No video

SIKU ZA HATARI ZA KUSHIKA MIMBA KWA MZUNGUKO WA HEDHI MREFU (SIKU 30)

  Рет қаралды 199,531

Afya Tips

Afya Tips

4 жыл бұрын

Fahamu jinsi ya kuhesabu siku za kushika mimba au siku za kubeba mimba kwa mwanamke mwenye mzunguko wa hedhi mrefu kama wa siku 30.

Пікірлер: 361
@afyatips
@afyatips 4 жыл бұрын
Kama unahitaji ushauri kitaalamu au una swali kuhusu maswala ya mzunguko wa hedhi, Uzazi au Afya kiujumla, tutumie message WhatsApp kwenye namba 0717 442 590
@manswaboctavian
@manswaboctavian Ай бұрын
Dokta Mimi sielewi naomba unieleweshe siku zangu nimeaza tr 15 na shida angu nibebe mimba nafanyaje
@teklasendama1973
@teklasendama1973 2 жыл бұрын
Asante doctor
@jescasamwel6983
@jescasamwel6983 2 жыл бұрын
Asante kwa Somo zuri
@asiahussein9537
@asiahussein9537 2 жыл бұрын
Thank you so much 😍
@mohammadmohammad9991
@mohammadmohammad9991 2 жыл бұрын
Asanteh sana unanisaidia.sana
@rajabmwangi878
@rajabmwangi878 Жыл бұрын
Thanks
@twinjoantwinjoan6312
@twinjoantwinjoan6312 3 жыл бұрын
Asante sana
@Victoria-ir6qu
@Victoria-ir6qu 3 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@fatmaabdalla691
@fatmaabdalla691 3 жыл бұрын
Asante Dr leo umeelezea mzunguk wng leo
@shemsakiza8263
@shemsakiza8263 Жыл бұрын
Asante kwakisom
@norahhilda2668
@norahhilda2668 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa kunielimisha
@user-yt2ft8rz7f
@user-yt2ft8rz7f 5 ай бұрын
Dokta mm nmeingia piriood mwezi wa pili tareh 10 na nimemalz tareh 16 na nmesex tareh 17 lakn hadi leo sijielew hata nahisi hovyohovyo tumbo naliona limejaaa nikila kidg tu nahisi kushiba yan
@user-kb2bo4eq6s
@user-kb2bo4eq6s 5 ай бұрын
Dokta mm mzunguko wangu niwasiku 30 lakin hedhi nanda siku 5 je siku za hatar ni zip
@marygmakala5966
@marygmakala5966 3 жыл бұрын
Mary g màkala hongeleni kwa mafunzo mazuli mnaeleweka Sana
@WenelaMwasenga-hc2gf
@WenelaMwasenga-hc2gf 7 ай бұрын
Umeonesha siku za hatari katika vipindi tofauti mwishoni na mwanzoni ....paweke sawa sir
@user-ru3rl7hg2c
@user-ru3rl7hg2c 8 ай бұрын
Assnte Sana doctor
@ReminathaAlayca-cm6iu
@ReminathaAlayca-cm6iu 8 ай бұрын
Kutoka dam nying wskat wa mzunguko na kusumbuliwa na tumbo
@linahtemu6581
@linahtemu6581 4 жыл бұрын
Thanks Dr, Swal lingine et Me ni Binti wa age 24 ,Why gani me mzungukooo wangu unakuwa mrefu siku 34, nawakat natakiwa niwe na mzunguko wa siku 28, Kuna tatizo et Naomba misaada wako
@marthahamisi1268
@marthahamisi1268 3 жыл бұрын
Doctar kwa mfano nimeingia bleed taehe13.mwzi wa 9_mpaka kumi na 19 na nikawa nimemaliza hapo nikaja kusex taehe kumi 11mwezi10. Je naweza kuwa mja mzito???
@janewanjiku8537
@janewanjiku8537 4 жыл бұрын
Asante
@RizyMakiji
@RizyMakiji 4 ай бұрын
Doc me nmepata hedhi tar4 February na nilisex tar 24 mwezi huo Cha kushangaza nmeshika mimba,kwann?
@HagaiIssa-mq9pv
@HagaiIssa-mq9pv 4 ай бұрын
Mwanamke wangu mwezi hu April kaona tareh moja, na mwezi uliopita much aliona tarehe moja, tuktane tarehe ngapi mwezi huu ili ashike mimba?
