GB64 NA MUHINDI WA SIMBA WAMWAGA SIFA KWA WACHEZAJI WA SIMBA MASHABIKI WA YANGA WAKASILIKA

  Рет қаралды 60,069

SPORTS MAX

SPORTS MAX

9 күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 107
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 7 күн бұрын
Ni kweli Yanga walitengemea simbasc wakishindwa kumsajili mchezaji yanga wqpite naye tripu hii imekulà kwao wanasajili matapishi mwaka huu tunaomba uzima
@AzizaMayemba-td8po
@AzizaMayemba-td8po 7 күн бұрын
Mungu awalinde wachezaji wetu na majin ya majilani Amina
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 7 күн бұрын
@@AzizaMayemba-td8po Usajili nguvu moja simbasc ndoo zote tunabeba mwakani
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n 7 күн бұрын
​@@AzizaMayemba-td8poAminaaaaa
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Күн бұрын
Omba Mwenyezi Mungu Vitabu vyote Akufunulie Wenye Uwe na Uzima wa Afya Njema tuyaone Mema yote ya Simbasc
@aminaomary5567
@aminaomary5567 7 күн бұрын
Sema sema kaka. Simba hoyooo Mahindiiiiii❤❤❤❤👍👍👍🎉🎉🎉😁😁😁😁😁😁
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 7 күн бұрын
Gb 64 nkufatilia sana cheus cheus cheupe cheupe unabalaaa
@user-hm6uz7zc5b
@user-hm6uz7zc5b 2 күн бұрын
Kaka unajua kuongea ❤mungu akulinde
@PaulSengo
@PaulSengo 6 күн бұрын
ila tusipange kikosi mapema jamni wanasimba maana akna karabaka ,ladaki chasambi,akna baruw a sioni wakitajwa hapo kwenye vikosi vya mashabik na option zake watacheza lini ndo hadhina za taifa
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 күн бұрын
😅😅😅 eti Baleke kapewa VITS...😅😅
@georgeuswege5905
@georgeuswege5905 7 күн бұрын
Uzuri hivi vitu vipo na tunavihifazi tutawakumbusha Mandunduka
@eliwazadaniel6535
@eliwazadaniel6535 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nampenda buree❤❤❤❤❤
@barakamwacha8214
@barakamwacha8214 7 күн бұрын
Mtayala maneno yenu, mwenyewe naogopa kusifia kwanza. Huyu ndo atarudi hapa kulia
@mwitajohn4882
@mwitajohn4882 7 күн бұрын
yanga jiandaeni kisakologia
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 7 күн бұрын
GB 64 imekuwa msajili wa vizazi na vifo mtaimba mwaka huu.mmekuwa NIDA
@salymgaimale235
@salymgaimale235 7 күн бұрын
Jamaa anajua kuongea huyo utafikiri kameza betree,maua yake
@user-wh3so3px2y
@user-wh3so3px2y 7 күн бұрын
Ila hichi kingeleza😂😂😂😂
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 7 күн бұрын
Mamma yangu Muchacho ni aibu unamsema hata Chama kuwa alikuwa anawahujumu ?baada ya miaka yote ulikuwa wapi? Hicho ndicho kinachowaangusha.Simba haikuwa kikundi kibaya😂 ila Wananchi wana viongozi wanajua mpira hasa wasomi bwana na mapenzi kwa Timuu
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 7 күн бұрын
Duwa kwa wachezaji alafu badilishini wapishi wafuwa jezi.
