MARIOO akiri PAULA ni furaha yake, awaonya MASTAA wanaomrubuni 'Naona vyote mnavyomuambia - PART 4

  Рет қаралды 69,063

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

7 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 85
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 7 ай бұрын
Naipenda sana couple ya paula na marioo mungu awatangulie mzidi kupendana na ndoa ifungwe 🎉🎉🎉
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 7 ай бұрын
Team paula. Oyooo😊😊
@BerthaModest
@BerthaModest 3 ай бұрын
Oyooooooo😂❤
@ngasamotv358
@ngasamotv358 7 ай бұрын
Pia happy birthday to Marioo1+🎉🎂🎂
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Mario una busara, paula mzuri saana sema mitandao inaweza ikufanye uonekane mbaya
@lovemwagala8259
@lovemwagala8259 7 ай бұрын
Kabsa
@ngasamotv358
@ngasamotv358 7 ай бұрын
Skyler woka noma Sana mzee Mungu akuzidishie Sana mwaka 2024 Na pia tunataka utuwekee na pisi Kali iwepo Hapo mezan itakunywa unyama mwingiiiiiiiiiii Sana brother
@marymahwata7085
@marymahwata7085 7 ай бұрын
Aaaaah tunaenjoy sana know tunawapenda sana team bad nation
@queensarah860
@queensarah860 7 ай бұрын
Very mature and confident young man! I love them 😊😍
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 5 ай бұрын
❤❤❤❤MASHALLAH IS PAULA/Marioo💞💓💕💖💘🇰🇪💑🇰🇪🇰🇪💯🤗
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 7 ай бұрын
Kwa kifupi bas tukusifu ww kuwa na malezi mazur kwa paula kuliko mama ake😂😂😂😂😂😂
@SofiaSamwel-bi3nj
@SofiaSamwel-bi3nj 3 ай бұрын
Ndoa tunayo hatuna🥰🎉🎉🎉 alooh much love kwenu bn❤❤
@susanwanyama1594
@susanwanyama1594 7 ай бұрын
Napenda couple ya marioo na paula
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 7 ай бұрын
Marioo na paula nawapenda sanaa❤❤❤❤❤
@user-eg5pw8du1u
@user-eg5pw8du1u 3 ай бұрын
Ila Mario una busara sana Mungu aendelee kuitunza busara yako ❤️❤️💯🙏
@consolatepondamali9984
@consolatepondamali9984 7 ай бұрын
J'aime le couple de Mario et Paula 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@chany9950
@chany9950 7 ай бұрын
Mariooooo penda sana weye na paula 😘😘😘😘
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 7 ай бұрын
Kama mtuu anapata mtuu anaye mpenda lazima atulie .marioo uko nguvu ❤❤
@PriscaHeguye
@PriscaHeguye 6 ай бұрын
Nikwel kabisa
@kiakae1819
@kiakae1819 3 ай бұрын
He’s so humble and a very down to earth man may God keep u forever this way u will concern the world
@lyrics_forum
@lyrics_forum 7 ай бұрын
Namba 1 on the House, Makofi kwangu Tafadhali 😂
@mariamkai2705
@mariamkai2705 7 ай бұрын
❤ marioo na Paula best couple
@ANASTAZIARUGEMBE
@ANASTAZIARUGEMBE Ай бұрын
Really
@jeniferslaa200
@jeniferslaa200 3 ай бұрын
Nyie mario ana hekima mnoo, respect kaka
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 7 ай бұрын
mungu awatie mbele ajifungue salama tu bingine acha 😅😅😅
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 7 ай бұрын
Me pia nataka mwanaume kama marioo 😂😂😂😂ani defend bwanaaa 😢😢😢😢
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 7 ай бұрын
Wako wapi swahiba😂😂😂
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 7 ай бұрын
@@Nihadshighadi 😂😂😂ilo ndo swali sasa najiuliza
@Fgldesigns
@Fgldesigns 6 ай бұрын
Una chakutoa zaidi ya K? Kama unacho utapata ila kama unategemea kutoa K tuu huwezi kupata.
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 6 ай бұрын
Yan kuna karaha flan
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 3 ай бұрын
Kweli kabsaaaa
@MiddahTz-dz8wl
@MiddahTz-dz8wl 7 ай бұрын
Mtaoanaa tuu❤❤❤
@elizabethmwarjaset2468
@elizabethmwarjaset2468 7 ай бұрын
Nimeelewa kilicho andikwa kwenye karatasi 😂
@fatmakiraga4016
@fatmakiraga4016 7 ай бұрын
True uyu Mario amembadilisha cause Mario ni mtu anajielewa
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 7 ай бұрын
Wivu unawasumbuwa paula na wapenda ❤❤ namjua Mario kupitia paula ❤❤
@Maggie824
@Maggie824 7 ай бұрын
❤❤❤❤Paula
@user-xs9ir3tx9f
@user-xs9ir3tx9f 6 ай бұрын
Nakubali ndugu angu
@vokeh_hcl
@vokeh_hcl 6 ай бұрын
Confidence ya Marioo ni hatarii sana vile inafaaa. Namkubali sana dogo!
@UshilovaMahamba
@UshilovaMahamba 3 ай бұрын
Couple nzuri naitamani
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 7 ай бұрын
Nawapenda saaana
@Pedeshee01
@Pedeshee01 7 ай бұрын
2024 inabidi maskini tuwapunguze kwa kila namna.Maskini wao wamewekeza kwenye ngono na mapenzi tu,na hata ukimwi wameletewa maskini ili wapungue.vile nikikaa nawa😅😅😅 maskini
