GB64 APAGAWA NA KOCHA MPYA HAPA TUMEPATA KOCHA ILA TUNAROGEWA WACHEZAJI WETU VIONGOZI WAWALINDE

  Рет қаралды 28,251

SPORTS MAX

SPORTS MAX

5 күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 119
@MohamediMtuya
@MohamediMtuya 3 күн бұрын
maumivu ya mawazo kwa mwanadamu ni sehemu ya kujifunza kivyovyote mwalimu gb64 minafikiri nikuongezee uwe gb 68
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 күн бұрын
Sawa kabisa yanga wazee wao wachawi sana ndiyo maana wanamtupia majini mayele.
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n 3 күн бұрын
JAMANI JAMANI VIONGOZI PLZ MUWALINDE WACHEZAJI WETU ,,UTO JAMANI WAZEE WA PINI
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 3 күн бұрын
Sana baba tunakuelew baba❤❤
@NassoroMbaullah
@NassoroMbaullah 3 күн бұрын
Yani kiukweli tumesajir vzur lkn yanga wanawaroga saana wachezaji wasimba,viongozi sajilini na lindeni wachezaji.
@OmallyAlly-cy3yt
@OmallyAlly-cy3yt 3 күн бұрын
Hakuna ukweli kwauyujamaa nikamayule mpiga debe wao ngonjela nyingi ukweli mizito.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 күн бұрын
SIMBA OYEEEEEE❤❤❤❤❤❤SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@frankurio469
@frankurio469 2 күн бұрын
Wazee wetu muwasomee duwa wachezaji wetu, muwafanyie dua maalumu wachezaji wetu wabaki salama
@user-yw7uu6mc3m
@user-yw7uu6mc3m 3 күн бұрын
Gb64 uko vzr,maombi ya kuharibu ulimwengu wa giza,ili kupangilia hatma mpya ya simba mighty power
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 3 күн бұрын
Jaman ni kweli cmba inarogwa xana wala co uwongo viongoz mlijue hili wenzenu wanatumia xana ndumba hawana timu wa nn ni uchaw mtupu
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 3 күн бұрын
We fala c ulisema Chama aksajiliwa Yanga unahamia AZAM! Sasa- ikawaje bado hujahama?😮😮😮
@HildaRugee
@HildaRugee 3 күн бұрын
Sheria ziliwekwa ili zivunjwe! Seuze maneno ya GB64.
@EdwinAmbakisye-li4zq
@EdwinAmbakisye-li4zq 2 күн бұрын
Simba usajili wake ni .mzuri.unanifurahisha
@mwemajulius5036
@mwemajulius5036 3 күн бұрын
❤the best
@benjaminnelson4834
@benjaminnelson4834 3 күн бұрын
Mpo karibu na viongozi muwaambie wawalinde wachezaji
@user-ui4vt9vl6h
@user-ui4vt9vl6h 3 күн бұрын
Ww gb 64 si ndy umesema chama ameogez miak 2 simb sasa iv umekua chiz tuh
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 күн бұрын
Kweli kaka yanga wanatumia sana uchawi hata funga funga yao. Lakini mimi sipendi sana hawa Makocha wa nje hawa. Maana wanakuja tu kuchukua fedha zentu mwisho wa siku hao. Tunaanza kumwita Mgunda. Tunamsubiri Michezo ianze tuwaone wanakidhi utahitaji wetu.Simba nguvu moja❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 3 күн бұрын
Kiingereza kila siku hichohicho, commitment, responsibility, ability, space, umekariri?.