@jumaali9243
@jumaali9243 7 күн бұрын
Namuunga mkono mhiindi dua muhimu wasiingize kichwa kichwa wabaya wengi
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 күн бұрын
Tatizo umri, uwezo wanao? Timu bora na nzuri huwa na wachezaji wenye umri tofauti lakini wenye uwezo katika pitch
@user-co5qk5xo8i
@user-co5qk5xo8i 7 күн бұрын
Uyu Jamaa anaongea hatari unatakiwa uwe na mwamvuli pembeni lasivyo unatoka umelowa😂😂
@KibibiMwalimu-pg8fg
@KibibiMwalimu-pg8fg 7 күн бұрын
Sahihi kabisa kuwalisha viapo sisi tumechoka kuhujumiwa#🎉🎉🎉
@juliussimion7187
@juliussimion7187 6 күн бұрын
Huu ndo mda wa kufurahia ss wana simba ila ligi ikiaanza duuu
@VitalessGalus
@VitalessGalus 7 күн бұрын
Injinia soma iyo❤❤❤❤🎉🎉🎉
@georgekagwebe2461
@georgekagwebe2461 6 күн бұрын
Gb64 nitaenjoy one day ukiwa semaji la mnyama
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 7 күн бұрын
Uko vizuri kaka
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 7 күн бұрын
Daah 😅 kashakua chawa nayeye skuhz😂😂😂
@MgangaShabani
@MgangaShabani 7 күн бұрын
Unabaya mwalimu
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 7 күн бұрын
Alie sikia kizungu aseme ndioooo
@PeterMussa-sm7if
@PeterMussa-sm7if 3 күн бұрын
Yanga hata ya msimu Jana ilikuwa inatosha kabsaaa sasa wenzangu na mimi Wana bweka nawachezaji ambao hawaujui hata uwezo wao
@user-or3bg6oj9v
@user-or3bg6oj9v 7 күн бұрын
Naomba namba ya sim gb 64
@MageleFidelis
@MageleFidelis 7 күн бұрын
Lakini mzamiru mpambanaji
@shabanabdalatupa
@shabanabdalatupa 7 күн бұрын
We kweli chizi ndo maana ulifeli Azania
@festoissa7476
@festoissa7476 2 күн бұрын
Ukweli unauma,,, kipi kadanganya apo? Kufeli shule hakuwez kuondoa uhalisia wa hoja
@user-pm2ww1ir8z
@user-pm2ww1ir8z 7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 pokea chapu mauwa yako mwamba 64 GB mwanao hapa kutoka tete mozambique ❤❤
@ShaibuShaibu-c3e
@ShaibuShaibu-c3e 7 күн бұрын
Machine yakuongea gb mwamba
@HamisiAthumani-vz1oi
@HamisiAthumani-vz1oi 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 7 күн бұрын
Muda utaongea maneno mengi ya nn
@muharamiamiri9750
@muharamiamiri9750 5 күн бұрын
Huyo anasema fa nne ni ipi na ipi kama sio uongo
@RevocatusKambimbaya
@RevocatusKambimbaya 7 күн бұрын
GB aminia mwanang
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 5 күн бұрын
Muindi wa simba YUPO SAHIHI kabisa.Duaaa MUHIMU
@HussainIgayo
@HussainIgayo 7 күн бұрын
Kweri 😂😂
@HussainIgayo
@HussainIgayo 7 күн бұрын
GB 64 nakuerewa
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 7 күн бұрын
useme vizur timu ya watoto simba hiii ni alayance,😁😁😁 ngoja tuone
@ChivaKayange
@ChivaKayange 7 күн бұрын
Huyu jamaa mwamba
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 7 күн бұрын
GB 64 amemrithi Kisugu . Mashabiki wa Makolo Chakavu watauana Wenyewe kila mmoja anataka usemaji na ajulikane. Kisugu na Mzaramo wawekwa kando GB 64 ataumbuka sana leo Viongozi Wazuri kabla kuiona Timu uwanjani
@HussainIgayo
@HussainIgayo 7 күн бұрын
Wambie 😂😂😂😂
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 5 күн бұрын
Mmeyavagaa kwa Gb 64 kazi mnayooo simbaaaaa nguvu mojaa zipo mashine zimesajiliwa hahaha kulia lia sasa basiii wacha tuenjoy
@HussainIgayo
@HussainIgayo 7 күн бұрын
Kweri
@HussainIgayo
@HussainIgayo 7 күн бұрын
Fei ToTo karibu msimbazi rahatu
@user-tv5px7mw7k
@user-tv5px7mw7k 7 күн бұрын
Sawa msija pamoja
@ZakariaSimon-gp1gr
@ZakariaSimon-gp1gr 5 күн бұрын
Tim mpya ya vijana watakoma uto
@HussainIgayo
@HussainIgayo 7 күн бұрын
Nimekuerewa mwamba
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 7 күн бұрын
Yanga wanasajili wachezaji waliotelekezwa
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 7 күн бұрын
Mambo yote uwanjani bwashe sio maneno vijiweni tusubiri.hamna haya mlichangia poit 6 ubingwa wa wananchi?
