Ni Mahojiano ya watangazaji Soudy Brown, Mwijaku na Chuchu Hans baada ya kuulizwa kuhusu kumzalia Ray Kigosi mtoto wa pili baada ya Ray kupost kwenye Instagram yeke kuwa ni muda wa kupata mtoto mwingine. PLAY kutazama ilivyokuwa
Пікірлер: 16
@alicenice17113 жыл бұрын
Nyiye watu nawapenda
@suleimanbakari43773 жыл бұрын
Hehe mwjiaku bna..
@surujajwie47683 жыл бұрын
chuchu asikubabaishe ww pia mzuri beautiful woman 😙😘