@user-ii6sp2nn1m
@user-ii6sp2nn1m 3 күн бұрын
Sawa amekalili we kinakuwasha nn sasa
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 3 күн бұрын
Hifadhi maneno yko mdomo mrefu kama njiwa pori
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@MohamediMtuya
@MohamediMtuya 3 күн бұрын
gb64nakubaliana usemalo ju ya kumuahidi mtumikia timu pesa tofaut na mshahara ni udhaifu mkubwa sana umenena viongozi wajifunze
@user-qv8sv6hv7m
@user-qv8sv6hv7m 3 күн бұрын
Viongozi wetu wawalinde wachezaji yanga wana watia pini
@Masinga-l1n
@Masinga-l1n 2 күн бұрын
IVI MNALIPWAAA...!AU MNAPIGA MIDOMOTU" YANI ADI MISHIPA YA SHINGO INAKUTOKA ""KHA"
@nzegulagkofficialaccount3496
@nzegulagkofficialaccount3496 3 күн бұрын
Tangaza Matawi yote kwamba wachezaji wetu wanalongwa
@user-tc3vb8pm5v
@user-tc3vb8pm5v 2 күн бұрын
Hapo sio yanga waroga hata wachezaji WENYEWE wanarogana sana wasipo soma harba diri hujuma Zita enderea
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 3 күн бұрын
ngunvu moja kaka tupamba nie mwamba
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 күн бұрын
We mbona una makunyanzi kama Mzee? Shikamoo visungura😂😂😂
@user-ld6fy2fi5s
@user-ld6fy2fi5s 2 күн бұрын
Leo nimekwelewa sanaa
@khamisshehe9187
@khamisshehe9187 2 күн бұрын
Ww tuna namb yako ya sim ili nikutumie salio, leo umesema ukweli mtupu, tofauti na hapi nyuma, nimekuwa nikikufuatikia Sana hoja zako umekuwa ukiwasema Sana vibaya viongozi, lkn Hilo halikuwa kosa la viongozi wLa wachezaji tatizo ni marogo, na Hilo watengenezaji sio viongozi watengenezaji ni wanachama na wapenzi viongozi tayari wametimiza wajibu wao
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 3 күн бұрын
Lakini mangungu aondoke
@saidsalum2546
@saidsalum2546 3 күн бұрын
Safi sana
@muhidiniharuna3735
@muhidiniharuna3735 3 күн бұрын
Ktk siku umeongea ukweli Leo umeona mbali ❤❤❤❤
@georgelyimo2138
@georgelyimo2138 3 күн бұрын
Mwalimu wa wapi huyu?
@AdijaSurutan
@AdijaSurutan 3 күн бұрын
Fanya. Kazi. Kaka. Usiogope
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 2 күн бұрын
Kwa lugha nyepesi ni mbwa wala matapishi utopolo
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 3 күн бұрын
Shenzi wabana makalio mechi bado
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 2 күн бұрын
Gb64 tunza maneno,hao vijana hawana chemistry,skills zao hatujui changanya na uswahili wetu.Chasambi tunamjua,Kibu tunamjua,Lameck tunamjua,hao wengine tusubiri mechi walau 6 za ligi home and away.D2 zinatosha kufahamu.
@Mansurhamis
@Mansurhamis 3 күн бұрын
nakukubali sana kak Niko kenya
@Stevmwamba2090
@Stevmwamba2090 3 күн бұрын
Wew jamaaa muongo unatupotosha 😅😅
@MariamNzowa-k2x
@MariamNzowa-k2x 3 күн бұрын
Kama anatupotosha je wakina max zengere wakowapi saiv
@WilliamCharles-iq8ym
@WilliamCharles-iq8ym 3 күн бұрын
Bwabwaja tu.tunawasubili Ngao
@albamwanja4304
@albamwanja4304 3 күн бұрын
mnakutana na azam sio simba
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 3 күн бұрын
Yanga wanatumia xana uchawi mbona liko wazi hili washirikina xana
@user-ek6uh7tt7j
@user-ek6uh7tt7j 3 күн бұрын
Respect familia
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el 3 күн бұрын
Pmj baba mzee wa kazi
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 3 күн бұрын
Wakina Mzee mpili wachawi😂😂😂
@OBSGroup-ps9es
@OBSGroup-ps9es 3 күн бұрын
Daaa mpira wa tz unaavituko sana.
@Stevmwamba2090
@Stevmwamba2090 3 күн бұрын
Ahadi zako za uwongo bhana ulisema utahamia azam chama akienda yanga,,, wew kajamaaa kaongo sawa😂😂 sijawahi kukuamin,,,, ata hao vijana wako mbona wanavipara 24 gan yenye vipara😂😂😂
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 3 күн бұрын
Endelea kukaa bush huko. Shabikia Tukuyu Stars. Ya mjini waachie wa mjini vya mjini vina wenyewe.