@mwanaidisadiki742
@mwanaidisadiki742 4 жыл бұрын
hapo saw
@joshuawakukha5315
@joshuawakukha5315 3 жыл бұрын
Asanti doctor
@nahoolalbosaidi6665
@nahoolalbosaidi6665 3 жыл бұрын
Doctor me huwa cku zangu zinabadilika kila mwezi, yani mwez mwngne cku 30, mwez mwngne 28 na mwez mwngne 26,, je naweza nikahesab kam kawaid au inakuaje???
@user-oh7mf7mm2d
@user-oh7mf7mm2d 7 ай бұрын
Samahan doctor naomba msaada wako mm nina mzunguko wa siku 30 na ninaingia kwenye piriod tarehe 3 naomba unijulishe sikuzangu za hatari ni zipi?
@kingmuu5460
@kingmuu5460 4 жыл бұрын
Dr abar naomba kuuliza mm wife alipata hedhi tareh 21 mwezi wa 6 na mwez wa 7 alipata pia hedhi tareh 21 je mzunguko wake utakua wa siku ngapi na siku ya overlation ni lini?
@husnatyrashidy8371
@husnatyrashidy8371 Жыл бұрын
30
@jeskamwandiche5071
@jeskamwandiche5071 2 жыл бұрын
Mininaswali kwamfano naingia piliodi yarehe14 namaliza talehe 18 je nikifanya tendo landoa siku hizi2,3,4,5,6,7, naweza pata mimba?
@SaruKabunda
@SaruKabunda 21 күн бұрын
Dr samahani mm hua naona siku 2 nanikidogo sana iv nitatizo??
@frankmakungu9144
@frankmakungu9144 6 ай бұрын
Dr mi nimeingia piriodi 17 mzunguko wangu utakuwa wa siku ngapi na siku gani ya kushika mimba na nimeona siku tatu naomba msaada
@lugogona4158
@lugogona4158 3 жыл бұрын
asnte nlikua sijui nmejua
@FatumaAdam-zj7um
@FatumaAdam-zj7um 10 ай бұрын
doctor mimi mzunguko wangu wa October ni tarehe 10 vipi siku za hatari ni lini???
@HappyCamera-vz7up
@HappyCamera-vz7up 5 ай бұрын
Happy😂
@thomaschigogolo4734
@thomaschigogolo4734 16 күн бұрын
Je kwemfano kwa mwana mke mwenye hedh ya kujiludia
@HerikaMbuya
@HerikaMbuya 2 ай бұрын
Dokt vipi mwenye mzunguko wa sku tatu. Inakuaje. Mfano ameanz tareh 23 akamaliz 25 je sku zake z aatri n zp na free n zipi
@tedypeter2247
@tedypeter2247 2 жыл бұрын
Samahani doctor Mimi siku zangu nimeona kwa Mara ya mwisho tarehe 26 Hadi tarehe 30 naomba msaa ndaa
@gloryjoseph7777
@gloryjoseph7777 2 жыл бұрын
Dactar mim nimeanz period trh 21 mwez u apo siku zangu za kushika mimb ni zip
@ummyzainabu1453
@ummyzainabu1453 2 жыл бұрын
Mmi niliona siku 2tu kwenye mzunguko wangu na had Sasa sjaona Dr na natumia kalendar km kinga ya uzazi wampango lkn ht nikienda siku za hatar sipati mimba
@user-ow1he7ne4h
@user-ow1he7ne4h 10 ай бұрын
Dactar samahn me sifaham mzunguko wangu huwa naingia kwa sku 4 tu Yan sku ya 4 ndo inakata damau
@neemafaustine1985
@neemafaustine1985 2 жыл бұрын
Mm mzunguko wangu n 30 nlianza hedhi 17 na kumalza 20 nikafanya tendo tarehe 7 je apa ntakuwa na mimba
@yuwensimovwe8436
@yuwensimovwe8436 Жыл бұрын
Je ukifanya sk ya kumi mweny sk 28 na hedhi siku 3 huchukuwa kuna hatar?