@MatulizoMahenge
@MatulizoMahenge 10 сағат бұрын
Huna baya
@SalumSevingi
@SalumSevingi 7 күн бұрын
Saluti gb 64
@user-em7xh9cn4y
@user-em7xh9cn4y 7 күн бұрын
Ndiyomanaanaitwa gb 64
@BabMuniwe-pg7el
@BabMuniwe-pg7el 6 күн бұрын
Wewe hujui Simba timu mbovu mpaka mashabiki wabovu
@peterchande957
@peterchande957 7 күн бұрын
Bado hujasema
@user-ck1vr4iu7p
@user-ck1vr4iu7p 4 күн бұрын
Ngao yanga 5 vs simba 1 vurugu zamangungu zinaanzia apo
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 7 күн бұрын
Wawalinde tu wachezaji wetu usajili Bora kabisa wawalinde hawatoto wafike mbele
@TABIAMBWATE
@TABIAMBWATE 6 күн бұрын
mm Simba lakini yanga atuwawez
@mahamedabdi1881
@mahamedabdi1881 7 күн бұрын
Unamaanisha mume wenu karudi 😂😂😂😂😂😂 baado ujasema
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 7 күн бұрын
Tulia sindano ikuingieee
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 7 күн бұрын
Wachezeji wa Simba kuna namna walifanyiwa,haiwezekani Baleke anakosa goli 44,halafu anatakiwa upande wa pili,tunamuona Phil na Kramo wanaumia vibaya mno halafu huyu Ramadhani Kayoko😂😂😂😂😂 tungekuwa 2.Chama mechi za Yanga hajawahi kuperform.Safari hii hujuma ndani na nje ya Simba hujuma MWIKO.
@Shirimaaloyce
@Shirimaaloyce 7 күн бұрын
😂😂😂
@user-em7xh9cn4y
@user-em7xh9cn4y 7 күн бұрын
Pamojasana
@user-ru3ct5en2m
@user-ru3ct5en2m 7 күн бұрын
Hahah jipe moyo
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 күн бұрын
Wachezaji wa bei nafuu tusubiri. Msianze kufungiana
@FeydhullahTwalib
@FeydhullahTwalib 7 күн бұрын
Chiziiiii hiloooo
@user-ip6xg6jx3g
@user-ip6xg6jx3g 7 күн бұрын
Wewe akili huna msenge wewe. Umpige nani nane. Unategemea magoli ya mchongo hayo. Hiyo raund ya pili kwaini usimfunge hizo nane .mshamba wewe .hujui mpira. Utapigwa wewe uliyepigwa sita. Lipa kwanza goli sita ndio uongee mshamba wewe.
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 7 күн бұрын
Hahah wewe mmbustani....
@tosh7671
@tosh7671 7 күн бұрын
ULIONA WAPI WATOTO WANASHINDA KOMBE. MIGOGORO INAANZA RASMI BAADA YA KOMBE LA NGAO.MWEZI UJAO TU.
@user-ov6kd3jz6c
@user-ov6kd3jz6c 7 күн бұрын
LEO UNAONGEA KESHO UKIGONGWA UNASEMA ,HATUMTAKI MANGUNGO
@FeydhullahTwalib
@FeydhullahTwalib 7 күн бұрын
Chiziiiiii
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 күн бұрын
Hii haiondoi ubovu wa Mangungu
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 7 күн бұрын
Viongozi wa Simba msi sahau kuwafanyia maombi wachezaji
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 7 күн бұрын
Wanalifahamu ndiyo maana Jana walikaa kikao na Tajiri
@AnordKapalamba
@AnordKapalamba 6 күн бұрын
Wivuwako unakusumbua
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 күн бұрын
Kwani Mo hakuwepo?