@user-mv2xl7xh6v
@user-mv2xl7xh6v 3 күн бұрын
Kweli lazima tuungane kuwalinda wachezaji wanarogwa kweli
@ThomasAssey-uq2ur
@ThomasAssey-uq2ur 3 күн бұрын
Huyo sio kocha ni msimamizi tuu wa kambi
@creeper6057
@creeper6057 2 күн бұрын
GB 64 ni muongo haijawahi kutokea 🤣🤣🤣🤣 yani hayuko professional hata kdg ana ushabiki maandazi sio mtu wa mpira ni mpenda timu sio mpenda mpira
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 3 күн бұрын
Yaan mwamb unajua sana😅😅😅😅😂😂😂 zoazoa
@suleimansuwed1846
@suleimansuwed1846 3 күн бұрын
Kamawachezaji wanarogwa aoziongozi kuwambalinatim waovipi mpirawetu afrika ushindi njeyauwanja asilimiya kubwa
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 3 күн бұрын
Kwahyo umekuwa ww ndo msemaji huna kazi ya kutafta kula pga kelele ununuliwe chai mkundu mwekundu
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc 2 күн бұрын
Yanga wanatabia za ccm
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 2 күн бұрын
Ila dua isomweeeeee mashetani wengiiii
@user-dt5wf8rx4k
@user-dt5wf8rx4k 3 күн бұрын
Vingozi jamani mwasajili damu changa vizuri sana.ila mkiwasahau wazee wote magalasa.marana mchawi sana anawatia wachezaji kwenye chupa anatupa baharini jamani jamani wazee muhimu mi nakumbuka clipu ya yule mzee aliongea sana walikuwa wanakwenda na huyo mzee kisarawe wakati yuko marana aliwaua wachezaji wa yanga vipaji jamani wazee muhimu jamani jamani
@hassanomarhassan7774
@hassanomarhassan7774 2 күн бұрын
Niko Kenya nguvu moja gb64
@EdwinAmbakisye-li4zq
@EdwinAmbakisye-li4zq 2 күн бұрын
Ebuniambie kapombe yeyé anabaki
@Mansurhamis
@Mansurhamis 3 күн бұрын
watu wa yanga tukonao uku kenya wanatoka tanzania kuja kuawaroga wachezaj. wa simba
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 2 күн бұрын
Waaa mbie wote Kuma la mama zao wachawi
@NassoroMbaullah
@NassoroMbaullah 3 күн бұрын
Yani kiukweli tumesajir vzur lkn yanga wanawaroga saana wachezaji wasimba,viongozi sajilini na lindeni wachezaji. 3:21
@nzegulagkofficialaccount3496
@nzegulagkofficialaccount3496 3 күн бұрын
Naomba watangazie Matawi yote wajue
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 3 күн бұрын
Yani izo maik zitakuwa zimelowa mate mbaba unaongea ww kha kma umekunywa maji ya chooni loh unalipwaaaaaa? Mh😏
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Uyu gb kweli o nyeusi anaonyesha kweli ni mwl felia
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 2 күн бұрын
Wanalogwaaaaaaa
@EliasSimkonda
@EliasSimkonda 3 күн бұрын
Mm ni simba lialia lakini naomba wenzangu tuwashauri viongozi kuwa ile kamati muhimu ya wazee mbona haihusishwi na chochote na haina budget na yoyoyte. ?
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 3 күн бұрын
Waluguru tunaita kolo wa mwari
@user-nm1tq5bx5o
@user-nm1tq5bx5o 3 күн бұрын
Gb pamoja baba
@WaziriSimwe-zn8lb
@WaziriSimwe-zn8lb 3 күн бұрын
Usiongee sana kisajili kitu kimoja lakini tukutane kwa mkapa mwanaume atajulikana mpumbavu wewe
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Baleke alikuwaa makolo kwa mkopo usindanganye
@yayananajota5838
@yayananajota5838 3 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏🇫🇯🇫🇯
@binqalid9801
@binqalid9801 3 күн бұрын
GB 64 mtu sana
@nzegulagkofficialaccount3496
@nzegulagkofficialaccount3496 3 күн бұрын
Waambie sasa viongozi wasilale
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 3 күн бұрын
Wewe ndiye mchawi wa Simba njaa mbaya unasifu kweli ligi ikianza hutaonekana wanaoipigani timu akina kisugu TU wewe ni embe dodo TU kwenye michongo
@user-hf1wo3zd2m
@user-hf1wo3zd2m 3 күн бұрын
Nipe namba ya gb
@DeogratusiMlaly
@DeogratusiMlaly 3 күн бұрын
Ukopoa
@bashirjama8225
@bashirjama8225 3 күн бұрын
Sawasawa gb64 upended wapili wataipata
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 3 күн бұрын
Usinene ukamara 😂
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 3 күн бұрын
VIONGOZI WA SIMBA WACHEZAJI WOTE MUWAPE TAARIFA ZA USHIRIKINA WA HAPA KWETU WAJE KAMILI
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Simba mnaongoza kwa makombe ya maneno ila mpira ovyo maana ya kolo ni mjinga acha uongo feli mkubwa.
