Kutoka UMASKINI wa kutupwa hadi kumiliki KAMPUNI kubwa ya FURNITURE, UPVC Windows, hii itakushangaza

  Рет қаралды 86,383

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 271
@mlangakiaratu9292
@mlangakiaratu9292 Жыл бұрын
Sns unachonifuraishaga uwa hukataz watu Ku mention redio station or taasisi unazo shindana nazo katika digital platform very professional Una kitu utafika mbali
@africanproudly4004
@africanproudly4004 Жыл бұрын
Kumwangalia tu huyu kaka yuko humble ❤
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Kabisa..very humble
@AminaOmary-cn5vb
@AminaOmary-cn5vb 11 ай бұрын
Kitu nilichokipenda kwa huyu kaka .anashukurani sana.imagine watu waliomsaidia anawataja na majina na kuwashukuru kabisa.means anawakumbuka mno
@musajack7276
@musajack7276 Жыл бұрын
Wajomba wanatubebaga sana kwa kweli
@shaababy2570
@shaababy2570 Жыл бұрын
Huyu mkaka nimempenda kila kitu tuna shukuru Mungu
@upendojoseph7912
@upendojoseph7912 Жыл бұрын
So touched
@mumberemoise9323
@mumberemoise9323 Жыл бұрын
waana s.n.s wa Congo mtie like zenu hapa 🇨🇩🇨🇩
@severinmbanza4950
@severinmbanza4950 Жыл бұрын
Mungu ni mwema,kijana wa mwaka 1992 kupitia mambo mengi kiasi hiki ni upambanaj,tupo na vijana wa miaka ya 80 lkn bado wanaishi kwao..hongera sana kaka John
@MrNdanguza
@MrNdanguza Жыл бұрын
Duh 80 haiwzekan
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
@@MrNdanguza huamini au?? Kuna wa 77 bado anakaa kwa mamake..na kuna wa 79 bado anategemea wazaz..
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
@@masalakulwa7601 umenichekesha maisha haya sio poaaa
@siasia5469
@siasia5469 9 ай бұрын
​@@MrNdanguza unashangaa wa 80 😂😂kuna wa 70 wanaishi kwao maisha haya
@economistsarafina8085
@economistsarafina8085 Жыл бұрын
Very humble guy,Mungu akufanikishe zaidi, SNS you are the best👍siku moja na mimi nitahojiwa hapa
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Жыл бұрын
Honger kwa hatua bila kukata tamaa, honger kwa kuwa na ndg shangaz mamndg na mjomb wenye mioyo mizur, hata kama hawana kit ila wanakupa moyo na muongozo mzuri wengn hao watu mioy yao mibaya, mtt wa ndg yao lkn utataeswa mpk uhisi dunia hiafai, matusi na masimango yanayokatisha tamaa. Pongezi nying san ziende kwa hao ndugu zako kuna namna wamekutia moyo, wamekushika mkono na hawakuwa na kinyongo. Mama ni shujaa siku zote❤. Unaonekana haukuwa kijana mhuni mtukutu, yaan nidhamu pia inaweza kuwa ni njia ya mafanikio kama hamna nidham huwez pata watu sahihi ktk safari ya mafanikio vijana mchukue hiyo. Sio mnalia pesa hamna mmekaa tu pesa inatafutwa kwa nidhamu na uchapakazi na kutaka kujua vitu mbalimbali kutokuwa muoga wa kujifunza na kuthubutu.
