Huyo mwanaume ni mbinafsi kwahiyo anataka bajeti ibaki vile kama alivyokuwa pekeyake wakati kashaongeza familia aache uchoyo........
@directorimmah_vfx304310 ай бұрын
Tunaweza kumuita doctor sukambii?? maan wengne tunatibiwa kiakili bila kujijua... Umenifunza kit kaka MUNGU akubariki unatufunzaa vingi vijana wako
@BizimunguAdolphe-vp7xp7 ай бұрын
Irene mbona wa alika ma pastors na hawaombi?
@tusekonga303011 ай бұрын
😂😂😂😂asanteni sana
@irenekamugisha11 ай бұрын
😂😂😂
@hellen13237 ай бұрын
Dada mtangazaji ulikua ukipendeza sana uvyokua unanyoa na ulikua hupaki mafuta makali ulikua mzuri sana lakin sasa.
@susans449011 ай бұрын
Pastor hajasema kama kamwambia achague,kamtaarifu tu kwamba ana tatizo
@damariszuckschwert948911 ай бұрын
Assumption is the weakest kind of knowledge. Uuwii
@ashireydaimu314811 ай бұрын
Kuna ile mtu anakwambia sisi kwetu kuna sikoseli au kuna pumu. Sasa na mimi nataka kukuoa je uko tayari nikuoe? Unakuta unampenda ila ukifikilia kizazi chako uwenda kitapata sikoseli hp unakuta unamkubali huku unamkataa
@NasraNasa-mp7mf10 ай бұрын
Pia unakuta mwanaume anapenda kuhisi kila muda anaongerewa vibaya kila ukiongea na mtu kwenye cm anataka kujua ulikuwa unaongea nanani na ni nin.mlikuwa mnaongerea..na nani.
@NasraNasa-mp7mf10 ай бұрын
Mim mumewangu akianza kulalamika a anyamazi kila cku analamika atakama ukikubali kosa sio lako bado anaenderea kulalamika tu