@smithwasonka8464
@smithwasonka8464 3 күн бұрын
Wewe muongo Makolo ni wazazi kwa kizambia kama pv muulizeni chama ata ajibu
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Oswade nayooooo
@KenesiKomba
@KenesiKomba 3 күн бұрын
Wamby hawo
@ArseneMohamed
@ArseneMohamed 3 күн бұрын
Ukalili maneno yako ikosiku utakuponza wewe
@majimototv5670
@majimototv5670 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 3 күн бұрын
Kick tupu ili upate uchawa
@nzegulagkofficialaccount3496
@nzegulagkofficialaccount3496 3 күн бұрын
Tawile baba
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 3 күн бұрын
Gb528
@ALBERTNyemba-uk3fr
@ALBERTNyemba-uk3fr 3 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢haibu naona mm.
@yustodonald9772
@yustodonald9772 3 күн бұрын
Uyu bwana gb 64 by professional ni nani
@AlexrobertGasperly
@AlexrobertGasperly 2 күн бұрын
Huyu ni mwalimu by professional
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Ndio maana Magufuli alikutumbua ufahi kabisa frassh imejaa vilus vya kutosha
@KasukuluMwenbungu
@KasukuluMwenbungu 3 күн бұрын
Unalolote wwe namacho yako
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Ulisema Chama akienda Young Africans utahama sasa nimekubali wewe chawa kweli .
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Ndio maana unaongwa cm Dubai amnaga Mpira labda majengo malefu tu
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio 3 күн бұрын
Modric,messi,Ronaldo na Ramos si vijana acha ujinga kwanza hama simba kama ulivyo ahidi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ThomasAssey-uq2ur
@ThomasAssey-uq2ur 3 күн бұрын
Huyu mwenzangu ni shabiki na anaongeaga kishabiki bila uhalisia hata wakati wa jobe alishangilia sana Leo jobe ni garasa tupu
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 3 күн бұрын
Unaongea sana kama kungwi wa kitanga lkn mpira uwanjani hifadhi upumbavu huo usemao ngoja muda ufke meno mengi mdomoni sio uwezo wa kutafuna bwrge wewe
@NassoroMbaullah
@NassoroMbaullah 3 күн бұрын
Yani kiukweli tumesajir vzur lkn yanga wanawaroga saana wachezaji wasimba,viongozi sajilini na lindeni wachezaji.
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 3 күн бұрын
Jaman ni kweli cmba inarogwa xana wala co uwongo viongoz mlijue hili wenzenu wanatumia xana ndumba hawana timu wa nn ni uchaw mtupu
@user-ld6fy2fi5s
@user-ld6fy2fi5s 2 күн бұрын
Hatumtaki mangungu ni shetani katika timu yetu aondoke
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 3 күн бұрын
HUYU KWSS NI BONGE LA BWEGE.. ALIKUWA ANAAPIA MIUNGU ETI CHAMA AWEZI KWENDA YANGA LEO KIKO WAPI ?
@Mansurhamis
@Mansurhamis 3 күн бұрын
watu wa yanga tukonao uku kenya wanatoka tanzania kuja kuawaroga wachezaj. wa simba
@Vedsastomutalemwa1980
@Vedsastomutalemwa1980 3 күн бұрын
Simba mnaongoza kwa makombe ya maneno ila mpira ovyo maana ya kolo ni mjinga acha uongo feli mkubwa.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 күн бұрын
Tulia shindano iingieee
@elirahammwiri6519
@elirahammwiri6519 3 күн бұрын
Anaamini ushirikina anapoteza mvuto sasa!!
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 3 күн бұрын
Huyo mshabiki hewa wa simba .
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 52 МЛН