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f Жыл бұрын
Aise nimeipenda sn hiyo Mungu azidi kufungua milangi yako ya baraka na ulinzi wa damu ya Yesu Kristo ukawe juu yako 😍❤️ Ameen i love you so much
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
Afike mbali zaidi. Ana roho yake huyu ndugu
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
An Amazing story indeed...Yaani imebidi niwa Follow hawa. Good Job SNS. Love from 🇨🇦
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Waooo hongera sana HC nitakutafuta nikimaliza ujenzi unitengenezee madirisha na milango soon inshallah tena ni huko huko kigamboni 🤝👏 Sky business diary hivi ndivyo tunaomba kiwe mtu akiongelea biashara yake na pia tuone kama hivi tunapata hamasa zaidi thanks a lot Sky umekipatia your the best 👍👌❤
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Mtuache tu tuwazidishie mapenzi mama zetu maana na mimi ni mwanaume ila wengi wetu tunafeli sana sana kwenye masuala yakuwa present kwenye maisha ya watoto wetu.
@vom84
@vom84 Жыл бұрын
Napenda Sana interview za aina hii, SNS is the best above all online media.
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
💯%
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Tunataka vitu kama hivi sky, hii ni kizazi sana. Good job bro.
@nkurunzizalydia1720
@nkurunzizalydia1720 Жыл бұрын
Kinacho fanya Nisitkate taama ni kwamba hakuna alie lala na akaamka ni Tajili kila mafanikio yana processes zake maumivu ,uvumilivu ,discipline
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Yes
@elphacemoses6709
@elphacemoses6709 3 ай бұрын
Hongera sana! John na timu yako HC! Ni kwel umepambana sana kuwa hapo ulipo ni matokeo ya kutenda wema Kwa watu,tunazidi kukuombea ufike mbali na mafanikio zaidi! nakumbuka 2021 nilikuwa na maonesho Maeneo ya kibada,nikafika ofisini kwako kukuomba sample za madirisha,bila Hata ya kunifahamu vzr... ulinipa zile sample zilinisaidia sana kwenye yale maonesho. Hivyo Ulitatua shida yangu bila Hata kuomba malipo yeyote... Aisee ubarikiwe sana!
@irenekanza1601
@irenekanza1601 Жыл бұрын
Huyu kaka yupo humble sana, ndio maana anafanikiwa
@angelnyangema5067
@angelnyangema5067 Жыл бұрын
Hongera sn John hakika Mungu ni muaminifu sn.
@eusitacefelix8545
@eusitacefelix8545 Жыл бұрын
Nakushukur bro umenitoa mbali ipo sku mwenyez mung atakulpa asant kak ....nakuaid stokuangusha daima katka fani uliyonipa bure bila chochote ninachokulpa 🙏🙏 na bado unanilpa dah ...one day yes kaka...Hanscana ..#Jeshi
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
From rugs to Riches; HONGERA SANA. Big up Kijana John, na SNS 👏🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽 Love from Toronto 🇨🇦
@matronashirima1489
@matronashirima1489 8 ай бұрын
Jaman KZfaq naomben muongeze Mara za Kulike zifike hata 100....! Nimependa mnoo hii interview! So many things to learn here.. Asante mnoo Kaka mtangazaji kwa kurusha hii interview.. Asante kwa kukutana na huyu Kaka Kwa Ajili yetu.. Thank you so much Kaka
@redmioman4371
@redmioman4371 Жыл бұрын
Dah Sns big up sana vipindi vizuri vinatufunza brother SKY GOD bless you
@brobabuu3973
@brobabuu3973 Жыл бұрын
Siku moja na mimi nikutafute sky. Nahisi nina jambo ya kushare katika platform yako.. Kazi nzuri sana na MUNGU akubariki zaidi wengi tupite katika njia hizi.
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Mashaallah tunashukuru sky moja ya interview kali ya mwaka na kweli vijana wanakuaga ubinafsi sanaa kwenye kumuelekeza mwenzio kwenye suala la kujifunza hawakubali kumuelekeza mtu
@margaretrusteau2871
@margaretrusteau2871 Жыл бұрын
He s so humble.god bless you brother
@paschalpeter3439
@paschalpeter3439 7 ай бұрын
Maisha bhana ni experience tu na uthubutu na kuheshimu pesa unayoipata..bro alikuwa na 5m na akalala chini..kujifunza kila ukionacho ,kujaribu vitu tofauti..na hakuna mafanikio bila kupita humo..asante bro John .
