Huyo naye Madunduka,watampa THANK YOU Mara tu baada ya KARIAKOOO DERY ya pili,maana watakuwa wanakufa mechi ya pili ya kariakoo derby ya msimu wa ligi yaani Nje Ndani . " Madu uvumilivu utawashinda "
@bbclondonulimwenguwasoka61263 күн бұрын
Fadlu ni kocha kijana mwenye kiu so atafanikiwa sana