Jumla ya Mafratel 66 kutoka majimbo mbali mbali nchini Tanzania wameingia rasmi katika wito huo kuuchuchumilia wito mtakatifu wa Upadre, tuendelee kuwaombea wafikie wito huo mtakatifu. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja
Пікірлер: 6
@Manchory3 жыл бұрын
Mavuno ni mengi, watenda kazi wachache, Hongera sana, Mungu awatangulie
@melaniachambala34993 жыл бұрын
Mungu wetu mwema awe kiongozi wenu daima
@bonmaxjeff49863 жыл бұрын
Mungu awasaidie muweze kuyafikia matamanio ya mioyo yenu😊
@paulrwechungura49583 жыл бұрын
Mungu awalinde
@raylaurent43893 жыл бұрын
Vazi la unyoofu wa moyo.. Mkalitunze daima na kuufikia wito wenu