@kombab1112
@kombab1112 8 ай бұрын
Kuhusu imani kwa kweli una imani sana, nimelichukua hilo kutoka kwako.
@reallifeperspectiveUG
@reallifeperspectiveUG Жыл бұрын
I usually don't watch such long interviews, buy this one Is worth it. the guy is so inspiring. hongera sana brother John. uta fika mbali sana given even his attitude toward life.
@bestinamafipa608
@bestinamafipa608 7 ай бұрын
Me too but this one loh! God is good.
@HalloJoe
@HalloJoe Жыл бұрын
The boy is wiser
@jaqiepaloma4127
@jaqiepaloma4127 5 ай бұрын
Hongera sana. Mama yupo? Mungu ni mwema sana . Kama yupo mtunze sana sana.
@economistsarafina8085
@economistsarafina8085 Жыл бұрын
Leo imenibidi nicomment tena, John nimesikiliza interview nyingi ila ya kwako iko real sana, kila kitu kina ukweli ndani yake,Mungu wa mbinguni atakufikisha mbali sana. Hata mimi nitakupa kazi.
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Wenye story tuko weng congrats bro god bless you
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Tuwasiliane Dayana. info@snstz.com
@neemasanare3474
@neemasanare3474 Жыл бұрын
Hongera sana dogo Yesu azidi kukuinua❤
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 Жыл бұрын
Yuko very humble na pia anaonekana ana hofu ya Mungu
@dominicuschavallah3773
@dominicuschavallah3773 6 ай бұрын
Ndio nina Hofu ya Mungu nashukuru 🙏
@agricolaotto8247
@agricolaotto8247 5 ай бұрын
Uyu mkaka ajui kulalamika najifunza kitu kwako🥰🥰🥰🥰
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 Жыл бұрын
Mimi binafsi nimependa historia yake inakupa motisha yakufanya kazi bila kukata tamaa
@dmgtv3984
@dmgtv3984 8 ай бұрын
Hongera Mr John ninandoto kama yako na nishaanza kumchukua hatua but bado Niko local Sana ninahitaji kuendelea kujifunza kutoka kwako SNS naomba connection na John
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu humpa mtu kwa jitihada zake. Mwenyezi Mungu akujaalie zaidi sana sana.
@musasaid5502
@musasaid5502 Жыл бұрын
Uyu jama ni master mind
@dr.hermankessy
@dr.hermankessy 11 ай бұрын
THE POWER OF DECISION MAKING
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Жыл бұрын
Very inspiration big up young man for your success
@remeniurasa4866
@remeniurasa4866 Ай бұрын
Real inspirational journey iko hapa 🎉 Big up sana John
@SoloMsuya
@SoloMsuya Жыл бұрын
HONGERA SANA BIG BRO BADO TUKO NYUMA YAKO TUNAPUSH HC IFIKE MBALI ZAID YA HAPA 🙏🙏
@dr.hermankessy
@dr.hermankessy 11 ай бұрын
THE POWER OF STARTING SMALL BUT AIMING HIGH
@mariej6962
@mariej6962 9 ай бұрын
John: ustaarabu, kumtegemea Mungu, kushukuru kwa kila jambo, hana wivu, mavazi na nywele style ya kistaarabu.
@superwarema2309
@superwarema2309 Жыл бұрын
Hongera sana John Mfinanga. Humble background. Keep Up The Good Work
@iam_brenda3924
@iam_brenda3924 Жыл бұрын
Very humble man🤌🏾 Mwenyezi Mungu azidi kumzidishia kwa kweli🙏
@francomkandawile8572
@francomkandawile8572 Жыл бұрын
Very nice story, Mdogo wangu unajituma sana, Mungu amekuweka no kukufikisha hapo usiache kumwabudu na kimsifu yeye pekee.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Kila kitu kinawezekana vijana wenzangu msione aibu kuanza kukimbiza ndoto zetu. kuwaza watu watasemaje watu watanionaje haitotusaidia kufikia malengo yetu amka sasa pambana
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Point
@reisedyy4910
@reisedyy4910 Жыл бұрын
Jamaa kataja namshukuru Mungu kwakaribu kila sentences, and i like it so much. Let praise the almighty y'all.