@rehemamwansile7947
@rehemamwansile7947 4 жыл бұрын
Asantee
@afyatips
@afyatips 4 жыл бұрын
Karibu
@bentakavinya2254
@bentakavinya2254 3 жыл бұрын
@@afyatips sasa mimi niliona tarehe 4 mwexi ii nikapanya mpexi tarehe 18 ninaweza kuwa nilibeba mimba juu iyo siku nilikuwa na amu sana
@benjaminshadrack5472
@benjaminshadrack5472 3 жыл бұрын
Dr nisaidie jaman mimi mwezi ulioisha niliingia period tareh14 na mwez huu tarehe 8 nilishiriki tendo lakini mpaka sasa sijaziona siku zangu nanimepima sina mimba sasa sijajua nini naomba unisaidie dr
@KhadijaAlly-ns1iq
@KhadijaAlly-ns1iq 8 ай бұрын
Dr me mzunguko wangu wasiku 30 siku ya kuminane nilikutan na mwanaume ikapita siku tano nikapita kipimi kikaonyesh sina mimb nikakutananae ten siku yakuminasab nikapima tena sina mimb je shidaitakuwa nini Ila matiti Yang yamevimb yanaumapia
@brandinakizito3541
@brandinakizito3541 2 жыл бұрын
Please msaada wako dct mimi uwa inabadirika badirika kwa mfano wa 8 niliona tareh 8 wa 9 nikaona tareh 4 wa 9 huohuo nikaona tena 30 na huu wa 10 nimeona 30
@andrewgodluck621
@andrewgodluck621 2 жыл бұрын
Je mwanamke anaeingia mwezi huu tarehe 10 afu mwez ujao akapata Hetti tareh saba atafaje ili spate mimba
@khalifansteven5237
@khalifansteven5237 4 жыл бұрын
Samahan doctor Mimi huwa naziona tarehe 28 zipi tarehe zang zahatari
@razakiabdul2354
@razakiabdul2354 2 жыл бұрын
Akimlz hedh kuna cku 5 za Salam lkn mbeg zkimwaga huchukua cku tat mpk kufa inakuaj hapo kma umefany ile cku ya 5 katk salama baada t ya kumlz hedh
@esthersammy2832
@esthersammy2832 9 ай бұрын
Doctor mm nko na swali unaweza kupata mimba kabla siku zako za hedhi zikiwa zimebakia siku 3
@CatherinMkakatu
@CatherinMkakatu 25 күн бұрын
Doctor mm nimeingia period tare 13nkamarza16,nkasex17naeza patamimba
@swidathswaleh9442
@swidathswaleh9442 2 жыл бұрын
Doctors mke wangu anaingia tarehe 22 na 23 je ni sku gan za hatar kwake
@michaelsamweli8169
@michaelsamweli8169 3 жыл бұрын
Doctar je ukipata hedh taree24 had28 cku zake zakuubeba mimb no xp
@getrudamwani6743
@getrudamwani6743 9 ай бұрын
Hii dor Mimi ninashida yakujuwa mzunguko wangu ni wasiku 30 je nilitaka kupata mtoto wa kike nisiku gani KATIKA mzunguko wa siku 30 plz naomba unijb
@EllinasimeoJulius
@EllinasimeoJulius 22 күн бұрын
Dokta ni meona hedhi siku nane je nitawezaje kujua siku ya hatali naomba unisaidie nashida na mtoto
@zaynabnikata6362
@zaynabnikata6362 4 жыл бұрын
Je kama mizunguko wako wa hedhi unabadilika badilika na hapo inakuwaje Sasa?
@sarabukuku9841
@sarabukuku9841 2 жыл бұрын
Ninaomba msada wako docter mimi ni siku 7 naona damu siku salama yangu ni ipi?nisaidie tafadhari hapo umesema wa siku 6 na saba je
@deborawilliamu8403
@deborawilliamu8403 3 жыл бұрын
Doctar mim nasumbuliwa San na kiuno nikiwa piriond msaada
@shangwemgeyekwa1447
@shangwemgeyekwa1447 3 жыл бұрын
Jaman mbn me nna mzunguko wa siku 30 au herdh yang napata siku nne
@user-eb7ed2rl8x
@user-eb7ed2rl8x 7 ай бұрын
Mzungukowangu niwasiku 32 nanikipa hedhi natokwa bridi sikusaba je? Sikuzangu zahatali nizipi
@linahtemu6581
@linahtemu6581 4 жыл бұрын
Dorter habar,swali et ukitakaa kujua ni mzunguko wa siku ngapi unahesabu pale unapo anza period mpakaa kabla ya siku 1 kuingiaaa period tena ndy itakuwaaa ni mzunguko wangu 🙏 Naomba unisaidieeee
@irynmjema4430
@irynmjema4430 3 жыл бұрын
Je mwez wa kwanza ukipita bila kupata priod unaofata ukikitana nae katikati ya mwez unaofata ukakutana na mwanauma je utashika mimba naomba unisaidie
@Dinasprian-jn2sv
@Dinasprian-jn2sv Ай бұрын
Dr tusaidie hiyo calendar ya huo mwezi ungekua na siku31 tunasehesa vip
@faridially4534
@faridially4534 3 жыл бұрын
Dokta samahan mim nimeona siku leo mzunguko ni 30 naomba nisaidie siku yangu ya kushika ujauzito natamani Sana mtoto
@user-ip7kl5cg3n
@user-ip7kl5cg3n Жыл бұрын
Samahan doct ukifanya siku ya 11 unapataje ujauzto
@khadijasaid5629
@khadijasaid5629 3 жыл бұрын
Dr mm nimepata priod tarehe 17/6 cku zangu za hatar itakuwa ni tareh gani
@retinakasela5188
@retinakasela5188 3 жыл бұрын
Ok mimi mzunguko wangu cjajua wa cku ngp maan mfano mwenz ulipot niliingia period tr8 na mwenz huu mkaingia tr9 je mm mzunguko wa ni wa cku ngp
@EstaNgusi
@EstaNgusi 2 ай бұрын
Mm apa sikuzangu ata sizielewi kwakweli mwezi uliopita niliona talehe kumi nanane afu ukiwaunakalibia kuingi kwenye siku zinatoka kidogo zinakata mnisaidie afu apo umeongelea wenye siku sita afu wenye saba je
@NahemiMgeni
@NahemiMgeni 3 ай бұрын
Hata hujui kuelekeza husemi hiyo 16 imepatikanaje, so mtu anajuaje?
@teffanmaxmillen6806
@teffanmaxmillen6806 Жыл бұрын
Je nikwer kwamba mwanamke akishilikiana tendo na mwanaume mara tu baada ya hedhi ku isha atapata mimba??
@TheodoraLazaro-vz5wc
@TheodoraLazaro-vz5wc 11 ай бұрын
Mimi naishia siku tatu so sielewi nitakuwa safe mpaka hiyo siku ya 11?? Nisaidie please
@marleymichael5542
@marleymichael5542 5 ай бұрын
Doct nina shida ya baby boy na nina mzunguko wa siku 30na huwa napevuka siku ya 10 je nifanyaje hapo
@ireenonesmo8523
@ireenonesmo8523 2 жыл бұрын
Na jenimeanzaa taree kuminasitaa mzunguko wanguuu ntapata mimbaa stareengap mahnaa amuazikatikatiii wamzungukoo tujuweee
@user-nj9qe3re7i
@user-nj9qe3re7i Жыл бұрын
Mmi mzunguko wangu umebadilika baada ya kuacha kutumia pills sasa swali yangu ni, ntahesabu aje mzunguko juu Nataka ujauzito
@robertmusiba9704
@robertmusiba9704 6 ай бұрын
Dr mtu akiwa na mzunguko huu30, ila Huwa anaingia Kila tarehe 4 ya Kila mwezi , siku zake za hatari ni zipi?
@habibawillbroad2531
@habibawillbroad2531 3 жыл бұрын
He unaweza kuduu zote au yoyote?
@adammohamedibrahim6324
@adammohamedibrahim6324 4 жыл бұрын
Naomba no ya afiya tip
@medychambo7027
@medychambo7027 3 жыл бұрын
Je dockt nimeingia tareh 10 hadi tareh 16 je niesabu vp
@DebraJuma-le8rl
@DebraJuma-le8rl 2 ай бұрын
Mm nilikuwa heth..22 kufika 3 nikafanya tendo naeza pata mimba
@MangiMyangayanga
@MangiMyangayanga 2 ай бұрын
Mtoto wa kiume anapatikana siku zipi?
@Uwimanafanny
@Uwimanafanny 4 жыл бұрын
Mwenye siku nying35 na 23 ndogo naye siku zake z atari n zipi mutusaidiy mutwambie
@niakhadija2715
@niakhadija2715 3 жыл бұрын
Je kama ujawahi kuzaa ukatumia uzazi wampngo alfu ukaishia muda ukawa ujawahi kushika mimba je ukitumia iyo kalenda utapata mtoto
@adoniaskasusu9470
@adoniaskasusu9470 Жыл бұрын
Axanteni kwa uxhaur
@misshollywood5762
@misshollywood5762 3 жыл бұрын
Je mtu anaweza kupata siku zake mwisho wa mwezi akamaliza mwanzoni wa mwezi mwingine na akaja akaanza tena mwanzoni wa mwezi ujao
@rehemambaruku7626
@rehemambaruku7626 3 жыл бұрын
Jaman naomben msada
@sapnamwahija1184
@sapnamwahija1184 3 жыл бұрын
Mimi nilianza tarehe 16 nikamaliza tarehe 22/08 naweza kupata mimba nahitaji dola nipate mtoto
@OliviaLee-n4d
@OliviaLee-n4d 26 күн бұрын
vipi kama unajaribu na hupati
@kathambikenn
@kathambikenn Жыл бұрын
Naingia period date 15 siku zangu za hatari ni zipi naomba unisaindie kuzijua
@user-ck6sz4gc5t
@user-ck6sz4gc5t 11 ай бұрын
Nimekuelew san
@qeensalmaty5557
@qeensalmaty5557 4 жыл бұрын
Doctor nilipata hedhi 2/3/2020 nikamaliza 6/ nikakutana na mpenz 17 treh naweza pata mimba msaada doctor
@maggieandrew995
@maggieandrew995 2 жыл бұрын
Yes n siku ya hatar kabisaa
@rehemarashid5349
@rehemarashid5349 2 жыл бұрын
Docta mimi nina tatizo LA kukaa siku mpka 43 ndy naona sku zanguuu tatizo nn ety
@ErickMmbaga
@ErickMmbaga 4 ай бұрын
Dr Kama mtu ameingia tar 2 mwezi wa tatu mzunguko wake unakuwaje
@brandinakizito3541
@brandinakizito3541 2 жыл бұрын
Sasa kulingana nahayo mabadiriko nashindwa kujua cku zangu zahali
@AslayJafar-tk1eq
@AslayJafar-tk1eq Жыл бұрын
He mzunguko usioeleweka siku salama na hatari
@holinessimori5461
@holinessimori5461 3 жыл бұрын
Nlingia tar1 mwez wa 9 Na tare 2 mwez wa kumi hapo hatar ni siku gan
@dinnajumanne9717
@dinnajumanne9717 2 жыл бұрын
Naomba unihesabie siku zangu tar 2 na nikasex 15 je ntakuwa nimeshika mimba
@user-cr3sw3li1e
@user-cr3sw3li1e 6 ай бұрын
Je Kama nimeona tarehe 15 siku ya hatari ni ipi?
@khadijahmohammad7644
@khadijahmohammad7644 Жыл бұрын
Woow asante sana kaka nimeweza kujifunza na ninazidi kujifunza zaidi,swali langu ni kuwa mimi huanza hedhi tarehe 30 or 31alafu inaisha kwa muda wa siku 4 ,ningependa kujua siku ambazo naeza pata uzauzito maanake nilikuwa sifahamu kaka tafadhali
@eunicelaizer250
@eunicelaizer250 Ай бұрын
Kiukweli nimefata kalenda vizuri lakin bado nimeahika mimba
@sophiamajula3645
@sophiamajula3645 2 жыл бұрын
Dr mm naingia tareh 21 je siku za Atari ni taerh ngapi
@MwajumaallyadamMwajuma-so9qm
@MwajumaallyadamMwajuma-so9qm Жыл бұрын
Naomba kuuuliza kama umeanza mzunguko sawa na tareh inakuaj yani umeanza tarehe moj ukamaliza tareh sita halaf mwezi wa pili unashia na 28unahesab vip mzunguk wak wa siku 30
@brandinakizito3541
@brandinakizito3541 2 жыл бұрын
Sasa dct na je kwawenye mzungko tofouti touti inakuweje
@jescasamwel6983
@jescasamwel6983 2 жыл бұрын
Mm nmeanza tarh 10 he siku za kushika mimba ni zipi??
@bonphacrichard1213
@bonphacrichard1213 2 жыл бұрын
Mke wang anaingia hedhi kil trh 19 je cku ya kushik mimb ni trh ngp
NAKUTUMA WIMBO by ZABRON SINGERS (SMS SIKIZA 5355023 TO 811)
4:30
Zabron Singers
Рет қаралды 17 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 34 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 7 МЛН
Hizi ndio siku za Kushika Mimba - Dr Baiya Kissiwa
10:12
Kalamutz
Рет қаралды 32 М.
Dr. Chris Mauki: Epuka maneno haya 8 wakati wa tendo la ndoa
8:16
Chris Mauki
Рет қаралды 612 М.
Mpenzi wako hakuachi kama ukiyajua haya,..Darasa la bure.
9:44
Jinsi ya kuhesabu Mzunguko wa hedhi siku 28 na Siku za kupata mimba
12:52
jinsi ya kuhesabu siku za mzunguko wa hedhi wa aina zote
7:25
Afya Tips
Рет қаралды 499 М.