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 7 күн бұрын
Mughonile? Kaa huko huko Tukuyu funga mdomo sio viazi mbatata hv. Huu mpira wa Mjini. Kajiunge kuchukua Ndago.
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo 7 күн бұрын
Wanasimba tubakize maneno isije tokea kama mwaka jana subiri matokeo wenzetu wanaenda kimyakimya na wataonyesha uzee wao
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 6 сағат бұрын
Hakuna cha kubakusha kama hujiamini kavae jezi ya Utopolo ukafie huko
@salehemsumi615
@salehemsumi615 7 күн бұрын
Boss karudi,kwani alienda wapi?😊nyie ndio baadae mnakimbia maneno yenu!!!Azam unahamia lini maana Chama tayari yupo Yanga!
@MamboMbuli
@MamboMbuli 7 күн бұрын
Wewe haujitambui,huyu alikuwa anawapoza mashabiki wawe na Hali ya kawida,,huyu ni shabiki wa kweli sana
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 күн бұрын
Na mimi ndo nashangaa! Hawajui kama wahindi si watu wa soka
@georgesteven5185
@georgesteven5185 3 күн бұрын
​@@mohdkhatib223acha ujinga wewe
@uredipeter412
@uredipeter412 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Papycon22_
@Papycon22_ 7 күн бұрын
Tusubiri mpigwe chuma tano halafu tuskie kelele za mangungu 😂
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 7 күн бұрын
@@Papycon22_ maisha hayana formula so ukikalili utaferi
@Papycon22_
@Papycon22_ 7 күн бұрын
Kipindi cha usajili makolo wanaongea sana ila ligi ikifika katikati ni mtafutano 😂
@gerphasntaziha4475
@gerphasntaziha4475 7 күн бұрын
Usiishi kwa kukariri
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 7 күн бұрын
SIMBA impe kitengo GB64...Jamaa anajua vibaya sana
@HappyKitindi
@HappyKitindi 7 күн бұрын
Kwani saido mlipomsajili hajatokea Yanga?
@bone102
@bone102 7 күн бұрын
Katokea geita gold
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 7 күн бұрын
😂😂😂😂leo unamtukana chama?kweli kolo kolo tu,..ngojeni legue ianze mtaanza ohooo viongozi wanakula 10% ohoo wametuletea magalasa
@edwarddastani3691
@edwarddastani3691 7 күн бұрын
Tuliza mbulolo mzee muda utaongea 🙌 🙌 🙌 🙌
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z 7 күн бұрын
Ropokeni tu subirini goli nane mpalanganane tena na this time unaenda segerea kabisaaaa bwege wewe
@FeydhullahTwalib
@FeydhullahTwalib 7 күн бұрын
Kubalini ukweli
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 7 күн бұрын
Mzamiru Yassin 😂😂😂 ni 30 bhana
@Mra_brand
@Mra_brand 7 күн бұрын
Kumanina wewe ndo baba yake chizi 😂
@InnocentBobsleigh-mc6sm
@InnocentBobsleigh-mc6sm 6 күн бұрын
Au 35 umefurahi xaxa
@georgeuswege5905
@georgeuswege5905 7 күн бұрын
Ndo maana walikufurumusha kwa vyeti feki, angalia mazee yamekosa kazi ya kufanya yanamsikiliza kolo vyeti feki
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 6 сағат бұрын
Wewe mwenyewe uamaliza hela ya kununulia kitumbua kwa kununua MB😂😂😂
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 7 күн бұрын
Washirikina nyie, wanalogwa na nani? Mpira unachezwa mahari peupee.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 68 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 47 МЛН
KISUGU LEO APASUKA NA UCHAWI WA YANGA KWAO/TUMECHOKA/ LA AZIZI NI PROPAGANDA
19:32
CLATOUS CHAMA VS JEAN AHOUA SKILLS,ASSIST AND GOALS NANI NOMA?
8:33
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 68 МЛН