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
You really lion on the jungle salute. You really admire every younger listening your story l love can't stop to watch you .
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
Real definition of a fighter🫡
@miriambethuel8892
@miriambethuel8892 3 ай бұрын
I bless God for you John. Nyc coverage Sky (sns).❤❤❤
@user-vv6pr4bj8p
@user-vv6pr4bj8p 3 ай бұрын
Congratulations John,napenda kujifunza sana.upendo kutoka Kenya🙏
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Жыл бұрын
my best motivation speaker Joel Nanauka ❤❤❤ thanks so much bro kwaku tuamasisha jisi yaku tafuta hela 🙏 sio kila kazi niakuzarau.
@user-uv4iv9kl8t
@user-uv4iv9kl8t 5 ай бұрын
Very humble broo keep it up john
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Mstarabu kwa bravo umejipata
@sunrisekitchen1
@sunrisekitchen1 Жыл бұрын
Wa kwanza leo likes zangu pls
@stevew.mutasa2385
@stevew.mutasa2385 Жыл бұрын
VERY SMART JOHN..I FEEL GRATEFUL
@user-mz4tu1iq7r
@user-mz4tu1iq7r Жыл бұрын
Hongera Sana Kaka naomba na me unifundishe
@EmilianKomba-sb4kn
@EmilianKomba-sb4kn 9 ай бұрын
Sky tunajifunza mengiii sana100🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
Kuna wadogo zangu ambao tuko nao hapa tunasaidiana. Huyu jamaa ana upendo sana
@manuelamahwera6090
@manuelamahwera6090 Жыл бұрын
Well done John. You are blessed 🙌 😇. Congratulations 🎊 👏 💐
@martinakombe8374
@martinakombe8374 11 ай бұрын
very inspirational ,,keep it up,,one day even me i will testify✊🤝
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 9 ай бұрын
Hongera sana John. Na kwa hili utafika mbali sana. Ila nakuomba umsamehe Baba yako mzazi kwa kua na wewe ni mwanaume na hujui kilimkuta nini mpaka akawa haeleweki na alikua mfanyabiashara mkubwa kama ulivyotangulia kusema. So na wewe pia huwezi kua na uhakika utakutana na yapi. Nimekupenda sana na naomba tu usimkumbuke tena Mkuu kwa kumlaumu kwani Mungu alivyotuambia tumheshimu Bb na Mm tupate miaka mingi na heri Duniani hakusema kama asipokulea au akiwa mlevi. Alisema tu WAHESHIMU akaondoka bila ufafanuzi.
@rajabkahindi3389
@rajabkahindi3389 Жыл бұрын
Legend joel nanauka forever ❤
@rashidkejo8666
@rashidkejo8666 Жыл бұрын
Mahojiano ni mazuri sana lakini mwandishi kuna vitu unapaswa kuvifanya haswa unapomfanya mahojiano na mtu. Natumai kuna maswali ya msingi ili kuendelea kuijenga taaluma yako ya uandishi. Vyema litambulike neno "umasikini wa kutupwa" Likishadadavuliwa neno hilo ndio tunaweza kupata tafsiri kamili ya mahojiano haya. Huyu dogo ni mpambanaji na si kwamba alikuwa maskini wa kutupwa kwasababu alikuwa na mdhamini ambaye ni mama mdogo ukilinganisha na wale ambao walisaidiwa na watubaki. Mahojiano ni mazuri sana yanavutia lakini ni aibu kutumia neno "nilikuwa masikini wa kutupwa" au aidha anaendelea kujitangaza kibiashara. Kiufupi ni mpambanaji na hongera kwake.
