рет қаралды 8 МЛН
THE BEST PLAYLIST SONGS- BAHATI  BUKUKU -GOSPEL MUSIC
1:35:12
Paul Kersh
Рет қаралды 1,7 МЛН
Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi
11:26
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 2,5 МЛН
Bonny Mwaitege Nisamehe From Album Ya Mama Ni Mama
8:47
Bony Mwaitege
Рет қаралды 1,8 МЛН
Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song
13:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 14 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН