mi nahisi walikuwa wamuwache yule yule mgunda shida ya timu yetu haikai na makocha ndo maan tunayumba sana
@maxmia10015 күн бұрын
Sasa hivi mnasema mnatengeneza timu ila mwisho wa ligi hammtaki mangungu .. sema safari hii Simba isipochukua ubingwa mfukuzeni mo coz viongizi waliojiuzuru ndo wamerudishwa kwenye uongozi
@DadiIssa-t5z16 күн бұрын
Hap hakuna mchambuz
@mtumenyagaly921716 күн бұрын
Ukweli ni kwamba sina imani sana na huyu kocha kama vipi timu angeachiwa Mgunda
@JonayMbelwa15 күн бұрын
Mechi tano za kwanza kocha wa simba atakuwepo tena tz
@user-xr2hw3om9z16 күн бұрын
Nakuhakikishia huyo kocha hatamaliza msimu mmoja tu chukua hii!!!!!!
@user-ib7kx9dc5m16 күн бұрын
Ndio maana ume ficha macho Kwa gras maana hina lolote
@abbydullax854616 күн бұрын
Yaan huyu demu maswali yake yote na chombeza zake zote anatafuta/kulenga negative matters
@user-pj4mx2ro4h16 күн бұрын
Oruma mbona hanaga akili ni kigeu geu yaani malaya
@Esterkomba-ef7eb17 күн бұрын
Hii chanel ya umbea sana hasa huyu dada
@medardjustinemakonge990017 күн бұрын
Kimsingi huyu kocha nimodogo mno kwa simba: harafu historia yake hajawahi kichukua kombe lolote A,kusini,,Kila timu aliyowahi kifunfisha ilishuka daraja:: sasa sijajua viogozi wameona nn kwake:: ngoja tuone mda utaogea:
@richardvallerian100316 күн бұрын
Sina imani nae kabisa
@adventureernest559916 күн бұрын
Mbona Bayern Munich wamemchukua Vincent company kuwa kocha wao wakati timu aliyokuwa anafundisha england imeshuka daraja
@flova702216 күн бұрын
Arteta unamjua
@samwelchiamba686616 күн бұрын
Walitaka Simba iendelee na kundi Lile Lile la mamluki waendelee kutufunga tano wamekwamaaa
HHAKUNA MCHAMBUZI WA MPIRA HAPI,HUYO NI BONGO WAZII TUU
@lucymsheshi587116 күн бұрын
Eti oruma nae mchambuzi 😂😂😂😂😂😂 ngoja ni unsubscribe
@Esterkomba-ef7eb17 күн бұрын
Mweleweshe huyu dada kwani huja sikia viongozi wakisema wanatengeneza timu au masikio yako mabovu wametawala Africa wako nafasi ya ngapi Simba nafasi ya 6 Africa twambia yanga yangapi
@samwelchiamba686616 күн бұрын
Wote hao Ni utopwinyo wanaulizana kuhusu Simba unafikiri kuna majibu ya maana hapo?
@emmanuelnkwabi861016 күн бұрын
Hakuna mchambuzi apa
@williamreuben486616 күн бұрын
Daah yaan nimekuelewa vyema,haujui kabisa
@gorettimtungwe901114 күн бұрын
yaani wewe umesoma kwa misaada ndiyo maana akili yako inaishia puwani hapo, kwani lazima uchambue Simba? Hilooo
@franccoz9417 күн бұрын
SIMBA YA MANGUNGU HAIWEZI KUCHUKUA UBINGWAA MBELE YA YANGA NA AZAM, WACHEZAJI WANAOSAJILI HAWANA HIYO QUALITY
@sadih533316 күн бұрын
Hatuna haraka kombe lipo tu.
@samwelchiamba686616 күн бұрын
Wewe Nani pale Simba ? Tuacheni na timu yetu utopwinyo bhana kila wanalofanya Simba wanakosoa shoboo
@taseleli918116 күн бұрын
Timu inajengwa upya Sasa tulieni timu ijengwe kwanza muda utafika kila kitu kitakuwa sawa nyumba haijengwi siku moja
@franccoz9416 күн бұрын
@@samwelchiamba6866 mm n shabiki kama ulivyo wewe, nawewe unahaki ya kutoa maoni yakoo
@selemaniSalumu-p2e16 күн бұрын
Hivi mchambuzi huyu ameajiriwa au anajitolea mana kama Yuko field vile
@gorettimtungwe901114 күн бұрын
Amesomeshwa kwa misaada ndiyo maana karukia kazi A watu jioni hata ongea yake
@nadilhassan641416 күн бұрын
Yan wachambuzi wengine mmesoma nini Simba nitaasi huko kusajili nimapng isaha