@zahranis5031
@zahranis5031 7 ай бұрын
Huyo ni bright kaka
@magdagrayson5784
@magdagrayson5784 3 ай бұрын
Aseee paula atulie uyu kaka ni mwanaume na nusu
@user-ye3cz9ny1c
@user-ye3cz9ny1c 6 ай бұрын
Mnapendezana❤❤❤
@zawadifimbo4551
@zawadifimbo4551 3 ай бұрын
Natamani siku ya ndoa Yao, NAMI nipate Kadi niweze kuhudhuria, SS kama wazazi, mtoto akitulia inafurahisha Sana.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 7 ай бұрын
Kla mtu anapenda couple sio ndoa, zinaa mnashadidia pumbav zenu nyinyii
@irineadisa7289
@irineadisa7289 6 ай бұрын
Mtangazaji pia mimi nampenda sana,sauti nzuriiii
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 ай бұрын
Marioo unamtunza Vizuri Paula Kanenepa Mzidi kupendana
@hanamuson891
@hanamuson891 7 ай бұрын
All the best napenda hii couple mungu awaweke.
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 7 ай бұрын
Pau❤️❤️🇧🇮🇸🇦🇸🇦
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 6 ай бұрын
Wauuu Paula alikua hajapata mwanaume sahihi ss hv kampata katuliya mpk cm yke anampa mariyoo na mpk akitongozwa anasema kweli kapenda kaamua kutuliya alikua sio Malaya hajapata tu mwanaume sahihi ss kampata si huyo katuliya mlikua mnamsema mm mara nyingi nilikua namtetea Kwa Hilo ummeamini km sio Malaya paula
@DonavineNininahazwe-bu9ub
@DonavineNininahazwe-bu9ub 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉
@elizabethbaya7681
@elizabethbaya7681 7 ай бұрын
Hoooyeeeee
@zahranis5031
@zahranis5031 7 ай бұрын
Bright
@wakhanucentrine3439
@wakhanucentrine3439 2 ай бұрын
I don't know why But I love marioo and Paula❤️❤️
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 7 ай бұрын
Sky ahuchaona hizo kucha zimepakwa rangi 😂😂😂 why you do this marioo 🙄🙄🤔
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan 7 ай бұрын
Kuna kipindi hii sauti nilidhani ni ya millard Ayo
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 6 ай бұрын
Mungu azidi kuwaeka kuwadumisha inshaallah muowane
@HappyCassettePlayer-tm8vg
@HappyCassettePlayer-tm8vg 6 ай бұрын
Nimefurahi sana ulivo mjibu
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@NIYONSENGAMariam-rn4zy
@NIYONSENGAMariam-rn4zy 2 ай бұрын
Nawapnda sanaaaa ❤❤❤
@user-ej1mk6kr4o
@user-ej1mk6kr4o 2 ай бұрын
Nawapenda sana
@aaa64sa13
@aaa64sa13 7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@Mariot130
@Mariot130 7 ай бұрын
UYU JAMA KASHA POTEZWA NA MAPENZI UCWALA YA PAULA
@user-xs9ir3tx9f
@user-xs9ir3tx9f 6 ай бұрын
Nguvu moja❤❤❤
@mdbosco1640
@mdbosco1640 7 ай бұрын
🤙❤
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx 7 ай бұрын
❤❤❤
@abdulbasti606
@abdulbasti606 4 ай бұрын
Love you 💕 sandre
@ANASTAZIARUGEMBE
@ANASTAZIARUGEMBE Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@fauziahibrahim598
@fauziahibrahim598 3 ай бұрын
Mario ni msanii ambaye ametulia na anampenda paula sana.
@826tushabe
@826tushabe 3 ай бұрын
Madame pau ukuje hukuuuu🥰🥰
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 6 ай бұрын
Hao wanawake wengine hawawezi kumpa cm mpenzi wk au akitongozwa kusema lkn yy anafanya hvyo Kwa mariyoo
@tumaxaad
@tumaxaad 3 ай бұрын
Arubuniwe kwan mtt huyo pau 😮😮 anayataka mwenyewe
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 2 ай бұрын
Acha uwongo wassnii hamna msimamo na huyo paul kazi nii hiyo acheni kudanganya
@user-km6eh2tf9c
@user-km6eh2tf9c 5 ай бұрын
Chibaba wa paumari❤
@halimaallyazizi4443
@halimaallyazizi4443 3 ай бұрын
Safisana mario
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Ай бұрын
Mario una busara sana
@derickdboy2207
@derickdboy2207 7 ай бұрын
Bad
@yusraramadhan8203
@yusraramadhan8203 7 ай бұрын
@FunnyClownfish-uc6ye
@FunnyClownfish-uc6ye 3 ай бұрын
Kasha timiza lake kitumbo kile
@user-ft9xf3fe5v
@user-ft9xf3fe5v 3 ай бұрын
Hapo hakuna mume wala mke mume havai mikufubkm mbwa wa kizungu hapo kuna uzinifu tu
@AgnesMichael-gs7ix
@AgnesMichael-gs7ix 5 ай бұрын
Mbona husemi kama WW madebe liday mbona hujashauli waelewane na baba kwendraa
@user-qt9bm2xb4y
@user-qt9bm2xb4y 7 ай бұрын
❤❤❤
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
BEHIND The GRAM (MOM & DAUGHTER) Ep 1| kajala amlilia paula kuhusu Harmonize|
3:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 15 М.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 329 М.
MARIOO ANAFUNGUKA PENZI LAKE NA PAULAH MUDA HUU / KUFIKISHWA BASATA
45:00