@badifundi6089
@badifundi6089 6 ай бұрын
Sasa wataka aseme alikua tajiri... unaona tunapomkosea MUNGU...kama huna kuwa muwazi kbsa ndo MUNGU atakupambania mwamba
@mwajumakabora5245
@mwajumakabora5245 Жыл бұрын
Everything is possible under the sun,noted bro...congratulations John umejua kuni ispire to the highest level
@kidungweshaaban9317
@kidungweshaaban9317 Жыл бұрын
Kaka unani inspire sana Mungu aendelee kukusimamia
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Safi sana milango makabati sh ngapi
@jameshagwe3063
@jameshagwe3063 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana,,,! Mungu akubariki John
@ongezamaarifa2526
@ongezamaarifa2526 Жыл бұрын
Story ina uhalisia sana sanaaaaaa, Mungu aendelee kumbariki yeye na nyie sns mpate watu wenye uhalisia zaidi kama huyu
@thomasjoseph3178
@thomasjoseph3178 8 ай бұрын
Hongera sana bro. Hakika Mungu hamtupi mja wake. Kwa maelezo yako tunajifunza kutokukata tamaa kwa namna yoyote ile.
@adammdee9391
@adammdee9391 9 ай бұрын
Very inspiring 👏🏼 👏🏼👏🏼
@muta-news2786
@muta-news2786 Жыл бұрын
Nimefurahi kuona unafata ushauri wangu juu ya kuonyesha vitu na mazingira ya watu unaowaoji ili kuinspire Vijana kwa kuona kuliko kusikia story zao tu.nimefurahi kwa ilo. Watu wanakuwa wanataman kuona unajo kioji na ofisi za watu ktk hichi kipindi.ongera Sana
@hildaminja5148
@hildaminja5148 9 ай бұрын
Hongera Sana. Hii inahuisha mioyo ya watu wengi hasa wanaojitafuta. Mungu aendelee kukuinua na kupitia hii interview vijana wengi wakajipate
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 10 ай бұрын
Yote shukru tu Mungu kwa kuwa hai shukru baba na mama kwa kuwapata nyie kutokuwajika ama kuwajibika wazizi juu yenu ni hali ya dunia na ya kibinadamu Cha kulaumiwa sana Ni mgogoro uliojitojeza na wazazi kushindwa kuutatua hasa ambaye hakuwa tayari kufanya maridhiano.Huenda umeshaambiwa mengi ubaya ya baba ama ubaya wa mama.Sasa za kuambiwa changanya na za kwako.Kikubwa nawe umekuwa utahitaji kuwa na familia ama unayo Sasa maisha ndo yanaanza kushika kasi baaba! Usipokuwa makini aise!Hutaamini maisha! Yagenda yagaluka.Epuka kurithishwa migogoro na wazazi,ndg na jamaa.waambie wakurithishe hekima na busara only.
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
I will come and look for young man, very inspiring story.
@SolomonMsuya
@SolomonMsuya Жыл бұрын
Hongera sana bro. Mungu azidi kukubariki
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
Sns katika vipidi vyako hivyi ndio vipindi bora zaidi tena kwa vijaana sio utatafuta vipindi vya udaku. Hapa ukidikiliza hata Mb zkiisha uumii. Tafuta vijana kma hawa please 🙏 . Nipo 🇬🇧 but nimependa sanaaaaaaaaaa .
@user-uv4iv9kl8t
@user-uv4iv9kl8t 5 ай бұрын
Hongera sana john🎉🎉🎉🎉
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Hongera kaka wewe ni shujaa😍😍
@agreymwakapila7695
@agreymwakapila7695 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupigania ufike mbali sana.
