Simba bab kubwa sana, Toa Mzambia mzee au used na Wanasajili Kijana hatari new product. ❤❤❤❤
@MuammaryAbdalla2 күн бұрын
shida sio kuvumilia mashabiki na viongozi pia wanatakiwa kuvumilia na mwalimu shida yetu tunabadili makocha sana ndo maan timu yetu kila mwaka tunabadili kikosi
@manmanonline63942 күн бұрын
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤
@ramadhanichaurembokahunge2 күн бұрын
Doctor mo ni hatali sana simba
@raphaelbendera2 күн бұрын
Akili inatak mwili autaki
@mswakisaid2320Күн бұрын
Kweli jamaa setu ni washamba😂eti mkude walimkatalia kuja kuàgwa kwenye Simba day mmmmmmmmh
@emmanuelmayunga15182 күн бұрын
Uko sahihi,simba tumesajili vzr msimu huu ila tusiwape pressure players wetu
@user-sm1zu2mo4b2 күн бұрын
Gidanganyeeeee😂😂😂
@davidfelician29032 күн бұрын
simba ya mo itabebaga kombe la Afrika cuf siku Moja.
@davidfelician29032 күн бұрын
pia, simba ni kiwanda Cha wachezaji bora Africa kumbuka sakho alitoka na goli bora Africa .
@maimunaathumani91212 күн бұрын
Kweli bakhresa tulegezee kwa feisaly
@EmanuelMwambu2 күн бұрын
Anayejua anajua tu,mi naamini tutatoboa msimu huu huu
@yunusimchala65692 күн бұрын
Tatizo mkataba wa Azam na yanga kuhusu Feisal ni ngumu
@jumanneally33032 күн бұрын
yaani umetaja watu ila tra bita anthony apana wakawaida tena sana idumba yes kama atashindikana simnba tuangalie chaguo jengine