@GaddyMsuya-dh7qn
@GaddyMsuya-dh7qn Жыл бұрын
Hongera sana Kwa kazi nzuri.Mungu akubariki yeremia33.3
@dp__sales
@dp__sales 7 ай бұрын
Katika Interviews zote so far nilizotazama SNS, hii ni Top first kwangu. I truly feel the authenticity na genuine infos kwa Bw. John. Pili Ahsante sana @Sky kipindi cha ni Chachu na Hamasa kwa vijana wapambanaji (from 0 level to Hero). #Big Up
@sadikijani4307
@sadikijani4307 8 ай бұрын
Ninampongeza sana kwa juhudi.Jambo moja tu hajawapa nafasi ya mafanikio yake mama mdogo,mjomba,shangazi ambao amewataja lakini bado akasema umasikini wa kutupwa na pia hana kwao alisaidiwa na majirani. Kwa uzoefu wangu kwa vijana aina hii ni kuwa amepata msaada wa familia ila hana shukurani.
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Hongera sana broo Mungu ni mwema kila wakati Ameen
@SaitotiHinyura
@SaitotiHinyura Жыл бұрын
Kazi nzuri sana.Hiyo bidii ya utafutaji ni funzo kwangu,nimeipenda.Kukata tamaa katika utafutaji hakutakiwi.
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Safi sana kijana,Mungu akuwezeshe zaidi
@chiticollemans
@chiticollemans Жыл бұрын
Nice interview Nimepata moyo
@filipejohnchuma1985
@filipejohnchuma1985 Жыл бұрын
Obrigado 🙏pela Educação 🇲🇿
@user-xu8if8ie6w
@user-xu8if8ie6w Жыл бұрын
Nilikua napenda sana kusikiliza mahojiano yako mheshimiwa ya wanawake tuu lkn leo sijui ni nini kimenijia nikajikuta tuu nasikiliza haya mahojiano but truly leo ni siku ambayo nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwa kaka amenifunza vingi 🙏
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
Ila sisi wanaume tujifunze sio unagombana na mke alafu unasahau hadi watoto Hivi huyu akisema nani kama mama atakuwa anakosea kweli Sio poa
@nkurunzizalydia1720
@nkurunzizalydia1720 Жыл бұрын
Bora umeona hivyo wallah badhi ya wanaume Mungu anawaona😢😢😢
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
@@nkurunzizalydia1720 tunatakiwa badilike
@witheymunis911
@witheymunis911 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@nassibugodfrey1405
@nassibugodfrey1405 Жыл бұрын
Hapo kwenye sijawai kuwa na kwetu mwanangu kama Mimi vile💪💪
@JullyJullyamosi-ge9qu
@JullyJullyamosi-ge9qu 5 ай бұрын
Yaani big up John Mfinanga
@nkwimbahillu3568
@nkwimbahillu3568 Жыл бұрын
Hongera sana kaka, naomba mawasiliano yako
@alichanzi8095
@alichanzi8095 8 ай бұрын
Woow, very humble man
@winfredhart6724
@winfredhart6724 Жыл бұрын
Una mtaji wa million nne alafu ukapanga chumba cha 20000 alafu ukawa huna shuka duuu!!!
@lucasthomas188
@lucasthomas188 Жыл бұрын
Mpare huyo anakula na picha ya samaki🐟🐟
@ramadhanhussein3464
@ramadhanhussein3464 Жыл бұрын
Elon mask ni tajiri namba 1 duniani lakini hana nyumba
@bensonswai-hl6fn
@bensonswai-hl6fn 9 ай бұрын
Upmbvu unakuzngka e
@khadijaabdalla1011
@khadijaabdalla1011 Жыл бұрын
Mwathu. .big up!
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki kaka unajielewa sana tena sana kwani sio rahisi unajituma
@badifundi6089
@badifundi6089 6 ай бұрын
He's my age mate and he's so inspiring
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 24 М.
JINSI  YA KUMILIKI UNACHOKITAKA.
38:48
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 63 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН